Woooow kichuna kisio kwisha utamu....kiko na masongoni.
@ibrahimmuleli Жыл бұрын
Mie sie gumegume ila dume, tangia miaka ya tisini hadija kopa na muziki wake moto sana 👍👍👍
@erickiriinya8342 жыл бұрын
Vile Khadijah anajisifu hapa... Wah!!
@olatv7306 жыл бұрын
Khadija Kopa, silali mpaka nisikize nyimbo zako...hii ndiyo kwanzo inanitia mori zaidiiiiii! kwanza whenever i drive home....mombasa...kutoka nairobi......napandisha vioo vya gari na kupokea utamu kwa loudspeakers...barabara nyweeee. Ntafurahi kukuona siku moja!
Sijui mipaka zilitoka wapi?Mbona Wana East Africa wasiungane?Nchi iwe moja tu.Otherwise Zanzibar siondoki ng'o,nikiondoka naenda zangu Tanga ama Mombasa 🎶🎵🎶🇰🇪🇹🇿🇺🇬 one love 2021,June
@suwedimussa66353 жыл бұрын
Atuogopi kitu macho kwa macho macho kwa macho macho mama yake na zuchu penda San uyu mama kopa 2020 nani anaangalia like please
@sakinaabdallah77132 жыл бұрын
Zuchu ni mtoto wako but bado akona kazi kuweza kukufikia top in town dada khadija is only you
@wycliffemomanyi30312 жыл бұрын
Wimbo mkali Sana. Ndio ringtone yangu for a loooong time. Kutoka Kisauni Mombasa, nasema tamuuuuuuu
@liliankerubo1489 Жыл бұрын
Niambie jina la hii taraab song ,ni Kali Sana
@BanuliKirunda-sq1sc11 ай бұрын
@@liliankerubo1489 uzuli was mwanamke in kujamni,, uzuli was ndege no manyowa take!!!! @ banuli kirunda at JINJA Uganda
@BanuliKirunda-sq1sc11 ай бұрын
Uzuli was mwanamke ni kujaamini,,, uzuli wa ndege ni manyowa yake see style of dancing
@vivianongaga57953 жыл бұрын
I always love this song.kweli ni queen of taarabu.naomba siku moja aje apige show mombasa
@sherifaali72683 жыл бұрын
Hatutaki Kenya ni adui wa Tanzania tunakaa mbali na maadui zetu
@joanwairimu68192 жыл бұрын
@@sherifaali7268 🤔🤔🤔🥴🥴
@shafiirashid7374 Жыл бұрын
Sitakimashaka
@aishasaid382910 ай бұрын
Wapenzi wa taarabu haai hoooi....2023 still enjoying this great master piece
@muleiignatius8065 жыл бұрын
Khadija wanimaliza Sana na huu wimbo wa top in town hakika nasikia utamu kweli .
@bonnybonny83374 жыл бұрын
2020,2021,2023 Wakenya tupo hapa.
@delriolosmatadoros35379 ай бұрын
2024,2025,2026
@thomasmkongo44373 жыл бұрын
wapi likes za 2021
@juniorborbo6 жыл бұрын
Kila nikijaribu kusikiliza taarab za Tanzania huwa mashikio yangu nasikia makelele tu ,llakini mashallah nyimbo za huyu mama Khadija Kopa huwa zinanijaza sana. Si kwa ubaya lakini waimbaji wengine wajifunze mbwe mbwe kwa huyu mama. Huyu ndiye anaye tumbuiz roho yangu kwa TZ taraab. Nakupenda sana.
@rizikirajab27506 жыл бұрын
Mohammad Wallad +254705040885 nicht maa khadija kopa nazimia kwa hii nyimbo walaih
@viviankrembokarembo8224 жыл бұрын
Kweli
@filomenakomba27204 жыл бұрын
Xikuwez mama mipasho
@faridafadhili17263 жыл бұрын
Jaman mama angu bi Khadija mashallah nyimbo zako hazichuj wallah kila siku nazirudia
@sakinaabd58988 жыл бұрын
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu, he he hey sigombei mwanamme nikajitia mashaka shii unamrusha roho unanini we msaka,bibi ikiwanimekuachia, ujuwe nimemchoka, na kama mstaarabu juwa kuwa nisingebanduka, wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhika heko mama mtazania
@rosetenga43337 жыл бұрын
mwanamke kujiamini
@excellentdavis41192 жыл бұрын
Nani ako hapa baada ya kujua Khadija ni mamake Zuchu
@lucygiks7812 Жыл бұрын
one of the biggest queen of mipasho big respect mamake zuchu
who is still listening this song @July-2020* Tujuane tafadhali.. *sasa nawapa wosia, kina Dada msikie*
@sakinaabd58987 жыл бұрын
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu maneno kibao dadaangu KOPA wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhikaa, hiyo ni kali sanaaaa
@hamisimwasahani82328 жыл бұрын
Hata mm nawaona Umewatoa Nishaii Mashaallah _ _!!! Kama sii Ww Nani Mwengine !!???
@user-vo8mo5en4u8 ай бұрын
2023 anyone
@victoriashiko717210 ай бұрын
Kenya’s 🇰🇪💗 mean ??? I love this Mimi napenda utu It smean I love humanity 👏🏽🙏🏽💗👌🏽👍🏾
@TheKaramanidАй бұрын
Still the best taarab song iliosimama imara mpaka sasa 2025 🔥🔥🔥 Khadija Kopa 👑 The Swahili Golden Voice
@estherachiengomina5459 Жыл бұрын
Ending 2022 in style with this song....... much love Khadija ♥️♥️♥️
@anthonyonuti8473 Жыл бұрын
Esther uko wapi tule Ice cream....
@estherachiengomina5459 Жыл бұрын
@@anthonyonuti8473 njoo Nairobi lakini uje Na popcorns maanake huku baridi hairuhusu ice cream 👌
@pisi_kalii37212 жыл бұрын
nimekoshewa mfedha mfedha mie.....mabo yangu hamtoyaweza mie ... tena na chenji ikabaki miee...🎶🎶😍
@oyugibetty5911 ай бұрын
Zuchu brought me here...she sings exactly like her mamma❤❤
@judyjidena37683 жыл бұрын
Mtoto wa kidonge Niko gado 2021
@hellenmaganga397911 ай бұрын
Can't stop listening to this song😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@user-sx2vp2qr2p20 күн бұрын
❤❤❤❤ Wana wa dar tujuane
@maryammaram26125 жыл бұрын
Mamaa wa B unit nipo gado nipo fit 👊👊👊❤❤❤
@sakinaabd58987 жыл бұрын
heheya maman wa kitanzania bado niko uwanjani nimezaliwa kikwajuni but nimesimama imara wala simdharau mtu hiyo ni khulka yangu mimi napenda utu sweet wa kizanzibar na bado ninaitwa queen mimi ni top in town tena ninagawawisha tena nimewacha gumzo comoros na merekani heko mama mtanzania
You are always beauty kopa Mungu atuengezee umri ndugu yangu pasi duplicate ma . P. D . G hupiga saluti kopa ununikosha bado ninaitwa queene
@ashuramohamed78832 жыл бұрын
2222 still my favourite song🔥
@priscillavalerian797811 сағат бұрын
Still the queen 👑🔥
@abigaelogonji12374 жыл бұрын
2020 wapi like zake Kopa from Kenya
@khaldaabubakar33703 жыл бұрын
Weweee 2021 from kisauni mambo ngaingai mjini akili........
@sakinaabd58989 жыл бұрын
Dada Khadija kopa makauli na nyimbo poa Mungu akuweke hai uzidi kutufurahisha japo tuko mbali na nyumbani lakini roho zetu ziko pamoja na nyie raha tele
@kababy1kababy5837 жыл бұрын
Sakina ABD iko juu sana
@tomtomilee2714 Жыл бұрын
I will live loving this song my mam could not spend a day without........ ❤❤❤❤
@victoriashiko717210 ай бұрын
2023 and more 20250 ect 🪐We. Love you mama Africans 💓💞🪐🌍⭐️🌟🪐💫🌙
@halfanihassan60796 жыл бұрын
Jamani huyu Dada nampenda kwamajimbo yake
@rosemubaya79505 жыл бұрын
My mother use to play this song day .she passed away this song makes miss my mother
@haneyrashidy54813 жыл бұрын
Sory
@ramadhansalim28043 жыл бұрын
sorry
@ibrahimmuigai7703 жыл бұрын
May she rest in peace...ameen!!
@jayblack43133 жыл бұрын
Pole sana stay strong may Allah bless our mother's