Mungu akubariki sana kwa ukweli unatoka kuongelea watu wanadanganyiwa sana Asante sana
@dianagidion46312 жыл бұрын
We dada ahsante Sana nimekupenda hii mitandao inafanya hata mtu ukufuru❤️❤️❤️ ahsante tutazidi kujiamini
@hadassahmakuna79543 жыл бұрын
Asante Sana mpenzi Mungu akubariki Sana zaidi Sana ya Jina Lako Mimi nimekufuatilia Muda mrefu nimejifunza mengi ninakupenda na Asante Kwa maadili na Kazi kubwa unayoifanya ya kugusa maisha yetu.
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante sana dear 👏🏽😘
@FarajaMwanyika-gg6gj Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@MikaelChaka6 ай бұрын
Asante dada nimejifunza
@magrethndambo76843 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mumy mungu akubariki
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear 😘
@hellenngwilla5503 жыл бұрын
Asante sana kwa somo Bariki umeongea point nzuri sana ubarikiwe
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😘
@HhPpp-id7me3 күн бұрын
Safi sana dada asant
@Swahiliseriesanimation3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa bariki kila mtu anangozi yake wengine kusuguana nikawaida .Vitu vingine nikujikubali tu sometimes tunadanganyana sanaa
Wapendeza jamani shukran kwa mafunzo mazuri haya ni kweli yale unayaongelea dada hata nami mara mingi hujiuliza mbona niko hivi sio kama yule
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante sana dear 😘😘
@shoshoaaa21763 жыл бұрын
Asante sana dadaa nakupenda sana
@zaynabhadoso47833 жыл бұрын
Asante sana maan mitandao inadanya
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😘
@aderhelmakayombo85372 жыл бұрын
Umeongea point
@pendopendo74273 жыл бұрын
Leo umeogea vizur sna barik Asante san mi najikibali kam nilivo Akuuu sitaki kuja kufa kisa istrgm😀😀😀😀 ukichez na istrgm weee unaeza kumaliz pes zako kumbe watu washajiedt uko weee watuache bhn
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Unaona 👍🏽👍🏽
@FrancineLuciaAssani6 ай бұрын
Asante sana
@barikikaroli60886 ай бұрын
😘
@AsteriaLucas-d1r7 ай бұрын
Jamani jamani da bariki michilizi ilisha kweli Mimi nilitumia sana Ile a lovely
@barikikaroli60887 ай бұрын
💕hogera
@mspwjjjso62612 жыл бұрын
Ni kweli maan Hata Ngozi Yako ni nyoronyoro
@rehemaboazi69183 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo yako mazuri wanadanganya Sana mitandaoni
@asantekwahuuwimbozubeda8733 жыл бұрын
Dawa wewe ndomana nafatilia video zako unaongea ukweli sana mambo mengine yasitusumbue bure
@uchebemediatz46402 жыл бұрын
Ajxnte sana nashkur
@lovekikoti88942 жыл бұрын
Sante dada wewe unafaa Sana ushauli wako uko vizur ubarikiwe
@radiaarady33073 жыл бұрын
Mashallah shukuran habbity mungu awe na ww ktk maisha yako
@zainabmussa71972 жыл бұрын
Hongera sana dada
@gamgangweesechota35893 жыл бұрын
Nimekuelewa sana dear ubarikiwe sana sana jaman
@barikikaroli60883 жыл бұрын
👏🏽
@nadinebashizi59623 жыл бұрын
Miss you my rol model Nimeipenda toka DRC
@datiusbenetius55883 жыл бұрын
Ni bora kusema ukweli kuliko uongo mungu akubariki sana
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear
@eunice97153 жыл бұрын
Ni kweli, but mm nilikuwa na michilizi mingi sana kwenye miguu na kwenye makalio na ngozi yangu ilikuwa imelegea Sana but nimefanya mazoezi ya kuteneneza mwili michilizi umeisha yotee na ngozi yangu imekaza na weusi umeisha kabisa, so tusiende kutumia chemical kuna njia nyingine rahisi pia
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Unaona na Hongera sana kwa kujali afya yako 👏🏽👏🏽😘
@noreenbeny46273 жыл бұрын
Umetumia njia gani dear
@eunice97153 жыл бұрын
@@noreenbeny4627 nilikuwa nafanyaazoezi ya kupugua tumbo na kuongeza shepu nilikuwa na michilizi pia kwenye tumbo but now hakuna michilizi kabisa, nilikuwa nafanyia nyumbani tu
@eunice97153 жыл бұрын
@@barikikaroli6088 ahsantee
@ummykhanifa9622 жыл бұрын
Umefanyaga mazowezi gani? mana na mimi ninayo machilizi kwenye migu na kubisusu afu siko ata mnene
@asyaamuhammed24083 жыл бұрын
Love you bariki 😍 nakukubali Sana
@barikikaroli60883 жыл бұрын
👏🏽👏🏽😘
@aminakamariza42043 жыл бұрын
Nikweli Kbs mitandao inamambo mengii ya uongo sanaa
@alinetuyisabe40443 жыл бұрын
Asante kwa somo Nzuri hayo mauwa nimeyapenda tupe siri ya hayomauwa please
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear hilo au nimeliongelea kwenye hii vlog unaweza kuangalia hapo chini ukipenda 😀😘👇🏽👇🏽 kzbin.info/www/bejne/pXexqoaFeqhlgJo
@saumuimeda51813 жыл бұрын
Wallah nmekupenda bure😘Asante sana kwa somo nzur sana🙏
@asantekwahuuwimbozubeda8732 жыл бұрын
Asante sana kipenzi umesema ukweli yani mm nakupenda sana na pia najikubali jinsi nilivyo
@aishafrancis77143 жыл бұрын
Barikiwa sana kama jina lako🙏
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear 😘
@officiallearhfrank91353 жыл бұрын
Leo mm wakwanza ku view good content bariki
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante sana dear
@ELIZABETH-uz6dv5 ай бұрын
God bless my dear ❤❤❤🇨🇳
@barikikaroli60884 ай бұрын
❤️
@Byeragordian35723 жыл бұрын
You are beautiful inside and outside❤🌹nimekupenda bure
@barikikaroli60883 жыл бұрын
💕💕
@elivisielifazi52213 жыл бұрын
Congratulation my beloved sister what incredible presentation its a surprise to me God bless you more and wish you all the best stay safe and blessed always.
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Thank you
@mariamjohn5399 Жыл бұрын
Nmekpenda bure dada
@hellensahani75783 жыл бұрын
Ni kwel Bariki hata mm nimedanyanywa had sasa nikapata sugu kwa na vidole vimekuwa weus nifanyeje barik plz
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Pole unaweza kujaribu kufanya scrub za kutengeneza mwenyewe kwenye channel yangu zipo nyingi dear
@Djaliaqueen9 ай бұрын
🎉
@nibigiramwajuma79253 жыл бұрын
Asante da bariki
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😘
@beatricecassian32333 жыл бұрын
Ndio nipe namba yako
@makrinareopold50408 ай бұрын
❤
@abdulsalamaimpfurayabavyey6367 Жыл бұрын
Kweli kabisa dada nakupenda bure
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
💕
@emmyemmycute60283 жыл бұрын
Nice
@roziicharless47053 жыл бұрын
Upo sahihi bhnaa
@mwaminintakwinja13423 жыл бұрын
Kweli kabisa
@anessabinery56543 жыл бұрын
Missed you Barikiii
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😘😘
@LilianMeshack-i9o4 ай бұрын
Dada bariki nisaidie number yako jaman
@barikikaroli60884 ай бұрын
Njoo instagram: bariki.k
@LilianMeshack-i9o4 ай бұрын
Sawa
@ججوي-س4ي3 жыл бұрын
nime kuerewa da bariki
@agathathobias86903 жыл бұрын
Dada leo umesema vyema hasa mabint wa cku hiz wanaangaika sana
@Bemamadou6653 жыл бұрын
Nakubali mno
@tantinebettynduwimana3802 жыл бұрын
hakika
@ashanaftali8933 жыл бұрын
Ila umependeza sana💖💖
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear 😘😘
@angelkanyambokanyambo37503 жыл бұрын
Asnt San da bariki
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😘
@PiusRobert-l5w3 ай бұрын
Napataje hayo mafuta
@fadhilawaemmy16563 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@barikikaroli60883 жыл бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽😘😘😘asante dear
@officialzu37723 жыл бұрын
Ndio maana nakupenda💋
@tatuta65293 жыл бұрын
Ongera dada unaongea kweli kabisa wakati wako ukisha fika ndio basi tena
@sabinandole35702 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️
@agnesrugoye22162 жыл бұрын
Umeongea vema dada
@anessabinery56543 жыл бұрын
Kweli jamani mmmh, maana wanatuchanganya hawa watu wa mitandao sana
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Unaona usipokuwa makina wanakutia stress bure 😅
@aminanizeye20392 жыл бұрын
Da Bariki miye navimba xana chini ya macho mpaka naonekana marée mpaka najikataaa😩😩nifanye aye?
@aminanizeye20392 жыл бұрын
Mpaka naonekana mzeee sijuwi nifanyenini😩😩😩
@ashanaftali8933 жыл бұрын
Hakika leo umesema kweli hii mitandao inatudanganya haswaa
@barikikaroli60883 жыл бұрын
👏🏽😘
@annamallya87563 жыл бұрын
👏👏👏👌
@priscarmshama88973 жыл бұрын
Umependeza kwenye kakochi kako
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante 😘
@stellasimon83063 жыл бұрын
👍👍👍👍
@barikikaroli60883 жыл бұрын
😘😘
@williammamiro13962 жыл бұрын
asnteee
@gatimakonge86782 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ChausikuHassani-g9m7 ай бұрын
Naomba namba yako ya whatsapp my sister 💖
@mspwjjjso62612 жыл бұрын
Dada wewe inatumia losheni gani unijibu maan Ngozi Yako ni lain
@barikikaroli60882 жыл бұрын
Natumia yoyote tu inayonifaa ila huwa nachanganya na glycine
@sweetnesskway97943 жыл бұрын
Tnx ccy
@mrsseanbrian42133 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@lightnessmungaya32803 жыл бұрын
Dada una madini
@barikikaroli60883 жыл бұрын
👏🏽👏🏽Asante
@lizaizack8773 жыл бұрын
Umesema kweli my dear
@rahmajafarkassimkassim94863 жыл бұрын
Umeongea kweli dada lakn apo kwenye unene uwiiiii 🤦🤦🤦🤦yan najitaidi sana kupungua yani nikijalibu kukata tamaa ya kupungua 🤦🤦🤦 nashindwa jmn sitaki kukubali mm kua kibonge 🤣🤣🤣🤣
@barikikaroli60883 жыл бұрын
Asante dear ni kweli hata mimi sitaki kuwa chibonge ila ni vizuri unaamua mwenyewe kupungua au kunenepa kwasababu wewe mwenyewe ndo unakuwa unajua faida na hazard zake siyo watu wakuseme kila saa.