Barikiwa mwl Grace dadaangu.mimi nimejiambatanisha na maombia yako yananibariki sana kutokana na changamoto Mungu azidi kukutumia mpendwa wa Bwana nimetuma sadaka.barikiwa sana
@rahabuwaryoba2 жыл бұрын
Barikiwa na bwana yesu ulinzi wake ukuzingirle kila utakapo na uingiapo
@Peace.20184 жыл бұрын
Amina njia zao ziwe giza na utelezi
@shukurukawogo46953 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe yaani roho ya mauti imenitafuta huu mwaka