KMC NI UWANJA WA YANGA | ALLY KAMWE "SIMBA WANAUMIA" | AUITA WANANCHI COMPLEX | SIKIA CHECHE ZAKE..

  Рет қаралды 2,471

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Пікірлер: 15
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 9 күн бұрын
Daaaah hakika mzee ule wetu 😂😂😂🎉🎉🎉
@AshelyDidas
@AshelyDidas 9 күн бұрын
Miwani sio poa
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 9 күн бұрын
😂 tumewakwepa chamanzi kwa ajili ya juju😂 huku tena mmeifuata. Japo ni utani ila sidhani kama simba imeshawahii kusema ni uwanja wake.zaidi ya kusema kuwa itautumia kama uwanja wa nyumbani.
@EmaxiellEfazz
@EmaxiellEfazz 7 күн бұрын
Bado haujasema
@franccoz94
@franccoz94 9 күн бұрын
HII TEAM KWA KUPENDAA KIKI NIKAMA HAMORAPA TUU,TUWAITE HARMORAPA FC
@errydeo8865
@errydeo8865 9 күн бұрын
Ndo maana imewaburuza mara 3 mfululizo!
@EstherMagan-v1i
@EstherMagan-v1i 9 күн бұрын
Ukiwekwa msemaji usijisahau kuwa kuna siku utaiacha hiyo kazi jalibu kuwa na kiasi na maneno yako hii ni dunia hii ni tazania ya amani si chuki basi uwanja ni yanga tumejua kauweke kabatini wengine wasitumie yanga wakitaka kutumia mnautoa tumechoka na chuki zako
@errydeo8865
@errydeo8865 9 күн бұрын
Nafikiri una uelewa mdogo wakuchambua kitu! Huyu analipwa kuongea kama woote wasemaji walivyo! Akisema 'uwanja wetu' ana maana ya kwamba ni uwanja wa Halmashauri,club yoyote inaweza kuutumia! Hawa wanachofanya ni KUWAKERA SIMBA! Na ana jeuri ya kuongea kwasababu Yanga inafanya vizuri! Hebu fikiria simba INGEKUA inafanya vizuri sasa, Ahmed angekua anaongeaje ? Make yule ndo mpuuzi kabsaa ,anapenda kukera pia! So sioni ni kwanini unasema mambo ya chuki! Hawa kazi yao ni kukera na, ukiwachukulia PERSONAL,my dear utateseka saaana! Na kwa taarifa yako huyu na Ahamed ni marafiki hata Ibwe! Kazi yoyote ile inaweza kuja na kuondoka! Enjoy hiyo kazi ukiwa nayo! Ally anaenjoy kazi yake! Na ana kila sababu ya kuenjoy...
@user-pv3ip3uk2s
@user-pv3ip3uk2s 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Mo_kiddMsangi
@Mo_kiddMsangi 9 күн бұрын
Mgonjwa si bure kweli ni komedian mjomba nenda futuhi
@EstherMagan-v1i
@EstherMagan-v1i 9 күн бұрын
Huko tukoelekea si pazuri watu wakumbuke kuwa simba ni ya tanzania pia huyo roho anayewapa kiburi siyo hizi timu mnazijea chuki na chuki huzaa mauti
@errydeo8865
@errydeo8865 9 күн бұрын
Sio kweli! Ni fikra zako,kama nilivyosema
@EstherMagan-v1i
@EstherMagan-v1i 9 күн бұрын
Ukiwekwa msemaji usijisahau kuwa kuna siku utaiacha hiyo kazi jalibu kuwa na kiasi na maneno yako hii ni dunia hii ni tazania ya amani si chuki basi uwanja ni yanga tumejua kauweke kabatini wengine wasitumie yanga wakitaka kutumia mnautoa tumechoka na chuki zako
@mwanangusana
@mwanangusana 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂 unawez kulia
"PALE YANGA NAMBA YANGU IPO" MSIKIE FEISAL SALUM AKITEMA CHECHE
10:53
WOLFS SPORTS MEDIA
Рет қаралды 769
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 62 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН