Abdukiba feat Vanillah & Alikiba - MUDA (Official Lyric Video)

  Рет қаралды 723,222

Abdukiba

Abdukiba

6 ай бұрын

Music Lyric Video by Abdukiba featuring Vanillah & Alikiba performing (MUDA), a swahili word that Basically means 'TIME' a track with a message Of celebrating the achievements after All days Of Struggle, sorrow, sadness, dejection. with a message focusing on getting paid and celebrating to forgeting the hard times, with an Amapiano vibe on the production "muda" the Perfomance / Lyric video was shot in the City of Dar es salaam with participation of various comedians to potray the message across how "HARD TIMES NEVER LAST". Enjoy this beautiful tune and always remember to stay happy.
Get it now MUDA:ziiki.media/Muda-AbduKiba
Stream/Download:linktr.ee/Abdukiba
Listen to Abdukiba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/abdukiba
Apple Music: / abdukiba
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
KZbin: / @abdukibatz
Spotify:open.spotify.com/artist/61UXs...
Connect Abdukiba on Social Media:
Instagram: / officialabdukibaa
Twitter: / abdukiba_
Triller:triller.co/@abdukiba
TikTok: / abdukiba
Connect with Vanillah on Social Media:
Instagram: / vanillahmusic
Twitter: / vanillahmusic_
Facebook: / vanillahmusik
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Abdukiba:
Contact:emailabdukiba@gmail.com
©2023 Kings Music Records.All rights reserved.
#Abdukiba #Vanillah #Alikiba

Пікірлер: 2 300
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Comment zijae twenden maraComment ✍️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Comment ✍️wana team kibaComment zijae twenden maraComment ✍️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-rc1sh5dh2f
@user-rc1sh5dh2f 4 күн бұрын
Bonge la goma kama umelirudia zaidi ya mara tano gonga like hapa❤❤❤
@jumasaleiman
@jumasaleiman 3 ай бұрын
Adult kibaa nakushem umembaaa saanaa hapaa mungu akupe fungu lako na wewee ila umejitahidi sana ommy kutoka Germany mm kings muski damu
@worldchoiceperfume4606
@worldchoiceperfume4606 6 ай бұрын
Hii ni Bonge la Ngoma sound nzuri Beat nzuri. Ubunifu ni mwingi sana Humu ndani. Nani mwengne anaungana na mm
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Dooooh jaman hiingoma ni tishooo kama umeamini tuna ishika Trending #no-1 nipe liké☑️🔥 zangu hapa 👇
@ilukerish1
@ilukerish1 6 ай бұрын
bonge la ngoma
@thomaskombe2430
@thomaskombe2430 6 ай бұрын
Goma la mwaka hili... King kaimba kidogo tu bt kauwa mbaya🔥🔥🔥
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Daaah jaman hiingoma ni tishooo kama umeamini tuna ishika Trending #no-1 karibunihapa, nipe liké zangu hapa ☑️ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥 👇
@Daizamayo
@Daizamayo 6 ай бұрын
Tijikijikita zaidi kwenye kuandika nyimbo za pesa tutafanikiwa sana kuwateka wa Tanzania wote mana hakuna asiee tafuta pesa…
@banguomari7929
@banguomari7929 6 ай бұрын
Hakika hii ngoma ishike Trending #no-1 kwa Siku chache kama wewe mwenzangu umekubali✋✋✋✋✋✋✋✋✋ *
@Yusco_Rhynova
@Yusco_Rhynova 6 ай бұрын
Tuko nyuma ya MDA tupae juu TRENDING ⏰
@jaykeenmamba
@jaykeenmamba 6 ай бұрын
King kiba yaliyomo yamo kweli we are waiting this from 254
@chrissmo9198
@chrissmo9198 6 ай бұрын
Dhaa nyimbo nzur sana nimenjoy
@JastiniMushi-ge3te
@JastiniMushi-ge3te 6 ай бұрын
Goma Kali kiufupii haya ma hit mnatoa kidogo tumekula sumu Bado hatujafa tumepelekwa huku mambo hayajawa mengi tumepewa muda ♥️♥️♥️
@jeremiahjuma3660
@jeremiahjuma3660 6 ай бұрын
Sumu bado yamoto
@rashidamohamed9927
@rashidamohamed9927 6 ай бұрын
Sisi ndo Wana muziki💯 sisi hatunaga shuli mbovu wara mbayaa hantariii meongea sana Sasa ni muda wamaokoto twezetu boss ❤️❤️duniani 🙏🙏💪💪💪💪
@HalimaNamangupa-xk7fb
@HalimaNamangupa-xk7fb 6 ай бұрын
Dotto Magari, Ndalo, Mkojani Ndani Kama Unaamini Kuwa Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 Weka Like Yako Hapa 🔥🔥🔥🔥
@ZachariaMichael-ko3ui
@ZachariaMichael-ko3ui 6 ай бұрын
Lazima tu
@MiriamMwangoka-un9ek
@MiriamMwangoka-un9ek 6 ай бұрын
Ukiongeza na mrs energy
@wizaraxx1256
@wizaraxx1256 6 ай бұрын
Hii nyimbo eee unyama mziki uko nawenyewe ❤❤❤
@FranciscoMichael-iu8bq
@FranciscoMichael-iu8bq 19 күн бұрын
Au sio mda wa kucheka wanangu
@abdullahabdulla9697
@abdullahabdulla9697 6 ай бұрын
Oya oya oya oya kumekucha kumekucha kumekucha aaaaaaaaah aaaaaaaaah AAA lamgambo lamgabo kwa mfalme Leo Kuna jambo
@maubreezy-sb2qz
@maubreezy-sb2qz 6 ай бұрын
Ybonge la dubwasha
@aduwisasa
@aduwisasa 7 күн бұрын
Sasa ni muda waku tsheka 😊
@juliusmpagama9894
@juliusmpagama9894 6 ай бұрын
nomaaaa i like the idea ila dancer katisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa salute
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Cool namkubali sana abdu
@omaribangu7116
@omaribangu7116 6 ай бұрын
Good❤ abdu kiba🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✅
@user-qw6xi2mw3i
@user-qw6xi2mw3i 6 ай бұрын
Duh,hili goma limenifanya niwe kleiz sielew usingiz spat kabisa.🎉
@OfficialKilinda
@OfficialKilinda 6 ай бұрын
Hiii sasa ni ngoma nilio kua maingojea sanaa
@user-jd3xk4pr8y
@user-jd3xk4pr8y 6 ай бұрын
Najua hamtaielewa mapema lakin. Mtanianbia badye ngoma kaliiii
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe 6 ай бұрын
Kings music awa majamaa wa moto sema kitikio kimenikosha sana
@allyahahmed1091
@allyahahmed1091 6 ай бұрын
Jaman hawa watu 🙌they amapiano differently kabisa wanaladha zao tofauti 🙌
@official_vanchaz
@official_vanchaz 6 ай бұрын
Alihamdullilah MUDA wa kuanza ku watch sasa hadi usiku mzito
@fatmahmed5647
@fatmahmed5647 6 ай бұрын
Unyama kam wote ngoma kali gonga like hapa zakutosha kwa king wetu ❤❤❤
@banguomari5165
@banguomari5165 6 ай бұрын
Aaaaaaa bonge la kishindooo🎉🎉🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@emanuelyigwira2511
@emanuelyigwira2511 6 ай бұрын
Vanillah kaka wewe ni fundi mmeua sana
@kassimbory3122
@kassimbory3122 6 ай бұрын
Kali hii
@nelsongabriel6324
@nelsongabriel6324 6 ай бұрын
Sana team King music from Zambia together tunawakilisha 👑👑👑🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@tellodelucky6864
@tellodelucky6864 6 ай бұрын
All the way From Zenji#Marashi ya Karafuuu ❤❤❤🙌🙌🙌🔥🔥💸💷💵💶
@kibombi
@kibombi 6 ай бұрын
Hawa wasanii waache mziki, tayari d voice kawaacha
@bukulutheboss5141
@bukulutheboss5141 6 ай бұрын
🎉🎉 Kin'gs music hakuna show mbovu
@vasleyoutfity5157
@vasleyoutfity5157 6 ай бұрын
Nawapata kutoka KUMA MOTO JAPANI nyie jamaa noma…🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kingsmusicfans3905
@kingsmusicfans3905 6 ай бұрын
Mamboo yamesha kua makubwaaaa😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 6 ай бұрын
Spana kwa sana kama tumezaliwa gereji
@user-kc3qy5em4d
@user-kc3qy5em4d 4 ай бұрын
❤ ngoma ninzuri sana kaka❤❤❤%❤❤
@issashabanihusseniwewe9024
@issashabanihusseniwewe9024 6 ай бұрын
Wao waache wagombania tunzo sisi hatuna mda wa kusubiri huu ndo muda wetu wa kucheka yani ni lazima tucheke sana😂😂😂😂
@Chida
@Chida 6 ай бұрын
Hii ni level nyingine kabisa KibeKibe ni mtu mbad sanaaaaa
@ThomasFrancis-hh7cm
@ThomasFrancis-hh7cm 6 ай бұрын
Ali hajaimba Ila kauwa 😁😁😁😁 am waiting King tufunge mwaka na kitu kizito 🎉
@kabundamshabah-hf4zx
@kabundamshabah-hf4zx Ай бұрын
ngoma kali kiba kaua
@selemanmwenge5715
@selemanmwenge5715 6 ай бұрын
Nimekubali ngoma kari ubunif wakushato video kari I love this song🔥🔥🔥🔥🔥
@khamiskheiry1145
@khamiskheiry1145 6 ай бұрын
Kings music sasa mmeamua bdo k2ga tu saiv.....na kwann Ali asiimbe na k2ga hata nyimbo moja....abdu respect sana kaka....muda ndo ngoma yetu pendwa kwa sasa....
@AndrewMpelumbe
@AndrewMpelumbe 6 ай бұрын
Naona k2ga wanajambo nae special vi2 vpo jikoni.. Yule ni first born wa kings kumbuka,kipenzi cha mama kiba
@chrissmo9198
@chrissmo9198 6 ай бұрын
Kwakweli nimefurah san mrs.enegy fire san ❤❤❤❤❤❤yan kapaform vizur had raha snaa
@abuunguzo2452
@abuunguzo2452 6 ай бұрын
Uku sisi tunawatu jaman
@zuberisalehe5996
@zuberisalehe5996 6 ай бұрын
Naomb nilale maan siku yang imeisha sasa ❤ ach niplay ma favorite song in world ward ata izilael akija namwambia ni swala la muda tuu😢😢❤❤ alikiba im accept u so much dady of music
@tukuyufm
@tukuyufm 6 ай бұрын
Tubuni tubuni, UFALME WA MUNGU UNAWAHITAJI, MUDA NDIO HUU.
@user-do3oc2gl9y
@user-do3oc2gl9y 6 ай бұрын
Nikiziona pesa zinanipandisha midadi
@honestatibu7204
@honestatibu7204 6 ай бұрын
Nimerudi tena aisee🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 6 ай бұрын
Ngoma la kimambele, kisauzi, kimamtoni... LIKE KWA PRODUCERS
@HazardyDiesel
@HazardyDiesel 6 ай бұрын
Nec❤
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 6 ай бұрын
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic 🎧💥
@rahmaissa5520
@rahmaissa5520 6 ай бұрын
Poa sana
@eggysulle7988
@eggysulle7988 6 ай бұрын
🔥🔥🔥mfalme
@abuutrica8036
@abuutrica8036 6 ай бұрын
Kazi nzuri
@BrianJoseph-xm4zw
@BrianJoseph-xm4zw 6 ай бұрын
Ila kiba ww noma sana 🔥ww ndio umeniafanya nikaipenda hii Ngoma unyama mwing kwako kiba ❤
@Emmanuel-yd7zi
@Emmanuel-yd7zi 6 ай бұрын
Alikiba SIMBA mwenyewe lots of Love from🇰🇪🇰🇪 likes plz🎉🎉
@dilmosdewi5901
@dilmosdewi5901 6 ай бұрын
Abdukiba sema ni Mda wakujiongeza Sasa Kingsmusic ni ghetto la ufichoni ambalo Lina jina moja tu .... uwezo unao ila kisa kusamini dam una Baki ni yule yule bila atua ...kesho D voice atajenga jina zaidi yako na Leo tu kaanza .jiongeze
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 6 ай бұрын
Abdukiba👑👑👑
@AlexisMaroma
@AlexisMaroma 6 ай бұрын
Abdukiba mdogo wangu Naona leo hauniangushi kabisa
@mwinyiadno9495
@mwinyiadno9495 6 ай бұрын
Good music, skiza voice ya kingkiba ndio utaelewa kuwa kuna watu wamebarikiwa vipaji 🔥🔥🙌🏾
@Joaojosetomas
@Joaojosetomas 6 ай бұрын
🔥🔥
@samiraaindi
@samiraaindi 5 ай бұрын
❤Muda ❤❤.
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 6 ай бұрын
Nakubali mwamba sema umenikumbusha mbali sana kwa mwanangu kwenye dude la hakunaga, mwanangu mwenyewe DOTTO MAGARI salute
@AnnoyedCatfish-bs3sy
@AnnoyedCatfish-bs3sy 4 ай бұрын
Everything nice 🎉🎉
@lugalovemg1254
@lugalovemg1254 6 ай бұрын
Noumaaa sana bro ayayayayayaaaa weweeeeeeeeeeeeeeee
@MbusaMunyerungu
@MbusaMunyerungu 6 ай бұрын
Goooo
@its.ramadjr751
@its.ramadjr751 6 ай бұрын
Goma lazid tembea,🔥🔥🔥🔥🔥
@abuunguzo2452
@abuunguzo2452 6 ай бұрын
Zinanipandisha midadi
@madriki4056
@madriki4056 6 ай бұрын
Ni ngoma kari new voice, melody alafu vanira ni Mario wapili ni moto
@em_vee_josh
@em_vee_josh 6 ай бұрын
The king himself ameingia na kuutuliza wimbo. Enyewe huu ndio muda wa kuenjoy wanangu
@UsStepha-qd2ke
@UsStepha-qd2ke 6 ай бұрын
Namkubali abdoukiba from congo
@user-jz1fg7jj3h
@user-jz1fg7jj3h 6 ай бұрын
Iko poa❤
@user-gb3sg1dg7n
@user-gb3sg1dg7n 6 ай бұрын
Nyimbo kali na imetoka muda sahihi😅🔥,,Ya kufungia Mwaka hii 🔥
@madinafuraha3435
@madinafuraha3435 6 ай бұрын
Uku 2na jamboree letu kings music 🎶 🎵 💜
@frankmussa3010
@frankmussa3010 6 ай бұрын
Abdu hii ngoma imeenda mzee
@abuunguzo2452
@abuunguzo2452 6 ай бұрын
Muda ndo huu
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Safi 🎶🎶🎶🎶🌹🌹🌹🌹
@ColinsSix-qb6mv
@ColinsSix-qb6mv 6 ай бұрын
Tam balaaa
@IsackMwagisa-km2mm
@IsackMwagisa-km2mm 6 ай бұрын
Ivi kwel hii nyimbo ni nzur au me mwehu
@ELISAGAINOFFICAL
@ELISAGAINOFFICAL 6 ай бұрын
Mumeuwa wazee nakubali sana ❤❤❤❤
@mohamedyally816
@mohamedyally816 6 ай бұрын
Kazi wanayo acha nicheke kwana😂😂😂@kingsmusic bhn
@jacksonmunyi7659
@jacksonmunyi7659 6 ай бұрын
Hit kali sana,,daro nakuaminia sana
@user-tj4vp7ke8p
@user-tj4vp7ke8p 6 ай бұрын
MUDA jamani ndio huu
@OmaryKombo-wz8ju
@OmaryKombo-wz8ju 6 ай бұрын
Pandisha midadi duuuh! Bonge yakitu
@issashabanihusseniwewe9024
@issashabanihusseniwewe9024 6 ай бұрын
Piano zinazo toka hapa king music ni piano ambzo huwezi kuziskia hata kwa jirani yako🔥🔥
@omaribangu7116
@omaribangu7116 6 ай бұрын
Naona uko makini sana🎉🎉🎉
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 6 ай бұрын
Mambo fire fire twende kazi
@MbusaMunyerungu
@MbusaMunyerungu 6 ай бұрын
Nice song vidéo lyrics 🔥🔥🔥
@kassimali1477
@kassimali1477 6 ай бұрын
Umegundua Amapiano King's Music wanaimba kama hawataki 😂😂😂 hawa Jamaa wanajua mziki... Sio Ile team ya Pande ya pili
@omaribangu8331
@omaribangu8331 6 ай бұрын
Noce song vidéo lyrics 🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍🏼
@Lando_Anthony
@Lando_Anthony 6 ай бұрын
Melody instrumental na vocals zimepangalia kwa muda 🎉
@user-hj3xy7vu6i
@user-hj3xy7vu6i 6 ай бұрын
Goma Kali Sana one love
@nestor384
@nestor384 6 ай бұрын
Huyu abdul kiba si msanii uimbaji ukiusikiliza unajua kabisa hakuna msanii..
@momadentambo8955
@momadentambo8955 6 ай бұрын
Ni noma Sana Waze topo kings ngoma
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 6 ай бұрын
Abdu mbona kauwa sana 💯
@nanaleetz
@nanaleetz 6 ай бұрын
Abdukiba kuimba haujui achana na mzk mzee ww tembelea nyota ya kakako fungua biashara yeyote utauza sana maaana hii ngoma umeimba vby kinoma utadhan wale wanaokwendaga BSS kwa sifa kuchekesha ujapangilia saut yako wala nn ovyo kbs nimeumia sana mm kama Team kiba
@youngmedia7155
@youngmedia7155 6 ай бұрын
Ko mnajifanya hamjamuona DoTTo magari ama
@olicendayihimbaze4074
@olicendayihimbaze4074 6 ай бұрын
Bigger of Tanzanite pepelusha Bendera ya 🇹🇿 King Kiba; Mfalme Of Tanzanite bongo freva This is My favorite Team of words Music Believe This is One and only Music favorite 🔥🔥🔥🥁🎙️🐐
Abdukiba feat Yammi - YOU (Official Visualiser)
3:27
Abdukiba
Рет қаралды 628 М.
B2K feat Vanillah - Lala (Official Lyrics Video)
3:49
B2K Mnyama
Рет қаралды 1,9 МЛН
OMG 😨 Era o tênis dela 🤬
00:19
Polar em português
Рет қаралды 11 МЛН
ДЕНЬ РОЖДЕНИЯ БАБУШКИ #shorts
00:19
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Когда на улице Маябрь 😈 #марьяна #шортс
00:17
aespa 에스파 'Armageddon' MV
3:33
SMTOWN
Рет қаралды 29 МЛН
Alan Walker & Ina Wroldsen - Strongest (Lyrics)
29:32
Morgan Lee Music
Рет қаралды 6 М.
Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Music Video)
7:33
Alikiba
Рет қаралды 8 МЛН
Vanillah - Nilimpenda Sana (Official Music Video)
3:44
Vanillah
Рет қаралды 398 М.
Harmonize - Tuvushe (Lyrics Audio)
3:26
Harmonize
Рет қаралды 3 М.
RM 'Groin' Official MV
3:14
HYBE LABELS
Рет қаралды 3,6 МЛН
Vanillah feat Baddest 47 - Shika (Official Dance Video)
2:31
Vanillah
Рет қаралды 106 М.
Akimmmich - TÚSINBEDIŃ (Lyric Video)
3:10
akimmmich
Рет қаралды 192 М.
Adil - Серенада | Official Music Video
2:50
Adil
Рет қаралды 95 М.
Artur - Erekshesyn (mood video)
2:16
Artur Davletyarov
Рет қаралды 234 М.
Diana Ismail - Kezdeser (Official Music Video)
4:01
Diana Ismail
Рет қаралды 898 М.
Nursultan Nazirbaev - Gul Gul (премьера песни) 2024
2:37
Nursultan Nazirbaev
Рет қаралды 179 М.
Артур Пирожков и Хабиб - МЁД (Премьера клипа 2024)
2:11
Александр Ревва
Рет қаралды 2,1 МЛН