me wakwanza leo nipeni like zangu😂😂 alafu weka comment uwezavyo share uwezavyo tuondoke trending pale
@njombengailo9177 Жыл бұрын
Tajili
@MASTORI_TV Жыл бұрын
Naomba niwe video vixen kwenye next video broe
@richigaengailo292 Жыл бұрын
Sawa tajilii
@InnoClassic Жыл бұрын
Inno classic🎉 mim Toka makambakoo NAMI msaniiii
@dr_gainstz Жыл бұрын
@@MASTORI_TVwe ndo chimodo chichi au😅😅😅
@kingvigoz Жыл бұрын
Good music #b2k much love from 🇰🇪🇰🇪....watanzania wapendwa nipitieni nafanya muziki pia
@MKAGYASANGIMuta20 күн бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbal san wakat nakwend mbal kuhangaikia maisha ,zashe kilasa aisee maisha yetu aliye na siri yamafanikio yetu ni Mungu t .leo naishi USA 🇺🇸 sijaamin makuu yako Bwana
@terrymsaa1801 Жыл бұрын
Vanilla just killed it,,halafu wenye wamerudia kuskiza huu wimbo mara kumi,lets gather here
@Difre784 Жыл бұрын
Kings music ina wasanii wanoma ni platform wamekosa
@nimrod651 Жыл бұрын
Here we are.. melody so good can't repeat it again &again
@francenipala Жыл бұрын
Umetisha mkinga wa makambako sema umetisha kwakuw umemshilikisha kijan wangu
@amirially750 Жыл бұрын
Vanilla now umekuwa na confidence sana brother na unaimba kikubwa umeuwa sana bro humu 🎉🎉 congratulations gonga like kwa vanilla na king music
@B2KMnyama Жыл бұрын
nakubal sanaaa
@Ngutseboy Жыл бұрын
B2k mnyama
@HadijaIssa-f4u Жыл бұрын
nice song jmn fire kabsaa
@lucyd85279 ай бұрын
unyam❤2KMnyama
@elishaandrewsegere1286 Жыл бұрын
Vanilla u killed it mzee
@B2KMnyama Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@B2KMnyama Жыл бұрын
katishaaa
@EmmanuelMgumba Жыл бұрын
@@B2KMnyama🎉🎉🎉🎉🎉
@josephfrank4446 Жыл бұрын
🎉🎉❤❤ me nairudia mara mbilimbili waninyonyesha huku nimekuwa kwakweli unanipendelea gonga like jaman koment
@johnmathew4051 Жыл бұрын
Kila siku zinavyo jongea na uwona ukubwa wako jinsi unavyo utendea haki unajua jins ninavyo kukubali👏👏👏👏💪🏾💪🏾💪🏾 trending 2🔥🔥🔥🔥
@omaribangu7116 Жыл бұрын
Ninoma jamn🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🌹🌹
@alterboyafrica Жыл бұрын
Vanilla amefanya unyama mkubwa Sana, wapiikes za kijana huyu wa Kings music👍
@h_voice_official Жыл бұрын
Kama unamkubali b2k kama h voice tz. Weka like apa.❤
@Theeprezzomedia Жыл бұрын
Mambo n matatu kuna wao , kuna sisi na kuna nyinyi nyimbo inatesa Huku 🔥🔥
@allenonesmomwebembezi6248 Жыл бұрын
Hiyo verse ya Vanillah unaombea mkopo benki na unapata bila kipingamizi🙌🙌🙌
@allychikoko11 Жыл бұрын
B2k kwa bidii zako na mapambano Yako huu mda wako kaka lazima tukae namba Moja siku ahiishi
@donaldelias2267 Жыл бұрын
Tuliomfuata kwenye huu wimbo Vanillah tujuane
@ZainaHamisi-jw3hu Жыл бұрын
B2k forever
@EmanuelCharo-h8e Жыл бұрын
Tena nliwaambia huyu VANILLA n moto wa kuotea mbali mkanpingaa,oneni sasaa🎉🎉🎉🎉🎉
@omaryluambano3495 Жыл бұрын
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri ❤️🎧
@starbea7742 Жыл бұрын
asantee sanaaa kaka
@verosir1416 Жыл бұрын
Hakikà
@B2KMnyama Жыл бұрын
asanteee sanaaa
@PastoryMziba-wb7wt Жыл бұрын
Wakanza na mm Leo mnipe Like kweny mzik mzur
@omaryluambano3495 Жыл бұрын
@@verosir1416lala🎧❤️
@mwasdekijana Жыл бұрын
Am From Kenya and am witnessing new Bongo Kings being born right in front of our eyes what an amazing song❤🎉
@fundi_feli6299 Жыл бұрын
Hiyi song ingekua ya Vanilla ft JayMelody ingekua kubwa zaidi Love from Burundi 🇧🇮
@sonmjofficialtv9090 Жыл бұрын
Nakubalii home boy nakusikiliza nikiwa zangu ubaruku hapa❤
@SaidBago Жыл бұрын
Vanilla kama ni ugonjwa wew ni korona umeua sanaaa goood misic kings music 🎵🎶 4life
@EyazMusic Жыл бұрын
Vanillah flavor 👑
@MussaNghanga Жыл бұрын
Afadhali maana tulishachoka miziki Yao sijui wanama man ndo nin big up brother 💪💪💪 good music 🎵🎶
@FrankDéfránz Жыл бұрын
Hii nyimbo n kubwa Sana Kama ikifanyiwa promo n kubwa Sana serious imetimiavktk bit uandishi was mpangililio had Melody na ujumb kifup inasikilza mziki unausikia
@barakaborn8859 Жыл бұрын
Alie msikia baraka the Prince kwa Vanilla agonge like hapa 🔥 🔥 🔥
@kevohkingkong3259 Жыл бұрын
True
@festovenas502 Жыл бұрын
Kabisa 🙌🙌🙌😂
@delphinusdonatus3563 Жыл бұрын
Nmemskia Marioo,Alikiba wote humo
@totojinga2795 Жыл бұрын
Kabisa 😂
@johnsonmgendela6882 Жыл бұрын
Baraka
@alfebinhomalema7740 Жыл бұрын
Mbn hiii ngoma imekuj suprise San duuh mbn mapema San broo utatuuuwa mwisho wa mwaka huu ngoma Kali San hiii🔥🔥🔥💥💥
My love for this song 😍❤❤then sijui ni mimi pekee nimenotice vanillah's voice is magical,kuna part anasound alikiba(naikiwa mapenzi sumu🎉),then kuna part anaingia kiu marioo ,all in all wamekill🔥🔥🔥
@bhokemwita9938 Жыл бұрын
Yah his verse is amazing it's the part I love so much in the song❤️❤️
@AmaniMuyaya18 күн бұрын
B2K kweli mimi ninge kuwa mwenye ku amuwa kwa jili ya wa sani African basi ni wewe njo una stahili tunzo kila mwaka ni pushi kutoka congo DRC Kinshasa naku penda sana mudogo yangu.
@mangomito Жыл бұрын
I love you very much, my brother! I'm Angolan and I follow your channel and I have more than 40 of your songs in my playlist... Keep doing me good with your songs... A fraternal embrace!!
@Legends_Interviews Жыл бұрын
💥💥💥💥❤
@B2KMnyama Жыл бұрын
Wow, thank you
@alphabriton Жыл бұрын
Xtas mentir 😂😂😂😂 thank u 4 supporting Tanzania 🇹🇿 music …. Valeu
@alphabriton Жыл бұрын
Xtas mentir 😂😂😂😂 thank u 4 supporting Tanzania 🇹🇿 music …. Valeu
@sheilanazlin1914 Жыл бұрын
Vaaaiiibuuu 😊
@fabrisakasongo3277 Жыл бұрын
Kings 🤴 music for life
@B2KMnyama Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@Alice-zk3om Жыл бұрын
@@B2KMnyama🎉❤❤
@omary-iw4if9 ай бұрын
P
@kithasanga6124 Жыл бұрын
Weeeeuweeeeh nyimbo yangu ya mwakaaa jmn...kituuu cha motrooooo🤗🤗🤗🤗🤗.....wimbo mzurii sanaaaa
@benjaminlemasika76207 ай бұрын
Kuna hao wamerudia hii wimbo mara kumi kusikiza ,let's gather here .....just a vibe❤
@salehilomo6502 Жыл бұрын
Vanilla ameua ase🔥🔥🔥
@atrashabdallah6551 Жыл бұрын
King wakusaidi tu b2k mnyama
@ShabanAmadi Жыл бұрын
B2k broo you gonna be top one day in Africa never give up
@B2KMnyama Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@athashula2870 Жыл бұрын
Umeua bro❤
@athashula2870 Жыл бұрын
@@B2KMnyama🎉🎉🎉🎉
@Dj-KayteАй бұрын
2:08 vanilla killed it 🔥🔥🔥
@majimoto2398 Жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪 ngoma inapenya mpaka mifupaniii❤❤❤❤. 😊
@edosmithrichardigogo-xm9ve Жыл бұрын
Mi shabiki wako since then till now,,en this is how we're killing it🙌🙌🙌🙌
@starbea7742 Жыл бұрын
nakubal sanaaa
@B2KMnyama Жыл бұрын
asantee sanaaa
@coolp3727 Жыл бұрын
Woow! Wimbo moto sana congrats guys
@B2KMnyama Жыл бұрын
asanteni snaaaa
@simbazee Жыл бұрын
Vanilla Kama Baraka The Prince Vile💯
@mosaki5215 Жыл бұрын
Na apo ndipo ugomvi wa baraka nakiba ulipoanzia
@rosesanga8815 Жыл бұрын
nikajua nimesikia pekeangu ako kasati
@veeJesus Жыл бұрын
@@mosaki5215kumbe😮
@raphaelchuche6281 Жыл бұрын
Vanilla killed it 🔥🔥🔥
@kherryserera9451 Жыл бұрын
Hapa kamzika kabisaa Baraka da prince😂😂
@Mkaluminium550 Жыл бұрын
Hatare verse za vanilla zimempoteza b2k yote Kwa yote nyimbo Kali sana
@raphaelchuche6281 Жыл бұрын
@@kherryserera9451 🤣🤣🤣kabisaa
@raphaelchuche6281 Жыл бұрын
@@Mkaluminium550 ngoma n kali sanaaa mzee wangu
@andrewmadaga7913 Жыл бұрын
@@kherryserera9451👀👀 nilidhan baraka da price maan kapita kama yeye barka anakaz kubwa ya kufanya hapa😃😃 🔥🔥🙌🏿
@dariusmokaya4770 Жыл бұрын
Ingekua Alikiba na vanillah hii ingetamba sanaa 😍😍😍still more love from kenya
@mwakisogocpiliano1793 Жыл бұрын
🔥🔥 Mbeya, Niombe Iringa mwanetuu huyuu
@HalimaNamangupa-xk7fb Жыл бұрын
Kama Unaamini Kuwa Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 Weka Like Yako Hapa please 🥰
Pambeeeeeee🤗🤗🤗🤗 tunajivunia msanii wetu wa nyumbani
@yustinrockboy4091 Жыл бұрын
Hiii balaaa Vijana wanapanda pale kileleni👏👏🛠️💥
@eddahnjeri162 Жыл бұрын
Much love from Kenya
@jonathansimovwe4013 Жыл бұрын
Wonderful 🇿🇲 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@IrinemwagiruMwagiru Жыл бұрын
B2k jaman Mungu akuinue zaidi na zaidi baba katika kazi yako nakupenda saaan wew pamoja na nyimbo zako
@FarajaMagesa-r9x Жыл бұрын
duh! now it's ya tym braza kitambo Sana upogo kwenye game hujakataga tamaa nakumbuka samora Iringa moja iyo ulkuwaga ukpga show,I ngoma n motroooo👊ulpo now MKUBWA MUNGU🙏🙏
@MkapaNyansoti Жыл бұрын
Nakubari sana nazid pata ukwel kua upendo upo❤❤
@jacinterakumu9106 Жыл бұрын
I feel like doing a cover of this song coz it's a hit and it has got vibes ❤🎉
@iam_kadodo Жыл бұрын
Much respect to you brother🫡🫡🫡
@starbea7742 Жыл бұрын
kakaaetuuu
@sebastianelias3109 Жыл бұрын
Yan coment nyingi vanilla unafikili ndo mwenye wimbo? B2k✔️
@I.M.Chadra_KE Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉mpakaa sasaa... Love my neighbors music Tz ... great love From kenya .❤❤❤i faw your music