East African Melody Modern Taarab - Zoa Zoa (Official Video)
Пікірлер: 726
@AmiriKiluwasha10 ай бұрын
Inanikumbusha miaka ile ya manzoni mwa 2000.inanikumbusha hastle za maisha uswahili na dada yetu RAISHA ( Mama Zulfa) Allah ampumzishe mahala peponi .ameen
@BRIANMO-kp1ht11 күн бұрын
walikuwa wavaa vizuri sana kwenye taarab lakini siku hizi dada zetu eti lazima wawe Uch ndo watambe
@Kaka_Rambo7 ай бұрын
Wale wenzangu tunaosonga nayo 2024 tupite hapa
@MwajumaMbwesso12 күн бұрын
Nan anasikiliza taarabu hii 2025 gonga like hapo😋😋😋😋
@AbigaelNdiga10 күн бұрын
Nipo 😊
@IreneMuthoni-og5sq6 ай бұрын
Nani anasikiliza agosti 2024 🔥🔥🔥
@Issanuru83o4 ай бұрын
Nimekumbk kipnd hicho tv 1 mnajZan balaaa
@philipkipchumba24732 ай бұрын
Niko apa
@yassmineiteriteka22012 жыл бұрын
wapenda taraabu kama Mimi Wanao skiliza 2023 tujuane jmn🤗😘😘
@abrahamkwemoi9179 Жыл бұрын
Big up here in Kenya Nairobi ❤
@ndayambajefikirini7252 Жыл бұрын
Bado yupo hai huyumama??
@muhibuchaka5880 Жыл бұрын
Naskiliza kwa siku Mara nyingi sana
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤😊😊😊
@alishally6197 Жыл бұрын
Ndni ya gulf naburudika
@MustafaAbdikadir-e2q Жыл бұрын
2024 still on 🔥
@fauziashabibu14672 жыл бұрын
Hii taarab inanikumbusha mbali sana kwenye harusi ikipigwa mimi siku hiyo siend nyumbani nalala apo apo harusin nawapenda sana walio imba
@sisnabchannel52942 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@MWIGAADAM-r3e Жыл бұрын
Walikuwa ni wenyefuraha na mapenzi baina yao❤❤❤
@emamuharamain45523 жыл бұрын
Nasikiliza nikiwa Qatar lakini nimemisi kwetu tanga🇹🇿❤❤
@OmanOman-ep7bw3 жыл бұрын
Jaman unashuuli gan nitafutie ajira na mm uko
@elickmelichadeskodoelickme52502 жыл бұрын
❤️🧡
@KitomangaMpango9 ай бұрын
Njoo mala moja kuinjoy afu utalud tena uko
@masawerichard13678 ай бұрын
Mimi wa korogwe
@mohammedganyuma34457 ай бұрын
Samahani, Kuja twende , kumbe udugu 😢
@samwelimigera6500 Жыл бұрын
2024 inabamba 😂 😂
@Aisha-f2g10 ай бұрын
Weuweeee Ala!Ala!Ala!❤ tamu sana
@nyabisemaro88854 жыл бұрын
Mashallah Bi Sabaha salum Kapendeza na Nguo yake Nyeupe Nani kaona Kupendeza kwake Gonga like tuwe sambamba
@saiddotto85845 ай бұрын
Sabaha salum mchachu mzuri sana uyo mama
@sanurakhery504911 ай бұрын
2024 anyone there???🥰 my favorite taarabu
@ibrahimabbdallah196610 ай бұрын
Nipoo
@mwanamgambosalim73839 ай бұрын
Tupo
@saudaamohammed87439 ай бұрын
Nipo
@rosemasawe49738 ай бұрын
Weuweee
@Waterfallmobigos8 ай бұрын
Nipooo😅
@abdikadirmohamedmahat42055 жыл бұрын
Nasikiza nikiwa Sudan kusini.Wasanii waimbe hivi ama waachane kuimba. Mungu awabariki East African Melody... I love you!
@josephatomuodo47032 жыл бұрын
This song will never grow old...it's 2022 and still fresh. Jitangaze gazetini,jitangaze redioni..mwishowe vichochoroni😂😂 Ni mwanamke gani ameziea kombaini
@IsaakChuwa-z7v11 ай бұрын
Kweli swahili ogg
@bossbaby57224 жыл бұрын
Taarabu zamani sai ni fujo tu wapi zoa zoa weuweeee💃🏽💃🏽
@khanniebaraka15153 жыл бұрын
Sahii ni singeli
@masawerichard1367 Жыл бұрын
2024 still the best Taarab of all times🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@nellyambani6456 Жыл бұрын
Old is gold ❤❤ bado hii taarabu inajipa 1/11/2023
@AbigaelNdiga10 күн бұрын
Hii taarab ni tamu kweli 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 hakika muziki wa taarab ni wa kuburudisha 😊😊😊, asante Africha Entertainment 😊😊😊😊😊😊mbarikiwe sana na Raubana 😊😊
@benjaminmukeku484910 ай бұрын
I just like Taarabu . Following from Nairobi,Kenya.
@ismaeljussub82313 жыл бұрын
I AM FROM MOZAMBIQUE AFRICA MY NAME IS ISMAEL JUSSUB I LIKE TOUMUCH THIS MUSIC AND SWAILLI LUNGUAGE GOD BLEES ALL
@KitomangaMpango9 ай бұрын
Shap malume to gathre
@KitomangaMpango9 ай бұрын
Kitambo sana tupo milenism bar mbagala langi 3 iyo
@nganzimwaliza81914 жыл бұрын
Moja ya nyimbo bora kuwahi kutokea katika ardhi hii ya Tanzania
@carolobanda30993 жыл бұрын
These are kenyans
@leylahbillah48763 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@hamzarashid97054 ай бұрын
@@carolobanda3099sabaha Salum, mosi Suleiman kumbe ni wakenya?😂
@babuayubu62153 ай бұрын
Raha bila karaha wallahi bila maslahi,Taib! Wimbo wenye mahadhi na mvuto kweli kweli
@MaridadiFlex15 күн бұрын
As a young child growing up in primary school in Kampala Uganda, I found little appeal in the Tarab songs that often graced East African TV. The videos felt like a drag, and the songs themselves stretched on far too long for my impatient taste. At the time, I was a staunch fan of Bongo Flavour and the electrifying pulse of modern hip-hop. My aunt, however, was captivated by these songs, and their repetitive presence was a constant soundtrack in our home. Fast forward to today, and I find myself drawn to those same melodies, my appreciation deepening with age. It’s almost as though the music has found its way into my soul at just the right moment. I guess age has a way of shifting our perspectives, making us fall in love with what we once resisted. 😂😂😂
@AbigaelNdiga10 күн бұрын
So true 😊
@MudyAmini9 ай бұрын
Mashallah mungu awaweke na awape mnacho staili sio kwa Raha hii
@MariamMiraji-rb9hr6 ай бұрын
Wale wa 2024 mmeiona hiyo buku😜
@oscarobura36863 жыл бұрын
Taarab zoa zoa is still trending even in this century..tuliza boli uwanja mdogo,,it relaxes my mind
@LameckJacksoni2 ай бұрын
God bless you all people listen this taarabu from Tanzania
@subzma1958 Жыл бұрын
I started listening to taarab since I was 6yrs old thanks to my parents especially my dad. I know this song word by word even the music beats 😂❤
@Random_guy_salim Жыл бұрын
You just explained my life😭😂😂😂
@malvinshangala81362 жыл бұрын
This generation will never understand this, in loving memory of mum I still miss you RIP.
@RuisFidely-b6j4 ай бұрын
Panga pangua,bandika bandu,nyakua nyakua si wakwangu Mimi.
@neemachengula7175 жыл бұрын
Nyakua nyakua si kwa wangu mm,2020 gonga like
@loveleasamson79523 жыл бұрын
Nomaa sana
@ishaanelliot51093 жыл бұрын
You prolly dont care but if you guys are bored like me during the covid times you can stream all of the latest series on InstaFlixxer. Have been streaming with my brother for the last days :)
@korbyncamilo47893 жыл бұрын
@Ishaan Elliot Yea, I've been watching on instaflixxer for years myself =)
@abdizuberi855210 ай бұрын
I like this,tells those who think -all that glitters is Gold.
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
Jamani Wenye namba za hawa watuuu Awapee Salaaam Zanguuu nawapenda sana hakuna kundi kama hill kwangu ndio best
@judydickens83053 жыл бұрын
Am in Germany and really enjoying listening to this song anytime love swahili ❤️❤️❤️❤️unashuka nnapanda😂😂😂
@errydeo88653 жыл бұрын
Am in UK,MY FAV tune...siishibi hii nyimbo..wen am sad,i just whack it on loudly,i dong give a toss to majirani,watajiju...lol
@umimohamed65623 жыл бұрын
Who asked about germany🙄🙄🙄
@marit14marit143 жыл бұрын
NOMA SANA🤣🤣🤣
@missmwayway47042 жыл бұрын
@@umimohamed6562 😅😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@juniormgema25243 жыл бұрын
jisong pambe hii ebu tujaribu kuishere tena maana mpaka nimekosa usingizi👌👌👌 jisong zuri sana limpate mchambaji wa masham sham😂😂😂
@revocatusrenatus8256 Жыл бұрын
Kula chuma hicho taarab yangu pendwa hii wanaoisiliza 2023 like hapa
@zuberylimo22814 жыл бұрын
Nilisikiliza hinyimbo nikiwa Angola nilihielewa pamoja wabongo wezangu mnazozikubali hizi Nyimbo
@Mr.Stingy2 жыл бұрын
2022 it is still a hit, I was chatting with Swahili friends and we spoke about the culture and for sure this is 🔥🔥 Kiswahili kidumu milele na milele 💯👊🏽❤️
@luluhassan68672 жыл бұрын
💃💃
@hussennzwalla2 жыл бұрын
@@luluhassan6867 y
@Pio8594 Жыл бұрын
@@luluhassan6867 Hey Ma'am.
@emanuelmakuto1442 Жыл бұрын
V
@Mohamednzige Жыл бұрын
@@hussennzwalla 1 my
@hayatisameer23394 жыл бұрын
To all new taarab singers of nowadays please we dont need any remix of the old songs let them be as they were because hamjui kuimba
@RioIpo4 жыл бұрын
Hahaha Wallah
@osfantasticossohumor57022 жыл бұрын
Linda música 🌺🌺🌺💗
@farajbeden77869 ай бұрын
Exactly! You're absolutely right ✅️
@Rugarabam Жыл бұрын
This song carries a lot of memories, and as old as it is, still hits 👌 2023
@elizahdaudi90202 жыл бұрын
Zamani taarab ziliimbwa siti sawa hivi hazina ujumbe
@CollyBendera-jz3btАй бұрын
Jamani tarabu za zamanii ndioo tarabuu yanii pambee sana 😊❤
@robinmomanyi50522 ай бұрын
Yafurahisha roho hii taarab!
@senetamtangazaji29012 жыл бұрын
Missed this time when they were no Alshabab Corona corruption😭😭😭😭
@phineruge34805 жыл бұрын
Tabasam lako, Sauti yako, Nesa nesa yako, Daaaaah kweli Uko moja Niko Kenda!! Penda sn Taarabu za miaka hiyo sio sasa hivo, Miaka hiyo wakaa mbele ya Tv Wazazi na Watoto mwaangalia ila kwa sasa huwezi kaa kutokana na Uchezaji
@ShafiiYusouf Жыл бұрын
hee mwanaid weeeh unanikosha kwa sauti yako ila hii mlitubania kwenye kucheza video yake kama mnaogopa niachieni👏👏👏👏👏👏👏
@zurichzurichmketema62242 жыл бұрын
Dah kweli vyakale Ni dhahabu kwa Sasa tutavipata WAP huyu mwimbaji nampenda mno anaimba vzr sana Tena Sana kama bado unatizama 2022 gonga like twende sawa ❤️❤️🔥🔥🔥💯
@walusunguzimba77394 жыл бұрын
She is as beautiful as her voice, I like the melody and angelic voice. We are here 2020 from Zambia chinsali muchinga province
@ibrahimshukri34782 жыл бұрын
Your comment is great. Mutual feeling. From Somali Corner, Eastleigh, Nairobi Kenya.
@gladysmwende-gz8vt Жыл бұрын
Bwanae kidosho kweli😊
@karimilucah27023 жыл бұрын
Love this music.Ukingi si Gogo,Umechina,kunipiku buku,zoa zos heeeeeeee.....
@paulngowi64763 жыл бұрын
Still a hit, all the way frm kenya, more love to east Africa Taarab u remimd me much of my aunt in dar, and Zanzibar
@aliabeid51226 жыл бұрын
Hao ndio walikuwa waimbaji taarab
@hildakazige4437 Жыл бұрын
Humpati huyooo utasota sana 😄duu nilikuwa mdogo kabisa lkn hadi Leo wimbo mtamu balaa, jamani taarabu za aina hii zilienda wapi
@elianabenjamin844418 күн бұрын
Taarab ukiwa na pesa kidogo unahisi kukua tajiri
@FideliceLubuva10 ай бұрын
Bonge ya taarabu inabamba cyo vitu vya zamani hatari mno
@AzizaChikawe5 ай бұрын
Old is gold 🪙
@azamsportsport1315 жыл бұрын
Daaah hapo sasa nakumbuka harusin kama haijasikika ZOAZOA hapo DJ haelewek
@bintseif9372 жыл бұрын
Nasikiliza nikiwa Oman 2022 Still enjoying this song after all these years Taarab at its best
@joelmallat27532 жыл бұрын
How is Iman
@benardesikuri78633 жыл бұрын
Kazi nzuri iliyo pangwa ikapangika...
@bushgeorge3507 жыл бұрын
Nazipenda nyimbo hizi sana,yanituliza roho sana nikiwa n fikira
Taarab my favorite song,old is gold,yani haishi utamu hata kama umezeka.
@hassanmpwepwe38263 жыл бұрын
Mashallah mwanaid shabani ulikuwa unajua mpaka unakela nipo umu ndani may 12 2021 mambo ya pwani hayo sio mchezo naona mafundi wa taarab wote mpo umu sio mchezo
@salimramadhani6984 Жыл бұрын
Nasikiliza nikiwa madina 2023 penda sana mama mwanaidi shaban
@jamesmwangi40206 жыл бұрын
East African melody mko juu sana kwa sauti.
@JoanExplores3 жыл бұрын
Taarab lovers 🥰 come for a group selfie here
@emmanuelsimpamba62362 жыл бұрын
I'm in Zambia I like Swahili taraab
@Fatushimbegaz7 ай бұрын
Naskiliza nikiwa gulf Riyadh inanifanya nijione km niko home wallah ❤❤❤❤❤❤
@modestamodesta39404 ай бұрын
Hehhehe kwa taarifa yko humpati huyu hehehe wang mm tuuu mm napewa 1ooooo
@gribartemmanuel35615 жыл бұрын
Wanao sikiliza 2020 tujuane
@joelruto58894 жыл бұрын
Bmmqha
@rahimaaaaa56824 жыл бұрын
P1
@abdyysarai32694 жыл бұрын
Mashallah dada
@mugemanshurojdead42574 жыл бұрын
Mimi naishi nchini Rwanda . Kazi yangu no kuwafundisha wanafunzi kiswahili .
@innocentproctor59122 жыл бұрын
@@joelruto5889 oyof so iiu so i so yo you mrs even ya y y me y y
@sophiafaith4750 Жыл бұрын
I like the taarabu l grew in Mombasa , born and school.. you see what l mean.. am Old now but l love taarabu. I love the words , the beats. They calm my spirit ,
@daudkhatib-qn5tr10 ай бұрын
Sister mwanaidi huwaa chiiii sijuwii umeupigaje apoo❤❤❤❤❤ youre song too😂😂😂❤❤❤
@johnkirigwi40503 жыл бұрын
Huu mziki naupnda kweli kweli, Wana Melody hoiye, mko. Juu.💪
@blacksheep41593 ай бұрын
Nasikiliza nikiwa Kigoma kwetu Kenya ❤❤🎉
@ErcherSiwingwa9 ай бұрын
Naenjoy sanaa❤❤❤❤
@munaisa5850 Жыл бұрын
WeWeeeeeee👍👍👍👍❤❤❤Lete raha dada lalalalalalala
@ismaeljussub82313 жыл бұрын
EXCELENT GOOD MUSIC ILIKE INSTRUMENTAL GOD BLESS YOUR AND ALL TANZANIAN
@LeghudaleghudaLeghudaleghuda10 ай бұрын
kitambo sanaaa nikikumbuka tuna toroka usku kwenda disko yani dunia 🙏🙏🙏
@wamukoyaderrick3 ай бұрын
Taarab ya asili yake ✅✅
@RamadhanShaban-m6m3 ай бұрын
Inanikumbusha mbali sanaa
@milkamugomo86047 жыл бұрын
East african melody mulienda wapi hizi ndo tarabu raa tupu zoa zoa wangu nilimuachia 1 mm niko kenda kwa raha zangu nikiwa dammam saudia
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
Wapoooo ila wale waliokuwaa Wanatoa Burudani Kina Mwanaidi Shaaabani ,Sabaha Salum. Afua Suleimani,Ashura Majaaliwa, Mwanahawa Ally,Mossy Suleimani, Khadija yusuph Mariamu Wenyewe naona Wamestaafu toka watoe ile nyimbo ya PAKACHA ,MLANGO WA MUNGU UWAZI,NA PAKA MAPEPE NA NIEPUSHE MIAKA 2007 MPAKA 2008 CJAWAONA TENA
@pamanyango89174 жыл бұрын
Nimwanake gani umezoea combining, noma hiyo
@fatmaalley41356 жыл бұрын
Hizi aina za Taarab tunazimic sana 2018 hawatotokea waimbaji kama nyie Mashairi mazuri nyimbo hazichuji daima❤❤❤
@kassimumangingita40105 жыл бұрын
Fatma Alley Mk
@nasrahaji21975 жыл бұрын
Swadakta 👌
@FideliceLubuva10 ай бұрын
Inakonga nyonyo huchoki kusikiliza
@rachaelngina91615 ай бұрын
Nasikiza 2024 at New York, I miss home 😢
@jumannerajabu63243 жыл бұрын
dah kitambo sana nakumbuka turikua tuna sikiliza kwenye radio mkurima
@Rugarabam6 жыл бұрын
Hapooooo Enzi za mzunguko na Vidole vitatu juu, ....unashuka ninapandaaaaaa...2019
@amm5905 жыл бұрын
Swadakta wape really 😍😍😘😘
@jalalaamimu75745 жыл бұрын
@@amm590 d
@hassanali48385 жыл бұрын
STEVE NDAULA hapo ni kabla ya kuj mchina na mkorogo wake,rangi zao original ni hizi hapa sasa.
@saidmuasajamuhuri46414 жыл бұрын
Zilipendwa jamn tam. Miaka hii maqonjwa kibao mara korona , ukweli hatuna raha
@sekkelajoel21994 жыл бұрын
Wajipelekesha,wajiangaisha,utajichokesha dada umechina 😂😂maneno pambe hayo
@princesssalmahtz45316 жыл бұрын
Nyimbo za zamn nzuri Sanaa 😍😍😍😍😘😘😘2019
@sleechico91304 жыл бұрын
Kabisa
@fadhilamohamed41293 жыл бұрын
Naenjoy na hii taarabu mpaka julai ya 2021 bado inasonga
@zawadisaidy7555 жыл бұрын
Nyimbo za zamani ziko pow sana nazikubali sana tuuuu
@fundicheupe17575 жыл бұрын
Amina Saidy mambo vipi mrembo
@mohammedmkomi90877 жыл бұрын
Kama umemuona Sabaha Salum na mwenzie Jokha Kasimu... gonga like
@fauramadhani5327 жыл бұрын
Mohammed Mkomi
@ayshakijiti72856 жыл бұрын
sijaona jokha hayupo
@abdihuseni1246 жыл бұрын
Song la ukweli
@karimuhamisi84446 жыл бұрын
fimboyambari
@georgeopara48795 жыл бұрын
Hatali
@Cydist232 жыл бұрын
Listening to to this track from Uk and it’s just pretty awesome.
@hamzazimbwe13275 жыл бұрын
Enzi hizo taarab ni taarabu haswaaa
@samsonkaboko51372 жыл бұрын
Nani Bado Yuko huko 2022 November, Maana visokorokwinyo kama nawaona mnavyohaha, kazi kugombanisha Watu na Bado hawaachani, hahaha mumechina, 👌👌👌👌👌👌
@vitusmedard81896 жыл бұрын
Daaah mziki ulikua zamani aseee vizuriiii
@pamanyango89174 жыл бұрын
Sana tena sana
@allyhassan5085 Жыл бұрын
Still banger in 2024
@al-khairat635 жыл бұрын
Si kwa wangu mie hahhahhah tupeeee rahaaa
@RaseduOfficial11 күн бұрын
Majabu ya musa 🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪kuna mwana mziki anaitwa Ras Edu miziki zake kali kali sana 🇰🇪🇰🇪
@mugemanshurojdead42574 жыл бұрын
Wimbo huu unavutia Sana!
@fridaabuu27904 жыл бұрын
Waliosikiliza hii nyimbo mwaka 2000 mpaka Leo 2020 tujuane jaman