Allah awahifadhi yaarab azidi kuwapa elimu, nguvu afya muendelee kuitangaza dini ya haqi. Nawapenda kwa ajili ya Allah
@mwanakombokalamu7009 Жыл бұрын
Allahu Akbar mashAllah mchungaji Allah amuongoze aione haki🤲🤲
@Sal.0 Жыл бұрын
Huyu Jatelo huwa ana kuja kuwa potezea wakati wenu! Musim patiye nafasi yaku uliza ujinga wake! Ame poteza 15 minutes! TabarakAllah Team! Paul ali kuwa ni MOJA wa MuCrusader wa 1440AD, walio FUKUZWA kutoka ANTIOCH na Cyprus. Ndio una ona, Paul aki ongelea habari za MIJI walio pitia, ku anzia ANTIOCH, waki rudi NYUMA, na ku KIMBILIA kwenda ROMA kwao, waki pitia Town ya PHILIPI na Town ya TROA (TROY), ambazo zipo TURKEY! From TROY, waka endelea na SAFARI, na ku fika mpaka CORINTH, waki pitia Alexandros. Hapo CORINTH, ndio PAUL akam andikia Son TIMOTHY BARUA, akim kumbusha kuleta COAT au CLOAK ya PAUL, katika town karibu na TROY, na kum letea PAUL Coat yake, kule CORINTH!
@sakeenaanzi4431 Жыл бұрын
Jazaakallahu kheir
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mashallah masheikh hapo kwa mavazi tilieni mkazo sana maana ni mtihani mkubwa
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mchungaji Allah amuongoze ukweli hubaki kuwa ukweli haubadiliki
@josemu8706 ай бұрын
Allahamdulillah
@yahyaismail-j8z3 ай бұрын
S.c.w
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Jazaakallah khayrii mashekh wetu ❤❤
@sheemaryam Жыл бұрын
Aslmam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh..ndio maana unaskia baba Mkwe amelala na mkaza mwana 😢😢😢 wengine ata wanaume wao ndio wanawanunulia hayo mavazi pia unaskia msichana akisema bwanangu anapenda hivyo😢
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hatari sana
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
kwani uko kanisani wanafundshwa aje,mtu anaishi miaka 40 kanisani hajui tofauti kati ya church and a temple,matokeo yake analeta ubishi tu
@Hi_20206 Жыл бұрын
Guys plzzz like n share..dawah needs to go viral
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Masha Allah yeah we want many people to get this message
@HamzaAkilimali6 ай бұрын
Tahadhari:- Mwalimu Salim na wenzako. Huo mualiko wa Mchungaji ati Mukahubiri karibu na Kanisa lao. 👉Du'huuu🤔‼️ "MSIKUBALI KABISA, MTAENDA KUPIGWA KWA MARUNGU. HAO JAMAA WANA CHUKI KUHUSU SADAKA." Jihadharini jamani.
@salimdaawah1236 ай бұрын
Inn shaa Allah
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Alhamdulillah kweli sheikh salim
@Ismaelnoton2543 Жыл бұрын
Mashallah Allahu Akbar. Mwenyezi Mungu awaongoze ili muendelee kuonesha wengi ukweli
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Assallam aleikum mashekhe wetu Neema kubwa kuwaona tena Allah azidi kuwahifadhi na ilmu kuwazidishia inshaAllah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Nawapenda nyote kwa ajili ya Allah
@IssaAbubakar-u3l Жыл бұрын
Ameen. Yarab
@seifserenge3340 Жыл бұрын
Waonyeshe ukweli wakikubali sawa wataokoka wakikataa wasubiri adhabu ya Allah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Kabisa kazi yetu nikufikisha
@Hi_20206 Жыл бұрын
Allahu akbar
@seifserenge3340 Жыл бұрын
Allah ni mkubwa
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Asalam alakumu mashala kazinzuri
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@andallaathman3856 Жыл бұрын
@@salimdaawah123sheikh Salim jatelo nitolee salamu mwambie akisilimu kanzu na kofia mm nitamletea inshaa llah 🙏
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Pliz huyu jatelo anapenda kupoteza wakati sana kama hana hoja mwambieni kuna wengi wanataka kuuliza maswali muhimu
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Subra dadang
@mohagurey22146 ай бұрын
Ustadh Salim naomba uangalie qur'an 18 ayah za 29,30,31. Muhimu kwa watu kama huyo mzee peter
@salimdaawah1236 ай бұрын
Inn shaa Allah
@adrisshagi12554 ай бұрын
Muslim wana va Kama. Mama ya yesu na muna Sema muna fuata yesu. Ba Hawa vai ville mama. Maria Ana va . Simple answer
@michaelmike8216 Жыл бұрын
It's written that Christian Will go to heaven 1st...read 1 Thessalonians chapter 4 verse 16 to 18
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
If so then the bible has many confusess as iknow heaven and earth will perish
@michaelmike8216 Жыл бұрын
@@zakiaanwar677 ....bring the verse I educate you
@michaelmike8216 Жыл бұрын
@@zakiaanwar677 ...their multiple verses in Matthew and isaiah quote the verse you what..
@salimdaawah123 Жыл бұрын
@@michaelmike8216 1thessalonians doesn't mention christians stop misleading people answer the question the way it was asked
@michaelmike8216 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 ...who is a christian....??define