Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha - YAPENDEZA

  Рет қаралды 4,802

Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha

Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha

Күн бұрын

Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi.
Karibu sana katika wimbo huu wa YAPENDEZA. Unaongelea inavyopendeza watu tunapomshukuru Mungu wa mbinguni. Kwani yeye kila siku anatusaidia na kutuwezesha.
wimbo huu unatoka kwenye Biblia kitabu cha Kutoka 25: 4-10

Пікірлер: 11
@nicksonbrown9914
@nicksonbrown9914 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri, ujumbe nzuri ,muonekano wa mandhari na waimbaji ni wa kiwango Cha juu sana.Mbarikiwe sana
@user-wu8ul3ri7l
@user-wu8ul3ri7l Ай бұрын
Mbarikiwe sana nawapenda
@geofreyhongoa1740
@geofreyhongoa1740 Жыл бұрын
Mungu awainue utukufu hadi utukufu
@sarahfimbo5722
@sarahfimbo5722 Жыл бұрын
Amina sana.
@evamoses9419
@evamoses9419 Жыл бұрын
Amen Amen🙏
@eldaisrael3328
@eldaisrael3328 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@amanijoseph8481
@amanijoseph8481 Жыл бұрын
Hongera watumishi mungu awabariki
@abrahamcharles8895
@abrahamcharles8895 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana Agape Choir.
@mariamjacob906
@mariamjacob906 Жыл бұрын
Kazi njema sana wimbo unabariki sana. Inapendeza sana kumshukuru Mungu
@sarahfimbo5722
@sarahfimbo5722 Жыл бұрын
Baraka tele kwa Agape choir. Very nice song.
@getrudetillya1736
@getrudetillya1736 Жыл бұрын
Haleluyaaaaa... Glory to God!
Agape Choir EAGT Sinon, Arusha -  NDOA BORA
6:17
Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha
Рет қаралды 10 М.
AMANI CHOIR - TUMEKUSANYIKA MBELE ZAKO BWANA
6:02
SAYUNI EAGT CHURCH
Рет қаралды 1,8 М.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 22 МЛН
UPENDO CHOIR - BASI NINYI MSIHUKUMU (OFFICIAL VIDEO)
10:10
UPENDO CHOIR ST.JAMES ARUSHA OFFICIAL
Рет қаралды 18 М.
Amakuru yo ku mugoroba | Tariki 10.09.2024
28:57
RwandaTV
Рет қаралды 17 М.
MH JOKATE AKIIMBA PAMOJA NA KWAYA YA AIC CHANG'OMBE.
5:27
MADORA TV
Рет қаралды 9 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН
AGAPE KWAYA YAWAPONGEZA KWA KISHINDO WAIMBAJI WAKE WALIOFAULU KIDATO CHA NNE 2022
12:24
Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha
Рет қаралды 449
Vuka Yordani Choir -  Yapo Mengi (Official Video) HD
6:35
Vuka Yordani Choir
Рет қаралды 10 М.
Jicho la Tatu -  Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:54
Ukombozi Choir
Рет қаралды 1,1 МЛН
IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU
1:03:18
SAYUNI EAGT CHURCH
Рет қаралды 1,7 М.