Trump: Marekani itaidhibiti Gaza

  Рет қаралды 5,518

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Rais wa Marekani Donald Trump amezungumzia mpango wake wa Marekani 'kuudhibiti mji wa Gaza', katika kile ambacho kingekuwa mabadiliko makubwa zaidi katika sera ya Marekani kuelekea Mashariki ya Kati katika kipindi cha miongo kadhaa. Akihutubia mkutano wa wanahabari, akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Trump alisema anaamini eneo lote la Gaza linafaa kujengwa upya, na Wapalestina wapelekwe sehemu nyingine.

Пікірлер: 22
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 5 күн бұрын
Canada, Jimbo la 51, Greenland jimbo,52, mexico Jimbo la 53, Israel Jimbo la 54, panama 55, Gaza Jimbo 56, tutaonana mengi ☹️☹️☹️
@HashimMkunda
@HashimMkunda 5 күн бұрын
Wendawazimu wamekutana
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 күн бұрын
Msiwe na hofu waislamu Sisii tuna muumba wa ulimwengu Ambaye halali,hasinsii,wala hachoki Na atawanusuru waislamu pale wanapokuwa dhalili Naye ni allah Hataweza myahudi
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 5 күн бұрын
Kwani waparestina wote ni waislamu, madrasa zinawafinya akili, ktk waparestina 2,400,000/ watakuwepo wakristo 300,000, hiyo sio vita ya dini, bali ni vita ya maslahi, Russia, anapola ardhi ya wakristo wenzake huko Ukraine, nayo ni vita ya DINI? Hebu fungukeni akili yenu enyi wafia dini, mtapata thwawabu isiyo stahili.
@khloevibe7569
@khloevibe7569 5 күн бұрын
ulivokua huna akili unazan hii ni vita ya dini
@Williamstozzo
@Williamstozzo 5 күн бұрын
BBC ,, CNN, AL JAZEERA.. ant netanyahu& Trump
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 5 күн бұрын
Sisi haya tuliyatarajia,, Israel walitumika tu kuwadhoofisha Gaza 😢, ila Wallwahi billahi Gaza wote labda wawaue wote tu.
@hamuzaelias211
@hamuzaelias211 5 күн бұрын
Na wapenda sana bbc
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 5 күн бұрын
Hio ni uongo wanataka kuiba ardhi... Magaidi ni wao Israel, US, ENGLAND, Germany, Spain na France... Free Palestine 🇵🇸
@JumaMussa-x9i
@JumaMussa-x9i 5 күн бұрын
Ikiwa kashindwa kuudhibiti Moto wa Los Angeles ,vipi ataidhibiti Gaza kwa kutaka kufanya mauaji ya watoto wasio na hatua.
@abuusirlehsirleh
@abuusirlehsirleh 5 күн бұрын
Huto weza kamwe
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 5 күн бұрын
Dalili za Mwisho wa Marekani 🇺🇸 unakaribia........
@SuleimanmabroukJuma
@SuleimanmabroukJuma 5 күн бұрын
Mbona mnachelewa kupost habari hii habari ilishatoka Ina siku now
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 5 күн бұрын
Safi sana trampo
@IbrahimBinbenya
@IbrahimBinbenya 5 күн бұрын
Huyu mwehu
@blues4life633
@blues4life633 5 күн бұрын
Hilo chambuz lakidni hamna kitu hapo
@roypeters9829
@roypeters9829 5 күн бұрын
Huyo rabi ni mdini tu..hana jipya katika uchambuzi
@abuusirlehsirleh
@abuusirlehsirleh 5 күн бұрын
Mshamba mkubwa wewe kichwa maji😢
@RidhwanFakihaji
@RidhwanFakihaji 5 күн бұрын
Mwenye jipya ni mamako kafiri mkubwa ww.
@khloevibe7569
@khloevibe7569 5 күн бұрын
ww na Allah wote makuma
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 5 күн бұрын
viva trump, wanavosemaga eti GALILAYA na JERUSALEM eti ni miji ya waarabu mimi ua nashangaa,, watu hata historia awasomi?
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 5 күн бұрын
Sawa kafiri
Trump asema atainunua Gaza, katika Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 19 М.
[TERKINI] A.S mahu ambil alih Gaza, apa kesannya?
24:44
Astro AWANI
Рет қаралды 74 М.
New Colour Match Puzzle Challenge With Squid Game 2 - Incredibox Sprunki
00:30
vampire being clumsy💀
00:26
Endless Love
Рет қаралды 31 МЛН
The perfect snowball 😳❄️ (via @vidough/TT)
00:31
SportsNation
Рет қаралды 77 МЛН
Trump: Marekani itaidhibiti Gaza  DiraTV Jumatano 05/02/2025
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 29 М.
Trump plan for Gaza condemned by international community
20:07
Channel 4 News
Рет қаралды 211 М.
EXCLUSIVE!! KIONGOZI WA M23 ATAJA SABABU KUIVAMIA CONGO, ATOA MWELEKEO
10:40
TAZAMA HOTUBA YA TRUMP KWA KISWAHILI, ATANGAZA JINSIA MBILI TU MAREKANI
19:23
Rais Trump ataka Marekani ichukue udhibiti wa Gaza
3:03
VOA Swahili
Рет қаралды 1 М.
New Colour Match Puzzle Challenge With Squid Game 2 - Incredibox Sprunki
00:30