Dah huyu jamaa ni genius sana... Kama unamkubali Gonga like hapa
@popperkuch6696 жыл бұрын
Dudu baya alimzuru nice alikuwa km penseli na dudu alikuwa km compac
@kelvindagine95715 жыл бұрын
Mamae alivom,uuliza mtangazaji ww si unajua nimekaa jela au . Jamaa kataka kutupa maik 😀😀😀😀😀😀😀
@MrMtulivu6 жыл бұрын
Nimemuelewa sana huyu chidi benz kama umemuelewa piga LIKE yako hapo. Miminiko ulaya bu hua nawafatilia sana nyinyi wa MBONGO. Haki.
@hassanmbwambo80976 жыл бұрын
Kweli
@mussaagrey56796 жыл бұрын
mtulivu Boy mwana mimi mtafutaji kaka, nipe mbinu nije Tafuta maisha uku mikazo iko mingi naitaji jaribu badili upepo nione ikoje
@ediusfredrick79066 жыл бұрын
mtulivu Boy 😄😄😄
@favourspapatv6 жыл бұрын
Chidi ana pointi.
@salumumacho90826 жыл бұрын
good
@kishkbongo74506 жыл бұрын
Sure mwana..waongea perfect sana chidi
@emmanuelmumangu66365 жыл бұрын
Upo sawa brother nimekuelewa sana
@malengajrking75256 жыл бұрын
dudu msenge tuu safi sana jembe la Ilala
@francismillinga45916 жыл бұрын
Chid ana akili nyingi sana, respect bro!
@divaifrank67466 жыл бұрын
Nimekuelewa chid Benz uko sawa kabisa
@husseinmwakigobe92046 жыл бұрын
chid benz mziki wako uko juu sana. acha kuongea habari za dudu baya. uwezo wako uko juu sana... madawa tu brother, Mungu awe nawe, pia unajua kujibu hoja vizuri
@georgeshija12766 жыл бұрын
unajielewa sana chid
@Papa2thaE6 жыл бұрын
Dar, DSM, Dar es Salaam! Watu tupo toka enzi za kina omario na Mandwa. Ilala na Ashanti game ya mwaka 1982. Wagumu tupo sometimes tu nakula kalamu . Nani mchizi kuliko muulize esamisoo ndanda na kosovo refarii Mandemla. Jumamensa, ....
@pajokakasasa6 жыл бұрын
umeongea True Chidy
@oswardmgawe30096 жыл бұрын
daaah we mkali sana nazipenda nyimbo zako zote pls lud bado twakuitaji sana kaska chdbzzz mwaaaash
@georgemwambona98906 жыл бұрын
DAR STAND UP chid nimekuelewa sana mwana
@aleyslaim49356 жыл бұрын
Broo chid Benz ( Kingkong) Nakuelewa sana mkuu mungu akufanyie wepesi
@udahtmohdlikemine34956 жыл бұрын
#kinkog Chuma much love brother nakukukubali Sana
@erasitokassmu53736 жыл бұрын
Bado we chid benz na utaendelea kua chid benzi tu respect brother
@juliusonesmomfumya87096 жыл бұрын
😁😁😁 kakojolea gar la fiesta, haya n majanga
@kassimhashi40926 жыл бұрын
Kwa madem chidi.uko juu.ilaala stand up
@pottawa76925 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@mohdyussah8256 жыл бұрын
From UAE Big up chid Achana na mtu kutoka porini fala yule
@hassankidisa80706 жыл бұрын
Dah! Aisee Ila hapa Chid amebonga ukweli kinyama. Kumbe hata madawa wakati mwingine unamuweka mtu katika Hali ya kumjua mungu. Dah! Big up Chid Ila usije ukarudia Tena kuvuta huo uchafu ma broo
@winheleni92636 жыл бұрын
Nimekuelewa sana brother welcome back we miss tunasubiria ngoma mpya
@lidyakhofo92596 жыл бұрын
hi by
@johnjulias66125 жыл бұрын
nakukubari sana mzee dudu ni kuma
@alvinmalle96246 жыл бұрын
Siku zote msema kweli anachukiwa the best rapa in tz king Kong..💪
@harunimfaume62806 жыл бұрын
chidi benz uko sasahihii sanaa na bado upo sawaa
@jumangojole40096 жыл бұрын
Chid unafaa sana kuwa jaji wa kisutu au mkuu wa tume ya uchaguzi 2020
@johns60096 жыл бұрын
Chid B Chuma, big up brother
@santrocgelord88265 жыл бұрын
Umeeleweka vyema brother I respect u en ua job
@freckfide7446 жыл бұрын
kama unamkubali Chidi beeeeenz kaongea Point gonga like za nguvu.
@elizaanthony33286 жыл бұрын
Jamani napenda muwe mnamfinyia chidy intavew kila Mara maana nikiwa nimeboleka nikiingia humu tu nacheka mpaka basi
@fredyakitanda47796 жыл бұрын
Nimekuelewa Chid Benz
@mwaafricaharisi45186 жыл бұрын
Uyu jamaaa Ana Akili nyingi sana
@paulinaurasa20586 жыл бұрын
Manyembe tena ina elekea best zako ni mateja
@jasminekingambe36036 жыл бұрын
ipo sahihi brother
@kassimhashi40926 жыл бұрын
Mdomo kama sinia. Pua kama ngumi.dudu hawezi kukuta .asantee sana chidi
@agnessestoni56315 жыл бұрын
😂😂😂😂Nakupenda chid unatoa checheee uwiiiiii🤣🤣🤣
@petersconsolatha97836 жыл бұрын
Daaah.....Broo Umeongea Point Sanaa Respect #Cheed
@sponsor78826 жыл бұрын
THIS GUY I MEET HIM IN MOMBASA TEMBO DISCO 2009,HE WAS REALLY GUD.
@leolaswai57846 жыл бұрын
namfungia pale ubungo, mbagala pale funga geti, kwenye jiji ambalo office zinapatikana! welcome back chid.... you real got back to your senses man. Big up,
@deljaysamil11536 жыл бұрын
Chidi Benz Chuma I respect you sana +254 twende sawa
@eddnho16 жыл бұрын
Ana akiri sana uyu jamaa chid benz ana akiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@husseinomary46586 жыл бұрын
hapan ni vitu vyote vizuri kwa kweli
@thebenzclassic19056 жыл бұрын
Nilisubiria mtangazaji aulize next question😁😁Ila chid benz unaongea iasee
@matthewjohn51086 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 eti Mr Nice alikua kama pencil daaah! 😂😂😂😂
@twinrappers25435 жыл бұрын
chidi nakukubali tokea zamani bro,,,,uliosema yote ni kweli manake umeweka wazi hakuna kuogopa ......hip hop true bro
@IYANIZZO6 жыл бұрын
wasafi festival ikisha konki atarudi kushikwa matako 😀😀😀😀🙈🙈🙈🙈
@oscarkaluwa69086 жыл бұрын
Chid Benz...is so conscious....hamna mwanamuziki wa Tanzania, ambae anamfikia kwa kujeleza hata kwa nukta...
@ligmmohd81126 жыл бұрын
Dah haki nimecheka sana, eti Mungu kama alisahau kuwaadhibu unamkumbusha awaadhibu,dah wew chid noma sana!
@fahadfahmy6 жыл бұрын
nimkumbushe tu chidi Allah halali wala hasahau.
@ligmmohd81126 жыл бұрын
Fahad10 hahaha wew unafikiri kuna mtu hapo, hamna mtu hpo, wala hilo jalijuwi na wala hatak kujiuliza, kama Mungu angekuwa anasahau bas watu, wangeuwa, wangeiba, wangefany vitu vyao kwa siri san, hivyo huyu jamaa hajitambui!
@emmyyahya83586 жыл бұрын
Wallah nikimsikiliza chid na enjoy sna
@nicholausmbilinyi35876 жыл бұрын
hahahaha..mwenzio anaumia lakini ujue..haha
@abdulazizabdallah62976 жыл бұрын
Hehee wafurai na leap
@bazilaugustino39436 жыл бұрын
Dah sijawai kukoment lakini uyujamaaa kaongeaaaaa point mpaka nimelia alie muelewa kama mimi like
@husseinkulumbiza88946 жыл бұрын
MJOMBA ETI MUNGU ALIKUWA AMEWASAHAU . KUWAPA KHAZABU ... Dudu baya Anamkumbusha Mungu. ( Muombe Mungu Akusamehe Ulimi Umekuteleza SEMA InshaAllah). Vijana tufanye Kazi kwa Bidii za Alali Mungu Atazibariki InshaAllah.
@johnjulias66125 жыл бұрын
one love benz umeongea kweli bro
@juniorralph88896 жыл бұрын
Huyu jamaa alifwetu kitambo,bangi na unga ni mbaya kweli,interview nzima amejiongelesha.....Kenya tunampa saport Konki!,Konki!,Konki!!!! Master
@freddymello32275 жыл бұрын
Dar es salaam stand up!!!!kama unamwelewa Chiddy wa kitaa.
@fostereliphasjr7966 жыл бұрын
Respect chiddi ... CHUMA CHA RELI
@zainabumtubwi2636 жыл бұрын
Omba Kazi kaka yangu.waliotangulia mungu awasamehe
@Dantaata6 жыл бұрын
Chidi binadamu tunakosea nawe ulikosea,, lakini bado unamawazo na akili nyingi... Fact fact fact x 99,999,999 + 1 .... Asee keep it up japo huna pesa mungu atakuongoza. Kataaa madawa... Chid benz machine..
@muganzababingwa24346 жыл бұрын
Kuusu mistari dudubaya ni mchanga sanaaa kwa chid Benz
@daudodulu80805 жыл бұрын
Tumepoteza msanii mzuriiii sanaaa ila daimondiii rudishaaa nyota ya uyuu jamaaa badoo tunampendaaa
@officialj.dollatz44605 жыл бұрын
Hakuna interview niliyo ielewa kama hii respect my brother
@coolmom73296 жыл бұрын
Pole mwaya Mungu akulipe
@fredreckmwakalinga34756 жыл бұрын
Huyu jamaa kichwa sana anapoint anapendeza kuwa mkuu WA mkoa wa Dar
@edsonndogoro31886 жыл бұрын
Fredreck Mwakalinga cyo mkoa wa dar! Anafaa kuwa mkoa wa Tukuyu huko kwenu.
@sponsalfaThedjalfani6 жыл бұрын
😂😂😂
@lusajomwakalinga13746 жыл бұрын
Fredreck Mwakalinga hee mkuu wa mkoa
@lusajomwakalinga13746 жыл бұрын
Edson Ndogoro acha dharau dogo
@samohboy99376 жыл бұрын
Fredreck Mwakalinga Duh
@favourspapatv6 жыл бұрын
Chidi inawezekana akawa anazungumza bila kutua lakini ukimsikiliza vizuri ana ukweli.
@mbarakasaidi82433 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 oya chid funga geti dudu baya asiingie dar
@mussayusuphu54366 жыл бұрын
Atari chidy me nakupenda bule
@nelsonerasto72416 жыл бұрын
Asee we ni mkali sana
@ismailyusuph7406 жыл бұрын
...Tulia ww kibichwa NDOANO....!....Mateja Ndio mlivyo Mnaongea sana...!
@musisahumbi22486 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mwanaume na anajua kujieleza
@omarimohamed27026 жыл бұрын
chid ni msanii pekee ambaye atafanya interview hata masaa 3 bila ya kubonga... yuko poa sana gonga like km umeipenda
@greyfive_tzt38616 жыл бұрын
Nimemuelewa chid big up
@yasrisuleiman63886 жыл бұрын
Mdomo km Sonia😀😀😀
@hamisihassan90186 жыл бұрын
Wewe ongea maisha yako wachana na konki konki konki Master wivu mbaya.
@stephenemganga36046 жыл бұрын
Chidi amekua Bonge la komediam akina duryvan, jmond joti wakasome ..nmechka sana
@kelvindagine95715 жыл бұрын
Aseh upo kama mimi hahahahahahahahahahahahaga eti aijui maana ya konk
@ايفرلينكينيا6 жыл бұрын
Wewe top drugs naumujuwe mugu
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Wowo nimependa 😂😂😂😂dudu Hana malinda mpaka mkojo duuu
@yanayojirimitaaniTV5 жыл бұрын
DUDU BAYA YUPO PABAYA. ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV. UONE NA USIKILIZE
@demungamsenga22506 жыл бұрын
Dudu bayA acha ukorofi na wasanii chid b ameongeya live
@angelmichellengowi62676 жыл бұрын
dah big up man
@mohammedally51856 жыл бұрын
King kong chuma.. Ilala mabegani..
@merrimerri7996 жыл бұрын
Mohammed Ally chuma hakili unga Bro
@abdulsamadabdulkheir16526 жыл бұрын
Huyu ndio chidi Benz yani anaongea kweli na kiakili
@allyyussufshuwari45086 жыл бұрын
Safi sanna monster say lati unge juwa unge tambua sab7 mwenyw na..
@josephgodfrey97826 жыл бұрын
Big up sana broo chidy...
@poschasbae95116 жыл бұрын
Kweli kabisa uwezi kumuongelea mtu ambaye alishakufa kwa mabaya dudu baya alitakiwa kuwaombea dua na siyo kuwasema kwa ubaya kuvuta unga siyo tija kuna watu wana mambo mabaya katika jamii zetu au zaoo lakini pia aina neno lakini watu huishi nao (usijari chid Benz kuna watu hufanya mabaya lakini pia uchukuliwa mifano kwa mabaya yao wew ni bora mbele za Allah na popote ulipo nae yupo anakuangalia wakati wako waja
@emanueljtluway12656 жыл бұрын
Nicr
@tausimwambujule16426 жыл бұрын
The man is till good. Tuzidi kumuombea Chidy wa watu, na tujiombee na sisi Mungu atuepushe
@abdullahrashid62976 жыл бұрын
Tausi Mwambujule Amiin in shaa Allah dah inasikitisha Sana Allah atampa nguvu arudi Kama zamani
@kassimhashi40926 жыл бұрын
God bless u chidi
@georgeesamwesongo18026 жыл бұрын
Mungu amkomboe kiumbe chidi......hapo hapo anakula ugolo
@notifrenk88616 жыл бұрын
umetisha Sana boy
@danieljohn38366 жыл бұрын
Chid Benz wewe ni kichwa hip hop hakuna wa kukufananisha
@aishaoman11596 жыл бұрын
Kabisa kaka akuna wanao mfikia chidbenzi ata mmoja namuombea kwa hallah uruditena kwenye gem mungu yupo pamojanawe uckate tama chidbenzi 🙏🙏🙏
@ifgodsayyes.nobodycansayno17966 жыл бұрын
UME CHAPA NDIPO
@allymahmoud99515 жыл бұрын
Chid boy upo juu unatishaaaaaaaaaaaa!
@allymahmoud99515 жыл бұрын
Ndiyo chid banz kuomba kazi c kosa
@bonifacebwiremateko91426 жыл бұрын
Gonga like kama umemskia huyo mtangazaji boya akisema kitu "kinakuinspirate" 😁😁 Sijui ndo kitendo gani hicho
@jacksonhonest37025 жыл бұрын
Fala uyu
@slayingtee60444 жыл бұрын
😂😂😂😂
@yusuphyohana85166 жыл бұрын
Jaman tupendane husda hiyo
@jaypili78376 жыл бұрын
huyo ndio chid bhana noma mzee wakaz
@saidmsabaha10776 жыл бұрын
you have spoke the truth
@kabehoalex28176 жыл бұрын
Tulikupenda sana bro ila bangi imekupenda zaidi😃
@alphasystemcurtstv4245 жыл бұрын
Jamaa swala tano saana
@aisharamadhan52575 жыл бұрын
Tobaaa jamani watu walikua wanamtumia chid kwa maslai yao sanaa dahhh,,, inauma sanaa yn hd jux kamtumia bila kumlipa jomoniii hawana utuu inasikitisha sana 😭😭
@jamessilwamba28626 жыл бұрын
Bangiiiiiii sio nzuri kwani upo dar halafu unakula madawa inakusaidia nini hii mambo ya kusema mi wa dar inatuharibu sana ukienda mikoni watu wanafanya kazi tunabaki kusema sisi wa dar huku tunakaa vijiweni na kula bangi na madawa
@emmyyahya83586 жыл бұрын
Mdomo kama sinia Tena 😂😂😂 kiukwel dudu hana nyimbo nzur zaid yaile tentemete
@denisabel71184 жыл бұрын
Chidy chuma chaugoko nakubali sana
@innocentandrew4014 жыл бұрын
Chd the gang
@abubakarmajata67146 жыл бұрын
Acha bange ww mungu hana sifa ya kusahau
@vonostus6 жыл бұрын
Bangi mbaya sana anajibu swali ambalo hajaulizwa, maelezo ya kilevi tu. Haya madawa dah yanaharibu vijana.