Рет қаралды 7,543
Rais Donald Trump amesema Marekani haitatoa misaada zaidi kwa Afghanistan hadi pale itakaporegesha zana za kivita zilizoachwa nchini humo na jeshi la nchi yake. Marekani inakadiriwa kuacha vifaa vya kivita vya thamani ya dola bilioni 7 huku baadhi ya vifaa hivyo vilivyosalia vikiuzwakwenye soko la rejareja mjini Kabul na kuwavutia wapiganaji wa Taliban katika eneo hilo.
#afghanistan #donaldtrump #bbcswahili #bbcswahilileo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili