KAMA UNAKUMBALIANA NA MIMI HUU UJUMBE NDO TUNAITAJI PIGA LIKE
@FloraShayo-yr1ye3 күн бұрын
🎉
@dionisiajacob85182 күн бұрын
We bàba unatubarki hakika
@paulwere697812 сағат бұрын
Akuzidishie neema na kibali chake Mungu aishiye milele
@elimelamerii2342Күн бұрын
WATANZANIA WENZANGU MLIOBARIKIWA NA WIMBO HUU WEKA LIKE... ❤
@faidanshimirimana780823 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 huu wimbo umenutowa machozi nakunifanya nisimame tena kupambania maisha yangu. Nilizurumiwa sana nakuomba mugu nilejeshee nilivyo poteza 😭🙏🙌🙌
@user-gq5ib7cf4q4 күн бұрын
Jmn Mungu Anajua kuwatumia watumishe wake kwa ujumbe mzuri hakika ujumbe umejaa Upako na nguvu ya Mungu nabalikiwa sana ninapo sikiliza nyimbo zako balikiwa sana🥰🥰🙏🙏
@janethgradiely88343 күн бұрын
Aki ya Mungu ningekuwa na pesa nikuomba remix kwa huu wimbo aisee
@obbytouchez_pro94303 сағат бұрын
Unatungaje nyimbo kaka mkubwa hakika ujumbe wako uko vizuri sana natiwa nguvu naomba siri ya utunzi wako❤
@NeemaMgaya-ez9unКүн бұрын
Nenda mbele za mungu kabla yakwenda kwa watu
@faidanshimirimana780823 сағат бұрын
Nilikatishwa tamaaa 😢😢😢 huu wimbo au ujumbe unanifariji nakunifanya ninyamanze tena mungu ananitetea.
@thestandards6761Сағат бұрын
Mungu wa mbinguni akufanyie nafasi zaii mtumishi.🎉🎉🎉
@kmtcuniversity93103 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wooowo wooow The spirit of the Lord God has spoken woooow...Prophet Emmanuel Mgogo you have nitabiri mini... Asante Sana Greatest Man of the Lord God Creator❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤... praise the lord From Niederoesterreich.....nitakutana new kwa ushihuda umekua kielelezp changi maishani meangu kwa maneno yalima kwenye nyimbo zako zote sasa zaidi huu wimbo....Amen Amen Amen ❤❤❤❤ Haleluya Jina la Bwana yesu Kristo litukuke God Is Great.....Glory to The Mighty ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@CeciliaMukhobi5 күн бұрын
Siku zote mimi ubarikiwa na nyimbo zako sana🥰 barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏❤🙏🇰🇪🇰🇪
@hannahmussabah28846 күн бұрын
Am currently in hospital nursing my beloved hubby,this song has really inspired me.nilikua nimekata tamaa pia but God is God,he has reallly picked up on him,glory be to God
@yonacastro16416 күн бұрын
Mungu akutetet
@FurahaMeckson14 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢😢, just listening to this, made my whole body shrivel. Mungu akubariki sana kaka Daniel.
@alexanderkapinga7004 күн бұрын
Huyu ndio Mgogo ninayemfaham asante Mungu kwa kumrejesha kwenye nafasi yake tena. Mgogo niliyekuwa nimeteseka kwa Muda mrefu kumwona tena hasa nikisikiliza Wimbo wa "Iko wapi njia Ile". Asante sana my Young!!
@lyn2546 күн бұрын
Amen Amen , Kenya tunapokea huu ujumbe kwa Imani 🙏🙏🇰🇪🇰🇪 Kutana na Mungu kabla hujakutana na watu
@MargrethMloka10 сағат бұрын
Amina sana kaka barikiwa mno nami nikutane na mungu kwanza jamn
@pamellabosire37057 күн бұрын
Hakika mtz tukomese kwa damu ya yesu MUNGU hakubariki sana hakika ukikutana na ni Kila kitu
@valenakomba76867 сағат бұрын
Ameeen . Ninazikomesha.kwa jina ka Yesu.
@puritylukhaji15214 күн бұрын
Amen, amen, kutana Na Mungu kwanza. Karibu kenya mtumishi wa Mungu.
@ElishaMbogelaКүн бұрын
Very powerful song brother kweli hii umefanya na bwana
@stellahmaweu25944 күн бұрын
huu wimbo umenibariki na kunifunza piaa.........neema ikuzidi mtumishi wa Mungu.
@eunicekiilu74856 күн бұрын
Wapi vigelegele vya Wana wa mungu likes zenu tukisonga mbele na injili 👍👊
@jactoneMusungu4 күн бұрын
Mungu ni mkuu hakika atarejesha viote vilivyo ibiza na shetani❤
@PatrickMaisha2 күн бұрын
Minakupenda sana mutumishi wa mungu endereya kupana ujumbe kupitia mu wimbo
@davidthomas714116 сағат бұрын
Nakukubali mungu ainuwe kibali chako zaidi
@FloraShayo-yr1ye3 күн бұрын
Napenda sana nyimbo za pst Emmanuel.. barikiwa sana
@scolarketer83533 күн бұрын
wow amazing song God bless you in Jesus name much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elibarikielikana1824Күн бұрын
Kaka Mkubuwa Mungu azidi tu kukukumbatia kwenye mbawa zake daima kukupa mafunuo juu ya watu wake #Hapa najitwalia utkufu wake Enzini
@berthamakali83765 күн бұрын
Jamani Huyu mtu nampenda Bure,nyimbo zake Huwa zinanibariki mnoo
@tallen_og7 күн бұрын
Ujumbe wako mtumishi ukiongeza Sauti yako hakika ni Blessed and touching Voice from heaven Since 2018 nipo na wewe Na enjoy sana huduma yako
@florencekato36313 күн бұрын
Nimebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua viwango na viwango mtumishi.
@youngnthuggin9772 күн бұрын
Amen my brother ❤️🙏🙏👍. All the enemies go by force by fire in the name of of Jesus Christ Amen 🙏🙏🙏🙏💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
@mwalimugregoire-hl2st5 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana kwa wimbo huu mzuri saaaaaaaana ❤🙏🙏🙏
@user-ym9kk5ms2z4 күн бұрын
Barakiwa sana mtumishi wa mungu songa mbele.Moyoni nabarikiwa sana.
@GiftMwawasi-cn4fg5 күн бұрын
Congrats,infact hapo Kwa tunaviregesha Kwa Jina la BWANA WA MAJESHI umegonga 💯.
@ecalurobert8263Күн бұрын
Kwa jina la Yesu tutaimba na kusonga Mbale Kwa Yesu
@janethgradiely88343 күн бұрын
Jamani nimebalikiwa sana na hii nyimbo pia imenifundisha kitu kiloho ubalikiwe brother kwa huu wimbo 🙏🙏🙏
@VenantieGIRUKWISHAKA5 күн бұрын
Hallelujah 🔥🔥🔥 Amen. Kazi nzuri mon my Brother, MUNGU akuinuwe kwa viwango vingine vya juu sana ili uendelee kumutumkia
@elizabethmasitsa65376 күн бұрын
I love you pastor Emmanuel even GOD know this 😢❤🔥🔥 I love your ministry 🙏
@kennedymboya78595 күн бұрын
Waaa ya baraka man of God karibu Kenya
@joycemanegabe91545 күн бұрын
Tunamshukuru Mungu kukutumia ili tupate kujua kukutana na Mungu mbele ya kukutana na wanadamu ❤ tunathamini huduma yako ya kuimba mtumishi wa Mungu
@johnmshan40173 күн бұрын
Nime Balikiwa sana mtumishi wa mungu🎉🎉🎉🔥🔥🔥
@MargrethMloka10 сағат бұрын
Hii ya brother G meipenda sana
@mauriciocristianomardes62954 күн бұрын
AMEN AMEM ❤ MOZAMBIQUE TUMEPOKEA UJUMBE HUU. MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI
@estermulungu38334 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi nafurahia huduma yako
@ThomasNghwani-nw6rx5 күн бұрын
Amen. Kazi Njema sana. Ubarikiwe.
@stellaphili99762 күн бұрын
Amina tunazikomesha kwajina labwana🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🇿🇲
@YESHUA96714 сағат бұрын
This is a song with deep message I wish it was well understood in Spirit
@jonathanmutunga59185 күн бұрын
Ooooooh yes better God, am much blessed
@NeemaTluway-zh4ghКүн бұрын
Nabarikiwa sanaa na wimbo wako
@RevinaNtabaza3 күн бұрын
🎉Amen nabarikiwa na nyimbo hii
@protuslumbasi93562 күн бұрын
Halleluyah good message, God bless you my brother 🙏🙏
@manday48262 күн бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@user-gt6jh7dj9e7 күн бұрын
Mwanaume wewe ahuimbi kwa kubaatisha. Upo vzr. Namimi nimshabiki wa Timu ya Emanueli mgogo
@alinanusweedward29526 күн бұрын
Oh My God kwa Muda mrefu tumekutana na watu badala ya kukutana na Mungu na hata marafiki tuliopata hawakuwa sahihi kwakuwa haukuwa Mpango wa Mungu .Sasa kelele za umasikini nazikomesha kwajina Bwana
@AgnesNyivaTVКүн бұрын
Powerful bro congratulations 🙏♥️
@SylviaOnanda-mg1cf5 күн бұрын
Nyimbo zako zimenipa faraja sana ubarikiwe sana
@hamisayusuph59663 күн бұрын
Nampenda sana nyimbo zako zinanibaliki sana
@faithmumbua96672 күн бұрын
Amen 🙏🙏 and all the Glory be our Lord Almighty forever.
@mssaundmaphone91052 күн бұрын
Mungu akuzidishie mara dufu
@Devothakimei3 күн бұрын
wimbo wenye mafunuo makubwa sanaaaaaaaa
@joshuamakondeko90067 күн бұрын
Hii ni kubwa mnooo. Mungu akuinue juu zaidi
@MarcoBuluma4 күн бұрын
Mgogo Mungu akubariki kwanyimbo za Mungu
@frereezechielsong52822 күн бұрын
Mungu aliyakutuma ainuliwe
@victoreddieofficial26056 күн бұрын
Love this ❤❤❤❤
@user-tx1zr3kb1j4 күн бұрын
Hii nayo Ina hit sana🎉
@annwekesa30834 күн бұрын
Watching from kenya be blessed man of God
@ruthywakio86676 күн бұрын
Great song...be blessed man of God
@ezechielndihokubwayo6 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@PauloShauri-kn1bl2 күн бұрын
Mungu akubariki mtu wa mungu
@ZawadiHosein3 күн бұрын
Mungu hakika anaendelea kukutumia songa mbele mtumishi wa Bwana Haleluya Bwana apewe sifa
@RhodaCosmas-hu6pt3 күн бұрын
Pastor, ubarikiwe kwa kuniimarisha,, kiroho zaidi
@user-ro2fl1py6m6 күн бұрын
Waooooo❤❤❤❤❤chombo Cha Bwana
@HonorinaSimba-tw6ke7 күн бұрын
Songa mbele mtumishi wa mungu🎉🎉🎉🎉
@godfreysanziki14614 күн бұрын
Ujumbe mzito huu kaka, hakika tumebarikiwa sote tulio pata kutazama.
@j.o.mbabjared.55652 күн бұрын
Mungu mbele 😊🎉
@AliceMasitsa-q8v5 күн бұрын
😊😊 Hapo sasa😂😂😂❤...komesha jeuri
@lucynzau182 күн бұрын
Neema tele kaka🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@georgepeter65286 күн бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu
@ThomasAntony-dl4gm6 күн бұрын
Mungu ni Ebenezer acha bac atutetee kwa kumuelekea yeye njia pekee
@nehemiahsamsony10856 күн бұрын
Ameeeeeen God bless you pastor ❤❤
@ruthnzilani42957 күн бұрын
Am very blessed mtumishi wa Mungu.thank you for this powerful message I really bless God for you.God bless you forever brethren.
@lemyzadockjesushigher70982 күн бұрын
Amaizing saana dady
@piusmwai45356 күн бұрын
Natamani huu upako wa Emmanuel mgogo najua nikwa neema tu,Mungu akubariki Huwa wabariki moyo wangu na nyimbo zako
@aderanderwa7623Күн бұрын
Ninavirejesha kwa jina la BWANA vitu vyangu vyote
@marlodemarlove9281Күн бұрын
Hii imeenda
@SundaySiwisa4 күн бұрын
Ubarikiwe na mungu
@stelamwanjela63626 күн бұрын
Barikiwa sana kaka
@user-lv4vm6ve6o5 күн бұрын
Aminaaa barikiwa
@faidanshimirimana780823 сағат бұрын
Nilitukanwa sana nilinyanyasika sana 😢😢
@ezekielmichael94313 күн бұрын
Ujumbe mzuri
@BarikiSanga-tg5os3 күн бұрын
amen Amen amen❤
@MICHAELSENSERA-wk8yj7 күн бұрын
Hallelujah 🎉🎉 Barikiwa na kua zaidi ya hapo maradufu
@sefaniangoya78626 күн бұрын
My favourite gospel singer
@valenakomba76867 сағат бұрын
KILA KILICHOIBIWA NA SHETANI NINYANG'ANYA NA KUVIRUDISHA KWA JINA LA YESU. ASANTE YESU.
@lydiakaitany6 күн бұрын
Through this song I know God will open the closed doors in my life.