AHMEDY ALLY ALIVYOFURAHI BAADA YA YANGA KUTOLEWA NA MC ALGER/ SASAHIVI NI WAMAKUNDI TU

  Рет қаралды 31,425

Photoa TV

Photoa TV

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@SaudaMsangi-w1m
@SaudaMsangi-w1m 9 күн бұрын
Nakupenda sana semaji letu
@emanuelndamo
@emanuelndamo 8 күн бұрын
Semaji la caf🙌🙌
@AbibSaidy
@AbibSaidy 13 сағат бұрын
Semaji la nguvu moja inayo watesa na kuwakimbiza majirani 😂😂❤
@HeriethMakule
@HeriethMakule 3 күн бұрын
Amesoma na anachezea nafas vzr
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 9 күн бұрын
HKL History, kiswahili na Geography 😂😂😂 , Ahmed unazinguwa
@joyceshayo576
@joyceshayo576 9 күн бұрын
Kateleza kwa sababu ya furaha, sio geography ni language
@MakokoLaMdoGo
@MakokoLaMdoGo 9 күн бұрын
Hahahahaaaaaaa umetishaa kaka awa nyokweeeee 🐸
@lucasyusuph-hj5er
@lucasyusuph-hj5er 9 күн бұрын
Nguvu mojaaaaaaaaaaaaaaa 😅😅😅😅😅
@SamsoniKaka
@SamsoniKaka 12 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏🦁🏆♥️🇹🇿💪💪💪🙏🙏🙏
@Yusuphudaniel-n6n
@Yusuphudaniel-n6n 9 күн бұрын
Nikiwa naomba mungu huku na sangia kunguni😂😂😂😂😂
@fatoommeraje2133
@fatoommeraje2133 10 күн бұрын
Utopolo ndio jinga hovyo wajifunze
@imanimelchiory6866
@imanimelchiory6866 9 күн бұрын
Eti Bahati Bukuku 😂😂😂😂😂
@josephfalaghamoja7800
@josephfalaghamoja7800 12 күн бұрын
😂😂😂😂😂tuliosikia konyooooo 😅😅😅😅😅😅😅
@MwajumaZaid
@MwajumaZaid 12 күн бұрын
Kabisa Yan .......💯...😅😅😅😅
@kassidpandu866
@kassidpandu866 12 күн бұрын
Daaa huyo jamaa lakini anajua kukera jamani
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 9 күн бұрын
Jane na Ahmed naenjoy san interview zenu pmj 😂😂
@ANZURUNAMAN
@ANZURUNAMAN 5 күн бұрын
Ubaya ubwela
@MeoexaOsca
@MeoexaOsca 8 күн бұрын
Waaambiye
@CasemiroRaheem147
@CasemiroRaheem147 10 күн бұрын
HKL history kiswahili ba geography 😂😂😂😂 Semaji la CAF umenichekesha
@ajibchinguwile6127
@ajibchinguwile6127 12 күн бұрын
yanga kocha hafai kwa kupanga kikosi dhaifu hasa mudadhir ,musonda hna kuwaacha bench pakome na Chama
@MagrethEmmanuell
@MagrethEmmanuell 12 күн бұрын
Chama ana msaada gn ss
@EzekielEzekiel-yd1xt
@EzekielEzekiel-yd1xt 9 күн бұрын
Hahahaha😂 hili jmaa linaongea San mwakan kushwa
@EzekielEzekiel-yd1xt
@EzekielEzekiel-yd1xt 9 күн бұрын
Hili jamaa kamdomo san natamn nilisikilize usk kucha 😅😅
@ABDULSWAIBU
@ABDULSWAIBU 8 күн бұрын
Wakageratupo simbamoja zamalek nawaogoakaka
@jbandrewyoung9421
@jbandrewyoung9421 12 күн бұрын
Yanga hawana kikosi Cha kwenda robo fainali
@thomasbundala1159
@thomasbundala1159 10 күн бұрын
Unaongea kwa uhakika na uthibitisho labda ni ubishi tu.
@DaudiNasari-o9r
@DaudiNasari-o9r Күн бұрын
Walijitamba San aoooooo yumbani kusa achia rundi hom
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 12 күн бұрын
Sawa furahi
@MariaSenyegalo
@MariaSenyegalo 12 күн бұрын
Hayo manen ya mjinga tutabakia kuwa mabingwa yanga tunataka nyinyi mfike fainal
@KassimhamadMakwawa
@KassimhamadMakwawa 12 күн бұрын
Kafilwe hiko
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 12 күн бұрын
😂😂😂
@FinaKawiza-sw5dw
@FinaKawiza-sw5dw 10 күн бұрын
Nikaguna nikasema konyooo
@MARACKMESHACK
@MARACKMESHACK 10 күн бұрын
Nyuma mwiko
@VumiliaKyabo-k7n
@VumiliaKyabo-k7n 12 күн бұрын
Yanga mmejamba
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 12 күн бұрын
ahmed ally, naomba kutofautiana na wewe kwenye hilo la matamshi yako ya kumfedhehesha mtani. sioni kama ni busara sana. kama tunajua sisi tu wakubwa kwenye mashindano hayo basi hakuna haja ya kumtolea shombo mwingine. waache watuseme kisha tujue wanajifunza. Mungu akusamehe, atusamehe na kutusaidia. asituadhibu kwa sababu ya majivuno yetu. Mungu atubariki, Mungu ibariki simba sc
@KassimhamadMakwawa
@KassimhamadMakwawa 12 күн бұрын
Kwenda
@charleznicholas416
@charleznicholas416 12 күн бұрын
Wewe ni nyuma mwiko,,, humsikii Ally Kamwe anavyoitusi Simba?
@elesianakabuje5832
@elesianakabuje5832 11 күн бұрын
Ukijua MAANA ya watani wa jadi utaelewa nn semaji anamaanisha...kukerana ni kawaida ndugu so tulia
@AugustinoShija
@AugustinoShija 11 күн бұрын
Weweeeeeeee hakuna cha kuwaonea huruma mbwa hawa ni kuwananga tu mpaka akili iwakae sawa 😂😂😂😂😂
@JofuleydanieliMadeje
@JofuleydanieliMadeje 12 күн бұрын
Koma ww
@JumaAlly-fb3xq
@JumaAlly-fb3xq 13 күн бұрын
Ety bahati bukuku😂😂
@husseinmsangi1152
@husseinmsangi1152 12 күн бұрын
Kwani na ud songo simlitolewa hatua za awali na mkatolewa na makirikiri! Uwe na kumbukumbu
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 12 күн бұрын
😢hujaomba umeroga wewe Yanga isifike robo fainali.msamge wewe....😮😮😮😮
@ANNASTAZIALUCAS-b4f
@ANNASTAZIALUCAS-b4f 10 күн бұрын
Wewe ni nyumbu kabisa huna at akili unoongea kama mtoto kumbe kubwa jinga ovyo
@YahayaBakari-e5y
@YahayaBakari-e5y 7 күн бұрын
Unaumia sana mdada Bado ngoja ikuingie
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Magoli Yote Simba vs CS Constantine 2-0 Highlights leo 2025 Simba sc vs CS Constantine
12:09
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 389 М.
JEAN CHARLES AHOUA (JINI) ANAYAWATESA WENZAKE.
4:00
kefa sika
Рет қаралды 37 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН