Mungu nisaidie nimeota ndoto mara nyingi na inarudia mara mbili kuna mda na sali kunamda na puuzia Asante Mungu kwaku nifungua sintapuuzia tena
@reginamlay52632 жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu
@epafrangweshemi40144 жыл бұрын
Hapa comment ni chache. Inadhihirisha jinsi ibilisi ameteka fikira za watu ktk mitandao. Ingekuwa mambo ya uasi comments zingekuwa nyingi sana hapa. Hapa shetani hawezi kujifitini maana unamfunua hila na mbinu zake. Mungu akupe neema ya kutufikia na sisi tunaekuhitaji sana utufundishe namna ya kujinasua na kabali alizotukwida na kuendelea kututesa ili tumsujudie. Kwa maarifa haya hasujudu MTU hapa yeye akae sawa maana kabali itamkwida mwenyewe si muda mrefu, Haleluya. Anatuchosha sana lkn tutamshinda. Ubarikiwe dada Grace!
@viddamakundi86793 жыл бұрын
Ubarikiwe na Bwana mwl. Asante kwa mafundisho sitapuuzia tena ndoto. Mungu anisaidie
@aycamugishagwe89113 жыл бұрын
Ahsante Sana Mungu akubariki Upeo Mtumishi wa Bwana Mwl Grace.Mungu atuwezeshe kupambana Daima.
@dianathobias82184 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama
@emillyjeremiah91134 жыл бұрын
Thank you Jesus for the word.iam blessed.thank you woman of God ,il always pray whenever I dream.iam not gonna tire but il pray continuously
@Peace.20184 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe mwalimu
@hellenwanyama66082 жыл бұрын
Be blessed mwalimu somo mazuri mungu ni mwema kila wakati
@rachelthomas14034 жыл бұрын
Amen Amen Amen ubarikiwee mwl
@rosepaul28714 жыл бұрын
Shalom mwalimu nisaidie Mimi nimuombaji lakini Sasa siwezi kuomba tena naumia