IPHONE 14 PRO MAX YAHARIBU PENZI | KAKA ATAKA KUMPIGA DADA | SITAKI KUONEKANA

  Рет қаралды 41,000

KIREDIO

KIREDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@user-gb8dh2mr3l
@user-gb8dh2mr3l Ай бұрын
Huyo kaka anajua alivopata shida kuipata hiyo hela ndio maan anauchungu😂😂
@SanjerSaimon
@SanjerSaimon 2 ай бұрын
Huyu sio mwanamke kabisa anaweza kukuacha wakat wowote
@elizabethandrew8533
@elizabethandrew8533 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@marcelinebyamungu3463
@marcelinebyamungu3463 2 ай бұрын
Kweli kabisa akuna mwana mke apo kabisa
@kelvinakyoo3737
@kelvinakyoo3737 Ай бұрын
umenena hakka
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Boyhoodking
@Boyhoodking Ай бұрын
Hata kama hv kweli akose iphone 14 pro max kwa oppo😂
@joebinarysignals
@joebinarysignals Ай бұрын
Dem kazingua hata kama ingekua kitochi huwez vunja kitu ulicho nunuliwa na mwanaume kisa iphone ya kupewa uo ni umalaya. Big up sana mwamba umeonesha uwanaume huyo sio mwanamke ambaye hakusikilizi.
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 2 ай бұрын
Uyu sio mwanamke wa kuoa kaka kuwa makini anauwezo wa kukuacha kisa gari au kitu kingenine chchote be careful
@tagx_boe
@tagx_boe 2 ай бұрын
Sema demu anatamaa uyo
@user-gf1nm1fd1j
@user-gf1nm1fd1j 27 күн бұрын
Tamaa mbayaa eeeh taamaa mbayaa ndi ndi ndi tamaa mbayaaaa
@user-km6eh2tf9c
@user-km6eh2tf9c Ай бұрын
Huyu dada hana heshima kwa mwenzie na akiri hana kbsa na hajui uchungu wa hela anatamaa cy mwanamke mzuri kbsa😢
@user-xd7qi2lk5f
@user-xd7qi2lk5f Ай бұрын
Eni ni ndoto ya kila mdadaa kama senge vile watu wana kuwa na ndoto na vitu vya maana yeye ana doto ya simu kunduchi kweli hili demu fyuuuuuu
@NoorAli-gk8bj
@NoorAli-gk8bj Ай бұрын
Tamaa mbaya yani umpendae akwambia usivunje cm kakununulia ata kama kanunua elfu moja ungeeshimu maamuzi yake yani nduguyangu mapenzi nikusikilizana nakuoneana uruma izo zako ni dharau kutokunsikiliz
@JaneroseWarren
@JaneroseWarren Ай бұрын
😂😂😂😂😂 dada nyoko sana wengne hawajawah ata kununuliwa kitochi ww smart kabsaa
@christophermsekena616
@christophermsekena616 2 ай бұрын
Hii manake akitokea mwanaume mwenye uwezo zaidi ya bwanake....demu anamuacha mshkaji..... zingatia neno 'simu hii ni ndoto ya kila mdada'😂😂😂
@marcelinebyamungu3463
@marcelinebyamungu3463 2 ай бұрын
Uyo dada Ana tamaa mbaya sana
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 2 ай бұрын
Yani iphone 14promax TU umuonyeshe daharau mwanaume wako kweli kha ujinga ni mwingi
@SosthenesseA.
@SosthenesseA. Ай бұрын
Wew uwezo wa kuinunua unao?😂😂😂😂
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba Ай бұрын
@@SosthenesseA. Sina lkn hata hainishtui, na siwezi kuvunja kitu ameninunulia mpenzi wangu kwa upendo wake eti kisa iphone 14promax huo ni ujinga
@happynkya9770
@happynkya9770 2 ай бұрын
Sema dem anaonekana anamdharau jamaa hata mm ningekasirika walahi, yaan kitu nimenunua mm kma zawd afu uje upasue tuu inamaana uliidharau
@KINGTZMOVIEr3o
@KINGTZMOVIEr3o Ай бұрын
huyo dada hana akili kabisa anashindwa kusamini na kumsikiliza mpenzi wake🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@jacklinelenatus712
@jacklinelenatus712 2 ай бұрын
Daaa jmn hiyo challenge ya kuvunja simu yangu nipate I phone 14 si ingenikuta na mm jmn
@user-iv8wt5oq8r
@user-iv8wt5oq8r 2 ай бұрын
Uyo bola mwanamke siyo wakuishinae uyo
@AzizaMussa-n6v
@AzizaMussa-n6v Ай бұрын
Yan mtu kama hajaweza kuthamini kitu alichonunuliwa na mpenzi wake kwa tamaa t basi huyo si mwanamke kwekwelii
@josephinamichael2374
@josephinamichael2374 Ай бұрын
siyo vizuri umeumiza moyo uyo kaka. Mimi kitu nilichopewa na mpenzi wangu nakiheshimu sana sasa huyo dada amedharau hakupenda ndo mana amevuja cm
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 2 ай бұрын
Uyu dada ana dharau sana dah😢😢
@tagx_boe
@tagx_boe 2 ай бұрын
Sema mwanangu demu ako anatamaa
@SarafiaPetro
@SarafiaPetro Ай бұрын
Dada haki hakili huna kabisaa
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Unaweza toa jasho lako kughalamikia but akitokea mtu akamsev kitu kimojatuu jasholako lakilasiku halina thamani
@user-zq1bn8zs2v
@user-zq1bn8zs2v Ай бұрын
Wewe dada auna eshima kabisa uwezi kumdhalilisha mpenziwako namna iyo
@user-gz2sr2xf9w
@user-gz2sr2xf9w Ай бұрын
😢😢 hajui thamani ya hayo mahusiano 😢 tamaa tu akimuoa huyo niko paleee wanaume wanapenda kuheshimiwa kusikilizwa na kuthaminiwa hujui amejitafut vp hadi kumpa huyo dada hio simu hlf anamdharau kisa 14pro 😅
@JoyceLKisha
@JoyceLKisha Ай бұрын
Hafai kuwa mke
@VERONICA-o7n
@VERONICA-o7n Ай бұрын
Nmemwonea huruma huyu kaka😢
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 Ай бұрын
Yaani huyu dada anaonekana ni mwanamke mwenye tamaa.pumbavu🙄🙄😏😏😏
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be Ай бұрын
Huyo kaka ni very selfish, acheni kumuhukumu huyo dada hana tamaa, nan ambaye hapendinkitunkizuri?? N mbinafsi alivyosema bora wavunje yake, halafu anakuvuta nywele mbele za watu, hiyo ni zawadi hajauza mwili wake, mdogo wangu huna tamaa nipo na shemeji yako hapa anasema angenambia hata mm nivunje hakuna ubaya, Huyo kaka inaonekana hataki uwe na kitu kizuri aache ushamba!
@user-xw8om1qd1g
@user-xw8om1qd1g Ай бұрын
Kwelii
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf 2 ай бұрын
Wanawake tuna tamaa sana dah!
@user-ny4ig2ii8b
@user-ny4ig2ii8b Ай бұрын
jaman wee dada iyo sm sii ungenipa mm jamn et
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 2 ай бұрын
Huyu nae sio dem😂😂
@ErnestMalima
@ErnestMalima 2 ай бұрын
Mwanamke mpumbavu ndo huyu kwa ambao walikua hawamjui🤔
@auntmakochela4202
@auntmakochela4202 Ай бұрын
Yaan unavunja simu ulionunuliwa na mpenzi wako kwa sababu ya simu ya mtu mwingine daah akili ni nywele tamaa mbaya Mm sivunji hata ingekua ya tochi ni yangu kama ananipa anipe tu ila sio mpaka niharibu nilichonacho 😢😢😢
@keifatuke99
@keifatuke99 Ай бұрын
HUYU. DADA. NI YUDA. HAFAI. HATA KIDOGO
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 2 ай бұрын
Huyu dada anazalilisha wadada aiseeh!!!😢
@GraceMwasambili
@GraceMwasambili Ай бұрын
Ndoo wanawake w siku
@GwantwaSamson
@GwantwaSamson 2 ай бұрын
😂😂yan uyu dada mm nimempenda 😂😂 mambo ya kuskiliza wanaume weeeeeh!!!!😅😅
@christophermsekena616
@christophermsekena616 2 ай бұрын
Ndo maana hamuolewi😂😂 mnachapwa tu
@AkissaBecky
@AkissaBecky 2 ай бұрын
😅😅
@LINETHMUNUO
@LINETHMUNUO 2 ай бұрын
😂 kweli kabisa
@SofiaMasawe
@SofiaMasawe 2 ай бұрын
Hata mkioa mbona hameshim wake Zenu Kila mtu aangalie fulaha yake
@AzizaHamad-j2t
@AzizaHamad-j2t Ай бұрын
Hey kiredio nakukubali sana natokea pemba❤❤❤
@user-bb1np6ln9l
@user-bb1np6ln9l 2 ай бұрын
Uwosio mwanamke wakupendana nae
@Boyhoodking
@Boyhoodking Ай бұрын
Dada asilaumiwe huwez acha simu ya 3.5million kwa simu ya laki3 afu kwa simple reason tu eti kisa amenunua, sasa hapo kuna ubaya gani? Afu kiredio inajulikana kwamba ni mtu wa challenge 😂
@nahventure1717
@nahventure1717 2 ай бұрын
Tamaa ya iphone kha😅😅😅😅😅😅😅 Mungu atusaidie
@user-mx1uz1zb8s
@user-mx1uz1zb8s Ай бұрын
😂😂😂kiredio unanikera sana unapoingilia mtu akianza kupigwa huwa naumia inabd uache wapigww😂😂
@Nnietechnology
@Nnietechnology Ай бұрын
Same here😂😂😂
@tariqdasulley
@tariqdasulley Ай бұрын
HANA AKILI HUYO MALAYA
@StellaMuhibu-po3ec
@StellaMuhibu-po3ec Ай бұрын
Dada kazingua
@prosperiamani
@prosperiamani 2 ай бұрын
kiredio anatuzingu sio kweli
@kaboyitz
@kaboyitz Ай бұрын
Hapa hakuna mwanamke hapa
@user-ix5wp9yu7b
@user-ix5wp9yu7b Ай бұрын
Huyu mwanamke akili hana
@tagx_boe
@tagx_boe 2 ай бұрын
Yani Apo demu kasahau kabisa kama bwana ake kakasiri ku.....m.....ke
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 Ай бұрын
Big up mrembo,Hawa Wanaume niwakwenda nao mputamputa, sometimes yes,sometimes no
@salmasliman9865
@salmasliman9865 Ай бұрын
Mm hatakama nisim ya Nokia ya tochi nisengesubutu kuivunja wakati naninunulia mpenzi wangu na hajataka niivunje
@IsayaTarakwa
@IsayaTarakwa 2 ай бұрын
Me mwenyew ningenuna yani angekua anajua jamaa kaitafutaje hiyo ele hadi kanunua mmh sio bure jamaa kanuna ase inauma sana ujui jamaa kajibana je hadi kanunua hiyo simu kudadeki😢 fac*
@HidayaTwitunge
@HidayaTwitunge 2 ай бұрын
Jamani iyo challenge naitamanii mapema sana nabreak
@BarakaGorad
@BarakaGorad Ай бұрын
Mwanamke mwenzangu umetuangusha inaonesha ni jinsigani hupendeki wenzio hata kiswaswadu hawajawahi pewa hufahi kua mke wewe huna weza mvunja menzio kisa gari hufahiiiii ata akikusamehe ujue hutokua nanafasi kama ya mwanzo,eti ni ndoto ya kila mdada huna shukrani kabisa
@misstee102
@misstee102 2 ай бұрын
Hata kama ni mimi ningevunja tu😂😂😂😂😂niache iPhone 14 milion ngapi izo aiiii😂😂siweziii kuachaa
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be Ай бұрын
Kabisa yani kaka ndo mbinafsi
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 2 ай бұрын
Ila kiledio tatizo unacheka cheka sana
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Ай бұрын
Na hiyo ikavinjwe ndio uone sasa tamaa ilivo
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 Ай бұрын
Uyu dada ni mjinga sana ila uyu kaka ni mpole sana mwanamke unakua mbishi mbele ya mwanaume wako dhuuu🤣🤣🤣
@princejmatimba791
@princejmatimba791 22 күн бұрын
Ww ndio mjinga kosa lake nn
@kevinmary7129
@kevinmary7129 Ай бұрын
That's a rabish hapo hakuna mkenwala MCHumba hapo
@shabanisalimu7391
@shabanisalimu7391 Ай бұрын
Mimi ningemwambia vunja akishapewa tukiondoka naichukua SI kaipata kwasababu ya simu nliyonunua Mimi kwaiyo na hiyo ni yangu alafu napiga chini uyo demu
@mlimbila9942
@mlimbila9942 2 ай бұрын
Dem hanaakili kudadeki zake
@eliambowe2576
@eliambowe2576 Ай бұрын
Ili dada akili ziko chin kwel
@makulazomorice4772
@makulazomorice4772 Ай бұрын
Hakuna mwanamke hapo
@jacklinekaaya1967
@jacklinekaaya1967 2 ай бұрын
Dada ana imani ya kuhamisha milima eti tutaelewana nyumbani 😂
@NoorAli-gk8bj
@NoorAli-gk8bj Ай бұрын
Ajui jisi ya kutafuta pesa ndomana akawa na dharau nakutokumsikiliza mpenzi wake yani apo inaonesha akipata mwanaume mwenye pesa kushinda alonae anamsaliti mchana kweupee
@idrisajuma-fi9hh
@idrisajuma-fi9hh 2 ай бұрын
Dah hawa watu huwa wana badilika sana ivi unawezaje kuvunja zawadi uliopewa na m2 umpendae ten yeye mwanaume anatumia sim ya kawaida sana asee wadada wa hivi wanadharau san ipo siku ataridhika ata mpenz wak atolewe roho atasem saw tyu😢😢
@user-lg9sx7fk1b
@user-lg9sx7fk1b 2 ай бұрын
Kweli amekosea😢
@verynice7879
@verynice7879 2 ай бұрын
Uyu dada Hana akili Yan ajui jamaa kajichangaje mpaka kapata iyo simu😭 yaan usipo jali kidogo hata kikubwa huwez kukijali nimejiskia vibaya sana japo mm mwanamke wadada acheni tamaa
@rahmaninoh7434
@rahmaninoh7434 2 ай бұрын
Jaman Naomba kuuliza hizo. IPhone original or ndo zile za akina mimi
@mauwaadidaa9994
@mauwaadidaa9994 Ай бұрын
Tamaa mbaya hawa ndo wanaotoa tigo kwaajil yasim t looo
@eliambowe2576
@eliambowe2576 Ай бұрын
Yan kiredio amani haaaa😂
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Huyu Mwanamke chizi
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Ай бұрын
hakuna mwanamke hapo brother
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 29 күн бұрын
Kiredio n shetan dada ni eva mkaka adamu
@InnocentAutoRace-my9jr
@InnocentAutoRace-my9jr 2 ай бұрын
Huyo jamaa akiendelea na huyu demu Bax Hana akili timamu Hamna mapenzi hapo demu hathamin hata k2 chake
@user-xy9ze1od3w
@user-xy9ze1od3w Ай бұрын
Huyo kaka yupo sahihi kabisa
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Ай бұрын
Huyu ni mtihani
@RukiaOmmari-so7nh
@RukiaOmmari-so7nh 2 ай бұрын
Huy ampend jamaa amemchok
@AbdulMagembe
@AbdulMagembe 2 ай бұрын
Ataekuja kumuoa huyo mwanamke ajipange tu.😂,asipokaa vizur mwanamke ndo ata take over kwenye maamuzi ya familia
@MiliamenockEnock
@MiliamenockEnock Ай бұрын
Kwasababu hajanunuwa yeye ndo maana haikumuuma
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
Hatimay kiredio account ipo active
@festohaule9716
@festohaule9716 2 ай бұрын
Manzi anatamaaa sana .
@albanomkoka5577
@albanomkoka5577 2 ай бұрын
Hizi challenge hiz nyie jaman
@AminaHussein-n6m
@AminaHussein-n6m 2 ай бұрын
kitedio namm naombaaa
@user-oq2wp8oh1f
@user-oq2wp8oh1f 2 ай бұрын
Huyu dada jamani
@dablack-lf9qz
@dablack-lf9qz Ай бұрын
Nachukua simu naenda kuomba msamaha nampa usiku kucha imeisha iyo
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Ай бұрын
Kitu ulicholetewa n mpnz wako ni bora zaid hajui kajimake vip mpka kununua cm iyo ni huzun sana
@AkyooMamad
@AkyooMamad 2 ай бұрын
Na kwanini simu zivunjwe Sasa??hiyo haijakaa sawa tafuta mbinu nyingne tofauti na kuvunja simu huko ni kuharibu pesa.😢
@user-zq1bn8zs2v
@user-zq1bn8zs2v Ай бұрын
Ila wewe dada una tamaa sana.kwanini umemuaibisha mpenziwako. Ujafanya poa kama mwanamje mwenzangu sijapenda
@Official83640
@Official83640 2 ай бұрын
Huyu kweli sio demu wala mke wa kuoa kaka kuwa makini na hayo mapenzi siku utavunjwa na ww vipande vipande😂😂
@princejmatimba791
@princejmatimba791 22 күн бұрын
Acha roho za kimasikini,amepata bora zaid ttzo nn
@shaatvonline5249
@shaatvonline5249 2 ай бұрын
Mm siwez kuvunja ukiangalia cm mpyaa
@ZakiaSeif-p8w
@ZakiaSeif-p8w 2 ай бұрын
Sas mbon mliman tuuh njoo na kijichi uku
@Louizps30
@Louizps30 2 ай бұрын
Huyu demu anaonekana mtu ukiwa na Hela tu unampeleka
@simba9563
@simba9563 Ай бұрын
Aaaah kwanza unamnunuliaje demu simu 😢 me nimeumia
@frankdickson9880
@frankdickson9880 2 ай бұрын
MWANAMKE KIMEO
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 2 ай бұрын
Ndoto y kila mdada y nyokoooo, hyu demu ukiwa n hela tu unapiga yaan hta aibu tamaa mbele mauti nyuma....
@HamiduMrisho-ck1ft
@HamiduMrisho-ck1ft 2 ай бұрын
Jamaa Aache wivu.lakn dem Na yeye Hana adabu Kwa nn haskilizi maelekezo kutoka kWa mwanaume wake kwel wadada mnapenda vtu Na Sio MTU Yan yupo tayal Jamaa achukie akitaka amuache mradi apate iPhone 😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
We m.wnamke ni kichaa sn unabishana na mwanaume wk kisa 1 4 ni
@user-mf2jf6dp7z
@user-mf2jf6dp7z 2 ай бұрын
Yani kanatamaa paka kamepitiliza kama kaswila kanyoka kanajivua gamba,kanasema na wewe kamekununulia tafuta hela acha malaya wa dar wadangaji wote kuwa makini 😂😂😂😂😂no love hapo
@enockmaige8936
@enockmaige8936 2 ай бұрын
Dada tamaa😢😢
@maryamwilly8689
@maryamwilly8689 Ай бұрын
Shda iwapi na anpta iphne jmni 😂😂😂😂tamaa ata angkua ni huyu mwanmume angvunja bana asjifnye
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 2 ай бұрын
Dem Hana akili naninaomba jamaa asimrudie
@user-um6dg4gn5c
@user-um6dg4gn5c 2 ай бұрын
Uyo kaka anawivu alitaka apewe yeye ilooooo
@aminamloka7545
@aminamloka7545 2 ай бұрын
Nadhani shida haikuwa anataka yy shida Ni cm mpya ambayo amemnunulia kwa mapenzi yake alitakiwa avalue lengo jitihada za mwenzie angeacha avunje yake Kisha amuombe iyo mpya Kama aliweza kumnunulia Ile hatoshinfwa kumpa ya bure wakabadilishan
@user-fn1iv1hk6h
@user-fn1iv1hk6h 2 ай бұрын
@@aminamloka7545naiwekea lamination comment yako❤
KIREDIO APIGWA
10:41
KIREDIO
Рет қаралды 68 М.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Mr Uky
Рет қаралды 69 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 74 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 43 МЛН
FUMANIZI KIMARA | Shemeji Anasa Kwenye Mtego PART 1
16:21
KIREDIO
Рет қаралды 369 М.
AMZAWADIA BFF WAKE GARI AINA YA HARRIER
8:01
KIREDIO
Рет қаралды 44 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 160 М.
AIBU! FIRST YEAR AKATALIWA MBELE YA WENZAKE, A NDO NANI???
4:47
CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI
8:09
Mr Uky
Рет қаралды 61 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН