AINA SITA YA MAWAZO/FIKRA ZINAZO LETA UMASIKINI | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 1,927

Victor Mwambene

Victor Mwambene

5 ай бұрын

Baada ya kutazama somo hili utajifunza aina ya mawazo au fikra zinazo wabakiza watu kwenye Umasikini na kuwanyima Utajiri.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 14
@francismwalyambi1363
@francismwalyambi1363 22 күн бұрын
Mungu AKUBARIKI kwa mafundisho hayo nimependa
@user-np4cx9zc2c
@user-np4cx9zc2c 4 ай бұрын
Nakukubali sana bro
@victormwambene
@victormwambene 4 ай бұрын
Pamoja
@AlphaMosses-vy4ed
@AlphaMosses-vy4ed 4 ай бұрын
Bro jah bless you
@user-sr6jj3xk2r
@user-sr6jj3xk2r 4 ай бұрын
Ubarikiwe kwamaneno yakunijenga
@victormwambene
@victormwambene 4 ай бұрын
Amina ndugu
@mtamaduni
@mtamaduni 4 ай бұрын
Asante Sana Kwa Elimu Ndugu. Mungu Akubariki Sana..
@victormwambene
@victormwambene 4 ай бұрын
Amina sana Mpendwa
@user-nn3wf7xt8r
@user-nn3wf7xt8r 4 ай бұрын
Vitabu unauza bei gan
@victormwambene
@victormwambene 4 ай бұрын
Elfu 20 ndugu kwa Kitabu kimoja, Namba zangu 0744126640. Karibu sana
@Coachsamwel
@Coachsamwel 4 ай бұрын
Madini sana kaka hiyo posterity mentality ni priority sana maishan mwangu... be blessed Victor
@victormwambene
@victormwambene 4 ай бұрын
Amina sana My Brother
@josephmandelapenet4587
@josephmandelapenet4587 4 ай бұрын
Powerful brother
@shabaningulungu9631
@shabaningulungu9631 4 ай бұрын
Consumption mentality....hapo ameongea uhalisia wa watu wengi
KANUNI 10 ZA KUTENGENEZA FEDHA - Victor Mwambene.
21:41
Victor Mwambene
Рет қаралды 3,7 М.
JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO ILI UFANIKIWE KWA HARAKA | Victor Mwambene.
16:15
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 28 М.
mambo ya kuacha ili ufanikiwe
4:47
darasa la biashara na ujasiriamali
Рет қаралды 1,3 М.
Mambo Yakuzingatia Ili Ufikie Uhuru Wa Kifedha
9:00
Joel Nanauka
Рет қаралды 35 М.
SABABU ZA KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUWEKA AKIBA  | Victor Mwambene
18:47
10 Buddhist Principles So That NOTHING Can AFFECT YOU
31:10
Dream Sparks
Рет қаралды 125 М.
SOMO:MKAKATI WA MAOMBI YA KIFAMILIA (ZABURI 89:20-29), MWL. HANS MWAMBENE
1:17:39