No video

AHMED ALLY AANIKA HATMA YA KIBU DENIS SIMBA SC "TUTAMCHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU" AUNGURUMA MOROGORO

  Рет қаралды 38,440

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Пікірлер: 73
@user-yl6xb9nz2q
@user-yl6xb9nz2q Ай бұрын
Tunaomba uongoz wa simba mfanye maamuz sahihi yanayoleta fundisho hata kwa wachezaje wengine we wenye behave kama za huyu kubwa jinga..
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 Ай бұрын
Huyu hakikisheni anarudi Simba, akifika peleka kwa mkopo Zanzibar, hadi mwisho wa Mkataba
@josepahatmargwe6504
@josepahatmargwe6504 Ай бұрын
Binafsi nimefurahi sana Kibu KUANZA ujinga wake. Sikuwa na mkubali kabisa . Safari njema sana kwake
@GodfreyKunambi
@GodfreyKunambi Ай бұрын
I'm Young African fans lakn mchezaj w namn hiy kashajion mkbwa-kulk Timu huy ni wa kumtem usiendkz shd nymbn kwko
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff Ай бұрын
Me kibu simpendag asante mungu
@RamadhaniJohnny
@RamadhaniJohnny Ай бұрын
Fukuza kibu aondoke tu yy nani kwenye tm
@emanuelKarei
@emanuelKarei Ай бұрын
Uongozi wa Simba ichukuwe maamuzi magumu kwani kibu sio mkubwa kuliko timu
@user-gn4lc5sk6p
@user-gn4lc5sk6p Ай бұрын
Apigwe pini.Tumempa hadi uraia alafu analeta ujinga.Mtu mwenyewe uwezo kidogo tu.
@DullhFeyy
@DullhFeyy Ай бұрын
Chezaji coyote kama huyo piga chini arudishe alicho chukua na fain juuu pumbav zake
@vitalcool9266
@vitalcool9266 Ай бұрын
Mwache akafie mbele huko utopoloni FC....
@mbwambojulius1602
@mbwambojulius1602 Ай бұрын
Bora imedhihirika mapema kabla ya kuanza mashindano, huenda angefanya usaliti.
@vitalcool9266
@vitalcool9266 Ай бұрын
Utopwenga wana mkono wao
@davicekombe4932
@davicekombe4932 Ай бұрын
Kibu msenge sanaa
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 Ай бұрын
Staki kujua kuhusu kibu ila nilichoskia ni nje za nchi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@swedywamba5535
@swedywamba5535 Ай бұрын
Huyo mmakonde hajui kuongea vizuri kiswahili fasaha tumvumilie
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 Ай бұрын
@@swedywamba5535 kwa kweli
@kisubikilozo6128
@kisubikilozo6128 Ай бұрын
Kama ni mkongo sumuache ajitaidi msemaji wa yanga anaakili kuliko ii ibwa ni mbaguzi
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg Ай бұрын
mnakaria mangoma kumbe kibu d kawatoloka nyoo
@ipaparaymond3622
@ipaparaymond3622 Ай бұрын
Ahmed Ally 4 president!!
@Our_Patriotism
@Our_Patriotism Ай бұрын
MPUMBAVU SANAAAAAAA. FUKUZAAAAA NA ARUDISHE HELA ZETU. KUBALI HAPAA KIBU ARUDISHE MZIGO NA AKIJA SIMBA AUGUE. DHARAU HIZOOO.
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l Ай бұрын
Mnapenda kufurahia mambo ya wengine,ebu Sasa yenu ndo hayo machungu
@subiraaddo864
@subiraaddo864 Ай бұрын
Machungu ndo yapi hayo ya kibu?? Yaani kibu ndo aisumbue simba msimu huu?? Nyie pambaneni na mzee magoma sisi kibu hatusumbui wala.
@hopesesilius6104
@hopesesilius6104 Ай бұрын
Alikuwa si mchezaji mzuri
@emanuelmchelemi2428
@emanuelmchelemi2428 Ай бұрын
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji has ndo wabongo kibu ndo nani simba
@emanuelwilliam-r5c
@emanuelwilliam-r5c Ай бұрын
Mfanye maamuz yaliyo sahihi kwa skil ya wachezaji wengine
@EmanuelMakalla-wu1zu
@EmanuelMakalla-wu1zu Ай бұрын
Mwiteni magoma akamkamate kibu hayooooooo Mikundu itawapasuka mwaka huuuu hayooooooooooo yanaliiaaaaaaaaaaa
@EmanuelMantoney
@EmanuelMantoney Ай бұрын
Matus yanini sasa
@ChukiKilanga
@ChukiKilanga Ай бұрын
Aludishe pesa zetu apite uku atumtaki
@JuliusAlex-eu6fx
@JuliusAlex-eu6fx Ай бұрын
Achaneni nae huyo mjinga
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l Ай бұрын
SGR.......😂😂😂 Wameanza kujifurahisha Tena,you forget easily 😂😂
@SamwelHolota
@SamwelHolota Ай бұрын
Pelekeni uko wabebeni wote bc kama mnauwezo ilisimba ife
@stevenmanase8162
@stevenmanase8162 Ай бұрын
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidiwe AMINAA
@prosperkatito1661
@prosperkatito1661 Ай бұрын
mkuki kwanguruwe kwabanaadamu uchungu
@chikualiy8705
@chikualiy8705 Ай бұрын
Kibu rudisha pesa zetu hatukutaki tn
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Siasa kwenye mpira/soka... nani atamsemea kibu D.. hakuna ukweli hapo
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 Ай бұрын
Hawooooo wameachwa wamepigwa kibuti kazi mnalalamika tu mitandaoni tumechoka mkiambiwa wachezaji hawataki kwenda shilikisho ndiomaana wachezaji wazuriwote wameonfoka hatakibu hawexi kucheza shilikisho ndimaana katafuta timu ya haziyske shilikisho siohaziyake kombe la luzailo baba kibu haludi tena
@MAGEMEYOHANA
@MAGEMEYOHANA Ай бұрын
Magoma yupo mwambie akamkamate
@jumaali9243
@jumaali9243 Ай бұрын
Huyu KIBU hajui mpira wa miguu una sheria na taratibu zake
@mjimwema
@mjimwema Ай бұрын
kwel anatakiwa apeweazabu
@user-cg1hc7yt3v
@user-cg1hc7yt3v Ай бұрын
Anampango uyo duka tu uyo kibu achaneni nae nuksi tu
@MbogoAbedinego-rh4ek
@MbogoAbedinego-rh4ek Ай бұрын
Bora ameondoka mamruki huyo,ameona hakuna mlango Tena wa kutuuza,arudishe fedha,hatumtaki
@user-os9ps3ry6x
@user-os9ps3ry6x Ай бұрын
Tunaamini baadhi ya wachezaji walikuw wanaihujumu timu Wenda walikuwa na vikao. vyao nyie hamkujuwa angalieni asije akawa amebaki mukiuliza moja atawaambia
@Abuukarmaxme
@Abuukarmaxme Ай бұрын
Ngoja ufungwe Tarehe 8 wakufukuze kabisa pumbavuu
@JOSEPHALFONCE-z2i
@JOSEPHALFONCE-z2i Ай бұрын
Anazingua mno mbona watu kutoka kigoma hawapo hivyo huyu niwakumpa azabu Kali ili ajifunze
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Usajili wenu mangungu hautambui na ndiko kibu anapitia
@hassansaid-yf2cf
@hassansaid-yf2cf Ай бұрын
Hamna akili nyinyi hamjui mpk ndio tatizo kibu ni mchezaj w kuisumbua simba
@kisubikilozo6128
@kisubikilozo6128 Ай бұрын
Nyie ni inbwa watanzania munashidwa kulinda uafrika tatitizo asilimia 90 wote warudi wa congo wa malawi wa zabia tunaumizana sisi wenyewe
@fatmasuleyman1466
@fatmasuleyman1466 Ай бұрын
Kibu kweli kibua
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff Ай бұрын
Kibu hatumtaki
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Lazima tuseme kama mnavyosemaga ya wengine
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l Ай бұрын
Mkuki kwa nguruwe ni mtamu,kwa mwanadamu ni mchungu😅😅😅
@subiraaddo864
@subiraaddo864 Ай бұрын
Na nguruwe mwenyewe ndo wewe sasa😅
@HairuIssa-f9y
@HairuIssa-f9y Ай бұрын
Aadhibiwe
@smtaffordmaregesi2749
@smtaffordmaregesi2749 Ай бұрын
Aliongoza kuchangia fei sasa yako kwake
@davidedward2202
@davidedward2202 Ай бұрын
Hiyo ndio inaitwa ubaya ubwela
@StanslausZakaria
@StanslausZakaria Ай бұрын
Bado hamjasema mpaka mseme
@oneegraphy8285
@oneegraphy8285 Ай бұрын
NJE ZA NCHI NDO WAPI 😂😂😂😂😂😂
@issaselemani491
@issaselemani491 Ай бұрын
Amekwenda nje za nchi.😂
@DogMnyama
@DogMnyama Ай бұрын
Sheria ichukue atua apewe athabu zake
@SamwelHolota
@SamwelHolota Ай бұрын
Wanayanga achen ukuda TR 8 sombali
@AnnoyedChemistryExperime-yk9tt
@AnnoyedChemistryExperime-yk9tt Ай бұрын
Mlipokua mnasapot ujinga wa Feitoto mlifikili litaishia kwa Yanga kumbe mlikua mnawafundisha nawakwenu Vumilien tu
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l Ай бұрын
Lieni kabisaaa....😂😂
@user-ge3yd1tx5e
@user-ge3yd1tx5e Ай бұрын
Nyie simlisema kibu D Mzee wa mikimbio sasa ndo Amekimbia Ivo
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
UBAYA UBWELAAAAAAAAAA, mlikuwa buisy na kuinanga Yanga kumbe ndani kunafukuta,mmekomaa na magoma mkasahau sisi tuko kazini,mtalia mpaka tuzubiri msimu uanze
@user-xq8pq2ey6t
@user-xq8pq2ey6t Ай бұрын
Hatuna misiba kama ya kwenu nyani nyie nyuma mwiko🐸🐸🐸
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga Ай бұрын
😂❤😂
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Sema hawezi kwenda popote kama kawaida yako,we una gundu na msimu ujao ndo balaa kabisa
@FatmaKhamis-p4o
@FatmaKhamis-p4o Ай бұрын
Acha usenge endeleeni na yarais wenu mambo ya simba hayawahusu fyuuuuuuu
@user-if2mj2sy8i
@user-if2mj2sy8i Ай бұрын
Mlimwaidi gari mlimpa acha uwongo ubaya ubwera Wacha asepe uyo ndo kibu anakibia sana😂😂😂😂😂
@Wallacenyusi3326
@Wallacenyusi3326 Ай бұрын
Kwanini haya mmeyasema leo nawakati mmekuwa mnasema kwamba haendi popote ? Wewe semaji, ujiangalie vizuri kwasababu unadanganya sana na haya ndo yatakufuwata baada ya msimu kuanza. Unadanganya wana simba ata kuogopa hauogopi ???
@adventureernest5599
@adventureernest5599 Ай бұрын
Sasa kashalipwa Kila kitu maana huo ni wizi ungesikia hajalipwa pesa ndo ungesema Ahmed ni muongo
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Ай бұрын
Baadhi ya rasta wanavutaga bangi, itakua ni bangi tuu
@emanuelwilliam-r5c
@emanuelwilliam-r5c Ай бұрын
Mfanye maamuz yaliyo sahihi kwa skil ya wachezaji wengine
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
CHEKESHA TV
Рет қаралды 14 М.
GB 64 SIMBA ISIPOCHEZA MUDA MREFU TUNAUMWA, TUNAKOSA RAHA
15:00
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 7 М.
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 58 М.
GB 64 AMLIPUA HAJI MANARA KISA AHMED ALLY, ANAZUNGUKA TU ZAIY LISSA
12:06
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН