Mtu wa kwanza ku watch . Masha Allah my brother ustaadh Salim Allah akupe maisha marefu na janaat firdows
@aishahazary40975 ай бұрын
Allahumma Aamiyn
@SaidMgeni5 ай бұрын
امين يارب
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@sadickkagoma52975 ай бұрын
mashaa Allah kazi nzuri sheikh wangu,Allah wajaze kheri
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@faizulfahz32095 ай бұрын
Wangejua vizuri zaidi kuhusu Muhammad wangempenda saana kwasababu yeye ni kheirul qhalqillah yaaani mbora wa viumbe,
@salimdaawah1235 ай бұрын
Tutawafikishia inn shaa Allah
@AishaTabi-e2z5 ай бұрын
Mashalla 😍
@janieali55215 ай бұрын
MashaAllah Tabarak Allah Masheikh wetu kwa mafundisho bora kabisa. Mungu awazidishie elimu na baraka nyingi kwa kazi bora kabisa zaidi ya kazi zote.
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@hassanmpemba57475 ай бұрын
Masha Allah sheikh salim ujumbe umefika Allah akulinde na maadui wa uislamu
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@iddyjuma80365 ай бұрын
Wew cyo mzima wew
@oopsm35745 ай бұрын
Kiswahili safi ni mcha Mungu
@huseinshedrack61805 ай бұрын
3:55 - Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana........Shekh wng naomba nisaidie ufafanuz wa Aya hiyo👆👆👆nimeulizwa na mkristo imenichanganya,mbona km Mungu anasema atamfisha kisha atamnyanyua na sisi tuna Amin Yesu alinyanyuliwa na tuna Amin Yesu hakufa,nisaidie Shekh wng
@hythamhashiem44585 ай бұрын
Allah hajasema nitakufisha ukisoma kwa alfarsy utaona ame sema nitakutimizia muda wako wakuishi na nitakunyanyuwa kwangu ispokuwa makadiyani wame fasiri متوفيك kwa maana ya kufa, lakini ukiangalia tasfsiri zote hazijafasiri mutawaffika kwa maana ya kufa illa wame fasiri kukabidhiwa au kutimiziwa muda wakuishi
@huseinshedrack61805 ай бұрын
@@hythamhashiem4458 sasa mm kinacho nivuruga kichwa nina Quran kwenye cm yng inasema nitakufisha,mwenye uelewa wa Aya hiyo naomba anisaidie maana nilikuwa mkristo nikaslim sasa wakristo nilio waacha huko wana nibana kuacha Ukristo na hlo ni miongon mwa swal nimekosa majibu nashindwa kujitetea,naomba msaada ndgu zngu
@huseinshedrack61805 ай бұрын
@@hythamhashiem4458 kinacho nichanganya mm nina Qur'an kwenye cm yng,nayo inasema nitakufisha,mwenye uelewa na Aya hiyo naomba anisaidie maana nilikuwa mkristo nikaslim sasa wakristo nilio waacha huko wana nibana kuacha Ukristo na hlo ni miongon mwa swal nimekosa majibu nashindwa kujitetea naomba msaada ndgu zngu
@michaelamiani67553 ай бұрын
Hivo ndio uongo huonekana
@josemu8705 ай бұрын
- KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.  1:2 - Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;  1:3 - Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;  1:4 - Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.  1:5 - Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.  1:6 - Tuongoe njia iliyo nyooka,  1:7 - Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea
@ZakiyaAnwar-w1r5 ай бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah azidi kuwalinda na baraka kuwashushia mzidi kutangaza dini yake Alhamdulilah Allah awaongoze
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee Allahamdhullah
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@abdirahmanmohamed17325 ай бұрын
Mashaallah
@asl62955 ай бұрын
Haya Sema Bismi...
@ibruzah0015 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@Natashaamina-u7w5 ай бұрын
Mpola mpola 😂😂 mashallah tabrakallah
@salimdaawah1235 ай бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@swafiirbulbul8194 ай бұрын
Allah amuongoze Mama wa Sheikh Salim katika UISLAMU.. (Aamyn)
@salimdaawah1234 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@swafiirbulbul8194 ай бұрын
@@salimdaawah123 Sheikh Salim .. wewe na Sheikh Ramadhan Kuria (Allah awahifadhi).. Wallaahi mnatupa ujasiri wa kuweza kuwagongea Wasio Waislamu majumbani mwao .. 😃 .. Wanaogopa sasa kuja kutugongea sisi .. .... ALLAH ATUTAQABALIE SOTE
@swafiirbulbul8194 ай бұрын
@@salimdaawah123 Tunapenda tuwaone siku moja mkiwa Pamoja na Sheikh Ramadhani
@salimdaawah1234 ай бұрын
@swafiirbulbul819 Aameen ameen ameen sote
@faizulfahz32095 ай бұрын
Mtume Muhammad ako na mamlaka kubwa sana kwa sababu yeye ni imamul ambiya..kumaanisha alisalisha manabii wote mbele yake hapo baitul maqdis pili alienda mbele ya mungu wake akiwa na malaika jibril..wasome saana uislamu wallahi wataupenda inshaAllah kwa idini ya mungu
@salimdaawah1235 ай бұрын
Allah awaongoze waione haki na waifuate
@kassimali94214 ай бұрын
Assalamu alaikum,well done
@salimdaawah1234 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@halsamnur45535 ай бұрын
Not everybody can give dawah . It need patience and make non muslim to understand u . I pray that terittory that u give dawah everyday.inshallah they will all accept islam one day . May Allah bless u in this dunya and akhira .🫡
@salimdaawah1235 ай бұрын
May Almighty Allah guide them to see right
@halsamnur45535 ай бұрын
@@salimdaawah123 ameen ya raab
@mohamudabdullahimohamud39954 ай бұрын
Masha allah
@MohamedMeja5 ай бұрын
Mashaalah
@badmanno.1650Ай бұрын
Paulo huko aliko marungu kama yote Dah, kafanikiwa kupoteza dunia. 😅😅
@salhkasmm5585 ай бұрын
Ndio maana mnyama baada ya kuchinjwa huningingizwa ili damu yote itoke. Naunapomsome ukafunika masikio yake kwenye macho hutulia.
@salimdaawah1235 ай бұрын
Yeah ndio hivyo wataelewa tu inn shaa Allah
@faridbashuu5 ай бұрын
😂 Haiyaaaa Muhammad 😂😂😂😂😂 Wakristo jameni !!
@salimdaawah1235 ай бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@faridbashuu5 ай бұрын
@@salimdaawah123 insha'Allah
@davidjuma34405 ай бұрын
Saalim usimuache huyu kijana sana, yupo vizuri kwenye usomaji wa vitabu
@salimdaawah1235 ай бұрын
Yeah ako sawa
@SheeMaryam.M5 ай бұрын
Alhamdulillah i thought hakuna dawah leo.. Kwa hivyo mwalimu kila kichinjio Kuna muisilamu wa kuchinja? Juu nikienda nyumbani banana huwa sili nyama , knowing that, hakuna muisilamu wakuchinja vichinjioni..
@abdallahdoka91735 ай бұрын
Kichinjio Kenya mzima ni waislamu pekee wamepewa authority ya kuchinja
@SheeMaryam.M5 ай бұрын
@@abdallahdoka9173 Shukran sana nime poa Sasa nikienda butcher nitabuy Sasa bila wasi wasi
@myunaniniahmad64635 ай бұрын
Na lau angekua chapati ange chambuka vizuri sana, maana siyo kwa samli ile. Ndoo nzima imeisha wakimmwagilia.
@Mohamedsedu4 ай бұрын
Allah atuongoze
@salimdaawah1234 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@fatumayusuf-77365 ай бұрын
Mashaa'Allah. Sheikh salim.
@salimdaawah1235 ай бұрын
Masha Allah tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@hythamhashiem44585 ай бұрын
Pepo (paradise) haina plural, lakini Pepo majini ina plural nayo ni mapepo
@salimdaawah1235 ай бұрын
Masha Allah umefafanua vinzuri sana
@abdallahazizi9995 ай бұрын
Walimu Naomba Allah awaongezeye elimu ilimuendelee kuwafikishia viumbe wake
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@lilhydon4522 ай бұрын
Mbona Aya za Paulo zimo ndani ya Bible?
@AdanIsmail-qb8wb5 ай бұрын
Assalam Aleikum warahmatulahi wabarakat shekhe hakuna sauti katika video naomba muangalie tena❤
@salimdaawah1235 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa sasa
@badmanno.1650Ай бұрын
Sheikh Salim hilo andiko la nyakati wa kwanza 1 : 16 wakristo watalipinga sababu ukisoma biblia yakizungu inasema Hamathite na biblia za kiswahili zengine zinasema na wahamathi.
@salimdaawah123Ай бұрын
Bibilia wanabadilisha kila siku
@bibleknowledge-b1y4 ай бұрын
Msamaha wa dhambi tuliupata kalvari...
@salimdaawah1234 ай бұрын
Huko ni wapi?
@bibleknowledge-b1y4 ай бұрын
Mbona unaonekana unafundisha wakati hata msingi huujui...Ndugu maandiko hayo sio hadithi hizo...
@salimdaawah1234 ай бұрын
@@bibleknowledge-b1y hueleweki msingi wa nini???
@salimdaawah1234 ай бұрын
@@bibleknowledge-b1y luka 1:1 anasema ni hadithi wewe unasema sio hadithi mbona hueleweki
@bibleknowledge-b1y4 ай бұрын
Ndugu msingi wetu ni Yesu Kristo aliyetuokoa na dhambi na kupitia yeye tulipata msamaha wa dhambi... UNAPOTOSHA MAANDIKO..
@faizulfahz32095 ай бұрын
Wangejua vizuri zaidi kuhusu Muhammad wangempenda saana kwasababu yeye ni kheirul qhalqillah yaaani mbora wa viumbe,