Hakuna mkristo yaani mwana wa mungu anayeweza kubishania Imani yake na wasio amini, sisi wakristo wa kweli tunajitambua Kama yesu alivyoulizwa na shetani ya kuwa ikiwa wewe ni mwana wa mungu geuza hili jiwe liwe mukate, lakini kwakuwa yesu alikuwa anajitambua kuwa ni mwana wa mungu hakuhangaika kugeuza like jiwe kuwa mkate. Hata sisi ni Wana wa mungu kwa kumwamini yesu alieye mwana wa mungu, Amina.
@BadruNection12 күн бұрын
mungu waajalie wot walioingia kwwny uislaam
@LampardMarcel-ui6ut Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie kazi njema na akuweke ktk watu wa peponi
@aishamohammed55442 жыл бұрын
Allah akupe umry mrefu na akujalie mambo mema mpaka kaburini upate muangaza na akulinde maneno yako yamenitoa machozi
@halimamwachilimwachili50996 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Allah awatangulie awape umri elmu mzidi kutuelimisha ln shaa Allah.
@saiclassicofficial31383 ай бұрын
Muislamu wakwanza duniani bibi khadija
@khalidali1130 Жыл бұрын
Allah amlipe kila la kheir sheikh Mwaipopo kwa kuitangaza dini inshallah🙏
@mobileshop8188 жыл бұрын
mwaipopo Ma shaa Allah kwakujitoa katka ukristo Allah akujaalie kher.
@jumanamata63495 жыл бұрын
good
@khayriyamussa56805 жыл бұрын
Kher kwake.. In Shaa Allah..
@emmanuelyngabani20793 жыл бұрын
Uislamu Ni Uongo Na Hapa Ndio Ushahidi
@mwajabukaseke87103 жыл бұрын
@@emmanuelyngabani2079 jingaaa sana ww nyie din yenu inaletwa n binadamuu wenzetuu
@pungopungo4112 жыл бұрын
Ajitoe sana tu .nani angewezana nae huyo makanisani hakuna uchawi
@pungopungo4112 жыл бұрын
Yesu hana shida hata ukimkana yeye ana watu wengi tu. Ni wewe tu mwenyewe utaenda huku na huko yeye yuko palepale. Kila goti litapigwa mbele ya yesu believe me
@saiclassicofficial31383 ай бұрын
Mjomba wake bibi khadija alikuwa mkristoooo
@AminaKarenga6 ай бұрын
Allah awape umuri
@aishamzeehamissi6859 Жыл бұрын
ASALAM ALEIKUM PROFESA MAZINGE A MWAIPOPO ALLWAAA AWAPE UMRI MREFU KUTUELIMISHAA JAMIÌII NIKWELI WASHEKHE HAWAELIMISHI JAMI NAKUITOWQ MIHADHARA NIWAO WENYEWE TUU ILIMU WANAKAA NAZO MAJUMBANI
@luganomwanjotile7575 Жыл бұрын
IPO njie ionekanayo ni sawa machoni pa, Mtu lakini Mwisho wake ni njia Maya za maiuti
@kibibimwanamvuamohammadmoh98238 жыл бұрын
Allahu akbar Wallah maneno aliongea Mwaipopo yatupasa kuyazingatia Kwan umoja wetu ndio nguvu yetu tuache ubinafsi, tumeshindwa na makafiri kwa umoja wao
@othmanabdallah19487 жыл бұрын
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad Asaalam aleykum, upo sahihi kinachotukwamisha ni kukosa umoja mfano mzuri kwenye kutoa zakka huu ni moja wa mtihani mkubwa mno! hapa nyumbani kuna kanisa lilikuwa la bait ila Sasa wamejenga na sio kama una waumini wengi hapana sababu wanaumoja, ila kwetu imekuwa mtihani mkubwa hata Imani petro aliongea point pia, unakuta ndo chanzo cha kutosonga Mbele zakka ina nafasi kubwa mno kwenye dini yetu ndo maana wenzetu wanapija hatua sana, walleykum Asalaam warahmatullahi wabarakatuh
@RajabuBakari-l2p5 ай бұрын
Mungu akulinde kupambania njia yake ya hakk
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Mazingi ni kafiri mukubwa wa motoni wapinga kristo
@abubakaromar46373 жыл бұрын
Mwaipopo Allah akulipe pepo kwa kutoka ukristo
@lightnesselirehema14642 жыл бұрын
Huyo kapotea njia!
@nadyajuma41087 жыл бұрын
mwaipopo ulio sema ni kwel waislam sie hatuta ushirikiano wala umoja laiti tungekuwa na umoja basi Allaah angetuzidishia baraka ila tunapo elekea Allaah atunusuru na pia wazidishie mnae tupa somo Amiina
@muvobhekinyonga9857 жыл бұрын
nadya juma Ameen
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
Umoja wa kuleta vita ama mashetani nyinyi
@ramadanissa24295 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa muislam na n namuomba Allah anifishe nikiwa muislam. Allah atawalip kher kw kaz njema mnayoifany. Inshaallah
@abdirahmanomarofficial39773 жыл бұрын
Jazakalah kheiran....for good words for good speech for good words for good story...and May Allah guide us all to the right path...
@allyhamza355 Жыл бұрын
Ll58
@ahmedhamisi-jc2hs3 ай бұрын
Kwa kweli kabisa huyu Mwaipopo ameongea kweli kabisa kwani ndio mambo yalivo kwenye ukirsto
@JeromeAbu Жыл бұрын
Kaji zuri cheikh wangu
@nohatredbutlove57865 жыл бұрын
48:33 ni moja ya sababu inayoingia akilini ni kwanin uislamu ni dini ya haki. Maashallah Allah akuandalie pepo ya darja ya juu Ustadh Mwaipopo.
@armykyamba39823 жыл бұрын
Ila pepo iko chini ya miguu ya mwanamke,pambana ukapewe wanawake wazur(hururaini)akazini nao.amina!!!.
@ibunmtumbaya12816 жыл бұрын
Alhah Akbar uislam ndo habar ya mjini makafir hawAna jipyaaaaa
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Hawa wakristo kazi yao wanapenda ku fadhiliwa nawazungu ndio maana wanava uti na wana kuwa ovyo kama wazungu hawana haya kama mahaba wanipenda wazungu anawatumia kutimiza uchumi wao moto unawangoja kesho kiama
@armykyamba39823 жыл бұрын
@@asmaabdallah4055 unaujua uislamu lakn
@hassansalum84967 жыл бұрын
M/mungu anajua mh kumbe wenzetu upande was kushoto watembea na Quran Subhan'Allah
@hassanabalkasim71433 жыл бұрын
Muislamu aokoka
@maduuikangira9864 Жыл бұрын
Wewe huujui ukristo ulikuwa umeenda kusomea kupiga hera, lakini siku ukimjua yesu kristo Kama muumba wako na muumba wa ulimwengu utamwinua juu.
@abordecapester90862 жыл бұрын
Mungu kaweka dini mbili kwa ajili yaku poteza wabaya wasijuwe kwaku wapotosha waliyo hamini mana vitabu vyote ni vyamungu Nani kweli apingalo hilo basi yeye ana Pinga Mungu.
@amoury14812 жыл бұрын
Mungu kaumba dini moja tu Uislamu,Hizi dini Nyingine ni matokea ya mwanadamu
@husseinchiaseeds26535 жыл бұрын
Mwaipopo Allah akuhifadhi
@ftimaramadan47482 жыл бұрын
amin ya Rabby
@rajabumrope87326 жыл бұрын
Subhanaallah MUNGU amekusamehe mwaipopo kuichoma Qur AN
@dottoadam55163 жыл бұрын
Mungu atusaid zotee
@AbdalaBuraimo4 ай бұрын
Allhah atujalie ote tunao fwatilia mpaka hi leo
@ahmadamapande6772 жыл бұрын
Daah Mungu awalipe Mashekh natamannijifunze hio kazi
@omarkassim67616 жыл бұрын
Hakika mwenzi mungu humuokoa amtakae, hakika uislamu in dini ya haki anayepinga apinga kwa kiburi chake tuuu
@eunicebukokhe68053 жыл бұрын
Mazinge wacha kuaribu sigara hapa uarabuni sigara inaasha nyingine wa maanisha waarabu ni makafiri?
@mwanamisp0fu7606 жыл бұрын
Subhana allah, Alhamdhulilah, Allah akbar, Mwaipoipo umewabainishia wakirsto kuwa dini ya haki ni uislam mola akulipe inshaalh
@fatumaalisaid98163 жыл бұрын
Aki mwaipopo umenifanya machozi yakanidondoka, Allha akujaze kheri in sha Allah🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭
@makanikiamsanga9067 жыл бұрын
HUYO MCHUNGAJI NI MNAFIKI. NI WA UONGO. KAMA AMEHAMA UKRISTO, KWA NINI BASI AMEVAA VAZI LA KICHUNGAJI, ILI AWAAMINISHE WATU KUWA YEYE NI MCHUNGAJI, NA ASIVAE VAZI LA KICHUNGAJI BASI. HUYO NI MCHUNGAJI WA UONGO NA MKRISTO WA UONGO. BIBLIA ILISHA ONYA MBELENI.
@amosichacha56756 жыл бұрын
Makanikia Msanga Mchungaji wa kondoo wa Mungu, aliyeitwa kuwa mchungaji hawezi kufanya haya. Yeyote yule anaweza akajiita kuwa ni mchungaji na asiwe mchungaji. Hawa waliojiita wenyewe ndiyo leo hii tunashuhudia wakifanya vituko.
@husseinmohamed59426 жыл бұрын
Anawakejeli wale mafala wanaojiita wakristo
@utakatifutv62463 жыл бұрын
BWANA YESU akusamehe hujui unachokiongea biblia haisomwi Kama vitabu vvyenu ili uielewe mpaka uongozwe na ROHO mt. Muhamadi sio roho maana ameshazikwa acheni ujinga mpokeeni YESU ambae alipokufa alifufuka nae hata Sasa yu hai
@bimkubwamohd1452 жыл бұрын
Pumbavu mmoja
@mbaroukmbarouk4986 жыл бұрын
Nyinyi makafiri mujue kua huyo yesu munaemfuata hakuwahi kuingia kanisani wala hakua mkiristo mutachomwa moto nabii Issa (as)ataingia peponi na waislam
@festokivuyo71212 жыл бұрын
Kama mbinguni nikwenu bs hatutaingia lkn kama ni mbinguni ni kwa Mungu bs huna mamlaka huko
@novatusngoloma80802 жыл бұрын
Nonsense, fikiria mara mbili kabla ya kucoment
@lawrencechacha78632 жыл бұрын
Huna tofauti na shetani,maana ungejua tabia ya mungu usingeropoka upuuzi.eleza uzuri wa dini yako na njia ya kumfikia mungu.
@chriscao98288 ай бұрын
Waislamu ni watu wamechanganyikiwa kama mtume wao wa kuzimu..
@danielkanso4 ай бұрын
Mmhhh kumbe waislamu ni wabishi ubishi ambao hauna hata maana nini tofauti na wasioelewa??
@MohamedAli02236 жыл бұрын
allahu Akbar walahi nabado watu wanachezea uislamu tu ishikeni uislamu kwa makini
@AishaAli-lk7gh6 жыл бұрын
huyu ALLAH amembainisha alokuwa akifanya kwa ukristo sasa wengine wanajenga chuki kwa kusema kweli ukristo sio dini
@kasimothman69403 жыл бұрын
Mashaallah
@rizikiali81736 жыл бұрын
walah umependeza kua muisilm mashaalah MUNGU akuzidishie
@ftimaramadan47482 жыл бұрын
amin ya Rabby
@sakinamohd81016 жыл бұрын
Alhamdulilah mzaliwa wa zanzibr hakuna mkristo wahamizi ndowanatuharibia
@ibrahimabdul54908 жыл бұрын
Yaani ukiwa mkristo sawasawa na maiti. Kwanza kabisa ukipata andiko linalosema ukristo ni dini ya Mungu nipo tayali kubatizwa hata sasa hivi.. Yaani ktk kitabu chochote unachokijua wewe..!
@stallonesylvester19888 жыл бұрын
acaha matusi kaka,tangaza uislamu vyema. yesu ni nani?????
@ygyoung96867 жыл бұрын
marayn
@nestarnestar45206 жыл бұрын
kuma ww nyie ndio mizoga kabxa
@amosichacha56756 жыл бұрын
IBRAHIM ABDUL Dini hizi hazitusaidia chochote. Mahusiano yetu mazuri na Mungu ndyo yatakayotufanya tumuone Mungu. Mbingu ni moja tu wala hakuna mbingu ya pili. Njia ya kwenda huko ni moja wala hakuna njia nyingine. Mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu. Tuwe tunataka tuwe hatutaki ndivyo ilivyo!!
@derickluazi55286 жыл бұрын
Ibrahimu ww ujitambui ukitoa neno kwenye qurn linalokuonesha wapi ulipo haidiwa ufalume wa milele nitakuwa mwisilamu
@amadeuskimey55216 жыл бұрын
tafuta katika KZbin ......andikaa iviii....upi mungu wakweli Nakuru ndipo utapata habari za yesu love
@shabamuhidin6343 жыл бұрын
nimeamngalia hakuna lolote,siku izi watu tunatumia akili ww,huezi kutupelka kama bendera,maandiko tunayosoma hatusikizi maoni ya wachungaji wewe,fungua macho
@omarympambije32216 жыл бұрын
kwakwel umat Islam tumejaariwa neema na Allah(s.w)
@labilowabiikongo93383 жыл бұрын
Swadakt
@Officialmasaikhan6 жыл бұрын
Mwaipopo umeongea vzr Sana
@joshuanoel44823 жыл бұрын
Yaani watu wazima kama watoto ndo maana siangaliagi midahalo ya waafrika bora hata marehemu Ahmed deedat
@medinacheronohildah79333 жыл бұрын
Yeah na zaik naik Yusuf esteem napenda mada zao juu SI kubishana n kupelekana sawasawa
@salehlofy42517 жыл бұрын
wakristo hata aje Yesu mwenyewe watampnga lakn wanakuja ona wakifika kwa Mungu
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Watamuua 😅
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
Nitaipata wapi hii Mihadhara ndugu zangu
@amadeuskimey55216 жыл бұрын
alitoka katika ukristo kwa maana haku chaguliwa na mungu angelichaguliwa na mungu asingee rudi nyuma angechapa injili
@husseinmohamed59426 жыл бұрын
Kaiona haki coz ukristo sio dini na Kama unabisha nipe andiko kua ukristo ni dini
@santodelove43515 жыл бұрын
Mungu wenu mbaguzi kwahiyo anawachagua chagua
@omarnkeshimana50072 жыл бұрын
Assalaam Alaukum Wa Ra Hmatu LLAAHI Wa Bara Kaatuhu napenda kuuliza Maana ya Miraa ninini ?
@AKASHA.P2 жыл бұрын
Ni mmea anaotafunwa kwa ajili ya kupata steam au ulevi
@amiribnomar7513 Жыл бұрын
So touching story sheikh mwaipopo ❤❤❤😊
@vennypaul73625 жыл бұрын
maasha Allah masheikh wet Allah awape umri mref
@armykyamba39823 жыл бұрын
Jahilia ni Nini?
@abuudhurkarnayn88337 жыл бұрын
hakika uisilamu nodini ya hakki Allahu ujaalie uislamu mbele
@amosichacha56756 жыл бұрын
MTEI TV Dini hizi hazitatupeleka mbinguni, Bali tutaenda mbinguni kutokana na mahusiano yetu mazuri na Mungu. Hakuna mbinguni mbili, mbingu ni moja peke yake. Na njia ya kuelekea huko no moja tu, Mimi ndimi njia kweli na hukumu mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu. Asema Yesu Kristo tuwe tunataka tuwe hatutaki ndvyo ilivyo.
mungu awalehem maaana hamjui mlitendalo maaana lisilo wezekanakwamwanadam kwamungu yawezekana
@abubakaromar46373 жыл бұрын
Allah walipe kheir kwa kazi yenu inshallah
@abdallajuma62626 жыл бұрын
hakika umeongea ukweli uislamu ndio dini sahihi mbele ya mungu
@irenemboka14013 жыл бұрын
Hapa unajidanganya ndugu sisi wote watoto wa Ibrahim kumbuka YESU CHRISTO ndo njia pekee ya MUNGU siasa haina mahali itatupekeka
@armykyamba39823 жыл бұрын
Na vip ktk uislamu kusoma uchawi wa kitabu (faraki)
@alphoncemagessa8725 Жыл бұрын
Mazinge umepatikana
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Kweli kabisa uislamu tunajiangusha ss wenyewe heri inshaallah
@greysonmheni51763 жыл бұрын
Njoo kwa Yesu,hatakuangusha
@ftimaramadan47482 жыл бұрын
kumbu nilikuepo kwa baba mazinge zamani 😀😀😀
@ftimaramadan47482 жыл бұрын
unatisha baba mazinge tupo pamoja sana
@abdulyhamidy50816 жыл бұрын
Mwenzimung atkakusaidia ktk kufkisha dini y MW/mung
@khadijaalrawahy80696 жыл бұрын
mwaipopo mwenyez mungu atakulipa Akher inshallah
@brucemandara27086 жыл бұрын
Huwezi kumbadilisha mtu imani aliyo nayo kwa kuisema imani yake vibaya, tuendelee kuombea taifa letu AMANI, hawa si waislamu wa dini in\wezekana wameahidiwa kuboreshewa maisha na familia zao, wengine wanashangilia tu, bandera hufuata upepo mtazolewa na wapigaji wa fedha.kama umezaliwa ndani ya uislamu TULIA na kama umezaliwa ndani ya pia TULIA kama ulivyojikuta umezaliwa mwanaume au mwanamke, sote tumejikuta kwenye tawala za kiarabu au za wazungu watanzania tuache hizo tunahitaji kuishi.
@stevensosipita28513 жыл бұрын
Mwenyezi mungu halipi mtu kwa kumuombea analipwa kwa matendo yake mema ila kwahuyo MWAIPOPO ni moto wa JEHANNAM
@stevensosipita28513 жыл бұрын
KWANZA HUYO MWAIPOPO LAANA YA MUNGU INAMTAFUNA WALA HAYUKO SAWA KAWEHUKA HANA JIPYA KILA SIKU UCHOCHEZI SIKUPENDAGI HATARI
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Mwaipopo kafiri mukubwa motoni Sasa roho mtakatifu ni mwamendi kutafuta mwamendi kwa biblia ni Kama kutafuta guruwe kwa musikiti Soma waifilipi 2;1-16 wewe uyui jesu kristo wewe ni muongo
@marwamasiku182 жыл бұрын
Masha llah mungu atuafikishe halikua waislamu ameen
@abordecapester90862 жыл бұрын
Mimi na furahi kwamana wasio mjuwa Yehova au Allah wana changanikia Wawa poteze VIP waliyo mjuwa Mungu na mjuwa nyinyi nyote ukiamini kwahaki n'a kweli namatendo Yako yakawa yahaki basi utaenda peponi kwaiyo Ama na ku Rejea utakapo Helewa apingalo hilo na apinge ahamini na ahamini.
@abordecapester90862 жыл бұрын
Ila ole wake atakae kataa kitabu kimojawapo yahivi vitabu akashidwa kuamini akasema Mimi siamini atakimoja ole Wake mana Siku ilekuu imewadia, indeleheni kuweka ubishi wa vitabu ili mpagani ahamini ewe Mwana wayakobo na Esmail nyote yeye aliye juu mkuu aliwahidi nyinyi nyote Muna shikana mikono kusimamishana kusiye atakaye anguka yule Alie andaliwa kuja wapotosha kipindi hichi kama maandiko yalivyo sema Mungu wenu amewaruusu zidini kuweka mahojiano.
@officialmatambi55506 жыл бұрын
Waislamu mnashangaza sana, kumbe hamna umoja, mmebakia kupayuka tu kama wenda wazimu
@hanadialabed86357 жыл бұрын
Mungu awazidishie mashekh wetu umri na hikma na awajaze mioyo ya kueneza dini na mungu awajaalie mwisho mwema na kauli thabiti kwenye mauti yenu na waislam wote
@armykyamba39823 жыл бұрын
Sawa mungu gani awasaidie
@aminariziki16777 жыл бұрын
Uislam ni dini ya haki na ya kweli mbele ya MwenyezMungu.
@alexandernyambo7739 Жыл бұрын
YESU ALIYE BWANA NA MUNGU MWENYE NGUVU HAFANYI KAZI KWA HILA BHANA... MIMI NI MCHUNGAJI TANGU MWAKA 1989 SIJAWAHI KUIONA MIPANGO KAMA HIYO IKIPANGWA NA KIONGOZI YEYOTE WA KIKRISTO... 😂😂😂HUO NI UONGO LIVE KABISA😂😂😂 MWAIPOPO ACHA UONGO WEWEEE HAKUNA INJILI YA YESU KWA HILA HIZO
@shaafiabdi82736 жыл бұрын
hadiith=kulu muskirin haraam "Chochote ki lewasho ni haramu" Miraa ni haramu
@zariamutesiwase23713 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa Mwislam
@gabrielisack77866 жыл бұрын
ukiijua kweli itakuweka huru,siku moja sauti ilisikika ikitoka mawinguni ikisema huyu ndiye mwanangu ninayependezwa naye hivyo msikilizeni yeye.
@brightonwashira54206 жыл бұрын
We mkristo kafiri nini
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Tupe andiko sio unatupa porojo tu
@aishaomari18815 жыл бұрын
Mungu Hana mwana ila Ana mitume 25 na itabak hv
@jumajaffary96985 жыл бұрын
Yohana 5:37 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 37 Na Baba aliyenituma naye amenishuhudia. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuiona sura yake. Yesu kasema sauti ya Mungu hakuna aliesikia wakati wowote wala kuiona sura yake.
@ikabako24543 жыл бұрын
@@jumajaffary9698 umempiga vizuri sana kondoo huyo 🤣😂😅
@makanikiamsanga9067 жыл бұрын
BIBLIA NI MWANZO NA MWISHO, NI KITABU KINACHOJITOSHELEZA.
@yahyashaaban18816 жыл бұрын
Amka ww
@dallaxngaona13456 жыл бұрын
Hamna kitu kama hicho
@minaminaa16696 жыл бұрын
bibilia sikitabu cha yesu kitabu cha yesu ni injil
@husseinmohamed59426 жыл бұрын
Mavii matupu bibilia ni usenge
@lucybenjamini49256 жыл бұрын
@@husseinmohamed5942 eeh Mungu akusamehe kwa sababu hujui ulitendaloo neema ya MUngu ikuangaziee
@rinompemba59263 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema waislam otè Jamani uwislam Raha
@armykyamba39823 жыл бұрын
Na Muhammad kuoa mtoto mwenye miaka 6,nayo niraha
@rizikiali81735 жыл бұрын
mwenyezimungu akupe mazur
@rajabuselemani35867 жыл бұрын
nakubali sana ukristo uchafu watu hawafanyi kazi eti pesa zawaumini zitafanya kazi duuu
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Mjinga kila kinato lewesha ni haramu kwa waislamu labda kwenu ni halali kwa maana nyinyi kazi yenu kulewa tu
@ShawwalKimbendela15 күн бұрын
Jazakallahu Khairan
@mariamsindano19532 жыл бұрын
Mungu pekee ndio anajua, watu wamejaa makanisani na wanaponea huko
Hizo sababu zako hazina hoja. ila nnachokuomba umwamini Yesu na kumfuata kila siku nenda kaokoke
@javedosman24218 жыл бұрын
yanayo na mwapopo ni ya kwel kwamaan a ameiona haki kwa hivyo stalon kama hujaona bhaki waçha mwaipp afanye kazi m. . . ngu ukiwa na shka njoo kwa debat.
@javedosman24218 жыл бұрын
yanayo na mwapopo ni ya kwel kwamaan a ameiona haki kwa hivyo stalon kama hujaona bhaki waçha mwaipp afanye kazi m. . . ngu ukiwa na shka njoo kwa debat.
@javedosman24218 жыл бұрын
yanayo na mwapopo ni ya kwel kwamaan a ameiona haki kwa hivyo stalon kama hujaona bhaki waçha mwaipp afanye kazi m. . . ngu ukiwa na shka njoo kwa debat.
@makanikiamsanga9067 жыл бұрын
ASHUN ASHUN ABDALLAH, ANAYEJUA MCHA MUNGU NI MUNGU MWENYEWE, ANAYEJUA MAKAFIRI NI MUNGU PEKEE YAKE. HUWEZI WALA HUNA MAMLAKA YA MUNGU KUHUKUMU MTU ETI ATAENDA MOTONI! WE NI MUNGU?
@harrisonodiwa72483 жыл бұрын
Huyu Mwaipopo angelainishwa vizuri na Mwalimu Ndacha wa Kenya huyu kwanza ni wale wainjilisti wa jumapili wenye udanganyifu wa ishara za uwongo hana kitu huyu.
@medinacheronohildah79333 жыл бұрын
Ndacha huonyeshwa vumbi na Yusuf wambugu ad anaanza matusi
@thomasnachenga7956 жыл бұрын
LUTHERAN,ROMAN CATHOLIC, PENTE... hizi SIO DINI ni DHEHEBU. hahaha dah. sa mchungaji ukujua atailo tu. DINI NI "UKRISTO"
@musabprimary19316 жыл бұрын
kama ni madhebu dini yako hapo ni ipi
@santodelove43516 жыл бұрын
Hivi ujiulizi yaani muna madhehebu tofauti na kila dhehebu nila utaratibu wake wa kuabudi alafu Mungu ni huyo huyo mmoja
@husseinmohamed59426 жыл бұрын
Lete andiko kua ukristo ni dini
@thomasnachenga7952 жыл бұрын
@@husseinmohamed5942 mimi sina andiko maana mungu hakumuumba mtu na karatasi ya maandishi fulani maandiko ni maandishi ya mtu sasa wewe nipe andiko lililoandikwa na mungu mwenyewe KWA USHAHIDI
@thomasnachenga7952 жыл бұрын
@@husseinmohamed5942 nawaita wa Kristo sababu WANAAMINI KATIKA KRISTO YESU (WAYESU) (WATU WA KRISTO) ndio tafsiri ya neno wakristo...ayo ni madhehebu
@seifhabib5987 Жыл бұрын
Uislam hasa raha bana eee
@dottoadam55163 жыл бұрын
Mungu msaidimwaipopo
@sweetnanashow56112 жыл бұрын
Akati wenzenu wanatafuta uzima Nyie mnatafuta ujinga haaas
@mudishabani19617 жыл бұрын
ukiwa mwiislamu wakweli unarahasa duniani na akhera.
@josephmusagasa55663 жыл бұрын
Kumbe wewe ulikaririshwa kuwa ukristo si dini ya kweli na kwamba Yesu si Mungu na kumbe hukutumia akili zako na wala haukuwa ufunuo kutoka kwa Roho mtakatifu? Pole yako
@Jamalimalinda2 жыл бұрын
Duh kwhyo ww unae roho mtakatifu kuliko yy sio akaw had alifundixha kazunguka maeneo meng wat tofaut aelewa kuliko ww unajjitia kutoelew we kam hutak bak na din yako
@evelyneongachi94866 жыл бұрын
Peter kumkata MTU maskio,,yesu akakiokota akairudisha,ambapo so kawaida kwa binadamu yeyote
@thomasnachenga7956 жыл бұрын
ILO MOJA yesu kafanya maajabu MENGI kupita hayo....lakini bado HAWATAKI KUAMINI NI MUNGU. hehehe ata wao wanamjua
@samiramohamed986 жыл бұрын
Ss Tomas yes mungu kipind alipokua tumbon dunia ilikua yaendeshwa na nan
@samiramohamed986 жыл бұрын
Maryam angekufa kwa kifafa cha uzaz kwahy kusingekua na mungu??
@johnmnonjela98096 жыл бұрын
umepata hasara ndugu kiroho
@bintichausa47445 жыл бұрын
😂😂😋😂😂😂
@thobiasmsuya61458 жыл бұрын
uislamu ni dini ya khaki
@stallonesylvester19888 жыл бұрын
dhibitisha
@sahariabdul8 жыл бұрын
tafuta video za imani petro na imani akili yako itafunguka na uache weu wa kubuluzwa na neno kristo
@goldmansun58596 жыл бұрын
haki iko WAPI?
@ishoboyyoung15073 жыл бұрын
Tusibaguane kwa dini na rangi kila mmoja afate anapoamini vibaya hivyo kuweni
@AlMuallay10 ай бұрын
Wakristo makafiri hawana dini wakifa kwa imani hiyo ni motoni
@tabasamtv67282 жыл бұрын
Wamekaa kbsaaa busy kubishana upuuzi.
@polinikimondo93826 жыл бұрын
Huyu ni Muhuni kama wahuni wengine Mungu atamuhukum kwa wakati wake bahati mbaya yeye ataki na amewazuia wengine wasimjue Mungu
@banjatvofficial1866 жыл бұрын
Miungu wa 3?
@hashimlali9106 жыл бұрын
polini Kimondo jumando
@hoziaissai37683 жыл бұрын
muangalien mazinge had kofia Hana maj shingon ukweli wamzinge anatafuta ushabik nakwenda uislam had moyo wake umekuwa mgumu had kanzu kasahau ngoja ufundishwe kulogwa Sasa
@mkuuali94692 жыл бұрын
Mungu yuwasamehee hukimuomba msamahaa nahutubu
@ernestrichard85993 жыл бұрын
Kwisha kabisa wewe, Ulikua Unafuata pesa kwenye injili. Pole Sana, jehanum Ina kungoja. Yesu ameshinda kifo na mauti wewe mwa ipopo imekupele tamaa ya kuowa wake wengi
@firo0ozdawah3783 жыл бұрын
Nyie wakristu munapendaga kufanya uzinzi nje ya ndoa Kwa madai eti munabiriki ndoa hamuoni ya kuwa vizazi vyenu miaka ya badae vitakua vyote vya haramu pengine hata na wewe pia
@thedymatei81716 жыл бұрын
najivunia kuwa msilm
@makanikiamsanga9067 жыл бұрын
WEWE MWAIPOPO,SASA USHASEMA WAISLAM WAONGO, WACHOYO , WABINAFSI, KWAMBA WAKIACHA HAYO WATAWAFIKIA HATA KUWAPITA WANAYOFANYA WAKRISTO NA MIMI NAKUKUMBUSHA KUNA WAUAJI PIA(AL-SHABAB) YOHANA 16:2-15.
@Oncer-xe1gr7 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu fungua mioyo ya waisalamu wamjue kristo kuwa ni bwana na Mwokozi wa maisha yao
@nusurakajubu87856 жыл бұрын
ujui unalo sema pole
@barakamwechizumba3406 жыл бұрын
Kuusu ilo sahau
@rahmakhamis1116 жыл бұрын
yaani wewe mbulula kbsa
@al-watanabdillah23586 жыл бұрын
Sisi tunajua asikua muislamu na kafiri na nyinyi mnaojiita makristo kwa kiswahili fasaha ni makafiri.
@al-watanabdillah23586 жыл бұрын
Yaani sisi waislamu hatuwezi kuacha kumuabudu alieumba na tukaamua kuabudu alieumbwa au kilichoumbwa, ujinga huo hufanya makafiri na sio waislam.
@saiditheone_tz5763 жыл бұрын
Allahu Akbar, Allahumma sturu ummata Muhammad (S. A. W)