Kama kuja Simba aje Nzengeli hao Azizi k na Pakome wameporomoka kiwango. Tunamtaka Fei Toto ndiye anayeendana na Simba kwa kucheza na hata kwa Umri. Hao wengine wawili hawana namba Simba. Ni Nzengeli tu na Fei wanaoweza kucheza Simba. Hatutaki wazee.
@thadeylyimo97722 ай бұрын
wakati mnamwaza pacome, engineer ameshawaza replacement yake...
@AllyjumaSwadi2 ай бұрын
Hilo kweli kaka viwango vimeshuka yaan Yule ki azizi si Yule msimu uliopita ukweli unaumaa😂😂😂
@MsokaBolamu2 ай бұрын
Max sasa ivi Ana hitwa chauch boy
@Userog2542 ай бұрын
MANARA CO MTU MZURI ALICHOKIFANYA KWA SIMBA BAADA YA KUONDOKA NDIO ANACHOKIFANYA KWA YANGA BAADA YA KUKATALIWA😂😂😂
@AbdallahMbunda-x2r2 ай бұрын
Mechi 8 Aziz kaisha lo watanzania mnachekesha sana juzi kakiwasha singida wamekubali yanga ndio wanaanza sasa
@patricksimango29352 ай бұрын
Nakupenda kwa sababu unasema ukweli.
@thadeylyimo97722 ай бұрын
Yanga wanacheza mechi 7 ndani ya siku 21... Sasa wewe endelea kukariri kuwa yanga imeshuka.... Leo nimekuona wa hovyo sana...
@hawamasanje95892 ай бұрын
Frigi Bovu umezungumza ukweli Mimi naona yule dada kamharibu mtoto wa watu Azizi Ki ajirekebishe mimi ni Yanga naumia kwa kweli Azizi Ki ameharibika amwache huyo mdada tunaomba Haji manara atengue yale maneno kumtambulisha Hamisa siku ya Yanga day Rais tunaomba fuatilia hao wachezaji kwa mtindo huo hatutoboi mwaka huu na tutafungwa mfululizo
@carolinemasonga64292 ай бұрын
Hata Samson hakupona kwa Delila.🤣🤣🤣
@errydeo88652 ай бұрын
Huyu ka demu! Kesho utasikia oh Aziz bado kiboko! Huyu anasubiri YANGA ifungwe
@BakariHassan-b1k2 ай бұрын
kilicho muharibu aziziki hauja kijuwa ila sio hamisa mabeto huku ni uswa hilini ujuwe Yale ni mambo ya Giza kwani wakati wanabi SI tuli sema hana mana tuna kuwa waja wa kusahau mara sana
@BakariHassan-b1k2 ай бұрын
hamja kijuwa kilicho muharibu aziziki njinji tupo uswahilini hapa hizo ni nguzu za Giza kwani yeyetu ndiyo anae lala nawana wake wacheziji Wana umizwa na uswahili bana
Friji bovu nakuelewa sana mwamba we mchambuzi kweli mungu akuweke friji bovu unabaya❤❤❤
@EliasCosmas-qp6gn2 ай бұрын
Asante bro Kwa hii elimu itawasaidia Sana Hawa viumbe wanajikuta Ustaa Sana na kujisahaulisha unatoka sex unaenda uwanjani hiyo energy nguvu inatoka wapi🤣🤣🤣
@SalimRamsei-ok9el2 ай бұрын
Duuh aiseeee kumbeeeee
@PiusLaymond2 ай бұрын
Hili lijamaa ni limbea sanaaa
@filyakusimsigwa50062 ай бұрын
Huyu jamaa yuko sahihi kama yanga anatukumbusha tupo wapi kuna kakichaka kabaya kanakotutafunia wachezaji wetu
@francismwaipopo50462 ай бұрын
Pacome mzee Simba tunataka vijana, bora tumchukue Aucho
@am_sportshub2 ай бұрын
Me ninachofurahia ni kwamba alivyokuwa anaondoka NABI mlisema kuna anguko hivyo hvyo.........wachambuzi wa mchongo mnajisahau sanaaa
@BakariHassan-b1k2 ай бұрын
kwani kipato kila siku lina kiwa sawa njnji wachambuzi vyura mkeshe kuyaona maji mna anza kushaukwa na kuanza kupiga kelele kaporomoka mikson na kaenda seuze aziziki mna waumiza kiuswahili halafu mjidai njoko zenu njinji
@wellingtonngondo16342 ай бұрын
Ongea Kwa data tukelewe hii ni sayansi
@Ramadhanduruduru2 ай бұрын
Mobeto kamhalibu Aziz ki huo ndio ukweli.
@dalmasokoth41902 ай бұрын
Nakuelewa Friji bovu ila unapochambua kiwango cha Aziz Ki kushuka hebu jaribu kuzungumzia na kiwango cha Feisal. Maana msimu uliopita wote wawili walikuwa kwenye battle la ufungaji bora. Lkn msimu huu Feisal ana magoli mangapi? Assist ngapi? Na Aziz Ki ana magoli mangapi na assist ngapi? Je na yeye Feisal anatoka na mobeto?
@stevensosipita2 ай бұрын
FRIJI BOVU KAWA MSENGE MSENGE KUTWA KUISEMMA VIBAYA YANGA LEO NYOKONYOKO KESHO NYOKO NYOKO BRO UNAFELI WAPI AISEE MBONA UMEKKUWA KAMA MWANAMMKE MALAYA?? AU UNAPAKATWA AISEE??
@FatmaHamad-g6s2 ай бұрын
Hamisa kasha mmaliza
@IIbrahimAhmedKassa2 ай бұрын
Watu gani hao wanaosubir anguko la Yanga kaa siyo usengewako Nini mbwa ww
@JosepgGeorge-xu2ie2 ай бұрын
Wachambuzi wa michongo mmekutana hakuna lamaana
@henelckneatunga27202 ай бұрын
ENDELEENI KUJIFARIJI HUKU BILA KUJUA MWAKA HUKU TEAM ZIMESAJILI KULIKO MSIMU ULIOPITA
@LindaMbilinyi-n3n2 ай бұрын
Aibu naona mm😢😢😢😢wenyewe wanaendelea kujifarij kwa alama tatu mbona tunazipata wakat alama tatu zenyewe marefa ndo wanawasaidia😂😂😂😂😂😂
Kaka yanga kwasasa nikama mpapai ulo zeheka unazalia juukabisa unaishia kutani tunda na hulipati 😂😂😂😂😂😂😂
@hockingsshangali17472 ай бұрын
friji bovu bovutuu . wanaongoja ni pamoja na wewe tunangoja sana kwa hilo .umefuliaaaaa
@josephntungiye62322 ай бұрын
Good message delivered 😊
@rexgodwill73532 ай бұрын
Wachezaji wa yanga wahangaikie nini uwanjani? Wacheze wasicheze wanashindishwa.. Yanga wanaharibu timu ya taifa na viwango vya wachezaji wageni kwa mbinu zao mbovu nje ya uwanja kupata ushindi wa Bure wachezaji hawajitumi Tena
@Arrifhamad-k8h2 ай бұрын
Ww vp kijana jifunze kuchambua mpira sas kila siku ww unatak mchezaj afaiti tu hakuna ilooooo
@Arrifhamad-k8h2 ай бұрын
Mpira kupanda na kushuka ni kawaida t kwenye Manisha ya sola ww vp kijanabon hujielew
@HarunakiongoziMohamed2 ай бұрын
Wewe fala unaleta unafiki,halafu pacome wakawaida,sana tumecheza robo fainali bila huyo.nyau
@RashidiMwiga2 ай бұрын
Duh! Tetesi tu tayari mmeanza kumpondea pacome
@SamsonNestory-e6e2 ай бұрын
Huna hakili kwenye kochwa chako
@zainabumsimbazi24812 ай бұрын
Hamisa alitumŵà na simba kumharibu azizi ki
@AminaMsimbe2 ай бұрын
Mavi yenu mnasema wazee mara wanakwenda Kwa madunduka Kwa hiyo wamerudi kua vijana? Muwakome
@denismalembeka18712 ай бұрын
Weee acha kuchafua wa chezaji wetu hizo timu zako zote zilizo cheza na yanga zilikuwazinapaki bas sasa m ataka wa hezaji wacheze vipi
@OkinadNdashao2 ай бұрын
Ww haujawahi kuwa mkweli
@Fei-l4x2 ай бұрын
Unatoa suruuu gani wewe kichwachako wewe azzi bado matter of time kaka azzi nimda tu yupo vzl sana
@leemabibaphotography80532 ай бұрын
Romalisa aludishwe
@WilfredChomo2 ай бұрын
Mungu iponye Yanga.Rejesha kiwango Chao.Asante kwa kuwa umesikia.
@WilfredChomo2 ай бұрын
Malipo ni mkataba na ni Siri. Friji usidanganye watu.
@khalifasaidi70012 ай бұрын
Mmepoteza taswira ya usimba mmejivusha taswira ya ufisi chore choreni picha za mafisi
@gabriel-dh3qn2 ай бұрын
Hakuna unachokijua wewe mchambuzi na huyo mwandishi anayekuhoji! Hamjui mpira nyie! Wewe Yanga unaanza kuijua Leo??? Kiwango kilichoporomoka umekiona wapi? Hamjui mbinu anazotumia Mwalimu! MECHI ziko nyingi mnadhani bila kubadili mbinu utashinda??? Ninyi hamuishi bila kuitaja YANGA!
@bahatikwiligwa83432 ай бұрын
Mipango wenu Sio mzuli mmejipanga kuwaumiza wachezaji wetu harafu mnaongea ongea tu ujinga nani anataka kuumia acheni zenu hizo mkalia kuwasema tu wachezaji wayanga ndo mnatafuta kiki
@PiusLaymond2 ай бұрын
Wewe tuliaasa
@HemedSalum-u2v2 ай бұрын
Muongo wewe Ayubu ndo mchezaji analipwa ela nyingi