Hubarikiwe kwa mafundisho mtumishi wa Bwana wetu yesu kristo
@rosepeter89963 жыл бұрын
nimecheka nikabarikiwa,....😂😂😂barikiwa sana mchungaji.🙏
@jamelaega27793 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho nimejifunza nashukuru
@nicokakoyo15836 жыл бұрын
Nakuelewa San pastor, Mungu akubariki sana
@EmmanuelMwakibinga Жыл бұрын
Bwana akutunze kazi yako ni njema
@feyndungu55676 жыл бұрын
Amen .pastor penda ww sana barikiwa.nkiwa saudia Arabia
@davidmmbaga33506 жыл бұрын
Fey Ndung'u Asante
@giselekasigwa4885 Жыл бұрын
Mungu aku bariki sana Pastor
@HAPPYJOHN-n2b Жыл бұрын
Mchungaji mungu azidi kukutumia uzidi kutujenga katika Imani zetu
@MamaMchaga8 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@EvaNyondo Жыл бұрын
Baba mungu amekuita na ww umeitika kweli 2napona san
@japhetmarcobarnet42124 жыл бұрын
Amina nabarikiwa sana
@fidesedward32375 жыл бұрын
Amina mtumish nimejifunza jins ya kukaa kwenye ndoa
@MarieMUTABAZI Жыл бұрын
Asante kwa fundisho
@lilianeerica331810 ай бұрын
Amen😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@sarahwawuda76386 жыл бұрын
Asante kwa somo hilo nimejifunza
@johnmnonjela98095 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@dianalee18113 жыл бұрын
Barikiwa sana poster hila naitaji mAfunzo mengi katika mausiano
@eustina0 Жыл бұрын
Aminaa Mungu akubariki sana
@paskaziafabiani37525 жыл бұрын
Pastor ukweli najifunza mengi sana japo sio mwanandoa namini KBS nikishikasha ingia kwenye ndoa nitakuwa vizur neema ya mungu iniongoze nipate mime mwema anae mjua kirsto ndo ombi langu kila siku mungu akubariki kwa somo zuri
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Amina sana
@carolinenakirutimana1559 Жыл бұрын
Mimi nazani wanaume hawajiti kwa maneno wano yasema. Kwani akikwambia neno vunja kicwe kwa mkeo hangekua analudiliya mala mingi bila kujirekebisha
@agnessevarist4996 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa mtumishi
@Brkjove7 ай бұрын
Past nabarikiwa dana na mafundisho haya
@HildaHildasamwely-ph3lt Жыл бұрын
Glory to God
@ersterhudson48525 жыл бұрын
Mung akubark umekua ukitubarik na Mungu akupatie maixh maref ili uzidi kutu barik
@janejoseph90094 жыл бұрын
🤣🤣🤣dah unajua kutunyoosha
@juliusstephen57536 жыл бұрын
Amen,hili somo nimelielewa.
@jeikary8767 Жыл бұрын
Tangu niwe nafuatilia maubiri yako mambo yangu yanaenda vyema sana ubarikiwe
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@magrethmzava65416 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀itanyesha kweli
@albertinemacimu12476 жыл бұрын
Ubarikiwe sana na walewooote waliohudhuria.
@solomonimkwere4986 жыл бұрын
Albertine Macimu hayiii
@josephsirikwa2004 жыл бұрын
😆😆😆😆 anatibua tu somo lina evaporate
@esterkessy38776 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na afya njema
@nickfranck50045 жыл бұрын
Somo zuri sana barikiwa pastor
@magrethmzava65416 жыл бұрын
napunga mkono japo kwa mbali😀😀😀😀😀😀
@davidmmbaga33506 жыл бұрын
Magreth Mzava Hahahah
@judithcherono25956 жыл бұрын
Amen barikiwa pastor
@cooperty89963 жыл бұрын
i know im asking the wrong place but does any of you know a way to get back into an Instagram account?? I stupidly forgot my login password. I would appreciate any help you can offer me
@troykhalil42703 жыл бұрын
@Cooper Ty Instablaster :)
@cooperty89963 жыл бұрын
@Troy Khalil thanks for your reply. I got to the site through google and im waiting for the hacking stuff atm. Takes a while so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@cooperty89963 жыл бұрын
@Troy Khalil it worked and I finally got access to my account again. I am so happy! Thanks so much, you saved my account :D
@troykhalil42703 жыл бұрын
@Cooper Ty glad I could help =)
@magrethmzava65416 жыл бұрын
Nakuombea sana pastor Mungu akutie nguvu zaid na zaidi,na uifikie ile mede ya thawabu.
@neemamussa56304 жыл бұрын
Mchungaji ubalikiwe sana,Mimi ninashida kwenye maombi napenda ila ninakuwa shida ya kukata tamaa
@ziadasamwel4403 жыл бұрын
Asante postor
@atinaminzani13726 жыл бұрын
Amina sana
@graceelenest48325 жыл бұрын
MUNGU Hawe nawe daima kwa mafundisho yako mazuri
@gloriatoo223 жыл бұрын
Asante mchungaji
@lutemahindiakaje50466 жыл бұрын
Amen
@zaitunmeshak41476 жыл бұрын
sijawai kusikiliza mahubr yk nikatoka kama nilivyo ingia
@makaramayatibamrmichaelkih36834 жыл бұрын
Asante baba
@barackjohn53473 жыл бұрын
Nabalikiwa na mafundisho
@janejoseph90095 жыл бұрын
amen mtumishi
@atupakisyekyando8903 жыл бұрын
Amina..
@babitabita113 жыл бұрын
Amen 🙏
@jonasmauwa39345 жыл бұрын
Mjungaji ninashinda ya mahobi kwajina nahitwa mauwa jonas
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
ubarikiwi sana
@violetnyansiaboka28216 жыл бұрын
Amina
@GODisable75736 жыл бұрын
Somo zuri sana
@akinyisusan80496 жыл бұрын
Pastor unanijenga sana na mafunzo mazuri
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Amen
@elizaapendeki91535 жыл бұрын
Akinyi Susan ok
@josianeniyonkuru57962 жыл бұрын
mafunzo mazuri
@jacklinemoshi84875 жыл бұрын
Mchungaji Nina shida ya maombi,sijui upo kanisa lipi?