Jinsi Ya Kuagiza Bidhaa Alibaba (China) Hatua Kwa Hatua (Kwa mtu yeyote)

  Рет қаралды 24,911

Tanzanite Digital

Tanzanite Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 6 ай бұрын
PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/
@aloisngulo436
@aloisngulo436 6 ай бұрын
Mbn hakuna sehemu yakupakua nakulipia
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 6 ай бұрын
@@aloisngulo436 tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/
@zuhuraommary-ld2dn
@zuhuraommary-ld2dn 5 ай бұрын
Naomba namba yako kaka nashida sorry
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 5 ай бұрын
0747 177 677 ​@@zuhuraommary-ld2dn
@raskon_media
@raskon_media 4 ай бұрын
Habari Gani Naomba ufafanuzi kuhusu Average unit cost
@ShadrackBokela
@ShadrackBokela 16 күн бұрын
Nice and good. Nimekuelewa sana bro
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 14 күн бұрын
Shukran pia 💯
@eishychoicy7696
@eishychoicy7696 6 ай бұрын
Well done!!! Good job brother,,, extremely helpful
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 6 ай бұрын
Glad it helped, karibu sana!
@yussuphahmady3976
@yussuphahmady3976 10 ай бұрын
Ipo vizur
@samwelmoses5091
@samwelmoses5091 5 күн бұрын
Bro nimekuelewa sana kaka.
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 4 күн бұрын
ASANTE, KARIBU 💯🙏
@DoreenMussa-p4s
@DoreenMussa-p4s 11 ай бұрын
thank you
@Kennyupdates.08
@Kennyupdates.08 4 ай бұрын
Thanks broh umensaidy sana
@yassersalim965
@yassersalim965 Жыл бұрын
Asante sana brother🙏
@augustmushi5743
@augustmushi5743 Жыл бұрын
Ahsante sana Brother
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Karibu sana 🙏
@sarahleonard9167
@sarahleonard9167 7 ай бұрын
Umenisaidia sana.ubarikiwe
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 7 ай бұрын
Karibu ♥️
@Gallaxy-sc4rl
@Gallaxy-sc4rl Ай бұрын
Unajua kuagiza mizigo
@glorypowers6608
@glorypowers6608 Жыл бұрын
Bro tuelekeze kuhusu ma kampuni hy if u don’t mind Naomb no yako ya simu nimfnyabiashra but natak kuagiza China so nahitaj kujua kiundani zaid
@Samworldnews
@Samworldnews Жыл бұрын
Umeeleza vizuri nilikua nachanganyimiwa na hiyo cbm
@mrmrs_k_m
@mrmrs_k_m Жыл бұрын
detailed information nzuri sana ungetuonyesha na quality mzigo kukufikia ungetisha zaidi
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Thanks bro, tutafanya hivo 🙏🏾
@ranayuhase1405
@ranayuhase1405 Жыл бұрын
Hao suplay nnawapataje mimi
@KarimRamadhani-o6m
@KarimRamadhani-o6m 6 күн бұрын
Nimekuelewa sana bro nimeona una kitu cha kunisaidia naomb mawasiliano yako kaka
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 5 күн бұрын
0747 177 677
@Abuuhafswi
@Abuuhafswi Жыл бұрын
Asante brother
@johntaino6411
@johntaino6411 Жыл бұрын
Asante sana kaka ,kazi nzuri.
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
karibu sana!
@NeemaIbazu
@NeemaIbazu 3 ай бұрын
Mimi namuzigo machestar je naweza kuupata
@dericktz
@dericktz Жыл бұрын
Nice my friend
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Thank you! Cheers!
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 7 ай бұрын
Hello Broo, nimekuwa interested na nataka kuagiza mzigo Huko Chaina, kwa maelekezo yako nimefanya vyote ila sijaelewa namna ya kusafirisha. Naomba namba yako ya whatsp tuongee
@noviceligate2950
@noviceligate2950 Жыл бұрын
Good job
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Thanks
@HShadyNaufal
@HShadyNaufal Жыл бұрын
Mbona kwenye sim siiyoni hiyo usd English kwaajili ya kubadilisha bei nione kwa tanzania sh
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Chagua option ya "My Alibaba" then utaona bendera 》Click bendera utaona option ya kubadilisha aina ya currency
@amanikisumo4048
@amanikisumo4048 Жыл бұрын
Na ukitumiwa zawadi?
@VeerKothar-fx6hu
@VeerKothar-fx6hu Жыл бұрын
Ayo makampuni ya kuagiza tunayapataje
@mrmrs_k_m
@mrmrs_k_m Жыл бұрын
silent ocean na Target ndo wapo vizuri kwenye kudeliver haraka sku izi
@Hajash-on2pj
@Hajash-on2pj 8 ай бұрын
Kun supplier wengin wana point 5.0 Na quality ya products zao nzur Ila hwang verified N kun wengin point zao ndog ila wapo verified naweza kuruhusiw kuagiz kit kwao
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 8 ай бұрын
cha muhimu haswa ni reviews, ndio unaweza nunua kwao
@neemamoses291
@neemamoses291 10 ай бұрын
Habar, Naomba mawasiliano yako please
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 10 ай бұрын
Tuma meseji WhatsApp: +255766 478 104
@Hajash-on2pj
@Hajash-on2pj 8 ай бұрын
Hbr Kun supplier wengin Wana point 5 N quality ya products zao nzur Ila hawako verified naruhusiw kununua kitu kwao
@beautycollectionstore4910
@beautycollectionstore4910 Ай бұрын
Usinunue kwa supplier asie verified wala asiekuwa na assuarance
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Bei Za Kusafirisha Bidhaa Kutoka China Hadi Tanzania 👉🏼👉🏼kzbin.info/www/bejne/jF6ccpV7ireDkKM Siku Ngapi Mzigo Unakufikia Kutoka Alibaba (China) 👉🏼👉🏼 kzbin.info/www/bejne/eqO8h5t-mdanpMU
@JoviniFaida-uj5qb
@JoviniFaida-uj5qb Жыл бұрын
Unaweza kuagiza kitu Cha 50 elf ukapata kweli?
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Ndio, hata cha mia tano. Unapata
@RahmaYussuf-r7w
@RahmaYussuf-r7w 7 күн бұрын
Mimi naomba unisaidie kuagiza
@Hajash-on2pj
@Hajash-on2pj 8 ай бұрын
naweza kuruhusiw kuagiz kit kwao
@olivianisospeter2916
@olivianisospeter2916 Жыл бұрын
Cost ya usafiri inaweza kuwa asilimia ngap ya bei ya mzigo ukitumia makampuni
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Havitegemeani, check video tume-upload kuhusiana na bei za usafirishaji kutoka china
@CalvineMaganya
@CalvineMaganya 23 күн бұрын
Jamani nime shindwa kujuwa kumuangalia muuzaji
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 14 күн бұрын
weka swali vizuri ndugu
@universallytv3761
@universallytv3761 8 ай бұрын
Good
@ChristopherStephen-ih9yp
@ChristopherStephen-ih9yp Жыл бұрын
Nisaidie namba yako simu kaka kwa maelezo zaidi
@Mohammed-sp8eb
@Mohammed-sp8eb 9 ай бұрын
Ama hawa Kikuu ni supplier
@SoomaSoma-t8x
@SoomaSoma-t8x 7 ай бұрын
Naitaji kuagiza nipo tz
@JimmyJoshua-p2f
@JimmyJoshua-p2f Жыл бұрын
bro asa kwa ma agent ni mziki
@magonjwanatiba1426
@magonjwanatiba1426 Жыл бұрын
Je bila agent huwez kupata mzigo wako?
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Unapata, angalia video vizuri
@Mohammed-sp8eb
@Mohammed-sp8eb 9 ай бұрын
Broo haiwezekani kufanya kama hawa Kikuu unaona bei za vitu kwa hela ya Tanza
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 6 ай бұрын
Inawezekana, unachotakiwa ni kwenda kwenye setting ya App ya Alibaba na kubadilisha currency kutoka USD kwenda TZS
@HamiduMambo
@HamiduMambo Жыл бұрын
Ivi mzigo una lipia kabla au baadae ya kufika
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Baada kwa makampuni mengi, si yote lkn
@NkobaDotto
@NkobaDotto 3 ай бұрын
Bro naomba unifundshe Jin's ya kuagza mzigo na unanifikiadje
@Abdalakangile1
@Abdalakangile1 Жыл бұрын
Ina maana hizo pic 180 ndo 27,982 au ni kwa pic moja?
@gweahshoo5120
@gweahshoo5120 10 ай бұрын
Kuanzia PC 180 atakuuzia kwa kila moja bei hiyo
@IsraelNjiku
@IsraelNjiku 10 ай бұрын
Nisaidie namba yako kaka
@aloisngulo436
@aloisngulo436 6 ай бұрын
We nipe namba wasap naomba
@elishamashaka442
@elishamashaka442 5 ай бұрын
Tupe , majina au link ya hayo makampuni
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 5 ай бұрын
Hapa kuna PDF ya basic infos ya list majina ya makampuni (free) na compressive guide jinsi ya kununua Alibaba and list ya makumpuni hayo hayo (not free) 👉👉 www.tanzanitedigital.com/shop
@Mohammed-sp8eb
@Mohammed-sp8eb 9 ай бұрын
weka namba yako
@Inatmaulididdi
@Inatmaulididdi 8 ай бұрын
Herufi n ndogo n Bora ungetumia sim😢
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 7 ай бұрын
check hii: kzbin.info/www/bejne/fojEl4toZ76dfKc
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 5 ай бұрын
Sorry brother naweza pata no ya WhatsApp please 🙏
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 5 ай бұрын
0747 177 677
@aloisngulo436
@aloisngulo436 6 ай бұрын
Ivi namba yako ni mwiko kuitoa au inakuaje?
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 5 ай бұрын
Serious enquiries only: 0747 177 677
@hamisnjowoka7354
@hamisnjowoka7354 5 ай бұрын
Jinsi ya kulipia ndo changamoto
@tanzanitedigital
@tanzanitedigital 5 ай бұрын
umekwama wapi?
@aloisngulo436
@aloisngulo436 6 ай бұрын
Kila nikitaka kupakua pdf haiji Wala haionesh sehemu yakulipia
@Hajash-on2pj
@Hajash-on2pj 8 ай бұрын
Kun supplier wengin wana point 5.0 Na quality ya products zao nzur Ila hwang verified N kun wengin point zao ndog ila wapo verified naweza kuruhusiw kuagiz kit kwao
How To Buy From Alibaba Safely (Without Getting Scammed)
14:13
MyWifeQuitHerJob Ecommerce Channel
Рет қаралды 684 М.
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Agiza bidhaa kiurahisi kutoka CHINA!
13:18
Tech Africa
Рет қаралды 18 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 98 М.
SIO JAMBO GUMU KUJARIBU, ONDOA UOGA ANZA NA KIDOGO ULICHONACHO
5:36
Maswali Yako Yote Yamejibiwa Hapa, Kununua Alibaba Na Aliexpress China
15:41
AGIZA BIDHAA MTANDAONI KUPITIA ALIEXPRESS
19:21
Tech Africa
Рет қаралды 8 М.
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН