AIBU! AKOSA IPHONE 14 KISA KUCHEAT, KAJA NA BWANA MWINGINE

  Рет қаралды 157,242

KIREDIO

KIREDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 334
@gerfasiamwingira4827
@gerfasiamwingira4827 11 ай бұрын
Content nzuri sana, kiredio unafanya kazi nzuri sana, but kuna shida hutupei conclusion, embu jaribu kutuunganisha matukio since unaongea na jamaa hadi una kutana na binti and conclusion ilikuwaje
@viatuvikali4938
@viatuvikali4938 11 ай бұрын
Yes
@user-fz3dg2fr6bl
@user-fz3dg2fr6bl 11 ай бұрын
Yah that's true afanye follow up😊 kuunganisha couples
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 11 ай бұрын
😂itakuwa movie sasa
@mercyabdallah3037
@mercyabdallah3037 11 ай бұрын
Hapo tutakuwa tunapigwa mkisema iwe hvyo
@Adeen.1
@Adeen.1 11 ай бұрын
No hii nimegundua ni njia ya kweli hata we unaweza mtumia mpenzi wako zawadi ili kuprove atapokeq mtu sahihi?
@dainesszuber7404
@dainesszuber7404 11 ай бұрын
Yaani hii kila muda naangalia na nacheka sanaa ndugu zangu uaminifu ni muhimu sana Mumewangu popote ulipo Nakupenda sana na kamwe sito kucheat nimelidhia na wewe❤❤❤
@theresiamtewele6165
@theresiamtewele6165 11 ай бұрын
Vip kuhusu yeye hakucheat pia😁😁😁
@medyelira
@medyelira 11 ай бұрын
😅
@queensalema5262
@queensalema5262 11 ай бұрын
Watu wanapewa had iphone mm hata w kunihonga kiswaswadu hakunaa 😢cjui nafel wap
@agnesmasoud950
@agnesmasoud950 11 ай бұрын
Hio lazima
@clintonvlogs4257
@clintonvlogs4257 11 ай бұрын
Long distance relationships huwa hazifanyi kazi, great content.
@Wdtv898
@Wdtv898 11 ай бұрын
Hao ndo wanawke wa tanzania sasa❤
@shazyahya4121
@shazyahya4121 11 ай бұрын
Hii inaonyesha wazi 80% ya wanawake wa chuo sio waaminifu cha msingi vijana wanatakiwa kua makini mpende demu kwa maslai tu ya kung'ata na kupotea hata ukisikia rafiki yako amekula demu wako usigombane nae hii generation marafiki muhimu sana kuliko mademu wa chuo ni kausha damu
@paulmrema1083
@paulmrema1083 3 ай бұрын
napenda kuona watu wanateswa na mapenzi...😅😅😅
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w Ай бұрын
One day na ww utakuja kulia 😂😂😂😂
@ibrahimally5055
@ibrahimally5055 11 ай бұрын
Kiredio et "mnakunywa soda au?" 😂😂😂😂
@albamwanja4304
@albamwanja4304 11 ай бұрын
Mmmh inatisha sana. Focus on yourselves gentlemen it's a really cold life in this eraa
@tabithayohana8573
@tabithayohana8573 11 ай бұрын
Mungu wangu weee demu kashamjua mshikaji wake ooh my GOD
@FaudhiaSwalehe-tp9ox
@FaudhiaSwalehe-tp9ox 11 ай бұрын
Kiredio wew mungu atakupa kiti chako
@NellyFrenk-vr6mz
@NellyFrenk-vr6mz 11 ай бұрын
Khaaaaaaaaaaa hii ni hatar jmn wanawake tumezidi jmn duuuuuu sijawah kukoment chochot lkn Leo imebid niongee neno duuuuuuu kama wap wadada wa hivi siku yatakuja kuwakuta mamb haiwezekani mtu ana kuhudumia au anakufanyia Surprise Kam hiy ww unaleta mambo ya ajabu na ya haibu pia khaaaaaaaaaaa 🙆🏽
@NellyFrenk-vr6mz
@NellyFrenk-vr6mz 11 ай бұрын
Na pia pongezi ziende kwakwako kiredio watu watajifunza na kujirekebisha kupitia ww
@daimavlog
@daimavlog 11 ай бұрын
Kiredio leo umepigwa na kitu kizito siyo kwa kukujia na shemeji yenu😂😂
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 ай бұрын
Ila wa tz kwenye sekta ya mahusiano sio wa kweli kabisa hii ya Leo kiboko kiredio hata kama aliokutuma kajionea live
@zainabjordan5659
@zainabjordan5659 11 ай бұрын
Part 2 please
@nuratirama
@nuratirama 11 ай бұрын
Daaah jamani inauma sana
@oscarjohn477
@oscarjohn477 11 ай бұрын
sasa ndo useme kiredio ameishiwa nguvu oviasiii😂😂
@ByamunguGentil-su8ox
@ByamunguGentil-su8ox 15 күн бұрын
Oya kiredio mm natak ugombanishe watu hadi wadowame meno mwanagu 😂😂mm wana wake ame kula hela yang nying sana aise 😂😂😂😂
@JuliusKimonga-x8e
@JuliusKimonga-x8e 11 ай бұрын
Kiredio part2 plz
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 11 ай бұрын
Tuko confussion😂😂😂😂😂
@MinaNillan
@MinaNillan 11 ай бұрын
Mbona bahati hiizi sipati mm mungu wangu jamani
@JamesOwen-rp3if
@JamesOwen-rp3if 11 ай бұрын
Njoo nikupe bahati😂
@asmahasanirashid5059
@asmahasanirashid5059 11 ай бұрын
Ila mnasaidia mna hueenda watabadirika
@JanethMaumbi
@JanethMaumbi 11 ай бұрын
Alafu ni wajina eeh Yesu😢
@dianerditto
@dianerditto 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂daaah...wazee wa kuachanisha mahusiano yaliyofika hatua ya mwisho😅
@blackeagle4441
@blackeagle4441 11 ай бұрын
😆😆😆 sijapentaaa
@amosdeo9534
@amosdeo9534 11 ай бұрын
Inachekeshaaa😂😂😂😂😂😂 Hali ya bwan mahusiano ni teteeee
@-_GOGO-L-BAHRY_-
@-_GOGO-L-BAHRY_- 11 ай бұрын
Ila nimefurahi SANA man,pale alipo mtambulisha BF wake kabla.
@nnieraudhwa8611
@nnieraudhwa8611 11 ай бұрын
Sasa kiredio ikawaje 😅😅mbona mtu aliinuka tuu then fyuu au alivunja camera😂😂😂😂
@bluelionboyhistory6591
@bluelionboyhistory6591 11 ай бұрын
Mbona haijaisha😢😢
@irenembeyani-hb2zm
@irenembeyani-hb2zm 11 ай бұрын
Mnipee hyo simu mm nina kazi nayo😊😊😊
@BrightonemediaTz
@BrightonemediaTz 11 ай бұрын
😂😂
@Masterclass_Pi
@Masterclass_Pi 4 ай бұрын
@Kiredio Kiukweli nimechelewa kuiona hii ila huyo dada hapana aisee.... Kanikumbusha nilikutana nae Ze Bistro😅😅
@nnieraudhwa8611
@nnieraudhwa8611 11 ай бұрын
Mr UK simu ulikuwa unaficha wapi😂😂
@bashiriissahmgannah5738
@bashiriissahmgannah5738 11 ай бұрын
Weee kiredio wewe Mungu anakuona 😂😂😂😂 nakukubali kinoumaa
@matildamushi1741
@matildamushi1741 11 ай бұрын
Mnakunywa soda au?😅ila wanawake tuache tamaa.
@hussainmawanjila685
@hussainmawanjila685 2 ай бұрын
Mbagara lini kak
@princessnaji2370
@princessnaji2370 11 ай бұрын
jaman kiredio na mr uk 😅😅😅 haraf mr uk nilikuona kwenye mr right
@michaelbigvai1199
@michaelbigvai1199 11 ай бұрын
Somo la kuondoka nalo hapo jifunzeni kuweka mbali camera
@michaelbalele929
@michaelbalele929 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 oya mlipona maana at atujaelewa kilicho endelea😅😅😅😅
@dottocharles9645
@dottocharles9645 9 ай бұрын
ndo nn sasa hata aieleweki imeishaje
@JasmineKitiku
@JasmineKitiku 5 ай бұрын
Ila kiredio jamn😂😂 muone namaliza bando lang kila siku mpaka nakopa 😅😅😅😅 kisa hiz mamb zako I love you
@mercyabdallah3037
@mercyabdallah3037 11 ай бұрын
Kiredio kiredio 😂😂😂watakuloga harafu iringa marufuku tutakuselemani😂
@mollayunes
@mollayunes 4 ай бұрын
Kamwene mnyalukolo😅😅
@JARIRY
@JARIRY 11 ай бұрын
karibu singida mzee mwenyewe uje ukiwashe kwa wanyaturu😂😂😂
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 11 ай бұрын
😂z😂😂😂😂😂huko hatar
@lucykiria6340
@lucykiria6340 11 ай бұрын
Tuweke part 2 yake sasa
@popoescobatz
@popoescobatz 11 ай бұрын
Tunataka part 2😂😂😂😂
@fatmaally9943
@fatmaally9943 11 ай бұрын
Jamani mapenzi haya 😢
@goodluckmzuzuri
@goodluckmzuzuri 4 ай бұрын
Dah!! Kadadaa kamechanganyikiwa!! Baada ya kujua kayakanyaga hataki kuharibu pande zote! Ni nouma wadada wa chuo
@dinaalfani
@dinaalfani 11 ай бұрын
❤❤❤❤ kiredio kaz nzur komesh michèpuko
@FaudhiaMiduma-hh6sv
@FaudhiaMiduma-hh6sv 5 ай бұрын
😂😂😂
@NancyTaison
@NancyTaison 11 ай бұрын
Nzuriiii sanaaaaa watuuu waaachee kuchety
@raphaelnyigo8740
@raphaelnyigo8740 11 ай бұрын
Au mlipigwa?
@LucyMalingumu-xb2vp
@LucyMalingumu-xb2vp 11 ай бұрын
Ds dodoma ❤❤
@medyelira
@medyelira 11 ай бұрын
Post party 2 please bhn, alaf muwe mnapost full video hivi inakua inaboa sana😢
@damasmarungu2520
@damasmarungu2520 10 ай бұрын
Sasa huoni camera imevutwa
@mvumafamiliy
@mvumafamiliy 11 ай бұрын
Ulikua unaulazima wa kuuliza kama anaweza kupigana, picha linaanza jamaa kavuta kamera sijui nyie mpo kwenye hali gani 😂😂😂😂😂
@ElizabethNhumbi-dp7ym
@ElizabethNhumbi-dp7ym 11 ай бұрын
kiredio pole kwa kweli Du
@suleimanmarumbo.5965
@suleimanmarumbo.5965 4 ай бұрын
Hii nimecheka sana
@HappyHappy-i4p
@HappyHappy-i4p 11 ай бұрын
Part2
@YFM-rq9td
@YFM-rq9td 9 ай бұрын
Ndiyo maana mimi huwa nasema hawa wanachuo wanaungana chuoni kwamba wote wametoka makwao wapo single,,,,kwahiyo ni mushikeri tu kwa kwenda mbele -------
@mubarakhassan2618
@mubarakhassan2618 11 ай бұрын
Kwan imeisha j
@lilymuro8882
@lilymuro8882 11 ай бұрын
Mwendelezo
@AngelChino-v8f
@AngelChino-v8f 2 ай бұрын
Kiledio mm nataka nimchalenji mpenziwangu
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 ай бұрын
Wanawake haki kuna tuvitu tumemzidi adi shetani 😂😂😂🙌🏻 et msimpigie
@Kim-xr1yw
@Kim-xr1yw 2 ай бұрын
Eti unaweza kupigana
@AthumaniNyagali-uh9so
@AthumaniNyagali-uh9so 11 ай бұрын
Sema kiredio we mnafiki sana maswali gani hayooo😅😅😅😅😅
@ConsolataJohn-u1k
@ConsolataJohn-u1k 11 ай бұрын
Wew kiredio unaharibu mahusiano ya watu wew
@AirinSumeno
@AirinSumeno 11 ай бұрын
Tunaomba part 2 jaman uwiiii
@moseafrica1-ms5ko
@moseafrica1-ms5ko 7 ай бұрын
Daaaah ninomaaaaaa
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 11 ай бұрын
Nilikuwepo kiredio alitandikwa vibya sn now tupo naye hospital hpa🤣🤣🤣
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂yupo wap nije kumuona
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 11 ай бұрын
@@maimunaulotu2075 mloganzila hpa tunamuongeza shepu
@zainawangu5838
@zainawangu5838 11 ай бұрын
Content nzuri sana don't give up kiredio sisi wengine tunajifunzia hapa ❤🙌🙌ila unakata why utoi mpaka mwisho? Tunaoma part 2
@JescaMuyabi-ix8ly
@JescaMuyabi-ix8ly 11 ай бұрын
Safi mnajuakutunyoosha wanawake wenye tamaa
@zainawangu5838
@zainawangu5838 11 ай бұрын
​@@JescaMuyabi-ix8lybado hujasema 😂😂
@jeofreymsomba7200
@jeofreymsomba7200 11 ай бұрын
Dem mbaya
@janenyemba5080
@janenyemba5080 11 ай бұрын
Mbona rfk yngu @kiredio amepoa hivyo jmniiii hiyo iPhone naona turudinayo dar kijana akamnunulie mam shamba😅😅maana kuna mabinti wanacheza na akili za watoto wa wanawake wengne 😊
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 11 ай бұрын
Kipindi kizuri sana japo mnavunja ndoa za watu"lakini mbona hamfiki mwisho?
@innocentmshana6068
@innocentmshana6068 11 ай бұрын
this was btn chelsea vs brentford mkeka ukachanika mchana kweupeeee😁😁 maaapeeenjiii yatakuuuaaaa
@FatumaMrisho-iz2gh
@FatumaMrisho-iz2gh 4 ай бұрын
Jamani wa jins mbona unaniabisha ivo
@-_GOGO-L-BAHRY_-
@-_GOGO-L-BAHRY_- 11 ай бұрын
Sema Sasa,umefeli jambo moja mbona haijaisha.
@ShaziaKikoleka
@ShaziaKikoleka 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣bongo hii, tutafika tumechoka sana
@laurentgwasma4581
@laurentgwasma4581 3 ай бұрын
Asa mbn imeisha ivi 😢
@humphreymhule733
@humphreymhule733 11 ай бұрын
Inabidi nikutume na mimi maana😅😅
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 11 ай бұрын
Kuna watu wanaguvu zao waume wawili wawili kama viatu waah
@daimavlog
@daimavlog 11 ай бұрын
Siyo lazima ulale nao
@popoescobatz
@popoescobatz 11 ай бұрын
Kuna pozi amekaaaa kiredio nkajua teyaliii💔😂😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅yaaani utasikia m.mke mweny sura mbovu hawachit....hiv km kila mtu anataka pisi mbovu ila awe peke yke unadhn mtakua wangap 😅😅😅😅😅
@LuckyRollingHills-gl2rl
@LuckyRollingHills-gl2rl 5 ай бұрын
apa si shopers mbez beach😢
@LydiaStephano
@LydiaStephano 11 ай бұрын
Nimecheka mpaka nimekojoa 🤣🤣🤣🤣 umalaya huu jamani
@VijanaKkktmakoka14
@VijanaKkktmakoka14 11 ай бұрын
Hahahhhahahaa
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@happynkya9770
@happynkya9770 4 ай бұрын
hiii ndo ile mpenzi wako naye ana mpenzi wake
@maryrich
@maryrich 11 ай бұрын
Jmniii part two 😂😂😂
@AngelAfric
@AngelAfric 4 ай бұрын
😂😂😂 jaman mbona mmekatisha aah 😢
@silviaKokubelwa
@silviaKokubelwa 11 ай бұрын
Jamani wadada tunafer wapi
@bluelionboyhistory6591
@bluelionboyhistory6591 11 ай бұрын
Mpenzi wangu ajiandae namletea zawadi ila mshenga ni kiredio 😂😂😂😂
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin Ай бұрын
Kiredio umezingua tunapenda kuona hitimisho 😂😂😂
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 11 ай бұрын
apo Kwanza nicheke😂😂😂
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 11 ай бұрын
Naomba hili zoezi liendelee litasaidia wanawake wengi kuheshimu kuwa na bwana mmoja tu, naomba namba zenu nataka niwape Iphone 15 mukampe demu wangu asiponitaja nirejesheeni mwenyewe
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 11 ай бұрын
Jaman khaa 😅😅😅
@g_eazmusic1329
@g_eazmusic1329 11 ай бұрын
😢 kwann kila sku ni wadada tu
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 11 ай бұрын
Hii nmeikubali kuliko zote😅😅😅
@Skiddy-ki9eg
@Skiddy-ki9eg 11 ай бұрын
Hii mbaya kiredio
@RamsoMabumba
@RamsoMabumba 4 ай бұрын
Zanzibar tokae mzee
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 11 ай бұрын
Kijana upo Dom 😹😹
@LidyaKagondi
@LidyaKagondi 11 ай бұрын
Jamaa we utavunja mahusiano ya watu sana
@johvinndessa9793
@johvinndessa9793 11 ай бұрын
..... 🤣Aaaah Kmmke Pissi yenyewe Mbovu kis*ng afu ina cheat maaamae....
@sarahjoseph5411
@sarahjoseph5411 11 ай бұрын
Dada kama kweli una mashaka gani kiredio usipige cm hahahahhaha jmn
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 11 ай бұрын
Kumbe kiredio kupigana huwez,yn mm ningekudunda🤣🤣🤣
@OfficialNessa26
@OfficialNessa26 11 ай бұрын
Saaa Huuuu siuchonganishiii wakati wadada wa BONGO mnawajua
@irenenicodemus2104
@irenenicodemus2104 11 ай бұрын
Asa mbn mwisho hatujauona
@leoniayoram
@leoniayoram 4 ай бұрын
Kiredio nampendeaga Woga 😅
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 11 ай бұрын
Sasa kiredio mpo wawili unawaza kupigwa😂😂😂
MAMA NIMEPATA MIMBA TENA
3:48
KIREDIO
Рет қаралды 47 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,8 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 28 МЛН
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
KIREDIO
Рет қаралды 178 М.
NINA WANAUME WAWILI, NANI ATANITAJA??
5:08
KIREDIO
Рет қаралды 81 М.
make funny kiredio challenge hii ndio challenge ya kufunga mwaka
7:44