"AFANDE SELE Kaniita SHOGA / Nampa Masaa 19, La Sivyo" - CHID BENZ

  Рет қаралды 75,773

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"AFANDE SELE Kaniita SHOGA / Nampa Masaa 19, La Sivyo" - CHID BENZ
KUFUATIA kauli iliyotolewa na Msanii Mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele, ya kusema kuwa Wasanii wote wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (Mateja) ni Mashoga.
Kauli hiyo ikapenya moja kwa moja mpaka kwenye uvungu wa Moyo na kumgusa Mkongwe mwenziye, Chid Benz, ambaye ni muathirika mkubwa wa madawa ya kulevya, na amesema anampa Afande masaa 19 ya kujitokeza hadharani na aombe radhi la sivyo!
Afande Sele alitoa kauli hiyo stejini usiku wa Disemba 02, kwenye tamasha la Wasafi Festival Morogoro, lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Stadium.
#CHIDBENZ #AFANDESELE
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: ]
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.co....

Пікірлер: 105
@ramadhanseif4564
@ramadhanseif4564 5 жыл бұрын
Wanamkosea sana chid Benz mimi naamini ipo watamuomba msamaha chid ni zaidi ya chuma
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Mungu akusimamie ched benzi ipo siku utakuwa sawa 😢😢😢😢😢😢😢acheni kashifa kwa chid jaman
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 5 жыл бұрын
CHIDI BENZI .... NAKUKUBALI SANA FROM 254.
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
Yani shoga hauliwi anaombewa dua hakuna shoga wala mwizi wote wakuombewa mungu halafu hakuna dini yyte inayosema mwizi auliwe wala shoga auliwe hakuna dini hio wala kitabu hicho mwenye ruhusa ya kuuwa ni mungu kumtuma malaika wake mtoa roho peke ake unapo omba mungu basi lazima na familia yako uiombee na jambo ambalo limesemwa jamaa yupo sawa sana chidi namkubali mmno
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
ujue nawashangaa hawa watu waili AFANDE SELE na DUDU BAYAA kwann wana msema sana Chidi benzi asipewe shoo wasafi festivoy kwan wao ndo wenye wasafi au kwann hawampendi chid kupewa shoo na wasafi ebu kuwen na aibu sku atakuja kupewa shoo chidi benzi halafu afande na dudu mtaonaa aibuu
@zuberimgawilo2639
@zuberimgawilo2639 5 жыл бұрын
Wcb wenyewe ndio hawamtaki mwenzao
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 5 жыл бұрын
Haruni Mfaume we jamaa acha ujinga sasa.. Wewe ushaambiwa jamaa ni TEJA mla unga.. Kwani wewe hujui kama Chid ni teja?? Unawezaje kufanya kazi na teja? Tuongee ukweli jamaa ni teja huo ndo ukweli.. Hakuna MTU anaweza kufanya kazi na teja..
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
chid sawa teja ila ajawa teja wa kushindwa kujitambua ebu kua na akili ya kiume ww
@susanlazaro7492
@susanlazaro7492 5 жыл бұрын
Pole chidi Benz Daa inauma Sana
@amosphoustine5375
@amosphoustine5375 5 жыл бұрын
Pole chid, ushapata uchizi tayari. Tulikupenda sana lkn ulikofikia now cyo kabisa
@ivancharles578
@ivancharles578 5 жыл бұрын
Daaah jamani wanao kaa nae kwa kweli hawana huruma kabisa,huyu jamaa ili hali yake ya zaman irudi inabidi afungwe japo miaka 2
@yusuphmohammad1385
@yusuphmohammad1385 5 жыл бұрын
Wapi wamesema anampa afande masaa 19 wandishi kama nyinyi ni vilaza
@danieljohn3836
@danieljohn3836 5 жыл бұрын
wasanii wazaman njaaa dudu baya na afande sele ni mapimbi kuingia wasafi festivil bas wanajiona wamemaliza maisha kenge nyinyi
@athanassiame3083
@athanassiame3083 5 жыл бұрын
Cheedbenz uko poa sanaaa wanajifanya wale awanapesa
@saidfundi9193
@saidfundi9193 5 жыл бұрын
kweli unga sio ishu
@simonmbuya2564
@simonmbuya2564 5 жыл бұрын
Uache Madawa mzeee
@xhebbydzobecker2238
@xhebbydzobecker2238 5 жыл бұрын
Waandish uchwara alwayz wanamtafuta chid kwa ajil ya kuuza maneno on youtube matter its kama chid kuna anachokipata hapa#
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 5 жыл бұрын
aaaaaa hata walio mu enterview wamemzima aaa dunia hii aliyevumbua madawa ya kuleva ama kavumbua kitu kibaya huyu kaka handsome kawa hivyo kweli jamani huruma huruma .
@hamisambogo4359
@hamisambogo4359 5 жыл бұрын
Sijaelewa hata moja
@iddimzenga2614
@iddimzenga2614 5 жыл бұрын
Nyinyi wote mnae mdisi afande wote amjitambui uwezi kumtetea mteja
@frankjisandu9409
@frankjisandu9409 5 жыл бұрын
Jaman chidy benz hii ni madawa kweli
@ignasboy1853
@ignasboy1853 5 жыл бұрын
puguani wewe pambana na Ali yako tulikupend zaid tukasapoti kazi zako ila unga ukaupenda zaida ya maisha yako
@rubbenbinifas8777
@rubbenbinifas8777 5 жыл бұрын
Nakuerew kaka chid
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Bom.noma
@harunakayega5531
@harunakayega5531 5 жыл бұрын
Huyu bange zinamzingua bado aisee
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 5 жыл бұрын
Hii inaonesha nini maana na madhara ya madawa kulevya
@rochhelmond7925
@rochhelmond7925 5 жыл бұрын
Hollah..... Chideeee respect for yu!
@yasiniseleman1036
@yasiniseleman1036 5 жыл бұрын
Inabidi tupendane
@youngweezy3846
@youngweezy3846 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongeaga on point sana
@allychaye3446
@allychaye3446 5 жыл бұрын
Nakukubari chid
@hidayaabubakary8834
@hidayaabubakary8834 5 жыл бұрын
Jamaani uyu kasemaje sijamuelewa na jinsi alivyo mmh kivuruge
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 5 жыл бұрын
Mjomba kavurugwa ile mbaya
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Kweli dawa za kulevya ni mbaya aisee
@salumkibiki7539
@salumkibiki7539 4 жыл бұрын
You so crazy
@moringelangas7276
@moringelangas7276 5 жыл бұрын
Ukiisikia ngoma ya dar stand up ndo utajua kwa nn wanampiga vita,chid ni nondo,mtu hatari sana,Alipotea tuu kwa sababu ya madawa but hembu itafuteni ngoma ya makamua feat chid bent inaitwa tell me why!utatamani umchukue chid awe anakuimbia tuu
@petersconsolatha9783
@petersconsolatha9783 5 жыл бұрын
Well Done Chid Chumaaa
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Chidi vipi
@gadsonmanchester475
@gadsonmanchester475 5 жыл бұрын
Wasani kama vile kuna mdudu amewaingia kinchwan
@zuwenaabdulfumba8856
@zuwenaabdulfumba8856 5 жыл бұрын
Yani huyu itavyuu zake hata haulizwagwi maswali anajiendesha Kama Kari moshi
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 5 жыл бұрын
😥😂😂😂😂😂😂
@nyash2542
@nyash2542 5 жыл бұрын
I dare ya to be in his 👟 after kutukanwa through the same madia
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 5 жыл бұрын
duuh chidi unazingua
@frankyared3861
@frankyared3861 5 жыл бұрын
Hv. Nyie kila siku interview chid watu wengine hamuaoni
@stevenkambeytz2459
@stevenkambeytz2459 5 жыл бұрын
Mmmh chidi alivyochanganya mambo hata sjaelewa chochote hapo...wangapi hawajamwelewa chidi kama Mimi..?
@herifredrickson2040
@herifredrickson2040 5 жыл бұрын
Duh sijui anaonge nn bangi mbaya jamani
@nashontechnician2511
@nashontechnician2511 5 жыл бұрын
Naungana na TID chid afungwe jela miaka 5 akitoka atakuwa pow uteja utamtoka tena akafungiwe Nsenda urambo uko madawa hakuna xana goso tu Kwa wote tunaempenda tuungane na TID
@h.k_empire9737
@h.k_empire9737 5 жыл бұрын
Nashon Technician ww mwenyew vhoko
@h.k_empire9737
@h.k_empire9737 5 жыл бұрын
ww mwenyewe choko
@nashontechnician2511
@nashontechnician2511 5 жыл бұрын
@@h.k_empire9737 mashoga lazima mjitokeze
@Kibitiyetu1
@Kibitiyetu1 5 жыл бұрын
Mi Bange inachemkaaa
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
hebu ngoja,,kumbe jamaa ni shaolini tempo,,sio kwa shanga hizo,,
@loner_wolf
@loner_wolf 5 жыл бұрын
cio poa Sele , umedondoka cio mbaya usitukane wenzako , ok sisi tunakuombea urejee on board
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Huyu mtu hajui kuzungumza.
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
chidi Afya imepolomoka mpaka unatisha duuh, acha ngada dogo
@amiryjanja1746
@amiryjanja1746 5 жыл бұрын
Hlo tshat ulilovaa Kama la mganga wa kienyeji 😂😂😂😂🙌🙌
@sophicatesalim9757
@sophicatesalim9757 5 жыл бұрын
Kiukweli chidi anataka kusaidiwa ata maongezi yana kua hayaeleweki
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Dùh hatareeèeee
@justinemtokambali9015
@justinemtokambali9015 5 жыл бұрын
Kichwa c kizuri Cha huyu jamaa
@antonfaru3600
@antonfaru3600 5 жыл бұрын
Kosa si LA chidi kosa ni LA waandishi wa habari,huyu MTU hayupo saw a ,hana msemji,hana meneja kwanini wanakaa wanamuhoji mawswali ya ajabu,hawamsaidii Bali wanazd kumwngamiza maana yeye anaeopoka tuuu
@bonephasbenjamin4848
@bonephasbenjamin4848 5 жыл бұрын
Benz lime kuwa corola 😃
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 5 жыл бұрын
hahaha sijawahi sikia mtu akipewa muda km huo asante chid
@tatamudutv5899
@tatamudutv5899 5 жыл бұрын
Tanzania mbona small issues inakuwa trend nchi nzima you need to change media iwe teaching kwa vijana si kuwaletea issue za utoto
@kigendihassan630
@kigendihassan630 5 жыл бұрын
Ganja bana
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
jaman bro Chid😭😭
@salminkwikwega1731
@salminkwikwega1731 5 жыл бұрын
OCOL vevo Hi
@salminkwikwega1731
@salminkwikwega1731 5 жыл бұрын
OCOL vevo Hi
@babusadala5732
@babusadala5732 5 жыл бұрын
Mzee wa kiaina
@shammykessy369
@shammykessy369 5 жыл бұрын
Chidi tukuombee huyo mdudu atoke jamaniii
@hussenjuma6760
@hussenjuma6760 5 жыл бұрын
acheni mambo ya kike kuitana itana mashoga mnaona raha sana au nyie mashoga? maana neno shoga mnalipenda sana,tafuteni kiki zingine za kuandikwa kwenye mitandao kila wakati frani shoga Frani shoga tumewachoka na maungese yenu bhana.
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Sasa hayo makorokoro shingoni ndo Nini
@sulehtz2589
@sulehtz2589 5 жыл бұрын
muathirika sio muharifu
@nyash2542
@nyash2542 5 жыл бұрын
But why always talk shit about this good guy wa 🇹🇿 wengine washenzi kweli yani washajiona wame make it inlife had kumaliza story Chiddy one day they will bow down I need to support Chiddy as of now
@jacobsamwel5145
@jacobsamwel5145 5 жыл бұрын
Huna jipya teja ww
@hustlerdunga9098
@hustlerdunga9098 5 жыл бұрын
Hahahahhhahhahaha daaa blaza hata anekufata kukufanyia interview nae hajielewi ivi hajui ww umebakiza maneno na sauti tu c uimbe mziki saut unayo broz
@allychaye3446
@allychaye3446 5 жыл бұрын
Nikweri
@leopoldmwesa6968
@leopoldmwesa6968 5 жыл бұрын
Acha sembe janja!ndomana unambiwa maneno mabaya kutokana na ww unavyojiweka boy.badilika mbna wakati mzur bdo unao
@frankyohana4646
@frankyohana4646 5 жыл бұрын
hakuna msanii wa kufananishwa na chid benz pumbavu nyie konki ni shoga tyu
@asiliyakechuma7335
@asiliyakechuma7335 5 жыл бұрын
Huyu mchiz akiki zake sio nzur
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
frank Yohana kama ww ulivyo shost
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 5 жыл бұрын
Mm sijaelewa kasema nini maana kachanganya vitu kama makande hivi
@mufdatabdalla7436
@mufdatabdalla7436 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@herifredrickson2040
@herifredrickson2040 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@omaniallibakari1331
@omaniallibakari1331 5 жыл бұрын
Nyinyi ndo mnao sinzia cluss teacher akitoka wanza kusumbua wasio sinzia mfwate umulize sjakuelewa chdi shuba mit
@ommyathumani7264
@ommyathumani7264 5 жыл бұрын
@@omaniallibakari1331 hahhahahha kweli kabisa mara nyingi watu kama hao wanakuwa na mambo mawili kichwan
@barikielmboya8058
@barikielmboya8058 5 жыл бұрын
Kasema ni personal
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 5 жыл бұрын
bangi tupu
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 5 жыл бұрын
Chid unaniangusha bhana daa 😥🤣🤣
@ramadhankibwana6425
@ramadhankibwana6425 5 жыл бұрын
Nenda zako mbwia unga wewe unalolote mbuzi kagoma
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Ngada
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 5 жыл бұрын
Shoga kweli wewe bwege kama unayajua hayo unalazimisha upewe show ya nini we kula unga huyo anaekupa kiki kila saa mwambie pia akupe show
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 жыл бұрын
Nyie nae mnamuhoji wa nini?sijaelewa ata alichozungumza 😂😂
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Kumi na Tisa . mzee .waliokula bom
@kagoggoalfred2730
@kagoggoalfred2730 5 жыл бұрын
chidi bado kichwa sio poa.rehabilitation is needed topics nyingi kuliko swali
@fredrickmbagala6270
@fredrickmbagala6270 5 жыл бұрын
Hakuna mtu hapa kiukweli
@kenzokimambi7922
@kenzokimambi7922 5 жыл бұрын
unampa masaa 19 ww Kama nani hasaa fala kweli ww
@jumbebakari128
@jumbebakari128 5 жыл бұрын
😂😂kivuruge
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 жыл бұрын
Jamani huyu alivokuwa bonge la bwana leo kawa kama mtoto
@mussamshengelijr4295
@mussamshengelijr4295 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 5 жыл бұрын
MUNGU MWEZA WA YOTE CHID ONE DAY UTARUDI NAAMIN
@jawadimwalim3634
@jawadimwalim3634 5 жыл бұрын
Mimi navo faham hawa watu 3 ,mi naamini Chid anawazidi, Akili ,mashairi,na kuimba ,sasa wasione ivi yuko hivyo wakaona kwamba wao wanamzidi
@meshackkulinda9397
@meshackkulinda9397 5 жыл бұрын
we mla unga huna maana kabsa sasahv ungekuwa unakula shavu ukavunga unajua kula ngada endelea kula baba
Mkasi - SO7E08 With Afande Sele
29:56
MkasiTV
Рет қаралды 118 М.
CHID BENZ DUDUBAYA ALIKOJOLEA GARI LA FIESTA
14:55
Kaskazinimixtv
Рет қаралды 230 М.