1. Kuishi maisha yenye matokeo katika ufalme wa Mungu. Utumishi kwa Mungu una-guarantee maisha yenye afya ya kiungu (Kut23:25) 2. Neno la Mungu ni dawa (Mithali 4:20-22) (Zab 107:20) (Ebrania 4:12) When everything fails,I shall hold onto the Word of God. 3.Meza ya Bwana Yoh 6:47-51 1Kor 11:23-26 Meza yake ni chakula cha miujiza. I am what I eat. Meza ya Bwana iwe sehemu ya utaratibu wa nyumba yangu, familia yangu. 4. Tumia chakula kama sehemu ya uponyaji. (Kut23:25) Mungu akibariki chakula na maji hakuna dhara linaloweza kuingia kwa mwili wangu. Thank God before an after meal. Geuza meza ya chakula kuwa meza ya uponyaji. 5. Jifunze kuamini nguvu ya maombi ya watakatifu wenzako.