Mungu awalawaze mahalipema peponi hii wiimbo unanikumbusha nilipofitiniwa kazini namtu kazi ilamungi amsamehe hajajua maisha naitwa baba saumu
@yassinmbonde96402 жыл бұрын
Japo mm nikijana mdogo ila awa wazee mungu awapunguzie adhabu ya kabuli napenda sana nyimbo zao zinaujumbe kwenye jamin yetu
@issahabunu197 Жыл бұрын
Tall mzee wa matofaliii😅😅😅
@victorfocus78822 жыл бұрын
Jaman Old is Gold tuliochagua maisha ya kuajiliwa huu wimbo lazma ukuingie nausikiliza November 2022
@egnokinunda45392 жыл бұрын
Kabisa aise
@ismailmohamedi1845 Жыл бұрын
Nataka chuma Kori moto msonso ngoma
@rashidmaulid73128 ай бұрын
Msondo ngoma wakiendeleza mwendelezo wao wa burudanj
@dicksonlukanga14272 жыл бұрын
bonge moja la nyimbo ujumbe tosha
@BrownBethuely3 ай бұрын
Ujumbe huu waenga waliutuma kikamilifu hutoa mafuzo yaakina!!
@swalehesaid922811 ай бұрын
Kweli mko vizuri wazee wetu
@alistairelias5368 жыл бұрын
Hii lineup ya msondo ngoma ndo naipenda kuliko zote... TX, Gurumo, Jumbe, Regesu...Hatari sana aisee. Waliofariki watangulie mbele za hakil.
@zennahussein6227 Жыл бұрын
Mungu awape kauri thabiti
@websterkinte827010 жыл бұрын
Nashukuru uamisho wangu umenipuzia maadui,niko Lindi nachapakazi majungu na masifulia yenu yote ni buree(Ditopile)....Kunta...Kinte
@JaphetNgongomi5 ай бұрын
Katika tusiteane ubaya juu ujumbe unafaa waimbaji ujumbe
@emmanuelchota90406 жыл бұрын
mungu awalaze pema peponi kwani mmeondoka na music wenu
@johnasngairo35733 жыл бұрын
Msondo ndio bend Bora yenye ujumbe wenye mafundisho
@yohanamsabila46535 жыл бұрын
Dah,,Mungu awalaze pema peponi ninyi ndio waimbaji original
@joelnassari1057 жыл бұрын
Msondo Ngoma baba ya Music waliutendea haki muziki wa dans. ..R.I.P TX MOSHI WILLIAM NA WOTE WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI TUNAWAOMBEA KWA MWENYENZI MUNGU AWAPOKEE NA AZIDI KUZIFARIJI FAMILIA ZENU
@danielnella63096 жыл бұрын
Hii ndo ilikuwa dream team, namwona ngurumo, TX, Kalama,maina, Jumbe, Mn'gande. Huu wimbo umeficha ujumbe mujarabu sana.....
@selemanisalimu83772 жыл бұрын
miamba hiii daah
@mariammnongo21492 жыл бұрын
Hiii nyimbo ntaiweka staff siku nnayohama
@SamwelKulwa-j5q27 күн бұрын
pumuzikeni Kwa aman
@fredricketabale93774 жыл бұрын
Tujibiidishe kutenda mema na kuwa na moyo wa huruma kwa wanyonge
@petrokalinga3193 жыл бұрын
Naungana na wewe pamoja na wapenzi wa mziki Dan's
@nicholausmasawe82745 жыл бұрын
nawakubali Sana msondongoma baba yamuziki
@webstersinje77129 ай бұрын
Wazee wetu walikuwa wanatunga kwa hisia yaani kwa kifupi walimaanisha wanachokiimba....Kunta...Kinte.
@mudrickmbuyu32634 жыл бұрын
Wimbo umejaa mafunzo kwa jamii
@vafomotto47265 жыл бұрын
ujumbe mjarabu sana huge
@SimoniMamboАй бұрын
Awa watu walikuwa wanatunga vitu vinavyo tokea nakumbuka nilivyo fitiniwa kazin n wafanyakazi wenzagu ila nilisha wasamehe wote