NANI NILIYEMDHURUMU : ASKOFU ZACHARY KAKOBE:

  Рет қаралды 9,162

Shujaa Benance

Shujaa Benance

Күн бұрын

Maisha ya mtumishi wa Mungu ni ya msingi sana kuyachunguza. Yesu akasema Mwanafunzi hampiti mwalimu wake ila akihitimu hulingana na mwalimu huyo. Luka 6;40 tena kiongozi akishindwa kwa upofu wake na kuingia shimoni mlio nyuma yake bila kujali mnaona au la, maadam mnaongozwa na huyo kipofu wote ni katika shimo la Jehanam ya moto Mathayo 15;14.
Usipuuze kwa chochote anachosemewa kiongozi wako kiroho. Fuatilia ukweli kuhusu hayo kisha chukua hatua. kama yana ukweli na hayafai kuwa kielelezo achana na kiongozi huyo ila kama ni kielelezo cha maisha ya usafi na utakatifu simama pamoja naye katika yote anayonenewa na mwisho utavuna pamoja naye.
fuatilia maisha ya Mtumishi huyu wa Mungu uone kisha chukua hatua. Mungu akubariki.

Пікірлер: 24
@medionndagijimana9183
@medionndagijimana9183 Ай бұрын
Askofu kakobe mimi nakuombea MUNGU Akupe Maisha malefu wewe uko pekeyako unae hubiri injili takatifu ya namna hiii barikiwa sana
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 5 ай бұрын
Kakobe Ni moja ya watumishi wanao hubiri injili ya uzima wa milele. Ni Narda Sana kupata watumishi wa namna hii kwa nyakati tulizo nazo
@lilliannyangela7227
@lilliannyangela7227 2 ай бұрын
Ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu
@amanipaulo9695
@amanipaulo9695 2 ай бұрын
Hili somo lina ujumbe mzito sana na kuna kitu kikubwa cha kujifunza.
@gofreypilla5687
@gofreypilla5687 6 ай бұрын
Asante YESU kwasababu Neno hili limeyamulika maisha yangu
@alcherausmalinzi2736
@alcherausmalinzi2736 6 жыл бұрын
Asante Yesu kwa ajili ya Mtumishi wako Bish.Kakobe.
@lubambilubambi8681
@lubambilubambi8681 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Shujaa, somo hili nimelitafuta miaka mingi sana. Sina cha kukulipa ila Mungu mwenyewe atakulipa 🙏🙏
@mlokozijohn2668
@mlokozijohn2668 7 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa kumleta mtumishi wako asie na faida Askofu Kakobe,endelea kumpa mafunuo tena na tena nyakati hizi za mwisho
@oqtiraula1814
@oqtiraula1814 2 жыл бұрын
BWANA YESU NIONGEZEE IMANI NIWE SHUJAA KATIKATI YA UKENGEUFU
@williamsunday-yg2bz
@williamsunday-yg2bz 9 ай бұрын
Nipo mbali na FGBF lakini naikumbuka sana hii huduma! Nidhamu ya kiwango cha juu sana! Mungu azidi kuiinua
@nakinjakinja2163
@nakinjakinja2163 6 жыл бұрын
Mutumishi wa Mungu kwakweli una ujasiri wa ajabu ubarikiwe sana kwa neema ya kuishi utakatifu Bwana ukuneemishe mwisho muzuri kuliko mwanzo na omba na mimi musaada wa maombi ili ningiye mbinguni
@michaelnhende8505
@michaelnhende8505 6 жыл бұрын
asante Yesu kwa kutupenda hata kutuletea mtumishi wako ambaye anatupa kuijua kweli
@DickisonKione-hu5uy
@DickisonKione-hu5uy Жыл бұрын
Kumbe mimi sipesho Mungu akubaliki kwa kunifundisha baba
@user-ph8es2dn3y
@user-ph8es2dn3y 8 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Babangu wa KIROHO
@lutamyo
@lutamyo 7 жыл бұрын
It is a blessing to have such a strong and realistic preacher of gospel at our era.
@user-tp8of4ij6v
@user-tp8of4ij6v 6 ай бұрын
Asante kwa neno jema
@geraldnombo4349
@geraldnombo4349 8 ай бұрын
God bless you
@nicolasnkembo4997
@nicolasnkembo4997 11 ай бұрын
Kweli neno la MUNG ni tamu sana
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Жыл бұрын
HUYU MCHUNGAJI PAMOJA NA KUHUBIR HUA ANA MANENO YA BUSARA SANA NAKUWAFUNGUA WATU AKILI WASITAPELIWE
@_elkd
@_elkd 7 жыл бұрын
May the Lord help us...
@machozimtambala1299
@machozimtambala1299 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@josephvuri3750
@josephvuri3750 6 жыл бұрын
ni mtu jasiri
@user-fz5ot9bk5x
@user-fz5ot9bk5x 8 ай бұрын
Somo ikawa mwisho wa mwaka
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd Жыл бұрын
Fgbf sifa yenu nidham jamani nimetembea makanisa mengi sijaona km fgbf.
SOMO: DHIKI KUBWA INAYOKUJA- Askofu Zachary Kakobe
59:15
Hallelujah Entertainment
Рет қаралды 24 М.
MKRISTO KAMA, MPITAJI NA MSAFIRI DUNIANI_ASK ZACHARY KAKOBE
58:21
Live Testimony TV
Рет қаралды 1,1 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 14 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
ASKOFU KAKOBE AKIHUBIRI - "HATA Uwe BILIONEA UTAKUFA Tu"
57:11
Global TV Online
Рет қаралды 19 М.
AGANO LA DAMU Part 1 -Zachary Kakobe
56:32
Nyumbani Habari Media
Рет қаралды 9 М.
HUKUMU KWA MUHUBIRI NI KUBWA ZAIDI: ASKOFU ZACHARY KAKOBE
5:41
Michael warioba
Рет қаралды 686
PASIPO UTAKATIFU HAIWEZEKANI | ASK ZACHARY KAKOBE
56:26
Live Testimony TV
Рет қаралды 1,1 М.
KUZALIWA  MARA YA PILI
40:36
Shujaa Benance
Рет қаралды 1,1 М.
MAOMBI YA NYAKATI ZA MWISHO_ASK ZACHARY KAKOBE
1:00:25
Live Testimony TV
Рет қаралды 618
Askofu Zachary __kakobe Kuelea kwa  chuma cha shoka
16:46
ShadrackHaonga
Рет қаралды 6 М.
KIPIMO KIKUU CHA UTAKATIFU_ASK ZACHARY KAKOBE
2:37:44
Live Testimony TV
Рет қаралды 1,3 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН