Ya kwangu ni microwave oven .. kwenye button zake Kuna hiyo defr..med..m.high..high...grill..combi1...combi2 na combi3 Sasa hizo comb zinatumikaje nijibu please!!!🙏🙏
@mariamnjeri2142 жыл бұрын
Yes
@cities-flavors2 жыл бұрын
asante sana
@ramayasly45843 жыл бұрын
Asalaam aleikum brother. Mimi nataka oven ya kubake. Ipi nzuri. Oven ya kibiashara
@cities-flavors2 жыл бұрын
habari boss, ukimaanisha biashara unataka ya bakery au ndogo ya kuanzia biashara boss wangu, maana oven zipo aina nyingi na zinatofautiana size na uwezo wa kuoka
@jamiesoko67263 ай бұрын
Microwave yangu haina conversion nasetije moto kwaajili ya kubake?
@simonernest11572 жыл бұрын
Habari mkuu infared Toaster Oven hii imekaaje katika ubora na matumizi ukilinganisha na zingine (Microwave & Oven)??
@cities-flavors2 жыл бұрын
Oven, Microwave na Infrared Toaster zinatofautiana sana matumizi, oven mara nyingi tunatumia kuchoma nyama na kuoka cake, microwave ni kupasha chakula, infrared toaster ipo katikati, lakini changamoto inatokea wakati ikiharibika..so by far ni microwave na oven kwa soko letu la hapa Tanzania
@BwagaBoy6 ай бұрын
Kuna mm apa nataka kuanza kununua sasa kwaio nilikua naulizia bei,na aina nzuri ni gani plz
@mariamdaudy9062 жыл бұрын
Mm ya kwangu ilidondoka baada ya hapo nilipashia kama miezi mitano ika haipashi ilaukiwasha inawaka kama kawaida ila ukiweka chakula hakiwi cha moto shida nini?
@cities-flavors2 жыл бұрын
inaweza kuwa heater imeharibika, au imepiga shoti ndani ndo maana imekata moto, hio inarekebishika boss wangu
@Getafex10 ай бұрын
Who find it useful...?😊
@winfridakamuabwa9642 жыл бұрын
Inabeki keki
@cities-flavors2 жыл бұрын
Microwave aina ya convection unaweza kubake cak, nyingine za kupasha tu au kuchoma na kupasha chakula tu boss wangu
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Kaka Habari? Unapatikana wapi je unauza pia? Nijibu tafadhari maana nahitaji.
@cities-flavors2 жыл бұрын
habari boss, sisi tunarekebisha tu vifaa boss wangu, hatuuzi mapya, tunapatikana DSM, Kama unakuja na mwendokasi Tupo : Bombaywalla appliance repair na service , Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU (karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), Nyuma ya ofisi ya serikali ya Mtaa Kisutu, duka la njano.. kama unakuja na gari, bolt, bajaj au bodaboda, tupo mtaa wa zaramo,, mbele kwa ofisi za zamani za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia kisutu, duka la njano..au google tu kwa mawasiliano zaidi, simu 0684017700