nashukuru kukuona mzee tontoni makasi ila vijana wako nimesoma na watoto wako NGELENGELE makasi na mdogo wake shule ya sekondari kilimanjaro boys Ktk wilaya ya ROMBO (mkoa wa kilimanjaro ) nakupa heshima yako nyimbo zako nzuriiiiiiiiiiiiiiii sana umefanya vizuri kwa tamthinia ya miuziki mungu akubariki
@mburujamburuja5483 жыл бұрын
Hongera sana kwa kuokoka. Ushuhuda mzuri sana mzee makasi. Yesu aendelee kukutunza.