MUNGU awabariki waimbaji wote mlioshiriki katika kazi hii ya kumtukuza MUNGU katika ROHO na kweli! Nakumbuka miaka hiyo ya 1980 nilikuwa Mtoto mwenye miaka 15 bado nikiwa Sunday school katika kanisa la ISANGA MORAVIAN CHURCH-MBEYA, hizi ilikuwa moja Kati ya nyimbo zenu zilizonipa msisimko mkubwa Sana Ndani ya moyo wangu wa kumuimbia na kumtumikia MUNGU katika maisha yangu, zaidi kwa kuimba kwenu kwa matendo ambako kulinipa umaarufu mkubwa tokea nikiwa mdogo, Hadi Leo hii ambapo MUNGU kwa uwezo na uaminifu wake mkubwa ameweza kunilinda maisha yangu Hadi kuweza kumaliza kwa ushindi mkubwa lile kusudi lake nililoitiwa chini ya mbingu!! MUNGU awabariki Sana wote mlioshiriki ambao mko hai Hadi Leo hii na hata waliotangulia mbinguni kwa Baba yetu kwani kazi yao ama kazi yenu hakika ilikuwa ni njema sana duniani zaidi kwangu Mimi binafsi kutokana na ile safari ndefu na ngumu Sana iliyokuwa imeandaliwa mbele yangu japo katika Hali ya utoto wangu sikuijua lakini kutokana na kazi yenu hii njema ya uimbaji huu wa kimbingu yote yamewezekana na kazi ya mbinguni imemalizika kwa ushindi mkuu na Hali bado moyoni kiu ya kumuimbia na kumtukuza MUNGU imesimama pale pale na inazidi kuwaka Ndani yangu siku Hadi siku zaidi kila saa na wakati ninapozisikiliza nyimbo zenu! MUNGU Awabariki sana na kanisa la LUTHERAN IBADA ya KISWAHILI ya hapa LONDON pamoja na kikundi cha FURAHA kwaya ambacho tumezitumia kwa asilimia kubwa Sana nyimbo zenu ktk kuendelea kumtukuza MUNGU wetu katika nchi ya kigeni wote wanawasalimia sana! Endapo kuna yoyote yule aliyeshiriki kuimba ama kushiriki katika kikundi hiki kwa njia moja ama nyingine tafadhali nitashukuru Sana endapo tunaweza kuwasiliana kwa email address yangu cshonga2000@yahoo.co.uk ama hata whtasap kwa namba yangu ya simu +447904548221 japo hata kusema NENO moja tu kuwa "ASANTE" kwani hakika ni kwa sababu ya nyimbo zenu zilizonihamasisha Sana maisha yangu kumuimbia MUNGU na Hadi Leo hii naweza kusimama na kujipiga kifua kumshukuru MUNGU kwa kuweza kunipa ushindi wa kuimaliza kazi yake duniani iliyokuwa ndefu, ngumu, yenye miiba mikali na wanyama wakali na yenye maumivu makubwa sana! Na yote haya yamewezekana kutokana na hii juhudi yenu ambayo naweza kusema hata kwenu pia haikuwa rahisi kuifanya na yote ilikuwa ni kwa uwezo wake MUNGU wetu aliyeipenda Sana nchi yetu Hadi kuwaleta duniani watu kama nyinyi ambao kwa hii sadaka yenu Leo hii nchi yetu ina AMANI ya milele . Naomba kusema tena MUNGU awabariki Sana! CHRISTOPHER ELIAH SHONGA
@clairejunior5978 Жыл бұрын
Most of them are very old now and may not have phone
@CarolineAronya6 ай бұрын
Kumbe sikuwa nimezaliwa,😂mm niliisikua 1999 ,mm mkenya lakini napenda kusikiza nyimbo za zama Zina mafuzo sana,mungu azidi kuwapa ufunuo zaidi kwa kazi zuri❤
@jeanbaptistebenecigwerheme61442 ай бұрын
Ici la musique sacrée était naturellement scandé pour la gloire de Dieu❤ mubarikiwe kabisa wanakwaya
@florencembuu20364 жыл бұрын
Old is gold nazipenda sana nyimbo za zama.
@rulindavicent8596 жыл бұрын
Kwakweri wakati moja nasikia nyimbo hi machozi akatoka, nyimbo za zamani zinahubiri sana, asante sana kwa makongoro choir
@rostandunguru98515 жыл бұрын
Ime ni barikisa mbendi hiyo idumu
@alfredochwangi16875 жыл бұрын
Baraka na amani za mwenyezi mumgu iwe nanyi daima tusiponana tuonane mbinguni Amina!!
@johnlolkoloi15665 жыл бұрын
True vessels of God . May Almighty God each and everyone of them - Amen
@johnlolkoloi15665 жыл бұрын
Bless
@endwardkinyanjui25595 жыл бұрын
Naeza pata hizi nyimbo wapi
@paulojoseph4983 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa sauti yenu nzuri
@patrickmuteti68925 жыл бұрын
Waimbaji wa makongoro mungu awabariki Sana na pia mwenye kuduga hixi nyimbo abarikiwe pia napeda choir ya makongoro aic xana
@musinawambua42634 жыл бұрын
This reminds me the days of Rev.Kamau of Biblia Usema Kijabe!
@dottydoroo93844 ай бұрын
nani ako hapa 2024 😊🙏
@josephinemutua93343 жыл бұрын
Nyimbo Za injili Tosha love it
@RuthMwongeli-tj1ms Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@samuelmokaya557411 ай бұрын
Hiring nyimbo za Sama nyimbo za kuvutia Sana sana
@MaurineCheptoo-jm4wj4 ай бұрын
Woow it's a favourite song indeed😢 it reminds me my grandparents they used to listen this makongoro songs😢
@neemayusuph53233 жыл бұрын
God bless you makongoro choir
@williamkirway46203 жыл бұрын
Mungu awabariki nyote,kwa njia ya nyimbo tumepata ujumbe mzuri wa kweli,mungu atalipa mara mbili muda wenu.29/5/2021kutoka Haydom-manyara.
Nyimbo zilizo na ujumbe kamili, Mungu na hawabariki sana sana wana makongoro choir, Taji LA uzima limo : Amina
@vincentsibo24393 жыл бұрын
Mubarikiwe sana ninawapenda na ninawakumbuka
@ElizabethMuthui-k5gАй бұрын
Congratulations all mungu azidi kuwabariki na kuwainuwa katika hii safari ya ki Imani 👏🙏👏❤❤❤,,
@nancybwonda3 ай бұрын
Hata me nafurahia hizi nyimbo sana zinanihubiria Hadi naokoka
@richardthiongo6536 жыл бұрын
Old is Gold.. I love This choir.
@kimeundunda27635 жыл бұрын
God bless.
@monicahwanjira90385 жыл бұрын
Zatuvuta karibu na Mungu na kutufundisha kumjua zaidi.
@stephenwaita75109 жыл бұрын
mnanibariki sna makogoro hio choir bado iko na mko wapi nkuje niwatebelee na munichezee hizo nyibo la sivyo 2takutana heaven.
@gilebertlwiza49714 жыл бұрын
Wako mwanza airport road ambayo inaitwa makongoro road karibu kwetu
@catenjeri77704 жыл бұрын
Ningependa mawasiliano na mwalimu wa makongoro choir
@gilebertlwiza49714 жыл бұрын
Cate njeri sipo mwanza muda huu ila ntakutafutia contact za kanisani pale then you will express yourself
@catenjeri77704 жыл бұрын
@@gilebertlwiza4971 nitashukuru sana ndugu yangu. Ubarikiwe.
@gilebertlwiza49714 жыл бұрын
Cate njeri tuko pamoja ahsante pia
@Davidyego-tl3vm5 ай бұрын
Mungu awaongoze mutoe nyimbo nyingi Tami na yenye mafunzo Kama hii
@karinijabovianneyАй бұрын
Mw Enyezi mungu awabariki
@jaredbogita2795Ай бұрын
Inanikumbusa maisha ilikua ya upendo.
@abrahamabuutena5172 жыл бұрын
Loving this songs much...very blessing to me
@jameskooya67326 жыл бұрын
ninafurahia Sana hizi nyimbo za kusifu bwana
@adamson45345 ай бұрын
😢❤❤ mungu awabariki sana
@steveswakei39439 жыл бұрын
nyimbo halisi za kumsifu mokozi Yesu, I believe tutaimba wimbo wa makongoro huko mbinguni, i dont see why these songs should not be sang in heaven, zanirudishaa nyuma miaka ya utotoni babangu akizicheza usiku na mchana hapo narok kenya,
@felistusmbithe95785 жыл бұрын
Fellie jones
@mutemafrankline38102 ай бұрын
Bado hizi ushika vizuri. Ujumbe mkuu tangu utotoni wangu. Bibilia usema - Kijabe Bado Iko?
@edwintadeo85482 жыл бұрын
Congratulation makongoro choir
@stephenshikuku2229 Жыл бұрын
Gold is not old , Good sauti kutoka magongoro choir be blessed
@emmahmuthoni37783 ай бұрын
❤Mungu a wabariki sana
@paulngugi23637 ай бұрын
Wimbo mzuri. Sauti zimepangwa vizuri
@jane.ardon.46832 жыл бұрын
They so beautiful good job
@ebbyogwero95265 жыл бұрын
Nyimbo hizi ni za kutuliza roho nazienzi sana
@damaryelius9415 жыл бұрын
Ujumbe mzur unajenga kiroho
@josh-dk3vc3 күн бұрын
Walifanya kazi tulifika kwa baba nigetaka kuwaona makongoro
@johnpere77666 жыл бұрын
napenda Sana nyimbo saa samani yana masito ya hukweli
@AnthonyKimosop10 жыл бұрын
Joyous songs and may God Bless you Makongoro
@peterkariuki19602 жыл бұрын
Wana abudu Mungu vizuri
@wilsonyegon4953 жыл бұрын
spiritual touching song . God bless you and enlarge your territories
@belito12708 жыл бұрын
Shukran saana .....mziki mtaamu kabisa wa zama unaobariki
@peterndungu16984 жыл бұрын
Wow wow wow. This song was and is just wow
@davidkitiku54125 жыл бұрын
Abarikiwe mtunzi wa nyimbo hizi za wamakongoro
@monicahwanjira90385 жыл бұрын
Holy spirit at work
@victoryofgrace36774 жыл бұрын
@@monicahwanjira9038 Heavenly agreed.... Kabisaa
@petermutua60117 жыл бұрын
Soothing songs.God bless you makongoro choir.
@nicholasshijinga-qx5rp Жыл бұрын
When gospel was gospel,when you listen to ,you can't forget that you are in church
@damarismatheka23083 жыл бұрын
Best choir ever,God bless you,
@jonathanmtm31594 жыл бұрын
Am in short of words to say about these singers, yaani those days salvation was salvation I tell you. May GOD bless them abudantly.
@eunicebukokhe68053 жыл бұрын
I love this song for ever Amen
@kipkemoienock79029 ай бұрын
Nyimbo za zama zile ukiletewa nae mchungaji Mwinzi kimeu BHB Kijabe
@justuskimeu5879 Жыл бұрын
very good very nais song, how I love it!
@joshuamulei82154 жыл бұрын
Always spiritually fresh and lifting.......i have loved the songs since my teenage days to-date
@gidraphmwangigakobia92583 жыл бұрын
I have loved this songs since my child hood days....may God inject them with new blood...
@vincentmutiso27726 жыл бұрын
Instruments & voices well balanced. Be blessed guys as you keep on blessings so many souls
@elizabethmutiomutie43944 жыл бұрын
I love it when I get home and I don't know what I want you
@burtonmbedule2368 жыл бұрын
Thanks a lot for the good hymns.
@MargaretNakhungu-e6rАй бұрын
Very wonderful aim ejoy🎉❤
@alexmulonzya49892 жыл бұрын
Oh my God!! What a good Sunday mood after listening to well balanced instrument vs the softiest voices ever
@mutevewambua54089 жыл бұрын
Nyimbo hizi zanifanya nijihisi kama niko Mbinguni.
@collinsbaya50463 жыл бұрын
Them days when Christianity was not religion. God bless you
@luusakalolli52803 жыл бұрын
Good.song.Save.keep.your.talents
@johnwambu98058 жыл бұрын
zani bariki tu kongole makongoro choir
@mbeyawuerttemberg7585 жыл бұрын
My best song at our time in 80s!
@lemmymburu93907 жыл бұрын
blessings choir song may God bless you all.
@JosephOnyiego-nw5jm6 ай бұрын
Nyimbo za kuleta furaha
@millicentmarok11 ай бұрын
Nyimbi hizi sa makongoro ni za utukufu mwingi.
@nicholaskayere62604 жыл бұрын
The 80s aclassic that is still spiritually refreshing.
@josephmacharia-um8xb Жыл бұрын
Na mwenyenzi mungu,awabariki Sana.....
@harunyusuf42294 жыл бұрын
True worship Amen mubarikiwe sana.
@ruthwanjiku69243 жыл бұрын
Am listening to this old time song am really blessed 🙏 may God bless this singers I used to listen to this songs when I was 10 yrs
@Only-r2f Жыл бұрын
When we sing this song in our church it really bless the church
@joelbwana55328 жыл бұрын
Am I wrong to say OLD IS GOLD?Happy new year to all.
@emmanuelmabala42243 жыл бұрын
Chiza Sana!!!
@njaarajoseph66759 жыл бұрын
I like them all ad I don't feel tired watching ad listening
@monicahwanjira90385 жыл бұрын
Songs of all seasons
@bellingtonekimanzi75043 жыл бұрын
Upload more songs please,,, so blessings
@njugunamuigai35158 жыл бұрын
The song popular on wimbo ni upendao programme , the programme was recorded in kijabe studios then aired by v.o.k
@rostandunguru98516 жыл бұрын
Ongera hakika nimebarikiwa
@marynight78785 жыл бұрын
I like this song,I need to download it
@monicahwanjira90384 жыл бұрын
No way ata mi naitafuta na huwezi download
@simonkitheka70304 жыл бұрын
Excellent gospel music
@jarednyamora86144 жыл бұрын
But you shall receive power when the Holy Spirit has come upon you and you shall be witnesses of Me in Jerusalem, Judea, Samaria and to the end of the earth. Brethren let’s meet with one accord spiritual and fulfill the commission of making disciples of all nations before the second coming of our lord Jesus Christ Amen.
@victoryofgrace36774 жыл бұрын
Kabisaa
@chegemaggie35973 жыл бұрын
Blessed songs
@jane.ardon.46833 жыл бұрын
They are a good people
@salowawooomwebalekuyimbaro85565 жыл бұрын
Nice voice asant sana all
@henrysalala88183 жыл бұрын
Salvation at our doorsteps
@orrelawrence22028 жыл бұрын
great song for spiritual nourishiment.. cnt just stop from listening it..
@manamordef12142 ай бұрын
🙌🙌🙌
@evansomwenga56595 жыл бұрын
kweri wimbo msuri unatamani kusikia tena na tena God bless
@nancybwonda3 ай бұрын
Naki oigwete amatera ayio erwoti
@geoffreynyandoche88272 жыл бұрын
Nice songs indeed today I am blessed alot
@musyokakalei48622 жыл бұрын
May the living God be glorified
@shedracknzioka53976 жыл бұрын
They sound as if hv been sung yesterday
@bennykomingoi25703 жыл бұрын
Song still inspiring to me and a blessing to me
@KuntaiKetere Жыл бұрын
Lots of effort to produce such classic songs
@joshuamulei82153 жыл бұрын
My favorite song's
@collinskisanya23744 жыл бұрын
This are the song to listen again and again without being bored.