Huduma yenu nimeipenda ila hakikishen mnaimba katika roho na kweli
@zacharyonchiri47102 ай бұрын
2024 Mkenya 🇰🇪 Kutoka Wisconsin USA 🇺🇸 Blessed
@augustuskivunge10674 жыл бұрын
Karibuni AIC Tudor Mombasa Kenya. Mimi wenu katika huduma ya Mungu. Jina langu naitwa Augustus Kivunge Mch AIC Tudor.
@augustuskivunge10674 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa huduma mnayo fanya wana kwaya wa Shinyanga
@josephmburu90553 жыл бұрын
I would like to meet this choir. God bless them wherever they are. Much love from Kenya.
@josephhenrykanyumi62004 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki, awatunze na kuwazidisha katika utumishi wenu. I love you all in Jesus' name!
@erickmeshac31354 жыл бұрын
Hakika hii ndo kwaya nambamoja huko Tanzania,inafatwa na Mamajusi choir Moshi,Vijana chang'ombe choir,Kambarage
@carolynewambura79024 жыл бұрын
Naupenda huh wimbo kinyamaaaaa😊😊😊😊😊😊
@hilgathjoshua88043 жыл бұрын
Amina Mungu awabariki sana napenda uimbaji wenu sauti zote zinasikika vizuri ❤❤❤
@alfredkoleta40548 ай бұрын
Hongereni sana napenda mafunzo yenu na uimbaji wenu
@protasbutemi62565 жыл бұрын
Jaman...uke wa watu tusimzoee mungu pls..it is my favorite song
@aicshinyangachoirofficialp34825 жыл бұрын
Ombi linafanyiwa kazi. Barikiwa
@eliaselieza24594 жыл бұрын
Barikiwa sana
@angelinageorge94792 жыл бұрын
mnanikumbusha mbali mubarikiwe
@kigandalyehagi38054 жыл бұрын
Nyimbo zenu zinaishi, Mungu awatunze
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Amina. BARIKIWA
@musaMethusera6 ай бұрын
Nimeipenda Santa ❤
@moiben6634 жыл бұрын
Napenda Tenzi hii
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Barikiwa
@BujikuFaster5 жыл бұрын
hataree sana ... enzi hizo..
@pendomarco89282 жыл бұрын
Uamuxi ni kwa yesu
@johnsonmakau81814 жыл бұрын
Proud with AIC Tanzania God bless you .
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Thank you. God bless you too and welcome Shinyanga.
@brysonmulwa85154 жыл бұрын
Proud of u guys will u wlkm me to join u guys as a choir member m frm 🇰🇪 barikiweni sana wapendwa
@cyrusmuthini95144 жыл бұрын
one of the choirs who dont sing for the sake of singing,God bless you shinyanga
@robertkioko22872 жыл бұрын
Amua.... Mpokee yesu
@jangalucas90174 жыл бұрын
Amus n wimbo mzur sana mwenzen nimeamua kuwa na bwana
@jasperodongo8492 жыл бұрын
Kuamua ni jambo jema
@erickmeshac31354 жыл бұрын
Video zenu ni Safi kabisa,yule soloist wenu ni Moto wa kuotea mbali
@webijocktan16612 жыл бұрын
You have never failed your singing is very unique: ,l'm listening to you from Matamba Uwanji:
@paulineboni11 ай бұрын
My favourite home song😊
@robsonjohnmbarikiwekwaneno53004 жыл бұрын
Hakika mungu azidi kuwainua kupitia huduma yake muliyoichagua kumtangaza yeye kupitia nyimbo hakika mbarikiwe sana
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Amina. Barikiwa
@emmanuelademba79193 жыл бұрын
BEST CHOIR in TZ,but i dont where are they in several years?because no any ALBUM which realised from them.!!
@mkamanyangasi17794 жыл бұрын
Wanacheza saana
@onesmus64554 жыл бұрын
This song naipenda
@wycliffecheruiyot14564 жыл бұрын
Wabarikiwe sana wanakwaya
@nehemiahelisha69474 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki nyote AICT shinyanga
@hojagalula68302 жыл бұрын
💟💟💟💟💞💞💟💟💟💞💞💞👏👏👏👏👏👏🎶🎶🎶🎵🎶🎶🎼🎻🎻🎻📺🎧🎧🎤🎤🎤🎤🎸🎸🎺🎷📀📼
@samuellimbu26934 жыл бұрын
safi sana Magreth Magenda....ubarikiwe sana sana...unabariki sana
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Amina
@jeandidodhedonga26054 жыл бұрын
Vert good god blessing tour team
@Mike-bq2cb3 жыл бұрын
Mbarikiwe
@makindrodza59684 жыл бұрын
Best choir. God bless you all
@raymondmalyosi62522 жыл бұрын
Xpendable
@Prof.Dr.SavaiGukhu3 жыл бұрын
I endorse AIC Shinyanga Choir. This is singing!!
@neemacharles792 жыл бұрын
Aic kalumwa
@angelj.shumbushoj.shumbush37194 жыл бұрын
Penda sana kway hii
@janemusyoki98327 ай бұрын
Anna niliolewa
@titopg52993 жыл бұрын
Who’s here, march 2021? Guys rudini jikoni upya we’re missing the renowned AIC Shinyanga! Mbarikiwe sana.
@Eliuskip3 жыл бұрын
What happened to this choir surely???
@jamesoseko6245 Жыл бұрын
Be blessed
@erickmeshac31354 жыл бұрын
Alafu huyo mama anayewaongoza ni tosha kabisa
@rabiamenshoo19884 жыл бұрын
Huyo dada Mage si siku hizi namuona Neema Gospel AIC Chang'ombe Dar es Salaam?? Au anahudumu kotekote? au hii nyimbo ni ya siku nyingi kabla ya kuondoka? naomba mwenye jibu tafadhali
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Yupo AIC Shinyanga Choir. Barikiwa
@mhandejidiku46334 жыл бұрын
Aliolewa dar na mwanakwaya wa aic chang'ombe kama sikosei
@rabiamenshoo19884 жыл бұрын
@@mhandejidiku4633 ok,ahsante
@susanmwanzia2733 жыл бұрын
You give us quality gospel songs be blessed men of God
@justusmutua29334 жыл бұрын
I love the quality of your music
@Prof.Dr.SavaiGukhu3 жыл бұрын
I agree!!
@susanmwanzia2733 жыл бұрын
Pls where did the song by the name binadamu nikama kinyoga go ???pls mnaeza apload that song KZbin again for my sake???
@fredrickfresters36105 жыл бұрын
I see myself..... 😂😂😂😂
@aicshinyangachoirofficialp34825 жыл бұрын
Bless you 😀
@alfredkoleta40548 ай бұрын
@@aicshinyangachoirofficialp3482naomba kuuliza ule wimbo Yesu kamuuliza Petro je wanipeenda Mimi naangalia siuoni
@alfredkoleta40548 ай бұрын
Lovely
@magdalenajoel44098 ай бұрын
Bro naomba nitumie nyimbo zenu whatsap
@bintijuma9422 жыл бұрын
Amina
@paschalsaduka51924 жыл бұрын
Noma sana
@catherinekanini92484 жыл бұрын
Sweet voices,b blsd
@fredonyango3288 Жыл бұрын
More entertaining
@naomilukasi84394 жыл бұрын
Safiiiii
@kefasjaphet51963 жыл бұрын
Balikiwa
@jamesoseko6245 Жыл бұрын
Amen
@dismasalex50643 жыл бұрын
Amen amen
@Eliuskip3 жыл бұрын
Wimbo pigo la fainali ulienda wapi Jameni?
@plimoalex70552 жыл бұрын
Great
@johnclaud26775 жыл бұрын
tunahitaji Album mpya sasa jamani wapendwa
@aicshinyangachoirofficialp34825 жыл бұрын
Ipo jikoni.. karibu itatoka mtumishi.
@jackyluns82244 жыл бұрын
@@aicshinyangachoirofficialp3482 hello naitwa Jackline mwambien nampenda sana ccter Mage Magenda
@miziletakivaga41824 жыл бұрын
Bwana awatendende mema wana shinyanga.dada magy ukiwa neema pia napata ujumbe wako yesu awainue vilivyo.
@RaelKemuntoJuma11 ай бұрын
Rael Kemunto juma
@mselanondo51484 жыл бұрын
Bless up
@violaakinyi93754 жыл бұрын
Cd zenu zinapatikana wapi huku kenya. Nrb
@favouropande10654 жыл бұрын
Kassangas music store in Nairobi
@johnmpemba3057 Жыл бұрын
❤
@adonijaotieno95332 жыл бұрын
AMINA
@muemandivo28654 жыл бұрын
Nice
@kijamotomoto88174 жыл бұрын
Aic bujora
@fransiscodaud72434 жыл бұрын
Hii nimpya mbona sielewi
@barakamuhindi59413 жыл бұрын
Niya muda Sana mbna
@OKELLOTHEGREAT932 Жыл бұрын
@DJ 38K
@dank47732 жыл бұрын
Nimetafuta pigo la fainali original nimekosa tafadhali!!!mlitoa KZbin ama????
@josephsngeme27933 жыл бұрын
Naomba nyimbo zenu nitumien whatsapp 0679273888
@shalomrecordz64894 жыл бұрын
jamani naomba namba ya producer alie rekodi hii kazi namba yangu ya whatsap 0765445756 nisaidieni jamani namba yake