Wimbo mzuri sana. Barikiwa sana. Combination nzuri sana ya wewe Christina na Jonas
@MoosaMd-h6b3 ай бұрын
Amen, amen 🙏 utukufu kwa Mungu wetu juu mbinguni. Mubarikiwe tu watu wa Mungu kwa kazi njema.
@collinskiprono-w7s3 ай бұрын
Wow kweli kabiza,wimbo huu nitamu sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏👍
@joelymwakabanje29024 ай бұрын
Hongera sana mmefanya vizuri
@NehemiahMeshack4 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@joyobungu-rm7xf17 күн бұрын
Nyimbo nzuri God continue blessed you Mimi nimbarikiwa kupitia huu wimbo
@anointed11517 күн бұрын
Amina kubwa karibu
@jeanjeanbaguma2 ай бұрын
Amen yesu nimwaminifu kabisa
@pkojwang3 ай бұрын
Very beautiful message sung from the heart.. Great and authentic voice. Umevaa vizuri kama mama mkristo. Ongera. Endelea kumsifu Yesu bila kuchoka dada Christina.
@anointed1153 ай бұрын
Asante sana
@Godfrey_lusekelo3 ай бұрын
Kazi nzur sana My Dada Hakika Ahadi ya MUNGU iko pale pale kusudi la Mungu lazima litimie
@VictoriaJanuario-ju8ny25 күн бұрын
Amén amén , japo maumivu nimakali sana yuko mungu aliye niumba nitafika tu.
@emmanuelmwanjala75743 ай бұрын
Barikiwen Sana watumishi🎉🎉
@marthaanton69674 ай бұрын
Waoooo nzuri sn my love hongera sn
@anointed1154 ай бұрын
Asante wa kwetu hunaga hiana
@MeshackHlyimo4 ай бұрын
Hongera sana
@mrnickmusician71393 ай бұрын
Ongera sana nimebarikiwa sana mtumishi keep it up 🇰🇪
@anointed1153 ай бұрын
Amina karibu
@nelsonechesa220029 күн бұрын
Hakika hakuna aneeza kuazuia kusudi la mungu be blessed 🙏🙏
@jeanmariemuco11324 ай бұрын
Hongera saana kwa wimbo mzuri endelea kutupa collabo nyingi
@anointed1154 ай бұрын
Amina kubwa
@timothykisebengo3 күн бұрын
Good work 🔥 🔥 be blessed.
@evaristosanga4714 ай бұрын
Hakika, Mungu ni mwema kila wakati.
@VictorOdiwuor-fh4icАй бұрын
Amen,siz ahadi bado iko
@rachelkihaka3 ай бұрын
❤❤❤❤ kusudi la Mungu kwangu bado lipo palepale halijabadilika
@fadhilikyandofadhilikyando56662 ай бұрын
hongra sana watumishi wa mungu kazi nzuriiiii sanaaa❤❤❤❤❤❤❤
@sospetercharlse75764 ай бұрын
Mungu awabariki sanaaaa
@Victoria-bv6xu3 ай бұрын
Ameni mungu azidi kuwainuqa zaidi🙏kazi yenu njema nitafika to kul amekusudia Mungu baba
@JustinaMambo-jb4uj2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 love from Zambia
@EvanceJohn-t8r3 ай бұрын
😊Mungu akubaliki Sana wimbo mzur Sana
@TheophilaSanka-my7sl2 ай бұрын
Amen ahadi ya Mungu iko palepale tu🙏🥰🥰🥰
@salomefred41614 ай бұрын
Hongera Sana wimbo mzuri
@anointed1154 ай бұрын
Asante sana
@TitusLimo-yw2oj4 ай бұрын
Wimbo iko poa saana msidishiwe na Mola ❤❤❤
@EspoirBanyene2 ай бұрын
Merci papa enock mungu akulinde na akupe nguvu ubarikiwe
@jacklinehermani14914 ай бұрын
Cristina unajua bwana nyimbo nzur sana sana hongera ipo siku ambayo aina jina haya niyapitiayo yatakwisha Asante mno umegusa penyewe
@anointed1154 ай бұрын
Amina utukufu kwa jehova
@RaphaelHaonga4 ай бұрын
Barikiwa ❤❤
@madamneema76264 ай бұрын
Wimbo mzurii Sana wanibariki
@Alex.Kashy.394 ай бұрын
Aminaa Sana dada angu Christina Sina MASHAKA na MUNGU 🌹🌹🙏🙏🙏🙏
@anointed1154 ай бұрын
Asante sana
@mwachulaamon22324 ай бұрын
hongera sana mtumishi hakika ahadi ya MUNGU ipo palepale
@jennipherChristian2 ай бұрын
Napendaga nyimbo zako nimeidownload tu❤
@FrenkMwangonda-l4sАй бұрын
Ubalikiwe kwa wimbo
@FurahaJackson-v4f3 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri
@joycevihenda8563 ай бұрын
Asante sana dear. More grace.
@ImaniTinda-h6x4 ай бұрын
Dada tinnah MUNGU akubariki nyimbo nzur. Utukufu Kwa bwana
@anointed1154 ай бұрын
Amina kubwa
@CLAUDMWAKALASYA2 ай бұрын
Hongera sister ujawahi kosea
@JennyNzali2 ай бұрын
Mwanangu kazi nzuri kabisa
@Judith-uh6xf20 күн бұрын
Hongera,,amina
@femidayahaya92933 ай бұрын
duh nampenda sana huyu dada unajua kuimba sana dada Tina...nafurah kuckia wimbo wako
@anointed1153 ай бұрын
Amina utukufu kwa jehova
@daudjames89994 ай бұрын
❤ saf sana Aunt tina dah una nifanyaje nibubujike tu dah
@anointed1154 ай бұрын
Amina kubwa
@SilviaNasimiyu-pn9tv2 ай бұрын
Ameen 🙏 barikiwa Sana dada
@Nshimirimana453 ай бұрын
Kweli atadufikisha Amen Amen Amen
@HenryHeliuth2 ай бұрын
Christina mbilinyi hongera dada
@fredricksikukuu27433 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mtumishi wa mungu mungu akubariki sana 🙏🙏
@EsterMachea4 ай бұрын
Kabisa Ahadi ya Mungu bado Iko pale pale Mungu akuinue juujuu
Mama nabalikiwa sana nahuduma yako py hata mi muimbaji japo bado nipo chini, naomba ushauli youtubu naptkana kwamajina Amosivenusto/naomba ushauli nifanye nini ili huduma yangu itambulike?
@FedrickSanga-dm6iy4 ай бұрын
Waooo very nice song .Wimbo mzuri mno Mungu akubariki sana
@fideliskalinga18793 ай бұрын
Hongera dada Tina Wimbo mzuri
@PendaelHagaiMRPH3 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Barikiwa sana
@EmmanuelGelard3 ай бұрын
Amina bAlikiwa mtumishi wa Mungu
@annachisemeli8683 ай бұрын
Dada barikiwa sana my dear
@anointed1153 ай бұрын
Amina kubwa
@Augustinojohn-pf3pg4 ай бұрын
From Mbalizi nakusikiliz hongera sana Dada angu kazi ni bora sana