SHEIK KINYOGORI AKIPANGUA HOJA ZA MCH. NDACHA; KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI TUMFUATE?

  Рет қаралды 69,335

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 244
@ibrahimadab9151
@ibrahimadab9151 Ай бұрын
Sheikhe Kinyogoli Mwenyezi Mungu apee umri mrefu Maa shaa Allah Mungu akubariki
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 3 ай бұрын
Sheikh Juma k.umenenepa maa Shaa Allah ........Allah awahifadhi saana nawapenda wahadhiri wetu
@HadidjaAlly
@HadidjaAlly 4 ай бұрын
Wahubiri wa Kiislam wako vizuri very smart! Allah akuupeni umri mrefu
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 4 ай бұрын
Allah awalinde wahadhili wote hakika mnafanya kazi nzuri sana na Allah awalipe kheri
@YusuphKaongolima
@YusuphKaongolima Ай бұрын
Allah awalipe sana masheikh wetu
@MakameSilima-j3s
@MakameSilima-j3s 3 ай бұрын
Very Fantastic (Kinyogori,) Allah akulipe malipo mema ww na wadhiri wengineo wa kiislam dunian na akhera!!!
@PaladinInsurance
@PaladinInsurance 4 ай бұрын
Asslaam aleikum masheikh Allah awape elimu ya ziyanda kazi mnayo fanya malipo yake Ni kwa Allah. Huyu ndacha Hana elimu yeyote amekuja kutafuta elimu kwenu
@THEWATCHMENOFZION-s4r
@THEWATCHMENOFZION-s4r 3 ай бұрын
Waislam jehanamu inawangoj😅
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om 4 ай бұрын
Kutoka Nairobi Kenya nasema Allahu akbar ❤❤.
@khamisshaib9901
@khamisshaib9901 3 ай бұрын
Sheh kinyogoli M/mungu akulinde wewe nifundi na Quran ndiokitabu sahihi Najivunia kua Muslim ☪️ ❤
@hassanounAbdul
@hassanounAbdul Ай бұрын
Mashaallah Ost Juma Kinyogoli
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 4 ай бұрын
ALLAHUMMA SWALLI WASALLIM ALAA SAYYIDNA MUHAMAD WAALAALIHI
@MesaidiBambaulo
@MesaidiBambaulo 3 ай бұрын
Mashaaallah tabarakkallah Mungu awape nguvu kupambania nguvu ya uislam
@halidijuma1884
@halidijuma1884 4 ай бұрын
Wow maashaAllah FUNDI KINYOGLE
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 4 ай бұрын
Sheikh said ww fundi mashallah jazakallah lkheiry Allah azidi kukuzidahia elimu
@ChatirDadeDade
@ChatirDadeDade 4 ай бұрын
AL-HAMDULILLAH Kwakutipa elimu nzuri sana.
@AbeidJaji
@AbeidJaji 2 ай бұрын
❤❤❤ uislamu ndo dini ya mungu
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 Ай бұрын
@@AbeidJaji ila siyo DINI ya haki.... YOHANA 14:6
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 4 ай бұрын
MashaLLAH SHEKH WANGU HUYO KINOGOLI
@YasinJuma-kl3fj
@YasinJuma-kl3fj 3 ай бұрын
Said juma mwenyizi mungu akupe maisha malef isahr
@NoraKedir
@NoraKedir 4 ай бұрын
Manshaallah tabarakallah alhamdulila alanemal islam 🎉❤❤❤❤
@MwadawaSaidi
@MwadawaSaidi 4 ай бұрын
Nampenda sana shekh kinyogori anabusara sana mashaallah Allah akupe umri mrefu kakaangu ,
@AbubakarKi
@AbubakarKi 3 ай бұрын
Mashaalah Allah waislam ss tushukuru allah
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 ай бұрын
Aise ni kweli ukisoma maneno ya Yesu kwenye biblia ni tosha kuwa muislamu najickia vibaya kwa wakristo kuwa na imani yao na upotuvu kwenye miyoni yao na kipovu kwenye macho yao
@omarymrisho582
@omarymrisho582 4 ай бұрын
Shekh upo vizuri maashallah
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Hoja ust saidi juma kinyogoli kagusa kipande cha yesu kubebwa na shetani juu akamuweka katika kinara cha hekalu akasema mpaka mwisho wa dunia hakuna mkristo anaweza kujibu mpaka mdahalo umeisha ndacha hajagusa wala hakuna mkrsito aliegusa mathay 4:5
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 ай бұрын
Masha Allah 💖💖💖
@SabraAbdilnasir
@SabraAbdilnasir 3 ай бұрын
Mashaallah ❤
@RehemaRehemaJosephbaraka
@RehemaRehemaJosephbaraka 7 күн бұрын
Shida waislamu ni wabishi sana washa jua hawana dini nzuri ko hawataki ukweli kwasababu wanakwepa aibu
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 4 ай бұрын
Sheikh Upo vzr
@ChatirDadeDade
@ChatirDadeDade 4 ай бұрын
Wakristo wanamkataa Mtume (S.A.W) kwasababu ni mwarabu na hanahadithiya maisha mazuri ya kumtii ALLAH (SW): kukataza maovu (kunywa pombe, kufanha umalaya na vyenginavyo), na kufanya mema (kusali, kuowa,sadaka, zakah,kuwajali wazazi) ndiyonana wazungu wampiga vita ili kur'ani isitawale.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 4 ай бұрын
@@ChatirDadeDade rekebisha kiswahili chako ili ulichokisema kiwe na maana
@mobutu3884
@mobutu3884 4 ай бұрын
Mbona hayo yote hata Biblia imekataza? Au hujui kama hayo yote yalishaandikwa katika Biblia hata kabla quran kuwepo? Ishu hapo ni kuwa Mohamad hana sifa ya utume kuanzia alivyoupata, matendo yake n mpaka kufa kwake ila nyie tatizo mnajifanya hamuoni. Na kama ni hayo maandiko ya quran ni kwamba yalikuwepo katika Biblia hata kabla mohamad hajazaliwa hivyo hakuna kipya hapo, shida hamuambiwi ukweli kuwa hayo maandiko mohamad alikiwa anayapata wapi ila mtaambiwa alishushiwa na malaika ila ukweli unajulikana aliyekuwa anayaandika na alipokuwa akiyatoa, eti mnaambiwa ni maono, yani unaandika kilekile kilichoandikwa katika Biblia halafu unasema ni maono, jiongezeni.
@davidedward6053
@davidedward6053 4 ай бұрын
Sio sababu ya mwarabu,sababu ni mtume wa kujifanyia mwenyewe na ndugu zake
@MidoMidomore
@MidoMidomore 4 ай бұрын
​@@mobutu3884Mayahud walitoa mambo mengi ndani ya Injili ya Yesu,kilichobaki ndani ya Bible ni mabaki ya Injili na Taurat na kama unapata Injili OG ya Yesu kuna mfanano mkubwa na Quran
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
Tatizo mavi munayo lishwa kanisani yame wavuruga akili na ufahamu ndio mana haelewi na hata elewa na ikiwa ni bubilia yenu inatosha ku wachapa nayo wenyewe😂😂😂😂
@Rimaaivotuu
@Rimaaivotuu 2 ай бұрын
Allah awaongoze😢
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 4 ай бұрын
Asalam Alykum warhmatullah wabarakat mashekh wetu Allah awajaze kheri awalinde na hasad za watu mafundisho ya dini yetu Yani uislamu matamu sana
@HusseinKibega
@HusseinKibega 4 ай бұрын
Mashallah 🤲 kinyogoli
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
Huyu muhubiri wa kiislamu kweli " alikuwa anafanya comedy " inashangaza kwamba,ktk mambo nyeti kama haya,huyu mtu anafanya comedy." Lakini siku inakuja,mtakuja kulia,kuomboleza na kusaga meno,na hakutakuwa na muda Tena wa kutengeneza " nyinyi endeleeni tu kufanya comedy.
@barazamatibila8412
@barazamatibila8412 4 ай бұрын
WaIslamu wamechanganyikiwa MATAYO 28: YESU KRISTO ANASEMA ENENDENI ULIMWENGU WOTE MUKAWAFANYE MATAIFA YOTE WOTE MUKAWAFANYE MATAIFA YOTE WANAFUNZI WANGU. MARKO 15:16 ENENDENI ULIMWENGU WOTE KUWABATIZA KWAJINA LABABA MWA NA ROHO MTAKATIFU . KWAHIVYIO YESU AMEKUJA KWAULIMWENGU WOTE
@YunisnafulaTaabu
@YunisnafulaTaabu 14 күн бұрын
Kbs rohoo ya dalila dio bado inafanya kazi kwao ili kuangusha watumishi wa mungu vita vyetu sio mwili na nyama amukeni wakirsto roho ya delila imeludi tena
@omysule7118
@omysule7118 2 ай бұрын
الله اكبر Waisilamu hawawez kushindwa kwa hoja za kidini maana dini yetu ipo wazi saana kila kitu kimebainishwa
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
Ndacha yuko juuu NI MHUBIRI waislamu wanamhara AFRIKA MASHARIKI. Waislamu wamekibali.....hadi shafi leo amekubali kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 4 ай бұрын
@@ernestbensonmwamengo1642 unapongeza bila kufuata ukweli wa maandiko kipi chaajabu kakisema Hadi Afrika mashariki Hadi wamuogope?
@AbdulRahim-rl2df
@AbdulRahim-rl2df 3 ай бұрын
Mungu awajaalie ndugu zetu katika ADAM waijue iliyo kweli
@mamurealman4859
@mamurealman4859 4 ай бұрын
Takbirrrrr
@harunichambo4658
@harunichambo4658 4 ай бұрын
Sheikh said juma kinyogoriii🫡🔥🔥🤲🤲
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 15 күн бұрын
Najvunia Kua Muislam Alhamdullah Allah Anijalie kua muislam had Mwsho Wa uhai,Wakristo Fanyen Search ya Kujua Ukwel Din ya Hak N Ipi,some tabu Uzur mckubal Mapadri Wakupotoshen kw mana Kuna badh ya Ayaa Hamdomew Makansani za Ukwel
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 6 күн бұрын
Tunaijua biblia kuliko unavoweza kuzan hawo wanawapotosha kwakuwasomea vipande vipande vinavyounga mkono hoja zao
@chiefbenardos6459
@chiefbenardos6459 9 күн бұрын
Bibilia soma yote uelewe si quotes nusu nusu.. Yesu ni bwana na njia ya ukweli na uzima wa milele hao mengine ni watu tu wangoja hukumu kama wengine.
@georgeachiengrestinpeacebr7215
@georgeachiengrestinpeacebr7215 2 ай бұрын
Mtu hawezi m'baka mtoto mdogo wa miaka sita Kisha ajiite mtume wa Mungu... Mohammed Hana sifa kuwa mtume wa Mungu ni kiongozi wa ugaidi duniani
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 2 ай бұрын
Kiongozi wa ugaidi Mungu wako wa bandia ndoa maana akala kibano kisha akasulubiwa .....na kama kubakwa basi ata mama ake yesu naye alibakwa maana aliolewa akiwa na miaka 12
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 2 ай бұрын
Halafu uwo uthibitisho wa kuwa Muhammed Kabaka uko wapi? Wakati aliooa na wazee wa bibi Aisha waliridhia....wewe utakuwa na makasiriko ya baba ako alivombaka mama ako alivyokuwa na miaka 12 unapatikana wewe😂😂😂😂
@cassimtonui5332
@cassimtonui5332 4 ай бұрын
Mashaallah sheikh ❤❤❤
@ImaniPeter-r6r
@ImaniPeter-r6r 3 ай бұрын
Yesu wakatiule amekuja nikweli hakuja kuhukumu,nandomaana alikaa nawenyedhambi,lengonikuwaokoa,ila siku yaparapanda ndoatakuja kuhukumu,
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 4 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ❤
@عبدالصمدعبدالله-ف8س
@عبدالصمدعبدالله-ف8س 4 ай бұрын
Ndacha kweli wewe unasema muhammadi si mtume wa mwenyezi mungu
@BashiruSalumu
@BashiruSalumu 3 ай бұрын
Allahu akbar
@hafidhisadiki279
@hafidhisadiki279 4 ай бұрын
Kinyogoli the best
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 4 ай бұрын
SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 6 күн бұрын
HAWANA HOJA ZAMSINGI ISIPOKUA WANACHEKESHA WAMEKUA CHEKA TU
@TomasMujema-k7j
@TomasMujema-k7j 6 күн бұрын
Yani Axis of resistance imejengwa mpaka TZ 😢
@Sidejuma-sh9sj
@Sidejuma-sh9sj 3 ай бұрын
Dini zipo nyingi lkn Dini ya M/Mungu ni uislamu2
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 6 күн бұрын
Sawa lakini Yesu ndio njia yakweli nauzima huwezi kwenda mbingun kama humusmin Yesu kristo
@NestoryNgonga-m9r
@NestoryNgonga-m9r 28 күн бұрын
Tunasikiliza upande umoja hapa waislam walipogwa
@AbasHabimana
@AbasHabimana 4 ай бұрын
Ndacha elimu yake ni finyu sana hawezi kujadiliana na waaziri wa kislam Ndacha hoja zake ni zakitoto
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 4 ай бұрын
{ ۞ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوۤا۟ إِنَّ كَثِیرࣰا مِّنَ ٱلۡأَحۡبَارِ وَٱلرُّهۡبَانِ لَیَأۡكُلُونَ أَمۡوَ ٰ⁠لَ ٱلنَّاسِ بِٱلۡبَـٰطِلِ وَیَصُدُّونَ عَن سَبِیلِ ٱللَّهِۗ وَٱلَّذِینَ یَكۡنِزُونَ ٱلذَّهَبَ وَٱلۡفِضَّةَ وَلَا یُنفِقُونَهَا فِی سَبِیلِ ٱللَّهِ فَبَشِّرۡهُم بِعَذَابٍ أَلِیمࣲ } [Surah At-Tawbah: 34]
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 2 ай бұрын
Mim siez amiñ din8 ya mashetani wala kizazi changu kisiwai jikuta huko .
@sammarley1413
@sammarley1413 Ай бұрын
Hata hiyo ulionayo nidini yawazungu wakoloni siyamungu😂
@edymoney5895
@edymoney5895 3 ай бұрын
Uwislamu niupotofuu mkubwa sanaaa
@jumahamad9463
@jumahamad9463 4 ай бұрын
WAKRISTO WASHAZOWEA HAWOO KUDANGANYA WENZEWAO AU WATU WAO KISWAHILI CHENYEWE AJUWE NICHAMAGUMASHI
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 4 ай бұрын
Kinyogori nakukubali sana
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 4 ай бұрын
Kinyogori kidume!
@saumusaid7825
@saumusaid7825 4 ай бұрын
Me najiuliza swali Kwan hawa wakrst hawasomi hivi vitabu vyao
@mobutu3884
@mobutu3884 4 ай бұрын
Tuwaulize nyie mnasoma kweli vitabu vyenu maana tukihoji mohamad alivyopata utume hamjibu, yeye kaja kasema anahisi kuchezewa na mashetani sababu yeye ndie aliyekua eneo la tukio ila waraq na bi khadija wanasema ni malaika sasa nani asikilizwe kati ya mohamad na mkewe na shemeji yake? Nakukumbusha tu malaika hawezi kutumwa kwenye tukio kubwa kama hilo na asijitambulishe na hapo ndipo mlianzia kupigwa ila ukweli mtaukwepa milele 😂
@evansmogusu8113
@evansmogusu8113 4 ай бұрын
Ninyi hamvielewi hivyo vitabu vya kikristo..
@saumusaid7825
@saumusaid7825 4 ай бұрын
@@evansmogusu8113 tunavielewa na ndo maana majibu yanatoka humo humo kwenye vitabu vyenu
@khloevibe7569
@khloevibe7569 4 ай бұрын
nyie waislam mnavisoma ila sie tunavisoma na kuvielewa kuna tofauti hapo
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 3 ай бұрын
Huwa wanasomewa na padri wao.. kuangalia sio lazima km padri anasoma
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
Shafii shetani maana yake ni muongo. Hata sasa kila muongo ni shetani...
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 4 ай бұрын
Mitume wote waliotumwa na Mungu walikua warabu.natoa challenge kama kuna mtume aliekua mzungu au muafirika mkristo yoyote amutaje.
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 4 ай бұрын
Wakristo na mayahudi wanakataa mtume kwa sababu ya husda tu
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 6 күн бұрын
Huna hoja hatumkubali kwakua hajatajwa kwenye maandiko matakatifu
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 4 ай бұрын
Kinyagilii kiboko
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 3 ай бұрын
Waislamu giza sana yaani yesu arudi kuwa mfuasi wa mtu sliyekufa 😂😂😂😂 afu ahukumu kwa sheria za Mohamed,mohamed anasubirii kufufuliwa afu huyo aliyefufuliwa awe mkubwa zaidi ya anayefufuka😂😂😂 Ahsante Yesu kunifanya kuwa msabato
@sammarley1413
@sammarley1413 Ай бұрын
@@charlesboniphace2249 wazungu wakoloni ndio waliokufanya mkristo sio mungu
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 4 ай бұрын
Kwani Muhammad hako Na sheria zake
@barazamatibila8412
@barazamatibila8412 4 ай бұрын
WaIslamu hushangaza sana yaani munaamini eti Yesu atarudi KUMUA NGURWE KWANI MUNYAMA NGURWE ANAMAANAGANI ?
@KhalidHashim-y4n
@KhalidHashim-y4n 3 ай бұрын
Tukuulize wewe nguruwe ana maana gani kwako ama kweli wingi wa mvi kichwani si wingi wa busara unaonekana ni mtu mzima lakini huwezi kufikiri na unahoja ambazo akili yako inajua ukweli wake lakini unajizima data
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze 3 ай бұрын
Jesus is lord
@leomika8473
@leomika8473 4 ай бұрын
Waislam msipo mkubari yesu Amna pakwenda
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 4 ай бұрын
Tutakuja kwako
@mussachichajr
@mussachichajr 4 ай бұрын
Ww kichwa chako kibovu kwa sababu hata huo ukristo huujuwi unafuata upepo tu.
@allythabiti8150
@allythabiti8150 4 ай бұрын
@@leomika8473 Kwa taarifa yako WAISLAM wote wanamkubal YESU na wanamtambua kama Nabii wa Mwenyez Mungu,, Na anahesabika kama manabii watano katika utukufu daraja.
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 ай бұрын
Cjui mna akil gan,hakuna Muislam asie mpenda Nabii ISSA(Yesu) Waislam wote tunampenda saaaaana ila km Mtume wa Mwenyez Mungu
@PaladinInsurance
@PaladinInsurance 4 ай бұрын
Huelewi bibilia Rudi shule
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 ай бұрын
Kwanza kichwa chako cha habari kina upande mmoja. Hufai kuwa mwandishi wa habari. Ungesema Kinyogoli akijubu hoja za Ndacha. Na majibu yanaweza yasiwe majawabu
@SaidUwesu-n1x
@SaidUwesu-n1x 4 ай бұрын
12:46 yohana
@edymoney5895
@edymoney5895 3 ай бұрын
Nyie waislamu hamna elimu yakushindana nandacha kafugeni majini tu
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 2 ай бұрын
Majini yapo kanisani ndo maana kila tukipita utasikia pepo toka 😂😂😂😂 na hayatoki maana kiti cha enzi kipo kanisani
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Ndacha kapatikana anapinda sana ulimi anatoa tafsiri ana badilisha maandiko ust kinyogoli na shafii wamemnyoosha
@AlyAly-dp7iv
@AlyAly-dp7iv 3 ай бұрын
Wanaaoma ila wao hawataki uisilam leongo lao ni kuimaeisha ukristo ili wakaijaze jahannam
@Josephmkutu13-zo7qd
@Josephmkutu13-zo7qd 4 ай бұрын
WAKIRISTO WANABISHA BILA HOJA YYTE😂 YA MSINGI
@mobutu3884
@mobutu3884 4 ай бұрын
Shida yenu anapopanda ndacha hamumsikilizi ila wakipanda walimu wenu na kufanya comedy ndio mnasikiliza na kucheka, hapo kuna ndacha upande wa kiislamu kuna comedian wanageuza mijadala ya dini kuwa cheka tu 😂
@abdulijuma3969
@abdulijuma3969 4 ай бұрын
​​@@mobutu3884iwe comedy iwe muvi njoo na hoja sisi tunataka hoja namna ya wewe kushinda ni hoja acha bla blaa sawa ndugu? japo ni comedy lakini ujumbe unafika kazi kwenu sasa wazee wa kukurupuka😂😂
@KhalidHashim-y4n
@KhalidHashim-y4n 3 ай бұрын
​@@mobutu3884shida ndacha anakataa bible alafu bible imejichanganya yenyewe ila qur-an ikitoa hoja inanyooka moja kwa moja inayoeleweka
@عبدالصمدعبدالله-ف8س
@عبدالصمدعبدالله-ف8س 4 ай бұрын
Ndacha acha kuzungumzia muhammadi kwa ubaya😅
@AbubakarKi
@AbubakarKi 4 ай бұрын
Waislam ni wasomi basi wKristo jiokoeni nafisi Zenu kwa moto wa jahanam,
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Makafiri kwisha habari yao
@ayubkiundawale4582
@ayubkiundawale4582 3 ай бұрын
Usipo elewa hapa huwe elawa tena
@jumaali8596
@jumaali8596 3 ай бұрын
NDIO UKRISTO SIO DINI
@AMINGULAMRASUL
@AMINGULAMRASUL 3 ай бұрын
HAYO MANENO YAMETOKA KWENYE BIBLIA LAKINI NDACHA ATAKAA KABISA AMEZOWEA KUPOTOSHA WATU . NDACHA ACHA UWONGO UWONGO KWENYE DINI AYAFAI KAMA WEWE MCHUGAJI UNAFUNDISHA NINI KWA WAUMINI WAKO
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 18 күн бұрын
Kiboko kinyogole
@justinkasongo5508
@justinkasongo5508 4 ай бұрын
Waisilamu munakuelewa kudogo Sana alafu shetani anawaziba macho man kusikia ili musielewi pole sana
@mohammedndune6495
@mohammedndune6495 4 ай бұрын
Wewe sikiliza vizuri maandiko wacha chuki utaelewa ukweli wa taarifa
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 4 ай бұрын
At hivi kuweka vipande vyote tusikie uislam kweli ni dini ya kujisifia sifia hakuna ukweli na uwe shabiki kama msemaji wa vitalo zidi ya young africa
@mussachichajr
@mussachichajr 4 ай бұрын
Yaani nimegundua kitu maandiko hayo hayo ya kwenye bible yakisomwa na waislamu wanayakataa wakati yanatoka kwenye kitabu wanachokiamin wao
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 4 ай бұрын
Tatizo bable inachangamoto ya uwalibifu pili maneno mengi akusema yesu bali watu waliokuja nyuma yake kwaiyo kunamandiko mengine yapo sawa mengine watu wameyalibu kwa maono yangu
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 4 ай бұрын
Isa siyo yesu
@ShafiunaWaziri-vz7bi
@ShafiunaWaziri-vz7bi 4 ай бұрын
Kwani wayahudi walimuita yesu yesu ni kiswaili ww elim zilo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 ай бұрын
Ili ijulikane sio yesu kwani kazaliwa wapi? Huo mji aliozaliwa wanamwitaje?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 4 ай бұрын
​@@ndukulusudikucho_ukiamini hivyo, basi Yesu sio Jesus au masih
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Kibano kibano ust said juma kinyogoli wakristo hichi kibano hamtakisahau 😅
@TembeleIdialimasi
@TembeleIdialimasi Ай бұрын
Sasa nyiye waislam mbona mwa weka vipande?
@josephmusagasa
@josephmusagasa 4 ай бұрын
Amesema hakuja kuhukumu,lakini ndiye atakaye hukumu (maana yake mwisho wa Dunia yeye ndiye atakaye wahukumu watu wote kwakuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho) tatizo ninyi waislamu hamtaki kujifunza bali mnakuja kutetea Imani yenu tu. Sasa,hiyo sentesi mbona imekaa sawa kabisa. Waislamu haina hoja.
@MidoMidomore
@MidoMidomore 4 ай бұрын
Kila dhama na nabii wake Yesu alitumwa kwa wana wa Israel @ siku ya hukumu Yesu atawashangaa wakristo watakapokwenda kwake na atasema mbona nyinyi siwajui
@QualityBrand-cc2fn
@QualityBrand-cc2fn 4 ай бұрын
Kikubwa weka andiko alosema atahukumu watu wanaosoma biblia wakapitie
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
@@josephmusagasa huna lolote waislam ni maandiko ww kaa na umwehu wko tu
@josephmusagasa
@josephmusagasa 4 ай бұрын
@@HemedSerious sasa suala la wehu linatoka wapi? Ndiyo tatizo la waislamu,temper kibao. Eti hiyo nayo dini ya uzima wa milele. Umeona wapi mimi nimekutusi? Mbinguni hawaingii watukanaji,hawaingii wasiokiri kuwa Kristo ndiyo njia kweli na uzima. Yaani umekaa kama mtu wa kisasi. So,nimekukosea nini? Pole sana.
@edymoney5895
@edymoney5895 3 ай бұрын
Wew mwalimu kama ungekua unaelimu yakushindana nandacha unge posti na alipo ingea ndacha uwone uwislam unavo zalilika nyie dini hamna mkafuge majini tu huko misikitini namajumbani kwenu
@erishaaboumpangaje8597
@erishaaboumpangaje8597 3 ай бұрын
Unajitekenya
@sadiqkivunjor5698
@sadiqkivunjor5698 3 ай бұрын
Sikutumwa ila kwa kondoo wa nyumba ya israel
@manigatz5271
@manigatz5271 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 naamia katika uislam
@mohdseif2593
@mohdseif2593 4 ай бұрын
@@manigatz5271 karibu sana huko ndiko kwenye ukweli nasio wakupinda pinda nikweli mtupu
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 4 ай бұрын
Ndacha ni bwege tu
@NicodemBarantanda-ud7qy
@NicodemBarantanda-ud7qy 4 ай бұрын
Ndacha ameelezea vizuri hakuna alipomtambua mhamadi kama nabii waislam mbona mmepotea hata leo?
@leomika8473
@leomika8473 4 ай бұрын
Maana ya isilaer nidunia nzima mnakariri
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Ndio maana unafumba macho ukiomba umekua kipofu
@mussakhalifah1233
@mussakhalifah1233 4 ай бұрын
@@leomika8473 Amani ya Mungu iwe pamoja nawe. Naomba maana ya Israel kuwa ni dunia nzima kwa mujibu wa andiko au sherehe yoyote ya andiko iwe agano jipya au la kale ili nami nijifunze tafsiri hiyo. Ahsante.
@clewis520
@clewis520 4 ай бұрын
… Allah ni mwarabu haelewi lugha zingine.
@ShafiunaWaziri-vz7bi
@ShafiunaWaziri-vz7bi 4 ай бұрын
Akili yako ndio ulipo fika apo tatizo lugha Moja inamana ata ulienda china utaswali ukienda India utaswari kwa sababu lugha ya kuabudu ni Moja inaleta maelewano ukiwa kwa msikiti nenda we china kama utaswali
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 4 ай бұрын
Allah ndie aliyemuumba yesu
@clewis520
@clewis520 4 ай бұрын
@@mohdkhatib223 …Allah hata hajui mtoto uzaliwa aje….
@mussachichajr
@mussachichajr 4 ай бұрын
Nenda katembelee 3: 9 zefania
@AbuuShuraimAl-Shirazy
@AbuuShuraimAl-Shirazy 4 ай бұрын
Astakhfirullah
@likonjesuleyman4035
@likonjesuleyman4035 3 ай бұрын
Waape dawa
@FrankKabuka
@FrankKabuka 4 ай бұрын
Shee malizia apo,baada ya yesu kuonyeshwa milki yaulimwengu shetani alijibiwa nini
@KhalidHashim-y4n
@KhalidHashim-y4n 3 ай бұрын
Imeandikwa msujudie bwana Mungu wako wewe umesujudu wapi kama andiko linavyosema au unaimbaimba kwaya tu nakupiga vigeregere
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
Ndacha ni kiboko cha waislamu. Amewadhibiti kabisa kwa kila mada. Yesu hakuja kuhukumu ila kiokoa. Lakini katika kiyama YESU NDIYE ATAHUKUMU WOTE .
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 4 ай бұрын
@@ernestbensonmwamengo1642 ndio atahukumu kwa sheria ya nani ?
@aliroro9344
@aliroro9344 4 ай бұрын
@@ernestbensonmwamengo1642 Andiko 😁😁 unalo au kelele tu
@sammarley1413
@sammarley1413 Ай бұрын
Kama sijasahau huyo yesu ndio yuleeee aliecezea vipigo Hadi kuzirai nakisha kupigiliwa misumira kwenye mbao nabadae akazikwa sasa sijui alipokua maiti ndani yakaburi waliotenda madhambi katika sikualizokua mfu watahesabiwa vip??? Mna mungu wako alikua hoi kaburini hajitambui
@aliroro9344
@aliroro9344 Ай бұрын
@@ernestbensonmwamengo1642 😂😂😂😂...Labda amuukuku pauloooooo alokufnya ww mkrstoo
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 Ай бұрын
@sammarley1413 UFUNUO 1:7-8....waislamu someni BIBLIA katika roho na kweli NDIPO mtaelewa . kama sivyo...mtaishia kupinga tu.
FAHAMU MITUME 12 WA YESU MWISHO WAO WALIVYOKUFA KISHUJAA KWA SABABU YA INJILI
44:22
WEWE UNASEMA UNAOGOPA KUOA HALAFU UNAKULA KWA WAKE ZA WATU "PASTOR MGOGO
1:19:25
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 588 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 36 М.
MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
40:46
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 10 М.