Hizi nyimbo ninzuri sana naomba mzirekodi upya zitapata watazamaji sana, nawaaminia hamjawahi niangusha nyie waimbaji.
@alphadreammedia2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@naijapatson67742 жыл бұрын
Hapana ivi ivi wakizuridia wataharibu tu full upako hapa
@Hiramfootball3072 жыл бұрын
Dancing ndio mingi tena abit exaggerated
@kiliswatv9150 Жыл бұрын
We don't look for viewers we look for souls, Jesus didn't look for maltitudes He looked for disciples who will follow The will of the Father
@BahatiSafari-nt7lo Жыл бұрын
@@kiliswatv9150 true 👌
@lamecklubigisa57323 ай бұрын
Nani anaisikiliza leo tarehe 6/10/2024 saa 7:51 usiku jumamosi
@rachaelwangari26122 жыл бұрын
This song reminds me of how my son was sick almost to die, and after we were discharged from the hospital, he would listen to this song from morning to evening hatungeskiza wimbo ingine apart from this one and mark you he was only 2yrs only. Thanks to God he's now a grown up 16yrs a living testimony.
@judithnasambu1667 Жыл бұрын
AMEN
@gracebuhatwa63596 ай бұрын
God is great
@mjunicharles11988 ай бұрын
Huu wimbo wakAt nauskia niljua primary sikumbuki hata n darasa la ngap Ila nilizipenda tu na leo 2024 Niko hapa
@mhelezijoackim-kl9vb2 ай бұрын
Amina tangu 2006 huu wimbo
@Royal_priest1 Жыл бұрын
17/March/2023 still the best blessing song
@lawrencemuthoni158711 ай бұрын
🎉ngangania song reminds of my highschool life...i couldnt aford pocket money
@igiiwamapendo4454 Жыл бұрын
Leo ni 18/1/2023 bado nawasikiza juu kazi yenu ni mzuri.
@ericksendimartial4 ай бұрын
Who is still here enjoying good music
@Michaeljaja-tq9nh4 ай бұрын
Niaje man
@ericksendimartial4 ай бұрын
@@Michaeljaja-tq9nh poa sana
@josephmburu90554 жыл бұрын
Kwaya bora zaidi Africa Mashariki. AIC Shinyanga mbarikiwe sana kwa nyimbo zenu nzuri.
@michaelkilango9300 Жыл бұрын
Nawakubari sana MUNGU awarinde daima
@psk2361 Жыл бұрын
Nawale wa dar wale chang'ombe je
@charlesmkisi80524 ай бұрын
Nakubaliana na wewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@charlesmkisi80524 ай бұрын
@@psk2361Nao ni balaaaaaa sana yani
@ombaawycky35424 жыл бұрын
Nilichukiwa na majirani sababu ya huu wimbo, asubuhi jioni sikuchoka kucheza👍👍👍mungu awazidishie
@mathewanthony27554 жыл бұрын
Pole ombaa
@KeshMbutoMakena9 ай бұрын
God bless my mother even if she died she makes loves this song🙏😭😭
@ReubenMusyokiАй бұрын
Old is Gold a very nice song..wimbo wa baraka..tutafute baraka tukiwa duniani
@sylviamatunda9284 Жыл бұрын
Nilikuwa nimewatembelea huko AIC Shinyanga mkiwa bado hamjaurecord huon wimbo, tulifurahia sana, plus makaribisho yenu.🥰
@solomonmeitiaki1680 Жыл бұрын
@sylviamatunda9284 nitapata aje contacts za huko.Nahitaji mwalimu wa choir kutoka shinyanga niko namanga.
@mwinamilapaul3524 жыл бұрын
I wish one day to visit AIC SHINYANGA ,I really like this choir, since my childhood I used to listen and watch their songs
@barakabahati6600Ай бұрын
❤❤❤❤❤ nyimbo za zamani tulikuaga natazama kwa jirani 😂😂😂😂
@amonkaranja26952 жыл бұрын
Naam, Abel alimpendeza Mungu akakubalika, nasi wakristo tuwe hivo pia zaidi
@moreengithuka27792 жыл бұрын
We grew up with these songs and the beauty of understanding them when you are grown is so freshening🙌 thank you
@zuwenangoto522211 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zenu mbarikiweeee
@LilianMokeira-f9tАй бұрын
Hizi nyimbo ❤😂 zinanikumbusha mbali Sana Tena nazipeda Mimi Lilian na mungu awambariki Sana wesangu🎉
@MercyJepchumba-i9iАй бұрын
Huu nyimbo niliuskia nikiwa form 1 adi sai bado napenda mungu awabariki❤
@gracechiwanga1747 Жыл бұрын
waooh sijawah kuzichoka na zinanikumbusha Shy miaka hiyo kolandoto nilikuwa
@samcheka77782 жыл бұрын
Who is still blessed with this song towards the end of 2022
@josephinemutisya2 жыл бұрын
Together even 2022 and beyond...
@SamsoniPius-w1s6 күн бұрын
MBONA MNAIMBA NA STYLE ZA KICHAWI MNAROGA BILA KUJUA (HAMWEZI KUMUIMBIA BWANA NA STYLE ZA UCHAWI HIVYO VIBUYU NA UVAAJI WA UYO MAMA WA MABAWA
@charlesmkisi80524 ай бұрын
Toka kiwanja chunya nawapenda sana
@RahelyJulius13 күн бұрын
Mungu awabaliki kwauimbaji mzuli
@consolatandinda88876 ай бұрын
Jacob wrestled with an angel till dawn and he was blessed Jacob wrestles God for the blessing God intended for him all along I used to listen to this song when I was too young it's such a blessing
@TEDY-MTEMY244 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana enzi hizo nipo standard three way back shy 😂😂 tulikuwa tunashindana kucheza na kuimba atakaye weza vyote anapewa zawadi, Mungu aendelee kuisimamia hii kwaya 🎉❤❤
@NdelisoMateru Жыл бұрын
Nime kua na hizi nyimbo. Wakati nipo form 3.
@MutuaKasanga-h8w2 ай бұрын
Nyimbo nzuri Africa mashariki
@emmanuelthomas71254 жыл бұрын
Amani sana naposikia wimbo huu! Mbarikiwe sana!
@CarolyneAniceth11 ай бұрын
2024 let's gather here😃
@FloraMnyua10 ай бұрын
❤
@tutorangel81407 ай бұрын
Favorite back in 0s😅😅😅😅😅
@erickmdagachule46097 ай бұрын
Amina🙏
@ModestaMokeira-o3m3 ай бұрын
Here we are
@ModestaMokeira-o3m3 ай бұрын
Am blessed
@gracebuhatwa63596 ай бұрын
Nyimbo za zamani ndio nyimbo haya siachi kusikiliza
@PATRICKANNEY-en8si Жыл бұрын
Jamani Aict mnanibariki eh!had I raha
@josephkipenya60914 жыл бұрын
Naomba wimbo wa "Bwana tikisa nguvu za mwovu" Aic shinyanga choir
@peteremmanuel36324 жыл бұрын
hii ni choir bora ya siku zote kwangu na huu ni wimbo bora kwangu siku moja nitakuja shinyanga kuwaona kwa macho yangu
@emmanuelokivuyo5976 Жыл бұрын
Mungu amewasaidia sana jamani.
@MichaelSeleman-qp5dtАй бұрын
🎉 hongereni sana mungu awabariki.
@VeroNdanu-ok8pp6 ай бұрын
Mimi si wa AIC ila napedezwa na nyimbo sana😊
@BrianKiprop-o9k10 ай бұрын
Amen Amen, powerful song,God bless
@Johnmochama-x3y2 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri. Kutoka KENYA.
@sarafinakioko79078 ай бұрын
Watu wa AIC❤❤❤
@davidanindo50923 жыл бұрын
nahisi utukufu wa baraka za bwana
@graceshadrack59544 жыл бұрын
😂😂😂huu wimbo nilianza kusikia baada ya baba Kununua tv mwaka 2008 basi tulikua tunaangalia album yote kila siku nmerudi tena kuungalia💙💙💙
@erickkipchirchir33884 жыл бұрын
pia mimi😂😂
@mathewanthony53973 жыл бұрын
😂😂noma sana
@magetopaul74882 жыл бұрын
These were gospel one should be listening without any doubt well prepared drums and voice
@SalhaLutalo-on8th8 ай бұрын
Napenda sana wimbo naamin nitabarikiwa
@magembemakoye50372 жыл бұрын
Nyimbo nzuri afrika mashariki na kati
@kathanjeable4 жыл бұрын
I like the bass at the background, mbarikiwe sana aise!
@richardboniphace13056 ай бұрын
AIC Shinyanga mko vizuri sana, ninahitaji kupata matoleo yenu ya zamani ikiwepo Amani Duniani imekwisha, Kwa Mungu hakuna mzee n.k. Naombeni mawasiliano yenu.
@makutowambeteh79413 жыл бұрын
Aic shinyanga mmekua baraka kwa wengi wabendwa.Barikiweni sana
@HarrisonZayn3 ай бұрын
Halooo hii nyimbo nikiwa utotoni daah naipenda sana
@neemaemmanuel3625 Жыл бұрын
Yaani katika kwaya Nazo Zipenda Ni Nyie Mpo Wapi Siku Hizi Kimya Sana 🥰
@jjohngoden9 ай бұрын
Mpaka sasa bado zipo vizuri, mbarikiwe sana
@pendolucas64432 жыл бұрын
Nawapenda sana mm naitwa pendo npo dar niwatumie zawani nawapenda na mungu awabaliki
@dorcasnyamoita6970 Жыл бұрын
An amazing song, I remember growing up listening to this song...
@kemboifestus320611 ай бұрын
Wauh,it's so encouraging be blessed
@PaulHilbasalep-gw6gi2 ай бұрын
Leo tarehe 1.11. 2024 nimeinjoy sanah..
@meshackjacobmwakalasya5434 ай бұрын
Muziki mzuri kutoka mikonobya Fredrick Masanja 🔥🔥🔥
@serangesh358611 ай бұрын
Am here to rewatch i love this song
@gabrielamrutu6277 Жыл бұрын
Inanibariki Sana hii nyimbo nzuri Sana 🔥🔥🥰
@nicholasmuthiani3851 Жыл бұрын
Sifa nizake mungu
@winefridasakapwela3633 Жыл бұрын
Nice nyimbo nilikua naipend san nikiwa mtot lakin nikua sijui imeibwa na nani leo nimeipata nimefulah san
@teflonswizi549111 ай бұрын
this song was a total banger,
@erickmeshac31354 жыл бұрын
Huu wimbo bado unabariki sanaaaa
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Barikiwa
@JerryBuya3 ай бұрын
Nimebarikiwa
@JoashOndicho3 ай бұрын
Good song l love it go forward amem
@MariaMgeni-vs7im10 ай бұрын
Ni kweli huu wimbo urekodini Tena wapendwa
@achatmisitu17633 жыл бұрын
Nimemwona dad tina kilang
@cohenchyrotich38352 жыл бұрын
Where did she go to? I don't see her anymore...
@benshark32127 ай бұрын
Frame hold effect at 4:23 is something else, nakumbuka 2007 baba mdogo alitununulia mkanda wa VHS ikawa ni kuangalia kila siku
@aleduntv57356 ай бұрын
I had to replay that part 4:23 after reading this comment ❤
@benshark32126 ай бұрын
That reminds me of the old film era, the effect is now replaced by speed ramping or speed remapping
@KevinOdhiambo-u6uАй бұрын
Nice song and so inspiring song
@jacobmkirya99874 ай бұрын
1 September 2024 who is here 🎉🎉🎉❤❤
@NelsonNgetich-vp4ck3 ай бұрын
Mimi Niko hapa,huun wimbo Una upako wa Aina yake,AIC Shinyanga wamebarikiwa sana.❤
@gamarey69482 ай бұрын
We are here together
@issacsimiu97693 жыл бұрын
Mungu awabariki sana AIC shinganya choir
@diveske13883 жыл бұрын
Upload the whole album
@mosesmutie55462 жыл бұрын
was the best choir song to teacher us, vocals 2009
@Marion-kf6bf Жыл бұрын
Napenda tuu sana
@jerusakasivu98972 жыл бұрын
Anytime I listen to this song am like joining them in dancing ...the energy in "ng'ang'ania" ...awww 😘 ,,,bless up 🙏
@esternxabungi46833 жыл бұрын
Nawapenda sn, dumuni katika kazi ya Bwana!!
@callicevallice73833 ай бұрын
Out here enjoying the lyrics ❤
@yipyipyouknowthething2113 Жыл бұрын
Was looking for Alice In Chains, but this is amazing!
@nkaliedward1065 Жыл бұрын
Huu wimbo kwq baraka za bwana ilivyoandaliwa lazima ikubariki kwa kweli..
@felixonserio1000 Жыл бұрын
Jambo Kenya..... Vincent Ateya radio citizen Kila asubuhi at 5.00AM
@peternatosimiyusimiyu52643 жыл бұрын
It hasmade me one off your player,coz. of companied music, that from 70 will turn to 40yrs
@erickyahaya6784 Жыл бұрын
A little bit appreciation to the beat composer
@isaacmuinde2416 Жыл бұрын
The songs we grew knowing and very sweet
@Lameckjoh5 ай бұрын
4:58 now days kwaya hazieleweki tena
@hermanmwandigiri24503 жыл бұрын
Inagusa moyo na kubariki ahsante!!!
@SuzanSamuel-lc2ro7 ай бұрын
Kila nikiangalia nakumbuka mbali.. Miaka iyo nikiimba. Tisini naa huko
@issackmusalika1214 жыл бұрын
wimbo mzuri sana uliojaa ujumbe
@JoanMuemaАй бұрын
I really love this team ❤️❤️
@consolatandinda88876 ай бұрын
Jacob wrestled with an angel till dawn and he was blessed
@godisgood51673 жыл бұрын
Na hii penda mwimbo nitanpaje
@Upendogospelchoir5 ай бұрын
Nakumbuka World cup 2006 kabla mechi haijaanza tunawekewa hii albam kwanza
@MwalimuCharles-dq6oz2 ай бұрын
Hawa waimbaji hivi bado wanaendelea na huduma hizi ?
@petermariera67452 жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa nyimbo sa baraka
@nicodemuskimanzi79117 ай бұрын
Nyimbo zilizojaa utukufu wa mungu
@ombeduwilson99202 жыл бұрын
After tabata Mennonite this is my second best Choir of all the time.