Zuchu ana heshima mno,adabu, mtiifu, msikivu,mkarimu, mcheshi, mchapakazi, ana jalii na akili ndio maana watu wengi wanaobahatika kuishi nae au kuwa karibu yake wanajikuta wanampenda sana, diamond awe makini sana tena awe mtulivu mno na zuchu wake maana wapo watu wengi wanasubiria amuache tu wao wamchukue huo ndio ukweli, maana huyu sio mtu wa kwanza kumsifia zuchu hadi barnaba classic aliwai kumsifia zuchu balaa hadi ali kiba alishawai kumpa sifa, wanawake kwa wanaume ndani ya wcb, maboss wa diamond, mpaka madairecka na madansa wake anaofanya nao kazi huwa wanamsifia mno zuchu wakidai ni mtu mmoja mwenye roho safi sana pia hana mambo mwengi yupo peace mno hana baya mtoto wa watu
@neemakalugila767410 ай бұрын
Well spoken, binti wa watu hana tamaa na ana mapenzi ya dhati
@Mlasidunia10 ай бұрын
Nikweli kabisa Wana mzarau kwanje ila diamond atulie akiacha tu wanamchukua
@leonidamachuru596010 ай бұрын
Nampenda zuu pia
@elizabethchabluma-zw5qz10 ай бұрын
Abdu unaongea vizuri❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@KambaleTsongo-h7e10 ай бұрын
Una ongeya point kabisa
@channyanjen904710 ай бұрын
Safi sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Smokeylucas10 ай бұрын
Simba... Zuu ameenda😊
@saumumasha-in2qw10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 daimond achunge zuchu ataenda we hivi nionavyon😂😂
@yusternyirenda723110 ай бұрын
Zuchu ni mkarimu,mcheshi, ana heshima,anajali,ana upendo, mchapakazi mtiifu ndio maana watu wote wanaobahatika kuishi nae au kuwa karibu yake wanajikuta wanampenda mno, kweli diamond awe makini sana maana walimwengu wanamsubiria amuache tu wao wamchukue huo ndio ukweli
@yuzmokmadaraka932110 ай бұрын
Abdul 🥂
@RamadhanpMwakilasa-di5hc10 ай бұрын
Huku🔥🔥
@HusinaKarama-ti9jm10 ай бұрын
Abdu🔥🔥🔥🔥
@ROZITHOMAS-y4q10 ай бұрын
Na kweli zuchu ni mdogo lakini ana akili sana. Anajitambua mno. Inawezekana mama yake amemfunda kwa sababu mama yake anajua hizi industry vizuri sana.