Uko na akili ingine ama n hii enye umetumia kucomment hapa😂😂😂😂 next time sikza story mwanzo
@sonniemsooh76137 күн бұрын
Ni mimi tu siwezagi kucheza wanaume au😢😢Gaaaaiii that's why madem tunauliwa kama 🐕 🐶 💔😳
@Peninamsuko7 күн бұрын
Huyu boy no 2 Anakaa muuaji 😮😮😮😮
@jacintankatha41726 күн бұрын
Woiye na venye kijana wawenyewe amebambika eti dame yake anatoka majuu😢
@virginiawaeni26628 күн бұрын
Huyu atauwawa, watch your phase baby girl
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
Very true
@Ashinagaltoto78768 күн бұрын
Weuh... woooie until anatruckiwa Ur finished gal naaaa
@shikusteve8 күн бұрын
I really feel for this guy with dread woiyee but huyu mwingine atauua huyu dem aki God mtu anauza shop akupeleke majuu na malipo ni haya pole young man🫂
@DaianaMakangai7 күн бұрын
Tamaaaa n mbaya😂😂😂😂 huyu dem achunge xana 😔😔😔 na mungu amfunike na damu yake juu kesho yake tuko tunao vipande kwa gunia hii nayo n noma xana 😢😢😢😢
@PatriciaNdunge-q4r7 күн бұрын
Another day to remind you men ,,,Acheni ujinga . Ety unauza shop juu ya dem 😮
@NicIbrahim8 күн бұрын
But huyi demu atakuja kulia because the left men with a vision
@mumblessed0018 күн бұрын
Woiyee boychild kuna shida 😢 bro don't try kitakuramba tu better u hustle mungu atakufugulia njia plz
@Emilymama2boys6 күн бұрын
Uyu mm aisha yake iko mikononi mwa uyu mwenye black mandevu wadada mkipendwa achaneni na wa online sasa uyu ataenda kulimwa na auliwe 😢🙌wacha nimpende yule maskini wangu najua mungu siku atatufungulia na ss tuonekane cz hakuna mwanaume anakojoa 🪙
@Nyabokenaomy-4458 күн бұрын
Hivi ndivyo wasichana wanawawa😢😢😢 mungu wangu saidia wasichana wezangu
@deborakadhengi57718 күн бұрын
Hivi ndivyo mademu hukufa tui juu ya mijulus aki
@PurityLove-g9b8 күн бұрын
Kidogo nifanane n huyu dem but i thank God nilijicontrol n nikamak decision mapema mungu nisaidie hiyo shetan irud tena i love my broke man 😂😂
@RafhaelMutha8 күн бұрын
Forgive but don't forget 💯💯brothers will get it 💯
@dolphinemouya381316 сағат бұрын
I usually say that i can forgive but i can’t forget
@charitywangeci48468 күн бұрын
Woooiye hii mapenzi aki bona ww msichana ufanyaie ule mwingine Ivo Mungu akuone
@xhjcgcj40588 күн бұрын
Kitamramba
@LucyKipkemei-g7x8 күн бұрын
Huyu mzee wa kofia anafanana na boss mchawi
@KadzoKatana-ot3zs8 күн бұрын
This guy anakaaa dreaka nimlev gai huyu msichana ajiangalie sana😢😢😢
@Roz-m2z8 күн бұрын
Watukama hawa ndio wanataka kurogwa
@Mwaminiomar8 күн бұрын
Watu wanajiingiza kwa shida ki ukweli💔💔
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
😢😢😮for real
@DoreenNa-e6p7 күн бұрын
Uyo dem atakufa tena mchana tumeona wengi kama upendi mtoto ya mtu wachana na yeye kuliko kumfanyia hii yote thats not good sijapenda 😢
@loreenmwambinguloreen7373Күн бұрын
Uyu mschana wachana na uyo kijanaa mdogo, wakenya mwaiga wazungu
@maggieshi6907 күн бұрын
Huyu dem amechanganyikiwa
@maggieshi6907 күн бұрын
You two men should not argue with this lady jitoeni mtakuliwa mshangae or mwisho muuane what for
@SoziSozi20208 күн бұрын
Eti pesa ya 2 years hajai lipwa ooh my GOD 😂😂😂😂😂hapa ichelewe hata siku tano hakuna kufanya kazi baby girl watu sio wajiga 😂😂😂
@jojoWayekho98648 күн бұрын
Aky , mm hata cku Moja 🤔 kunalipuka
@FaithNjeri-e4e7 күн бұрын
Hadi siku ni refu bana😂😂😂
@MaryWavinya-u1l16 сағат бұрын
Huyu boy wa ma dred baana n malaya pia 😅😅😅😂😂
@AnnKimotho-v8j8 күн бұрын
Huyu kijana kwani ni wazimu,,?? Eti pesa ya 2 years hajai lipwa😂😂😂😂😂,,, wooie
@Ashinagaltoto78768 күн бұрын
Aty alitumiwa only 20k twice....oooh my goodness 😢😢😢😢😢..kijana ya wenyewe akiteseka
@SurprisedBirdBath-qh2nn8 күн бұрын
Hivi ndinyo matiti inakatwa inaeda kuuzwa jamani😊
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
Umesahau kidney 😂😂
@aminahassanali11908 күн бұрын
😂😂😂
@lailinekiptoo267 күн бұрын
Woiye sad 😢😢😢boy mwenywe alijinyima mpk anabaki na katululu😮😮😮
@nancyn57788 күн бұрын
Thekiu nyaaaa...maringo kibao
@gateteroger36737 күн бұрын
Apreal you are meant to be a star...keep going 🎉 😊😊 dont trust women so much😅
@SmilingHopscotch-du3ld6 күн бұрын
Wasichana wanakufa namna hii tu
@TerezaNjoki7 күн бұрын
Waiting for part 2 juu uyu ni malaya
@nancyn57788 күн бұрын
I hate when this creatures start using f word like they have no sense
@PurityKerubo-k7m8 күн бұрын
God have mercy on all girls juu weeuuh everyday is bhanga after bhanga
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
😢😢nkubaya
@PurityKerubo-k7m8 күн бұрын
@mohaclassicfamily ladies are becoming too much aki acha nihustle
@ValentineMukanda8 күн бұрын
Dem ajui anataka nini
@maryngatia23628 күн бұрын
Mrembo uko na ufara Wacha ujinga
@userkemmy8 күн бұрын
😂😂😂😂 wanaume wawili watu si mko na mwili wa kuvhafuliwa😢 lkn huyu wa online simuoni akiwa mzuri
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
😂😂😂sema ukutoke tu
@MwakaKombo-h7r7 күн бұрын
Huyu ata auliwe sina shida 😂😂😂😂😂
@melisasiema-wp3ff14 сағат бұрын
😂😂😂
@PaulineNduta-i5y8 күн бұрын
Aki wooie 😅😅😅😅
@omanoman2044Күн бұрын
Et niliuza shop yangu nikampa pesa mungu wangu
@user-ph6mz9qc8z8 күн бұрын
Uyu dem awache ujinga aende nyumbani bure hawa wanaume mmoja atamuua vile kanajifanya kierehere
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
Akona nguvu😂😂
@Roz-m2z8 күн бұрын
Ndugu utachezewa
@JoyceLuvagsКүн бұрын
Huyu dame akipatikana kwa gunia tudishangae
@nancyn57788 күн бұрын
Woiye the rapper statutes kazi ingine
@JosephineBiyaki-t4o8 күн бұрын
Moh unahag poa sana😊😊
@christinemoranga75987 күн бұрын
So painful indeed 💔 😢 wanawake surely 😢😢😢😂
@MamrF-v9v8 күн бұрын
Muschana utakufa vibaya wew😂😂
@KELVINBRANDK7 күн бұрын
100peoples mnipitie niwapitie right now unasema uko number ngapí
@SarahMuthoni-b9q8 күн бұрын
A cheater will always be a cheater 😢
@Norah-s9f8 күн бұрын
😂😂😂😂usanii tena
@beatricebrownie8 күн бұрын
Wanawakni ,,Kuna sponyo na Beb 😂😂
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
😂😂😂seriously
@beatricebrownie8 күн бұрын
@mohaclassicfamily hiyo ndio life kwa ground moha .. Kwa ground lazima sponyo na Beb 😂😂😂
@AnnKimotho-v8j7 күн бұрын
Huyu dem hajui Kiswahili
@Roz-m2z8 күн бұрын
Ndugu mkule wewe pia
@asiminasimin6537 күн бұрын
Mmmh huyu msichana nng'ombe hajui anataka nn
@PaulineNduta-i5y8 күн бұрын
Huyu mwanaume mkubwa anaka ako na ujinga
@JESCAMUHANJI7 күн бұрын
Ivi ndo wanajitakia kifo
@AliceNjeru-os1yb8 күн бұрын
Wah aki siku izi n video moto moto😂😂😂
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
Kabsaaa
@AliceNjeru-os1yb8 күн бұрын
@@mohaclassicfamily good job 👍 bro
@NofelaJaco7 күн бұрын
Moha umenimbamba mbaya😂
@zipporahmujiti54358 күн бұрын
Msiba wa kujitakia hauna kilio
@AgnesKemuma-wo8lo8 күн бұрын
Aki ivi ndio mauwaji inaingilia
@FaithNjeri-e4e7 күн бұрын
True
@BRENDAMOGAMBI-b4q8 күн бұрын
Hii ni mapenzi inafanya huyu kijana amekua jizi 😂😂😂😂
@FaiChemu7 күн бұрын
Waiting for part 2 😎
@stacymutua74018 күн бұрын
Men surely why take care of woman who is not your wife. Its not your responsibility to educate a woman .. it's her parents. Boy child stop being misused. You can only take care of a woman when you marry her.
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
But you help knowing will help back
@FaisalAlota8 күн бұрын
Moha kuna nini?
@RuthMenge8 күн бұрын
hivi ndivyo watu uuliwa
@MaryWangui-xd2di8 күн бұрын
Imagine 😢
@MamrF-v9v8 күн бұрын
Party 2 twasubiri😂😂😂
@Mego-s4s7 күн бұрын
Kazi ipo
@FaisalAlota8 күн бұрын
Yooh down town
@esthermuyoka8 күн бұрын
Sia karembo ata
@nancyn57788 күн бұрын
This girl is a bad girl and if she don't watch out...she will be in big trouble
@TerezaNjoki7 күн бұрын
Wats happening here
@jessicakasandikasandi39786 күн бұрын
Weeeh hii ni kali
@AnnKimotho-v8j7 күн бұрын
Tuletee vitu mature please
@EvrenNajoko-h1x8 күн бұрын
Yaani mtu akipata bridge ya kumfukisha ng'ambo ingine anasahau kwenye ametoka.....Ogopa dota of Jezebel 😅😅😅😅
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
Fear women 😂😂😂
@blessing-7w8 күн бұрын
Huyu dem hata hajielewi😂😂😂 mtakufa vibaya
@NicIbrahim8 күн бұрын
2025 mens server a lot
@Emmaemily-cj5bz8 күн бұрын
😂😂😂😂
@DivinaDivina-j4r8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mohaclassicfamily8 күн бұрын
😂😂💔
@EverlyneMwanthi-i6w3 күн бұрын
Aki jamani mbn huyu dem alifanyia kijana hivyo?zsio poa hata mbele xa mungu