AISHA MNUNKA AWAKIMBIA WENZAKE KAMBINI / MENEJA SELEMANI AANIKA WAZI KISA CHOTE

  Рет қаралды 21,525

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 68
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 21 күн бұрын
WEWE AISHA MNUKA KM UNAFANYA UJINGA UNAONDOKA BILA KUAGA UTAFUNGIWA WEWE NI MJINGA SANA UNAHARIBU KIWANGO CHA MPIRA WAKO.
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 20 күн бұрын
Kazumari umefeli sana kwa unayoyahoji,ajitafakari fny kaz professionally🙏
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 21 күн бұрын
Kauli hiyo haitoi uhalali wa kutozingatia utaratibu wa kuondoka. Kama wengine waliomba kuondoka, ht Asha alikuwa na fursa ya kufanya hivyo! Kimsingi, alichofanya huyu binti hakikubaliki na ni kiashiria cha kukosa fadhila kwa Simba SC iliyomfikisha hapo!
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 21 күн бұрын
Tulishakubaliana mchezaji Kama furaha aruhusiwe kuondoka.kama fei.hata Kama msichana Tena ndo muhimu asisumbuliwe
@DandiGadafi
@DandiGadafi 21 күн бұрын
​@@chuchumeta8374kumbuka mchezaji ana mkataba wa mwaka mmoja kisheria ilitakiwa avunje mkataba wake ndy aondoke.
@johnmsabaha7399
@johnmsabaha7399 21 күн бұрын
Ni hivyo tu, mliyoyaanzisha nyie ndiyo yanayoendelezwa na wengine. Aweso mlimchukua vivyohivyo kwahiyo tulieni dawa iwaingie.
@ManizoTheboy-ko1hw
@ManizoTheboy-ko1hw 21 күн бұрын
Mm ninachoona wachezajiwetu Awana elimu jemedar Leo una mashwali
@MoshiTindwa
@MoshiTindwa 21 күн бұрын
Jemedari hacha ushabiki mpaka kwa hao Simba qun,hiyo chuki yako hii Simba hiyo roho yako polisi wanamtafuta mwalifu na hawampati sembuse Simba
@AgnesNjau-iq3gf
@AgnesNjau-iq3gf 19 күн бұрын
Waandishi jaribuni kuwa mkiuliza swali na mkijibiwa kifasaha, msilazimishe mtu kwenda tofauti na swali, na mkishajibiwa basi kaeni mlijadili na zaidi kutoa ushauri na timu husika, msilazimishe mtu mmoja mlie muuliza swali yeye asimame pekeake kujibu kitu ambacho cyo. Sijui huwa mnajisikilizaaa.... Haaaa...
@ManizoTheboy-ko1hw
@ManizoTheboy-ko1hw 21 күн бұрын
Awezi kuchetimu nyingine wakati anamkataba nasimba
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c 21 күн бұрын
Huko aloko atakwama, mn simba ndo imemfikisha hapo alipo huko atakwama tu mn niulimbukeni
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 21 күн бұрын
Wewe jemadari kama mtu amesema sina emails nina namba za simu unamlazimishaje? Mwache aende sheria si zipo
@andrewmagelewanya5124
@andrewmagelewanya5124 21 күн бұрын
ila Jemedari akili yake mbovu, nadhani njaaaa
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 20 күн бұрын
Jemedari kichwa box..... Sasa kama mtu hataki mawasiliano hata ukimtumia email hatojibu....
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 21 күн бұрын
jemedari tulikuambia lazma useme ya moyoni. utaumia sana kaka pole.
@deusmanyenye5190
@deusmanyenye5190 21 күн бұрын
Jemedari, kama mtu hata Simu amezima au amebadikisha, rafiki yake hapatikani na nyumba yake amehama sasa email unafikiri atafungua au atajibu?? Mbona kama unaona email ndiyo njia sahihi zaidi kuliko Mawasiliano mengine?
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 21 күн бұрын
Katongozwa mbio kwa bwana
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 21 күн бұрын
Ww jemedali hata ukimwamba kama hataki kutekeleza kama ameamu naumemfunguli na kabadilsha unaulizwa swali lakipumbavu sana
@josephfrank4446
@josephfrank4446 21 күн бұрын
Ila jemadar bhana unazingua bhana imeli nimali ya mtu binafs
@AgnesNjau-iq3gf
@AgnesNjau-iq3gf 19 күн бұрын
Tatizo la waandishi wetu, huwa wanauliza swali ambalo tayari wanamajibu Yao, wewe kama mwandishi wa habari unaulizwa swali unajibiwa Bado ni mchezaji wetu, wewe unalazimisha Kwamba ameshasajiliwa pengine, Sasa umeuliza swali la Nini!!? Mbona kama mnamforce meneja aseme kitu ambacho akina uthibitisho!? Umeuliza swali kuthibitisha kubali majibu uliyopewa na cyo kuforce mtu ajibu kuendana na ulichonacho kichwani, jamaniii....
@Mbagosalumu-c9k
@Mbagosalumu-c9k 20 күн бұрын
Kuna namna sasa viongozi wa simba wanapaswa kua wakali kwa hawa wachezaji. Maana mazoea hujenga tabia yani kila anaetaka kujfunza uhuni wa kuiba wachezaji anajfunzia simba. Nadhan Aisha kajfunza kwa KIBU.viongoz wetu mbadilike
@majestyjames6499
@majestyjames6499 21 күн бұрын
No professionalism hapo , hasa huyo Aisha
@joelmichael9752
@joelmichael9752 21 күн бұрын
Km kuna timu inamhitaji si ifuate utaratibu?Anajiunga vipi na timu wakati ana mkataba?Waadishi mbona nyie ni makanjanja mnashabikia hilo wakati mnajua utaratibu?
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 21 күн бұрын
Lakini Simba acheni kubembeleza wachezaji
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 21 күн бұрын
Jemedari acha gubu ya mchezaji wako Manulla.crown zingatieni conflict o interest huyo ana hasira na simba kisa msimamizi wa Aishi manulla.muomdowniyeyw meneja wa mchezaji,ceo jkt mchambuzi crown.hii ni mbaya kuliko udhamini wa kwenye ligi.anatumia nafasi yake kukandamiza aliotofautina nao kwenye biashara
@januarysungura8119
@januarysungura8119 21 күн бұрын
Sasa wewe jemedali unakomaa kumbe huna hata hoja , we fala kweli . Kwani mtu kuwa na mkataba maana yake ni nini? Huyo hata hawezi kutusumbua , wewe nani mpaka tukwambie ? Mengine yataishia ndani. Jemedari na wewe huenda ndiye mmoja wa hao.
@user-oi8ml4vb3o
@user-oi8ml4vb3o 21 күн бұрын
Ata kuwa mchepukaj
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 21 күн бұрын
Kwa hiyo Jemedari wewe unataka Simba wachukue Polisi wakamkamate Aisha? Simba wajibu wao wameshamaliza huyo Aisha ataonekana tu
@nathanaelchezalikatundu8869
@nathanaelchezalikatundu8869 19 күн бұрын
Ahahahaha uyo jamaaa ni unga aisee.....
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t 21 күн бұрын
Huyo binti Hana fadhila kama chama ni walewale aende tu kwa ni Simba queens itakufa? Haifi na ya wanaume haifi
@jacobopaul6440
@jacobopaul6440 21 күн бұрын
Jemedai unakausege wew
@augustinokessy
@augustinokessy 21 күн бұрын
kwnn jemedal leo kawa wa hovyo cjawah ona..
@laurencekagoma9998
@laurencekagoma9998 21 күн бұрын
Achana na Jemadari .anakusumbua bure
@saidkombo9904
@saidkombo9904 21 күн бұрын
Kwan hata kama akawa na hiyo email alafu ukamtumia letter alafu akaacha kuijibu nn kitafanyika😅😅
@UfundiSaidi-em2fb
@UfundiSaidi-em2fb 21 күн бұрын
Kwanini akimbie😂?
@user-gn4lc5sk6p
@user-gn4lc5sk6p 21 күн бұрын
Jemedali umekosa weledi leo.Unakurupuka na maswali ya hovyo.
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 19 күн бұрын
Jemadari!!!!! Kama mtu kaweza kubadili namba ya simu atashindwaje kuifuta email? Unaongea saana!!!
@user-rl1vr1fd1r
@user-rl1vr1fd1r 21 күн бұрын
Aisha juma anatamaa na hajielewi badala ya kutumikia mkataba wake kwanza anafanya mambo yake kihuni acha atakula mbivu kama kibu denga
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 21 күн бұрын
Kwani yeye nani aende zake uko nyiti tu
@godfreymkelemi9663
@godfreymkelemi9663 21 күн бұрын
Jemedari kenge kweli
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 21 күн бұрын
Jemedari kwani ni lazima mtu kuwa na imeli? Unakuwa mkali KM umetumwa? ACHANA NA SIMBA.
@nathanaelchezalikatundu8869
@nathanaelchezalikatundu8869 19 күн бұрын
Aiseee kuna muda ukisikiliza mtu anavo uliza, unajikuta unaanza kujiuliza pia... Eti muajiri amfuatilie muajiriwa anapo kaa, anapo hama nk... Unprofessional kabisaaa.... Mchezaji anatakiwa kurudi kazini, full stop... Anyway ahahahaha
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 21 күн бұрын
Hpa inaonekan Jemedar kahusika kumtorosha huyu Binti anaongea Kwa hsira sana
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 21 күн бұрын
Acha utotot jemedari kwani email hazifutwi, badilishwa au blocked. Nyumba ya pazia wewe si unawasimamia wachezaji vipi huyu hujamsimamaia?
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 19 күн бұрын
Jemedari huna akili
@emmanuelmsafi9581
@emmanuelmsafi9581 21 күн бұрын
Kalifuata guu au
@Kaizadannymgawa
@Kaizadannymgawa 21 күн бұрын
Jenedali hamna kitu
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l 21 күн бұрын
Yaani nyinyi watu nawashangaa sana kwani hamjui kuwa jemadari saidi 0:00 inamuuma sana kuhusu manula ndiyo maana anatoa maneno machafu kwa simba, mchezaji wake manula kumuweka benchi jemadari roho inamuuma pili yeye na kitenge wanabiashara ya kutafuta mabwana hao ni wasenge wa jangwani
@sadickmkanda8214
@sadickmkanda8214 21 күн бұрын
Yaani Jemedari na Kitenge kama wamezaliwa siku moja kwa ujuaji!!!
@joelmichael9752
@joelmichael9752 21 күн бұрын
Mnashangaa Aisha kuondoka?Mbona nyie waandishi mnashoboka sana?Kipi cha ajabu?Simba ni kubwa kuliko mchezaji..
@joelmichael9752
@joelmichael9752 21 күн бұрын
Mfungaji bora ndio sababu ya kutoroka?Simba si ndio ilimfanya aonekane?Jemedari wewe nini huelewi?
@LiisaMaisha-is1hi
@LiisaMaisha-is1hi 21 күн бұрын
Jemedari una maswali ya kijinga junya la yanga.fala
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 21 күн бұрын
Good morning Humu ndani 😂😂
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade 21 күн бұрын
Abari zenu ❤❤❤
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 21 күн бұрын
Kwani kamaunamjua mchezaji anapo kaa akiamua kufanya uharifu kamahuo siwanaweza kuhama
@daveyjackson1561
@daveyjackson1561 21 күн бұрын
huyo meneja kama choko hata kujieleza hawezi quma kweli
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 21 күн бұрын
SELE ACHANA NA JEMEDARI HUYO HAELEWI UNAMWELEKEZA YEYE ANAENDELEA KUULIZA MASWALI.
@michaelmazoya9244
@michaelmazoya9244 21 күн бұрын
Jemedari we yangaaa
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 21 күн бұрын
Hiyo takataka haituhusu,yenu hiyo
@HussenMadimbwala
@HussenMadimbwala 21 күн бұрын
Wanataka kufanya kama kibu nikumfungia tuu
@PaschalPeter-mr4yk
@PaschalPeter-mr4yk 19 күн бұрын
Huy jemedar mbn hasubiri mtu aelezee vizur anakurupuka kurupka
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 21 күн бұрын
HAO WAANDISHI NI MAADUI WA SIMBA SC!😂😢😅
@willymdeka6034
@willymdeka6034 21 күн бұрын
Aende tu wenzake wanaendelea vizuri kuliko alivyokuwepo huyo njiti
@user-gu1xf3zc7z
@user-gu1xf3zc7z 20 күн бұрын
Ww mfitinishaji tu huna lolote
@alihumaid3492
@alihumaid3492 21 күн бұрын
Huyu anae itwa jemedari Huyu ni fara tu.... Wewe jemedari Acha ujinga wako wa utopolo Umetumwa na utopolo?? Ni heri yako endelea na hao utopolo... Pia na huu msimu endeleeni kununua TFF na marefa kama ilivo kawaida yenu!!!!!!
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 21 күн бұрын
HIYO NDIO TAFSIRI YA UBAYA UBWELA...KAMA MLIVYOWAFANYIA KMC KWA AWESU AWESU KWA KUMSAJILI AKIWA NA MKATABA WA MWAKA NA NYIE KUWENI WAPOLE MUACHENI AENDE ANAPOTAKA
@suleimanlilibemtombo3712
@suleimanlilibemtombo3712 21 күн бұрын
Jemedali unamaswali ya kitoto kama sio msomi
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade 21 күн бұрын
Leo Mimi niwapili naomba like zangu 😂😂🎉🎉❤
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 45 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 36 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
UTACHEKA KINGEREZA CHA MKUDE SIMBA 😂😂😂
6:35
Story Tellers TZ
Рет қаралды 467 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 45 МЛН