Baba kakobe nikikuona ivi kwenye picha ..nakukumbuka ukiwa ktk kuhubiri injili pale Iringa mjini mwaka 1995 ivi ,,,nikiwa Drs la saba..ktk pitapita maeneo hayo nilikuta Bango kubwa barabarani leny maandishi .... Z Ka kobe ..kiboko Cha majini..nikashawishiwa kuja mkutanoni Ili nimuone muhubiri huyo ambaye hayaogopi majini..matokeo yk nikakutana na Yesu huko.
@BidolaLuhindi-nl3ib Жыл бұрын
Asante Mtumishi kwa neno lenye uzima.Mungu azidi kukutumia.
@FlavianaNoel-c4j Жыл бұрын
Amina baba
@UpendoIssaya11 күн бұрын
Barikiwa sana
@mwalimubennysanga1637 Жыл бұрын
Wewe ndie mwalimu wangu na ndie ulienibatiza mwaka 2000 BWANA akutunze
@davidmwatonoka197311 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu ili wengi waokolewe .Tunangoja vitabu kwa hamu kubwa Amina 4:38
@kitwanajohn8237 Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa baba kakobe
@jeancharles7154 Жыл бұрын
Brikiwa saana mtumishi wa Mungu mkuu
@NyumbaniHabariMedia Жыл бұрын
Amen 🙏
@selakangao22792 жыл бұрын
Kazi Yako njema baba kakobe kwa mafundisho yk yny NEEMA Nyingi..na yenye kututia Nuru
@RobatiKilima Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@nenolauzima5281 Жыл бұрын
Where is our precious Man of God?
@NyumbaniHabariMedia Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rnKYcpppqpyakNU
@cheistinasepe6633 Жыл бұрын
Mungu akubariki amen
@bakwalufuantoine2 жыл бұрын
Mtumichi mungu a kubariki Niko n'a chida ombeya dada yangu eko n'a gojua n'a kancert mungu wako amu ponye katika njina la yezu amen.
@mercynadia31402 жыл бұрын
Amen and Amen
@gofreypilla5687 Жыл бұрын
Amen daddy
@brytonybrytonyblowsmlowe3092 жыл бұрын
Amina kwa some zur
@esnathakiba95532 жыл бұрын
Kila naposikia saut ako najisikia fahari San moyon mwangu