sis habari napenda sana video zako coz hua unatuokoa sana sisi mabachelor nilikua naomba ushauri kati ya airfriyer na pressuer cooker kipi ni bora kwetu sisi tunaoishi wenyewe
@ikamalle2 жыл бұрын
Pressure cooker …
@marrysemainda4235 Жыл бұрын
William James chukua pressure cooker
@aurorahmo37022 жыл бұрын
Asante i needed this video
@ikamalle2 жыл бұрын
Karibu
@bettykikwai31872 жыл бұрын
Thanks for the tips
@ikamalle2 жыл бұрын
Karibu dear
@Hunter-pk7ym2 жыл бұрын
ika malle from st dorcas😁😁
@shirumandila51559 ай бұрын
I have the same microwave na imenishinda kutumia
@janetmbeyu7863 Жыл бұрын
Have you tried baking potatoes with the microwave?
@ikamalle Жыл бұрын
Noo
@mariamsefu8252 жыл бұрын
Asante
@taturajabu3522 Жыл бұрын
Dada ya kwangu kuna kikalatas natakiwa kutoa kipo kwandani
@doreenbella49472 жыл бұрын
Mie nakupenda tu Ika wangu...
@ikamalle2 жыл бұрын
🥰
@HansRasmon8 ай бұрын
Hi nna microwave ya namba aina ya von sijui kuwasha k izo namba
@shirumandila51559 ай бұрын
Unatumia nini pale kueka muda ya kutime cz yangu ya kuongeza haiongezi must mwingi
@khadijahali48372 жыл бұрын
Hata mm pia nmeshawahi kumuona mtu akipikia keki sema zaman na sikimfuatilia sema nilikula tuu
@ikamalle2 жыл бұрын
Ngoja, nitajaribu 😂
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@ikamalle sawa
@marktesha7629 ай бұрын
Na matumizi ya oven frayer. Tuambie
@AnyangolilianKefa10 ай бұрын
Hujaonyesha kitufe cha kusetia muda wakati wa kupasha.
@ndrikahassan1083 Жыл бұрын
Bei gani
@neemaabdalla37622 жыл бұрын
Nataka kujuwa matumizi ya oven na vyakula vinavyipikwa kwa oven mpenzi
@ikamalle2 жыл бұрын
Soon dear ❤️❤️
@khadijahali48372 жыл бұрын
Umenitamanisha huo wali maharage na ulivyosema kiporo ndo kbs😁😁
@ikamalle2 жыл бұрын
😂
@mkazilakwamchilloh35632 жыл бұрын
Jamani huo ubwabwa wangu na maharage ya nazi niwekee sitaki kusema wali ubwabwa unakuwa mtamu
@ikamalle2 жыл бұрын
Hahah ni mtamu haswaaa
@angelelia9072 жыл бұрын
Upo mkoa gan
@mohamedaden58812 жыл бұрын
Moshi
@allybaraza Жыл бұрын
I need to be your best friend coz I love you
@faithtsuma55392 жыл бұрын
Chombo aina gani cha kutumia kwa microwave, plastic, glass.....