Пікірлер
@vivianokalinda8697
@vivianokalinda8697 15 минут бұрын
Salute sana clown
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 24 минут бұрын
Sio KIREMBA sema KILEMBA
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 Сағат бұрын
🔥🔥
@JumaNgeni-ld5yb
@JumaNgeni-ld5yb Сағат бұрын
nimefanya utafiti.mdogo nimegungua wanaolipa kod li inafika serikalini ni watu wa chininlakin watu wenye uwezo anakadiriwa 500mln anatoa maelezo mafupi anatoa 150mln serikalin na 50mln inaenda some where kwa hy serikali inalipwa kdg inakosa kingn
@SAMSONDANIEL-w6n
@SAMSONDANIEL-w6n 3 сағат бұрын
Kipanya lichoree kibonzo hilo gari, hongera sana
@abdulmsabaha6427
@abdulmsabaha6427 4 сағат бұрын
Kwe
@KusekwaKazimili-q7f
@KusekwaKazimili-q7f 4 сағат бұрын
Dereva mziri sana
@guidovadala1965
@guidovadala1965 4 сағат бұрын
Mjukuu wa Bibi Nesi
@JosephMutambala
@JosephMutambala 5 сағат бұрын
BG up
@arafatmbaruku8927
@arafatmbaruku8927 5 сағат бұрын
Utopolo wanamtaka leo kesho
@MakunguRamadhan
@MakunguRamadhan 5 сағат бұрын
👎🏻
@eliasgulinja442
@eliasgulinja442 5 сағат бұрын
Samata na Msuva ni muhimu wawepo pia Kelvin Jonh best wishes Taifa stars
@GSTON7_OG
@GSTON7_OG 6 сағат бұрын
Boshoo badlshaa mistar😅 jombaaa
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 6 сағат бұрын
Professor wa ukweli
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 6 сағат бұрын
Crown media
@samuelmlapwa7858
@samuelmlapwa7858 6 сағат бұрын
Haloo 🙌
@badmankihombo
@badmankihombo 7 сағат бұрын
Boshoo ninja bado Dizasta apo Wana hip hop nnao wakubali
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 7 сағат бұрын
Wachambuzi uchwala hawa
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 7 сағат бұрын
Wachambuzi uchwala hawa
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 7 сағат бұрын
Wachambuzi uchwala hawa
@IBRAHTZ-ct6ek
@IBRAHTZ-ct6ek 8 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@FectoFeisal
@FectoFeisal 8 сағат бұрын
😂😂😂
@davidsuleman233
@davidsuleman233 8 сағат бұрын
Ukimkataa pacome utamkataa dube utamkataa aziz k utakataa wengi sana
@HamzaKaduma
@HamzaKaduma 9 сағат бұрын
Bella unajua sn
@GerlasVayahi-sr7xx
@GerlasVayahi-sr7xx 9 сағат бұрын
Uyu Jamaa ni bora sana. Anawazidi wengi sana tz
@stonertv9677
@stonertv9677 9 сағат бұрын
@dullaplanet hupendi freestyle. How?? Bruh u sound like u aren't deserve to host the show
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 9 сағат бұрын
Nimewapenda sana crown 👑
@BarakaHamisi-r1l
@BarakaHamisi-r1l 9 сағат бұрын
proffesor mtu maana kabisa
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 6 сағат бұрын
Ameongea vitu vya maana sana. Kwa yeyote aliyewahi kuwa na kampuni au ana kampuni anamuelewa Prof anaongea nini. Mifumo yetu ya kodi si rafiki kabisa, inashawishi sana watu kukwepa kodi kuliko kulipa.
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 10 сағат бұрын
Mbona mwijaku huku katulia yuko smart sana
@adamwaziry2253
@adamwaziry2253 10 сағат бұрын
Raha ya shamba kugombania mipaka....boshooo ninjaaa
@SPM_Mukong
@SPM_Mukong 10 сағат бұрын
Way to go homeboy👊🏿🫵🏿
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii 10 сағат бұрын
Namuelewa sana prof
@gastordominic410
@gastordominic410 10 сағат бұрын
Mpo vzr
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 11 сағат бұрын
Kocha hajaongea hayo mlioiwekea title
@JumaNgeni-ld5yb
@JumaNgeni-ld5yb 11 сағат бұрын
download ni kupakua
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 11 сағат бұрын
Ila maisha yanazidi kuwa magumu na wanawake wa tz ndio chanzo cha maisha kuwa magumu kwanza hawajielewi pili c wavumilivu tatu wana tamaa
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 9 сағат бұрын
Tuchambulie vizuri hawataki kazi
@rejobu9723
@rejobu9723 12 сағат бұрын
Changamoto tuna Serikali inayo jiendesha kwa gharama kubwa sana Na kuhusu kodi watu tunalipa shida inatumika kwenye nn??
@kwisa4899
@kwisa4899 10 сағат бұрын
Kulipa Deni LA taifa na matumizi ya serikali
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 6 сағат бұрын
@@kwisa4899 Hapo kwenye matumizi ndipo kwenye tatizo, wanaishi kitajiri sana huku wanatuambia sisi ni nchi maskini. Kaangalie bajeti yao ya kununua na kutengeneza magari kila mwaka utachoka kabisa
@watarantatv6182
@watarantatv6182 12 сағат бұрын
Semaji letu la Simba uko na upana mkubwa wa maswali namajibu bora
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 12 сағат бұрын
Mtangazaji UNAWEZAUKADOWNLIGI hivi umeshindwa kupata msamiati sahihi mimi ninaitofautisha redio yenu na redio nyingi zamikononi hebu tafadhalini onyesheni utofauti ktk umahiri wa kiswahili sanifu DOWNLODIGI ahhh kunapatikana kichefuchefu kiasi
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 6 сағат бұрын
Hawa watangazaji Gen Z ni tatizo kubwa,hawajishughulishi kabisa. Kiswahili kina maneno mengi sana wao wanatafuta njia ya mkato kwa kuingiza maneno ya kiingereza chao cha hovyo badala ya kuwa chachu kwa wasikilizaji kujifunza kiswahili sanifu.
@happyfrank-t7w
@happyfrank-t7w 12 сағат бұрын
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 12 сағат бұрын
Red day the throne
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 12 сағат бұрын
Vina km vina
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 12 сағат бұрын
Bella masauti
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 13 сағат бұрын
Juu ya MIFUMO su MIFUMUKO?? Umakini ktk kusoma ni muhimu
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 13 сағат бұрын
Mifumo inaweza ikawa mizuri saana lkn kuna tatizo kubwa la kutokuwepo na watendaji waadilifu kodi inahusisha pesa kwa anaetoa asiekuwa muaminifu anatafuta jinsi ya kukwepa au kupatiwa makadirio madogo akiwa tayari kutoa rushwa kwa afisa anaekadiria kodi ndio maana vijana wengi wanatamani kufanya kazi TRA kwa nia yakujitajirisha harakaharaka msomaji wa habari hii fanya uchunguzi mdogotu juu ya wafanyakazi wa TRA na namna ya maisha yao wafanyakazi wengi sio wote lkn wengi wanamaisha makubwa sana kwa na wanagawana na Serikali ktk hotuba yake Raisi amesema pesa nyingine zinaishia mifukoni nilitamani aanzishe utaratibu wa kuwadhibiti hao ambao pesa zinaishia mifukoni mwao vinginevo TUME /KAMATI/ nakila aina ya taratibu zitaundwa lkn kama hakuna utaratibu maalum wa KUDHIBITI RUSHWA NA ADHABU KALI kama China ambapo waka rushwa hasa hizi za makusanyo ya Serikali HUNYONGWA vinginevyo itakuwa hadithi kila siku
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 11 сағат бұрын
Umetumwa nn
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 9 сағат бұрын
Na ww ni mnufaika wa wizi wa kodi?​@@Sampovoice8088
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 6 сағат бұрын
@@chumamasunga8855 Huyu ni mmoja wa anaotafuna kodi zetu,achunguzwe😂
@jacquesmulalirya1704
@jacquesmulalirya1704 14 сағат бұрын
Poa sana
@methoddaniel316
@methoddaniel316 15 сағат бұрын
Khaa uyu jamaa anaongea kwa kujiamini mno
@EpidordMahovu
@EpidordMahovu 15 сағат бұрын
❤❤❤ Tunawakubali San DC
@siviholyazawadi
@siviholyazawadi 16 сағат бұрын
Uyu msani ni king of thé best Melody
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 16 сағат бұрын
Mungu ibariki tanzania, wabariki watanzania, wabariki wanaharakati na wazalendo wa kila kuchwao busara za watanguliz zaidi ya kupitia kwenye dini na ziendelee mungu hakika utajibu kama mkoloni aliondoka kwa stand order za dunia na kama asilimia 90 walikataa vyama vingi na vikaja na vipi msigwa anashindwaje kuhama
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 16 сағат бұрын
Gefu uko saw kbsa mm pia nawmbia pcme amedrop apo nkuunga mkono gfu Lea n mm n mwananch