Adai aulizwe maswali alichokipata hakuamini kimeeleweka leo kimeumana moto wa waka kiwanjani

  Рет қаралды 6,123

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@AishaMohamud-k7d
@AishaMohamud-k7d 9 күн бұрын
Asalam alaikum Msomaji mzee sulaiman analete raha sana hii combination yake na salim ni fireee MashaAllah kijana wetu Daktari pia MashaAllah anaweza Allah awape jazaa mingi
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 9 күн бұрын
Wanapeleka daawah vizuri sana, kama vile ilikua wakati wa Qasim. MashaAllah mwenyezi Mungu awahifadhi.
@hafsakirao398
@hafsakirao398 9 күн бұрын
Wasomaji wote wanajaribu sana, Allah awalipe kila la kheri
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 9 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@hassanpadi
@hassanpadi 9 күн бұрын
Msomaji ajaab ALLAH awape umri mrefu insha Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@Jingajinga64
@Jingajinga64 9 күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu ayyuhal ikhwanil qiram. Allahumma Barik
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@hassansharif5716
@hassansharif5716 9 күн бұрын
I am proud of you guys. Mashallah bro
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Masha Allah we love you for the sake of Allah
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 9 күн бұрын
Mashalla mwenyezi Mungu awape nguvu ❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 9 күн бұрын
Waalaikum salaam warahmatullah
@daawaonestreetassociation.5702
@daawaonestreetassociation.5702 9 күн бұрын
MashaAllah Allah bless you all thinks Salim daawah Kenya na awape umri murefu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@SaleheKijazy
@SaleheKijazy 9 күн бұрын
Maashallah shekhe tuko pamoja siku zote.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Masha Allah tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@IssackAlfa
@IssackAlfa Күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wanarakatuhu amedhalishwa am amejidhalisha yeye mwenyewe.Mungu ampe mwongozo mzuri na awe mwenye kuislimu kabla ya kufa
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im 9 күн бұрын
Huyo jamaa bora mmemjua kama msumbufu hua ana msumbufu sana shekh ramadhan kuria
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Yeah mbishi na hana hoja
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 9 күн бұрын
Mashallah shekh Salim wewe unawajulia sana hao wedzetu wa upande wa pili
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@hassanalfan6941
@hassanalfan6941 9 күн бұрын
Wa alaikum musalam warahmathulai wabarakatuh
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 8 күн бұрын
Allah atujaalie umri mrefu shekhe Salim
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 9 күн бұрын
Umefanya vizuri sana kumuondoa huyo jamaa wa jacket ya blue maana hupoteza muda bure na ni mbishi tu. Humuona sana kwa sheikh Ramadhan Kuria akiwa Jacarander.
@Lucian-v5p
@Lucian-v5p 9 күн бұрын
@@abdallasuleiman8785 unaweza panga nmtuoatane na wewe ujue ni kwa nini Hawa waalimu wa kiislamu huogopa hoja zangu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Huyu huwa mbishi na hana hoja
@MwangiMuhammad-q8r
@MwangiMuhammad-q8r 9 күн бұрын
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu..Maa Shaa Allah..Allah awalipe Jannatul Firdaus
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
@loner_wolf
@loner_wolf 7 күн бұрын
Kibwetele aliwanyoosha wapenda miujiza 😅😅😅😅
@isahbarasa
@isahbarasa 9 күн бұрын
Ladah enye iko hapa mashalla ❤😋☺️
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 9 күн бұрын
jazakallhu haira
@josemu870
@josemu870 9 күн бұрын
- Sema: Enyi watu! Ikiwa nyinyi mnayo shaka katika Dini yangu, basi mimi siwaabudu mnao waabudu nyinyi badala ya Mwenyezi Mungu. Lakini mimi namuabudu Mwenyezi Mungu anaye kufisheni. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waumini.
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 9 күн бұрын
MashaAllah Allah azidi kuwabariki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@ibruzah001
@ibruzah001 9 күн бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@josemu870
@josemu870 9 күн бұрын
Allah amuongeze nguvu amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 9 күн бұрын
Kweli Mwanakulitafuta mwanakulipata
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 9 күн бұрын
JazakumAllah khairan!
@samxx411
@samxx411 8 күн бұрын
Ni vizuri kutompa nafasi yule mjinga yupo kiubishi kama Mushi na Mobutu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Siku hizi yeyote mbishi hapati nafasi hapa inn shaa Allah
@samxx411
@samxx411 8 күн бұрын
@@salimdaawah123 Naam ili wasipoteze muda na mzee Ali anaendeleaje na hali.
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 9 күн бұрын
.mashallah naona pamechangamka😂😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Tena sana
@rahmaali6662
@rahmaali6662 7 күн бұрын
Huyu wa kwanza sijui shadrak kajua kuchukuwa mda kweli na hana maswali ya kuuliza kaja tu na ubishi...ustadh Salim nextime huyu kijana mpe muda wa suala moja tu akakae
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 күн бұрын
Inn shaa Allah
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 9 күн бұрын
Ameomba aulizwe swali alipokosa majibu anahisi anakejeliwa. Hivyo ndovyo haki ilivyo huwezi ficha ukweli.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Yeah haki ndio hivyo huuma lakini ndio haki
@estherwamaitha1006
@estherwamaitha1006 9 күн бұрын
Assalamu aleikum Allah wape ulinzi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 9 күн бұрын
Msomaji ananipa raha ajjabu....
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Masha Allah
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 9 күн бұрын
Temple: A building for religious worship, especially in religions other than Christianity. Nimetoa google.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
😂🤣😂🤣🤣na huyu mkristo alitudanganya eti ni kanisa
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 9 күн бұрын
ASALAMU ALEYKUM. NA IJI ULIZA HAWA ONA ONGEA HAWAJA SOMA SHULE KUWA SABABU WANA ONA BIBLE VILE INA IJI GONGA HAWA FAHAMU
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh wataelewa tu inn shaa Allah
@Shillingi
@Shillingi 9 күн бұрын
Wakirsto wamepotea short
@oopsm3574
@oopsm3574 9 күн бұрын
Wachambeeee😂😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 күн бұрын
Mpaka waelewe inn shaa Allah
Mbona mwaenda  na kufanya hivyo mwijiristi auliza limeonekana lafaa kimeeleweka leo
1:19:04
Mchakato wa maandiko watokea kivumbi hiki ujumbe mzito wafika leo
1:25:53
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,1 М.
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
VITIMBI VYA WANAWAKE KANISANI
1:11:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 5 М.
Dada aleta maswali na maandiko yaleta changamoto kiwanjani kimeeleweka leo
1:12:19
Mbona amtaki kuenda binguni maswali ya chemka mzee aleta hoja mpya kali kali
1:21:51