karibuni sana kwenye channel yangu naitwa Bariki Karoli
natengeneza video zinazohusiana na urembo wa mwili,naongelea kuhusu ngozi,kupungua mwili na kuongezeka.
Na vlog ambazo zinahusu maisha yangu ya kila siku,na vitu vingine kibao.
unaweza kunipata kwa
email:
[email protected]