UBORA WA SIMBA NDO UMEWAFANYA SINGIDA KUONEKANA KWA KIWANGO CHA CHINI, BIGUP SANA LUNYASI🎉🎉🎉🎉🎉
@elizabethmajaliwa51892 ай бұрын
Semaji lafaida🙏
@YusuphZacharia-iu4cz2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@limamanyanya38352 ай бұрын
Semaji la CAF unazingua katoa assist 2 na kafunga goli 1
@CareenJulias-iu7tf2 ай бұрын
Semaji fanyeni liwezekanalo Aouhua aelewe lugha anatufurahisha Sana (Kiswahili na English)
@Eligidiusjohn2 ай бұрын
Farasi uliyempanda kamwe hakutishi mwendo!! Kwo chama hata afanye mazuri Gani hakutishi hata siku moja
@omaraonasir43612 ай бұрын
Huyu Jamaa anaongea kama matako
@juliusringo7102 ай бұрын
Bado hujasema utasema tu 😂😂😂
@philemornmutta15972 ай бұрын
Semaji pri asist ya goli la Mkwala katoa Ahua ameasist mala mbili na kufunga goli moja so kahusika kweny magoli yote 4
@trickasbrand42852 ай бұрын
Gori la mukwala assist alitoa kapombe, Na Ahua Katoa pasi Kwa Balua Gori la Kwanza Na Kwa Mashaka Gori la mwisho
@philemornmutta15972 ай бұрын
@@trickasbrand4285 priasist nimemaanisha kabla kutoa assist Kapombe kapokea mpira Kwa Ahua boss
@Khizer-o7p2 ай бұрын
Semaji la Ulimwengu😂❤❤
@AmirAbdallaJuma-k4m2 ай бұрын
Assist katoa mbili semaj wetu
@fadhilidini11812 ай бұрын
semaji bora zaidi kuwai tokea tz
@RamadhanKaneke2 ай бұрын
Eti. Simba kacheza na team yenye kiwango cha chini asa kwan nyie hamto cheza nao je nanyie mkiwafunga na sisi tusema nin. Kila team ilipo kwenye ligi kuu bc ni team nzulii iyo isingekua nzuli bc angekua dalaja la kwanza au la tatu uk
@MatokeoEmmanuel-h2m2 ай бұрын
Ahour
@AdamMwombeki2 ай бұрын
Akina kitu aoo Kwa mkara
@a_b.r.a.h.a.m-62 ай бұрын
Ahoua 😂🙌
@AmirAbdallaJuma-k4m2 ай бұрын
Katoa assist mbili
@kefangendwa33362 ай бұрын
Na goli juu
@TwahirBurhan2 ай бұрын
MMECHEZA NA TIMU YA KIWANGO CHA CHINI SANA TENA GAME ZOTE MBILI..SUBRINI GAME YA AZAM NDO NTAONA KWAMBA TIMU YENU BAAADO SANA!
@SheilaMkamla2 ай бұрын
Unaumia ukiwa wapi ndugu
@derislove76912 ай бұрын
@@SheilaMkamlatumuulize anateseka akiwa wapi😂😂😂 tumpe majiii
@mtamanijohn2 ай бұрын
Najuwa unaumia sana, magoli 4 saaf kbs timu mbov zipo huko ligi daraja la kwanza ligi kuu ni ubaya ubwela
@angellomarcel56772 ай бұрын
We unatakaje.. Kanye kwanza
@makamelila2 ай бұрын
Simba imecheza na Tim ya kiwanhi Cha chini sawa lakini jee waliovheza na watu 8 jee nahatavuwanja hawana wao vip