Amin yaarambi mungu atuwezeshe swala kwa wkt wake ustadh
@aminasuleiman75903 жыл бұрын
Mashaallah sheikh shukran , mm siishiw kuangalia mawaidha haya nayakariri na kuyafkisha kwa waislam wenzangu Allah atulipe kher na mwisho mwema aaaaamiiiiin
@WeBorn2DieAnyTime12 жыл бұрын
Ya ALLAH, Ya RAHMAAN,Ya RAHIIM, mbariki Sheikh, mashaAllah, very true, can't stop listening to him, BaarakAllahu feek, nduguyangu for sharing this strong lecture about the Salah and the Grave. SubhanAllah.
@abdallahissa26172 жыл бұрын
Allah nijalie na umjaliee shekh HASHIM MBONDE na wengine wote tusiwe wenye kuacha swala.
@KautharSaleh-y8q2 ай бұрын
Amin
@MengiMtali-mj9me11 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe ekima ktk maisha Yako shehe mbonde mawaidha yanatufundisha mema
@yusufseifu49672 жыл бұрын
Jazaaka lahu haira sheikh ALLAH akujaalie umri urefu wenye kila la kher katika dunia na Akhera na akulinde na familia yako.
@joharikashindye86554 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU mawaidha haya ndo aliye nifanya mimi nimeanza swalah tano ALLAH atakulipa Inshaallah
@mariamsaidi76254 жыл бұрын
Johari Kashindye Allah akudumishe ktk swala 5
@aminasuleiman75903 жыл бұрын
Aaamin rabbil alaamiin
@nurumohammed13106 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi inshaallah bila ya Allha kutia mkono wake cc hatuwezi
@RashidAli-t7f2b Жыл бұрын
mwenyezi mungu atupe nguvu yakusali hadi mwisho wetu yarabi
@K2dawilla6 ай бұрын
No, Mungu atusamehe bana. Hawezi kutuumba na udhaifu wote huu halafu tena yeye mwenyewe awe katili kiasi hiki!
@ChweyaIbra-ck2xr8 ай бұрын
ya Alla tujalie tuwena mwishomwema mungu akujalie shekh
@MARIAMSHAABAN-s1c Жыл бұрын
Sibhannallah, ya Allah nijaalie niwe nimwenye kutimiza swali tano na uwe ni mwenye kuzikubali.
@yusufseifu49672 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie kila la kher sheikh wetu na akulinde na kizaz chako
@rashidorlando12869 жыл бұрын
Ya Allah, tujalie mwisho mwema katika ulimwengu huu.
@albilaadidacwa94979 жыл бұрын
+Rashid Orlando AAMIN
@jumaiddi34226 жыл бұрын
We yarrabiii tupee rehma zako
@habonimanaomari22384 жыл бұрын
@@jumaiddi3422 ju moomoo moo
@swabrimohd53412 жыл бұрын
subhanalah mawaidha ya kutetemesha nyoyo,touching one keep it up bro
@azizauledi41086 жыл бұрын
Tunakusiklza vizurii sheikh yaani mada umeitendea haki haichoshi kusikiliza mashaa Allah tabalaka
@kareemkayeye7713 жыл бұрын
Ya allh ya allah tujalie tuwe ni wenye kusimamisha swala yarabi na uzipokee swala zetu allahuma amin
@zamilmohammed22974 ай бұрын
Yarabill Allamin tujaalie mwisho mwema Amin
@rashidihussen93934 жыл бұрын
Mashalaa mwenyez mungu akuongezee uwezo
@SaidFeruz-w5k Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulipe dhahabu kama mlima Kwa mawaidha yako
@bimumaulid11715 жыл бұрын
Anadhamini mimis Amana ya Allah ipo wazi Subhanallah 💃
@faizaabdala96103 жыл бұрын
.mashallwa mungu akubarok
@amourhassani12097 жыл бұрын
mungu atusameh na atufanyie nafsi zetu kuwa nyepec
@abdiisaak25118 жыл бұрын
Ewe Mola tujaalie njia iliyo nyooka Ameen A prayer for you from the core of my heart May Allah be with you sheikh Hashim
@SalhaMuhammed-m2x4 ай бұрын
Allah ni great thanks 😊
@mohammedbusaidi85057 жыл бұрын
ya allah tujaalie tuwe miongoni wenye kusimsmisha sala , pamoja n kutukubalia sala zetu na utujaalie wetu watu wema fil janat ameeeen😢😢😢😢
@halimajumawifemisterjay35208 жыл бұрын
ya Allah tuongoze ktk njia iliyo nyooka
@IbrahimYusuph-j9j5 ай бұрын
Allah akupe pepo inshaallah
@azizauledi41086 жыл бұрын
Mashaa Allah jazakallah sheikh Allh akuhifadhi
@WeBorn2DieAnyTime12 жыл бұрын
MashaAllah, Sheikh Suleman, very good lecture about those who don't pray, InshaAllah we are trying our best, Ya Allah (Subhanahu wa Ta'aala Azzabwajjal) help us with our Salah, BaarakAllahu feek for sharing.
@jamilammnimtumzimakweliyot21782 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema
@Fund-yz4nc Жыл бұрын
Sala
@hmsrashd79102 жыл бұрын
Mawaidha ya zamani ila yanaishi , ALHAMDULILLAH
@AbuubakarLinus-sr5ox Жыл бұрын
Kwenye swala la mawaidha hakuna ya zamani shekhe wangu japo hata kama yalilekodiwa zamani .
@DeBoy-oy2jg Жыл бұрын
Mawaidha ni sawa na Qur'an,hayazeeki
@mussahussein26811 ай бұрын
acha kukufuru baba mawaidha hakuna ya zamani
@rahmashaban86938 жыл бұрын
subhannallah haya mawaidha yanatingisha nyoyo. Allah tuepushe na adhabu zako yarrab!!
@mariamk14888 жыл бұрын
AMEEN...InshallAh
@pallumizzymussa80054 жыл бұрын
ALLAH tujalie mwisho mwema waislam wote duniani Inshaallah
@aminasuleiman75903 жыл бұрын
Aaaaamiiiiin
@husnaomar8033 жыл бұрын
AL HABIB ALLAH S. W AKUPE UMRI MREFU UZIDI KUTUPA NASAHA ALLAHUMMA AAMIN YAA RABB. SWALEH AHMED KISAUNI MSA. SHUKRAN.
yarabi tuzindue tuwe wenye kutenda mema na mwisho wetu uwe mwema inshallah
@fatmaally7148 жыл бұрын
ameeen
@mariamsaidi76254 жыл бұрын
Allahuma amin
@fatmaally7148 жыл бұрын
SubhanAllah Alhamdulillah MashaAllah mawaidha ya sisimua tunaomba mu aplod kwa wingoi mawaidha ya sheikh huyu ya sisimua moyo
@ukhtyzaitun70542 жыл бұрын
Mashallah nimepata funzo Allah atuepushie adhabu hizo
@dullamakabila49197 жыл бұрын
Enyi ndugu zangu wa kislamu tumche Allah na mtume muhamadi s.w.s
@humudalbarwan3208 жыл бұрын
mungu awape heri za dunian na ahera taasisi yetu ya rAudha
@Som-Hanoolaato11 жыл бұрын
Subhan Allah, Kweli Kabisa, May Allah (Subhanahu wa Ta'aala Azza Wajjal) reward you all the best in this world and in the hereafter, Baarak Allahu feekum for sharing,
@ibrahimstyco12129 жыл бұрын
Ya Allah tuongoze ktk njia iliyonyooka na utupe mwisho mwema
@albilaadidacwa94979 жыл бұрын
+Khamiar Real AAMIN
@Som-Hanoolaato11 жыл бұрын
@Fatuma Amurani, Insha Allah, keep up your salah, na kila unapo swali waombee wazazi wako na Ummah wote wa Kislamu ili wafwate njia njema ya Kislamu (Kitabu Karim cha Al-Qur'an Al-Kareem, na Sunnah ya Our Beloved Prophet Mohammad Peace Be Upon Him) Kila isku zidhisha kuomba Mola wetu/wako akupe na akuzidhishiye nguvu ya dhini na afia, na Atuepushe na kila la shari, hapa dhuniani na kule akherah. Allahumma amiin. Ya Allah, Ya Rahmaan Ya Rahiim. Wa Salaam aleykum waRahmatullahi waBarakaatuh
@zamilmohammed22974 ай бұрын
Amin yarabill Allamin
@lugangagustv17777 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi
@bathuliali877 жыл бұрын
Mola atudumishe katika swala tano Ameen
@faisalashraf80313 жыл бұрын
Mashaalah shekhe hashimu
@shemelaruhinda61137 жыл бұрын
Allah akubariki mashahallah kwa mafundisho mema
@mariamsaidi76254 жыл бұрын
Ya Allah ya Allah tujalie tuwe ni wenye kusimamisha swala ya rabi na uzipokee swala zetu allahuma amin
@sharifamsangi27192 жыл бұрын
Mungu jaaliye pepo kubwa
@shabanleposo796 жыл бұрын
Ya Allah, nijaalie niwe katika waja wema mbele yako na mtume wetu Muhammad (S. a. W).
@aminasuleiman75903 жыл бұрын
Acha ubinafs sheikh atujaalie sote
@shabanleposo793 жыл бұрын
@@aminasuleiman7590 Amin.
@IdrisaJuma-c7p10 күн бұрын
Tumuombe Allah atujaaliye hii Dunia isiwe katika mioyo yetu Atujaali hii Dunia iwe katika mikono yetu
@fatumastv2 жыл бұрын
YA ALLAH ,Ya RAHMAAN , Ya RAIIM ,emwenye zimungu tunakuomba utusamee YARAIIM ,
@qutyfetty91657 жыл бұрын
yaallwa tukubalie sal zet tusamehe mako's yet type mwish mwm inshaallhw
@shilingiali46457 жыл бұрын
Allahumma jaalna husnal hatwima
@latifaothman26963 жыл бұрын
Amiin
@WeBorn2DieAnyTime12 жыл бұрын
As Salaam aleykum waRahmatullahi waBarakaatuh, MashaAllah, tafadali sana weka the English translation, BaarakAllahu feek for sharing. Wa Salaam aleykum waRahmatullahi waBarakaatuh ,
SUBHANALLAH! Oh ALLAH(s.a) FORGIVE US FROM ALL OUR PAST SINS AND THOSE WE MAY DO IN FUTURE. INSHAALLAH! SO THAT YOU MAY GRANT IS YOUR JANNAH WITHOUT ACCOUNTABILITY
@salmanoor35617 жыл бұрын
Tujitahidini Kwa swalah inshaallah
@ayoobalqasmi30628 жыл бұрын
ya allah tujalie mwisho mwema na atuongoze katika njia iliyokuwa nzuri wallah haya mawaidha nalia mm maana nikiyasikiliza najisikia sijui tu yaan
@athumanisumailmshuti850511 жыл бұрын
subhanaallah allah atunusuru na azabu mbaya.
@ramadhaniathumanibatumnwa18422 жыл бұрын
Maashaaalah yarab jaariya
@faridaibrahim86223 жыл бұрын
Mimi cjui hatima yangu Eee Allah ninakuomba Uniongoze katika matendo mema Mimi na kizazi changu na ndugu zangu wote waislam tuwe wenye matendo mazuri na wenye kusimamisha Swala 5
@hamisiduru11468 жыл бұрын
Rekhema na aman I we juu ya shekhe hashimu mbonde
@ShaniphaRamah10 ай бұрын
Allah tunusuru na adhabu zako
@WeBorn2DieAnyTime12 жыл бұрын
Swalini jamani swalini, kifo is mbali nduguzangu, na wasaidiyeni wale ambao hawajuwi kusawali, wafundhisheni ku swali. Samahani kwa Kiswahili changu :) , BaarakAllahu feek for sharing.
@platiniali86093 жыл бұрын
Mungu aku bariki iman niko Kinshasa lakini ii kumbusho ina ni ngusa ni Rudi ku swali
@AziziMunda7 жыл бұрын
Ya ALLAH tujalie mwisho mwema
@salehsuleiman12183 жыл бұрын
allah atusameh makosa yetu iwe niwenye kutubu toba ya kwel
@mahmoudkagunia86407 жыл бұрын
Yaa Allah mrehem abii wangu yaa Allah
@husnatgamaah133510 жыл бұрын
Yaa Allah tujaalie mwisho mwema In sha Allah
@albilaadidacwa94979 жыл бұрын
+husnat gamaah AAMIN
@othmanabdallah19487 жыл бұрын
husnat gamaah amin
@mansuriishallah72497 жыл бұрын
Ishallahh
@hassanmalambo88557 жыл бұрын
Mansuri Ishallah. =
@issasuleimanmaina92336 жыл бұрын
Allahu Akbar
@abdillahdhamir8074 ай бұрын
Ya Allah bihusni lhatma
@abakrillymaalim75876 жыл бұрын
Yaa allah tuongoze ktk njia ilionyoka
@fafi90928 жыл бұрын
Mungu tunasulu na azabu zako
@ziadaally96848 жыл бұрын
Allah tusamehe makosa yetu Allah tujaze imani ktk nafc zetu
@fatmaally7148 жыл бұрын
ameen
@jameelajamee87774 жыл бұрын
Allahuma Amiin yaraby
@saididrisa73339 жыл бұрын
Yaa Allah guide us to the straight way
@albilaadidacwa94979 жыл бұрын
+Said Idrisa AAMIN
@aminayahaya74146 жыл бұрын
Subhanallah enyi ndugu zangu waislam tunamtihan mkubwa mbele ya Allah tusimsahau Allah tufanye ibada na tufate Yale aloamrisha na tuache Yale alokataza allahu akbaru
@AbduBwika3 жыл бұрын
Allahumma Inni As aluka Husnul Khatimah Ya Rabbil Alamin Ya Rabb
@Som-Hanoolaato11 жыл бұрын
Nyoka huyo wa kaburini ni nyoka wa kutisha na mbaya Sana, Ya Rabb, Ya Rahmaan, Ya Rahiim, tuepushane na huyo nyoka hatari kweli, hamna mfano wake. SUBHAN ALLAH!
@aminatatu56922 жыл бұрын
Amin insha allah
@K2dawilla6 ай бұрын
We umemuona wapi? Mungu ana huruma bwana. Yaani usiposali tu ndiyo akuadhibu hivyo? Hapa kuna mahali tunapigwa.
@nurungoma97572 жыл бұрын
yaallab tujalie yasitufike haya
@omarisalimu281110 жыл бұрын
i real like this site and when i open up am just feal like i am in heaven.
@Som-Hanoolaato11 жыл бұрын
Ya Allah, Ya Rahmaan Ya Rahiim, tuepushe na Adhabu ya hii dhiniya, na ya kaburini, na siku ya Qiyamah, . The real breaking News will be on the Judgment day.
Allah Atuhfadh na Atudumshe ktk salaa 5 cc na vzaz vtet2, Allahu Akbar 🙏
@hassancharo14966 жыл бұрын
Allah Tujaliye mwisho mwema na utujaliye sisi wenye kusimasha sala tano inshaAllah
@mufdatabdallah73413 жыл бұрын
Allah humma Amin
@K2dawilla6 ай бұрын
Mungu hawezi kuwa katili hivi aisee khaaa
@12bineta11 жыл бұрын
Subhanallah mwenyezi mungu akujalie. je utapata nguvu aje japokuwa unasili we mwenye katika family ya watu 6 na unaweza kujikinga manena yao kivipi? na japokuwa muzazi nimwislam lakin ha ku support kwa sala yako.
@WeBorn2DieAnyTime12 жыл бұрын
Kutoroka mvuwa na kuingiya majiini , hiyo Kali Kabisa, LOL. More lectures from Sheikh Suleman.
@khadiyazerea33273 жыл бұрын
Huyu ustadhi anaitwa nani
@wardalward36938 жыл бұрын
Mashallah Subhana llah
@zamilmohammed22974 ай бұрын
Subhanna Allah wataala
@RizikiOmar-x6bАй бұрын
Ya allah tujaalie tuwe miongoni mwa wenye kusimamisha swala
@kareemkayeye7713 жыл бұрын
Ya llah tujalie mwisho mwema katika ulimwenguu
@mahamednurabdulrahman13732 жыл бұрын
May Allah enable us to establish prayers and reward our sheikh too