Пікірлер
@blueskytz9960
@blueskytz9960 3 сағат бұрын
Una akili saana wew
@user-xs6kh2dx6m
@user-xs6kh2dx6m 2 күн бұрын
Watu muhimu kama hawa wameletwa na mungu
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 3 күн бұрын
Nayaona matunda ya kukufatilia mwanzo nikikuwa siwez save hata 100
@GidionKombe-h1p
@GidionKombe-h1p 3 күн бұрын
Ok imekaa pw
@LivingMunice
@LivingMunice 3 күн бұрын
Nakubali kaka
@user-kt3zw8bv9b
@user-kt3zw8bv9b 3 күн бұрын
watukama wewe nihazina la taifa
@LUCASLUPIMO
@LUCASLUPIMO 3 күн бұрын
Ndio tupe madini boss wetu
@user-cb6dk9le1q
@user-cb6dk9le1q 4 күн бұрын
0:35
@GervaspauloKanemhu
@GervaspauloKanemhu 4 күн бұрын
Tutakuwa pamoja sana kaka.tupambane pia malengo..🎉
@GervaspauloKanemhu
@GervaspauloKanemhu 4 күн бұрын
Tutakuwa pamoja sana kaka.tupambane pia malengo..🎉
@bahatihamissi1161
@bahatihamissi1161 5 күн бұрын
Nakubali
@HassanKimotonge
@HassanKimotonge 5 күн бұрын
Nakipataje kitabu kaka
@HassanKimotonge
@HassanKimotonge 5 күн бұрын
Nahitaji namba yako kaka
@danielamosi6871
@danielamosi6871 7 күн бұрын
Masikini mna tabu
@barakakamsila499k
@barakakamsila499k 10 күн бұрын
Shukra brooo
@IbrahOmary-k2w
@IbrahOmary-k2w 10 күн бұрын
Nice
@user-bi3ve6nr1q
@user-bi3ve6nr1q 11 күн бұрын
asante sana kwa elimu nzur umenisaidia sana bro victor
@BarakaSese
@BarakaSese 11 күн бұрын
Nice one
@danielremigius
@danielremigius 16 күн бұрын
SoMo zuri
@MadoloNkome
@MadoloNkome 16 күн бұрын
Nimekuelewa.kaka
@GEBAKAPUFI
@GEBAKAPUFI 16 күн бұрын
Nime kuelewa bro Asante Kwa somo zuri
@user-it3sk2xz6q
@user-it3sk2xz6q 16 күн бұрын
Kitabutuna pataje
@FrankGabriely-up5yo
@FrankGabriely-up5yo 17 күн бұрын
Asante
@Kanyawela
@Kanyawela 17 күн бұрын
Asante mkuu naomba kujua hii M.pawa au Mgodi je ni sawa au ni vikoba tu
@kehetanyantory8688
@kehetanyantory8688 16 күн бұрын
Mgodi nishawah kuweka elfu50 nilipotaka kutoa ikawa inagoma mpaka kuwapigia wa mtandao walinisumbua kalibia wiki nzima😢
@mkalibizz
@mkalibizz 17 күн бұрын
Genious broo
@ObadiaPatrick
@ObadiaPatrick 17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@AnaniaNzelani
@AnaniaNzelani 17 күн бұрын
Nahitaji kitabu cha kanuni za fedha
@PiusswaiRaphael-mz5tu
@PiusswaiRaphael-mz5tu 18 күн бұрын
Fungu la Kumi ni ASILIMIA Kumi na sadaka 10
@jayshakichampionkiller5959
@jayshakichampionkiller5959 18 күн бұрын
Mbona nyie mnaongeleaga watu wenye maduka tu sisi machinga wakutembea hamna au sio biashara
@fazilinyange9108
@fazilinyange9108 19 күн бұрын
Nakufatilia nikiwa Marekani Unanijenge san kaka mkubwa
@AminaSelemani-m1r
@AminaSelemani-m1r 20 күн бұрын
Ahsante sana nimejifunza,barikiwa.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 21 күн бұрын
Inategemea aina ya biashara
@SamweliAbasi
@SamweliAbasi 21 күн бұрын
Mimis sijui kipaji chang
@jemamponzi7142
@jemamponzi7142 22 күн бұрын
Nahitaj kitabu cha Nguvu ya kujua
@victormwambene
@victormwambene 21 күн бұрын
Kupata Kitabu Piga 0744126640.
@francismwalyambi1363
@francismwalyambi1363 22 күн бұрын
Mungu AKUBARIKI kwa mafundisho hayo nimependa
@aganokomba2423
@aganokomba2423 22 күн бұрын
Kweli Kweli wako wengi sana huku mtaani 😅😅😅
@tecoltanzania7246
@tecoltanzania7246 23 күн бұрын
Think like a billionaire be a billionaire
@mjemachannel7591
@mjemachannel7591 23 күн бұрын
1.kujilipa mwenyewe kwanza [ukipata pesa fikiria kwanza kutunza sio kutumia] 2. Kuwa na malengo [ukiwa na lengo litakulazimisha kuweka akiba] 3.Kuwa kwenye mfumo wa vicoba.[Hapo utawajibika kuweka akiba kwakuwa utapigwa faini na pia tafuta kikoba cha uwezo wako] 4.mfumo wa kibenki inayoitwa Standing oder ambayo kila pesa itakayoingia kwenye akauti yako ikatwe ipelekwe kwenye akauti ya akiba. 5.weka akiba sehemu ambayo si rahisi kuipata
@StevenHelly
@StevenHelly 24 күн бұрын
8:44 8:46
@StevenHelly
@StevenHelly 24 күн бұрын
Asante sana kaka nimejifunza
@dicksonfranck5938
@dicksonfranck5938 25 күн бұрын
Unatosha......
@dicksonfranck5938
@dicksonfranck5938 25 күн бұрын
Hakuna kitu kizur kinakosaga kasoro...Hata mitume yenyewe ilitolewa kasoro kwahiyo usikate tamaa kiongozi
@francesmwandosya5668
@francesmwandosya5668 26 күн бұрын
mwandishi wa vitabu nakuona.
@victormwambene
@victormwambene 20 күн бұрын
Yeah tupoo
@94winga
@94winga 26 күн бұрын
Asante sana bro aisee...itabid nipate vitabu vyako tu Mana nikiwa nacho nikawa najisomea Naamin 100% kitakuwa kinanipa molar ya kufikia ndoto zangu Thanks alot bro for your good education 🙏
@carlosiankheed9012
@carlosiankheed9012 26 күн бұрын
LV , Dior na Gucci
@farajabinamsimchimba
@farajabinamsimchimba 28 күн бұрын
Ambwene wewe ni jini
@amosshija9458
@amosshija9458 28 күн бұрын
Somo zuri, Lugha inayitumika inachangany kuna maneno ya kibgereza sio wote wanaweza kuyaelewa
@ericamfuru6257
@ericamfuru6257 29 күн бұрын
Umenibariki sana victor,Mungu akubariki sana sana, yaani umeniongezea vitu vingi Sana.
@MusaLubeni
@MusaLubeni 29 күн бұрын
Nimekuelewa brother💯
@user-ku6th8fb4i
@user-ku6th8fb4i 29 күн бұрын
Je huna weza weka malengo kwa project mbili? Mfano: Huna taka huwe mfanya biashara Nauna taka hutimize malengo ya kipaji chako Huna weza hanza nakipi hapo🤔 Naomba jibu tafadhali