Wee Bwana unatufumbua macho barikiwa sana from Nyanda za juu kusini.
@FlemingBarakaElizabeth10 ай бұрын
Asante Sana mungu akubariki
@ElikaeliasKapaya4 ай бұрын
Asante kwa maelezo mazuri,naomba kujua mfano hivo vitenge inakuwa piece ngapi maana naomba being kubwa kuliko huku kwetu.msaada pls
@anoldel-math23222 жыл бұрын
Thanks Francis. Good. But where do we put the postal address details.? How and what goes to where on the form that record those details.?
@AlbertMsemwa Жыл бұрын
Asante nampataje huyo Luben
@FlemingBarakaElizabeth10 ай бұрын
Mm shida yinakuwa kwenye post code ila master card nimetengeneza
@jakaonlinetv2 ай бұрын
Mbna rahisi kuadi post code
@mushafadhil92853 ай бұрын
Kk msaidie uyo rfk yko Ruben watu wengi nmeona wameomba no zake hat mm nazitaka ila km huzion comment
@ester2833 ай бұрын
Kuna mtu amemjibu huko chini kampa link ya group hilo la ruben nenda kaangalie mimi nimejoin pia
@saidimwanyiro51476 ай бұрын
Sanduku la posta kias gani kwa mwaka?
@isackibrahim-t7i Жыл бұрын
Samahani kaka nilikua nataka kujua. Ivi ni gharama gani wanakata pale posta. Nimeagiza graphic card ya laki tatu. Nilikua naomba namba tuzungumze
@TechAfrica Жыл бұрын
Bila samahani, gharama za posta kwa mzigo wowote wenye uzito chini ya nusu kilo utalipia $1, ila nashauri ufike tu posta watauelekeza kwani inawezekana kuna mabadiliko
@rommybiz724 ай бұрын
Posta kufanya nn tena...we unavo register hakikisha address yako iko sahihi...unaletewa mpaka ulipo
@calvinntinder37223 ай бұрын
Oyah kaka naomba msaada @@rommybiz72
@musamwibela1179 Жыл бұрын
Kaka nataka niagize baiskeli,,vip kwa kukadilia kodi ntakayolipa posta itakuwa sh ngp,,, baiskel ina kg 35
@hubertelisha5431Ай бұрын
Tunalipiaje mtandaoni
@davsaxandre8228 ай бұрын
Let say labda sina p.o.box nafany vp ili niagize mzigo unifikie?
@SifaeliBayyo4 ай бұрын
Mkuu naomba numbers za reben
@myfuraha936 Жыл бұрын
Unapatikana wapi? Au naomba mawasiliano ili unielekeze vizuri au kama kuna uwezekano nikuone ana kwa ana. Asante sana umeelewesha vizuri
@TechAfrica Жыл бұрын
Habari, asante. Naomba unitumie email kwa tekinafrica@gmail.com
@rebeccaluwumba6326 Жыл бұрын
Nipo dodoma je Kama bidhaa ikifika inaweza letwa kupitia posta mpaka dodoma mkuu???
@TechAfrica Жыл бұрын
Yes, inafika kwenye box adress yako ya Dodoma
@diamondjx2 жыл бұрын
Naomba unieleweshe, endapo nikiagiza bidhaa yang ikafika bandarini ni nani atakayeilipia kodi??
@TechAfrica10 ай бұрын
Bidhaa ndogo ndogo kuanzia dola 5 kushuka chini haulipii kodi lakini zile za kulipia utalipia zikifika posta kwenye ofisi ya customs
@sagen4868 Жыл бұрын
AliExpress, mbona kuna changamoto, minimepataaaa, nifanyeje asee, kabla sijasubscibe
@TechAfrica Жыл бұрын
Umepata changamoto gani mkuu?
@AntidiusAlfred-zq8td Жыл бұрын
Nipe no ya ruben
@hubertelisha54314 ай бұрын
Nipe namba zako
@hafidhmwadin71546 ай бұрын
Mimi nimelipia lakini sijaona oda yoyote na malipo tayari yamekamilika naomba msaada
@I_loved_him5 ай бұрын
Pole
@NaimaCreation2 жыл бұрын
unapofata posta unatozwa Kodi?
@TechAfrica2 жыл бұрын
Yes, kwa mzigo wowote chini ya nusu kilo ni sh 2300 au $1
@hamidmohammed78082 жыл бұрын
Mkuu vip hali m napenda kuuliz kama utatumia kadi ya bank je unahakikishaje u Salam wakadi yko kma hawez kukuibia hela zaid
@TechAfrica2 жыл бұрын
@@hamidmohammed7808 salama kabisa mkuu, sasa kama utaamua kutumia kadi ya benki basi ni muhimu ukaunganisha na app kama PayPal halafu utumie hiyo PayPal kufanya malipo na sio kuingiza namba za kadi kwenye website ya manunuzi
@hamidmohammed78082 жыл бұрын
@@TechAfrica OK shukran San mkuu sas iyo app ni ishu nyengin sas Kwenye mtumiz ina hitjia elimu
@hamidmohammed78082 жыл бұрын
Halafu naomb msaad mimi natak kufunguka account ya alibab naon uku Wana vtu rahis lkini nashindwa kwa kweli hasa kwa simu cjui nkwama wapi unaez nisaidia nikafnkish hili
@salafitvsalafitv9109 ай бұрын
Naomba niuge KWENYE group
@hubertelisha54314 ай бұрын
Tusaidieni namba zenu
@discoverbless6 ай бұрын
adress uliweka ipi
@HarrisonMoshi4 ай бұрын
Namba ya Reuben
@elishambawala99152 жыл бұрын
Naomba nambaa
@chekatvshow5610 Жыл бұрын
Hao jamaa sio waaminifu nmenunua item toka 1/5/2023 adi leo mara inaonesha imekuwa derivered netherland @ tracking number mara imekuwa derivered Tanzania so mpaka leo
@hubertelisha54314 ай бұрын
Niunge na ruben
@piuspradius35032 жыл бұрын
Mungu atakubariki ipasavyo
@TechAfrica2 жыл бұрын
Amen
@charlesnipala6 ай бұрын
Ntumie namba yako Kwa mawasiliano zaidi
@AlexOnjakiAlexOnjaki9 ай бұрын
naomba niunge kweny group
@jamesmmbando45902 жыл бұрын
Samhn naomba kuuliza je Nikuwa na p o box hatakama nikuwa mkoani bidhaa itanifikia nilipo?
@TechAfrica2 жыл бұрын
Ndio, ukiwa na P. O. Box basi bidhaa zinakufukia popote pale, zinaweza kuchelewa kidogo kuliko mtu aliyeko mjini kwenye mikoa mikubwa hii
@araphathmohammedmmassy57852 жыл бұрын
Kaka naomba namba yako ya simu
@BernadethaNgeleja6 ай бұрын
Hamna delivery mpaka nyumbani kama kikuu
@BernadethaNgeleja6 ай бұрын
Naomba no. Yako
@altafyusuf7638 Жыл бұрын
Tunaweza kuagiza kutoka USA , UK, Turkey, Dubai, India , Ebay na Amazon na kuletewa Dar es salaam kwa njia na bei rahisi? Kama una idea tafadhali make a video on it
@rutwizovideo13692 жыл бұрын
Naomba namba ya huyo ambae hua anawasaidia kuagiza mzigo
@hubertelisha54314 ай бұрын
Ukiwa na laini ya voda unatengenezaje master Card
@Irene-n3r3 ай бұрын
Bonyeza menu ya voda, nenda lipa kwa simu, afu nenda mpesa visa card, af utabonyeza tengeneza card…..Ukimaliza utapata msg ya Mpesa visa card yako, na cvv.Usi share izo information zako
@HawaMsafirf-hf7ib Жыл бұрын
Me naitaj kujua jinsi y kulipa na address cna me niko dar kaka nataka kununua alibaba
@muuhnation1359 Жыл бұрын
Naomba no yako broo
@pastorlugad4771 Жыл бұрын
Naomba namba yako kiongoz ili unisaidie maelekezo kama hotojali
@salafitvsalafitv9102 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana kaka endelea kutuletea maalumati
@BernadethaNgeleja6 ай бұрын
Kama sina sanduku la posta nafanyaje
@rexstudio43032 жыл бұрын
🔥👍
@rutwizovideo13692 жыл бұрын
Habari
@titoantony35002 жыл бұрын
Habari
@rutwizovideo13692 жыл бұрын
Sarama
@rutwizovideo13692 жыл бұрын
Sarama
@Channel9Tv2 жыл бұрын
Mm nipo zanzibar lakn cn sanduku la posta na nataka kununua bidhaaa aliexpress? je ni njia gan nitaweza kutumia
@TechAfrica2 жыл бұрын
Sasa kwa Zanzibar sijajua mnatumia njia gani kuingiza mizigo, lakini kama una rafiki mwenye sanduku la posta na anaishi Dar, anaweza kukuagizia Kisha akakutumia Zanzibar
@Jastus100 Жыл бұрын
Andika poste restante kweny address yako ya AliExpress watatuma kwa posta ofisi za mkoa uliopo.....huwa nafanya hivyo na bidhaa nazipata posta ,wanakupigia simu mzigo wako ukifika
@myfuraha936 Жыл бұрын
@@Jastus100 kama hutojali naomba mawasiliano yako. Nahitaji kuagiza
@fatumamhina99502 жыл бұрын
Nimefanya malipo hela Imekatwa lakini naambiwa my order is closed nifanyaje?
@chekatvshow5610 Жыл бұрын
Wahuni sn
@jacksonelphas72562 жыл бұрын
naomba namba yako brother
@TechAfrica2 жыл бұрын
Kwema kaka, kwa sasa nimeacha kutoa kaka kwani watu wengi sana wanakua wananitafuta so kama hutojali naomba nikupe email address mkuu, francislomwiko@gmail.com
@RoseDavidi Жыл бұрын
@@TechAfrica bro naomba unieleweshe jishi yakuopokea mzigo kwa kutumia speed off ya arusha kwa maana kunavideo ambao umeiongelea na sijui inavyofanya kazi
@Hussein_nails_tz2 жыл бұрын
Je mzigo ukifika Tanzania unaenda kuupokea wapi
@TechAfrica2 жыл бұрын
Mzigo ukifika unauchukulia posta kwenye sanduku lako la posta
@luckysichone67052 жыл бұрын
Bandalini
@ernestroman82645 ай бұрын
Nisaidie mawasiliano ya ruben
@HaruniMwayaya-h8e Жыл бұрын
vp bro
@paschalntambara52442 жыл бұрын
Kazi nzuri broo mi napata shida nikitaka kununua bizaa shida inakuja kwenye apply promo code sijui nijaze nini kila nikitaka kununu inakataa
@TechAfrica2 жыл бұрын
Sasa promo code ni mpaka muuzaji akupe, kwahiyo kama hauna promo code bado skip tu.
@madlove59383 ай бұрын
Hajib sms sasa
@albassammusaalbassam74872 жыл бұрын
Nitumie jina la Ruben
@TechAfrica2 жыл бұрын
Jina lake ndio hilo hilo Ruben, kuwasiliana naye ingia kwenye group hili la whatsapp kwa kutumia link hii chat.whatsapp.com/EE31zfsMCbB1kID5y3RpAD
@hellenkisanga20422 жыл бұрын
Au km inawezekana nipe no yako.
@jumamfaume4633 Жыл бұрын
Niunganyishe nae
@edsonnyandindi-dk3ws Жыл бұрын
Tufanyie na ebay please
@juniorfrancis7382 жыл бұрын
Naomba maelekezo jinsi ya kumpata huyo rafiki Yako Ruben
@pastorlugad4771 Жыл бұрын
Naomba namba yako boss
@rdjmtukuyu22662 жыл бұрын
niunge kaka kwenye group
@Forexmillionaire8202 жыл бұрын
Nakubali kaka mkubwa, nipe contact yako
@erickjohn52092 жыл бұрын
Umeweka video lakin hamna no
@chrissally2397 Жыл бұрын
mambo vip kaka hivi kaka nikitaka kuagiza mzigo kupitia alibaba nitawezaji kusafirishwa kwa urahis na bei nafuu
@mwanaidimbokozi28362 жыл бұрын
Nahitaji vitambaa vya kuvaa kicjwani
@ntunzutzwamkoa35972 жыл бұрын
Samahani kaka inanipa changamoto kwenye wakati wa kuweka address nisaidie kwa hili coz nimeshindwa niweke ipi
@TechAfrica2 жыл бұрын
Kwenye address unaweka P. O. Box number yako na mkoa uliopo
@wilsonmollel31682 жыл бұрын
Namba yako sasa
@emanuelmsafiri1946 Жыл бұрын
nipe no yako
@emanuelmsafiri1946 Жыл бұрын
una tumia njia ipi sasa
@KalimuLiuche Жыл бұрын
Vifaa vya umeme kupima
@allychondoma84302 жыл бұрын
nimelipia mzigo ali express , tareh 23 mwez wa 8 walinambia utakuwa umefika ila paka sasa kimya.
@luckysichone67052 жыл бұрын
Umepigwa cha kicha
@simulizi_tamu262 жыл бұрын
Ikitokea mzigo umefika posta lakini upo mbali,gharama ya posta itaongezeka?,na Kuna uwezekano wa mtu mwngne kunchukulia bidhaa kwa posta yangu mwenyewe?
@TechAfrica2 жыл бұрын
Mzigo ukifika posta na ukachelewa kuuchukua hakuna gharama inayoongezeka, na ndio unaweza kumtuma mtu akakuchukulia mzigo chamsingi ummpe Kitambulisho chako kinachofahamika na Posta na pia awe ni kile kikaratasi kinachowekwa kwenye Box lako la Posta
@FredyChingo-q8c Жыл бұрын
nifundishe kuagiza kitu ebey
@rashidmashaka12642 жыл бұрын
Nataka kufaham Zaid nini maana ya wifi nainafanya kazi vipi kwa umbali gani
@TechAfrica2 жыл бұрын
Wi-Fi ni Wireless Fidelity au kwa maana rahisi ni mtandao kwa njia isiyo ya wire. Wi-Fi zinafanya kazi vizuri ndani ya mita 10 pia pasiwepo na vizuizi kama vile ukuta au Miti mingi
@chrissally23972 жыл бұрын
kaka mimi niko arusha wewe unapatikana maeneo gan
@TechAfrica2 жыл бұрын
kwasasa nafanyia kazi nyumbani ila nikishakua na ofisi rasmi nitawaambia
@chrissally23972 жыл бұрын
Dhaaa nilitaman unielekeze namna sahihi ya kuagiza na niwe na address yangu ambayo nitakuwa napata mzigo wangu nimeangalia video nyingi zako ila nataman sana nionane nawe
@TechAfrica2 жыл бұрын
@@chrissally2397 naweza kukuelekeza tu kaka, kwani umekwama wapi?