AKATAA ZAWADI YA GARI KUTOKA KWA MAMA YAKE MZAZI SABABU ALIMTELEKEZA

  Рет қаралды 23,511

KIREDIO

KIREDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 352
@homemadestory4871
@homemadestory4871 51 минут бұрын
Inasikitisha lakini hapo kwenye graduruuu apana mtanisamehe🤣🤣🤣🤣🙌
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Сағат бұрын
Pendo ashukru Mungu aliachwa sehemu salama coz apo kwa bibi mzaa mama nisehemu salama kabixaa ajakutupa amekuacha kwa mama ake usiwe hvyo pendo mzazi akosei msamehe mama ako nimaisha tu wanawake tunapitia mengi xana ukikua utaona pendo
@zuwenaabdallah2059
@zuwenaabdallah2059 Сағат бұрын
Aaah gari jaman namsamee Mama yangu siwezi kuwa na cuki na mama yangu kwa kweli
@ericsalema1690
@ericsalema1690 2 сағат бұрын
Mama ana kosa ila sio kubwa..Kwenda kumuacha mtoto kwa mama yake alifanya vizuri kuliko angemtelekeza kwingineko..Bibi wa mtoto alipaswa kumjenga binti kisaikolojia ili ajue mama yake bado anampenda na ndiye anayemsomesha. Mama yetu ana kazi kubwa sana kurudisha mapenzi ya mtoto kwake. Ila bibi mtu akikaa na mjukuu wake yatakwisha..Na angekuwa ni mtoto wa kiume mama angefanikiwa upesi sana.Si mnajua Watoto wa kiume na mama zetu hatukui🙌🙌...Anyway Nimegundua mama kashikilia usukani muda mrefu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 Сағат бұрын
Ana kosa kubwa sanaa mzee😢😢
@Official_kp-2000
@Official_kp-2000 2 сағат бұрын
Naomba hii IENDELEE mama atafutwe akae na bint wamalize shida achukue gari😂😂
@petercharles-jx1es
@petercharles-jx1es Сағат бұрын
anichukue hata mm
@bernadetageorge6039
@bernadetageorge6039 2 сағат бұрын
Kikubwaa mama hajamtupaa ...kamsomeshaa anamftilia na kumhudumiaa mama hakosei
@williamjustin-f7f
@williamjustin-f7f Сағат бұрын
mama ni mama kwanza kitendo cha yeyekutunza mimba hadi akajifungua ni kitu kikubwa mno sababu angeitoa sabbu yeye alikataliwa but aliweka imani yake kwa mwanaye na kuamini ipo siku iwe mvua iwe jua kwahiyo kukuacha kwabibi sio shida je angekutupa dampo kikubwa mushukuru mungu amekukumbuka
@abc-en3em
@abc-en3em 2 сағат бұрын
Same story as mine ,, nimesoma kenya for the last 14 years bila communication na mama.Mzee alipofarika, mama aliniacha kwa bibi akaenda dar kutafuta maisha apo nlikuwa sijielewi mdogo sana. Bibi angu mzaa baba akiniombea kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi kenya. Shangazi akanichukua apo nlikuwa darasa la pili. Nlienda kenya nikaanza darasa la kwanza . Adi nimemaliza form 4 mama ndio nlikuja kuonana nae Dar es laam , Alafu fresh kumbe mama alikuwaga analipaga ada yangu kenya alafu nlikuwa sijui wala nn.. adi nimemalizaa form 4. Ndio nimekuja dar nimekutana nae ,, Nampenda mama kinomaa uyu pendo Anazingua .
@Official_kp-2000
@Official_kp-2000 2 сағат бұрын
@@abc-en3em uyo mdada nae aache utoto shida miaka 22 unapewa. cX5 unaona kama ujinga akati ndoto ya mtu hiyo 😂😂
@elviaheriel2582
@elviaheriel2582 Сағат бұрын
Tusimlaumu kwa sasa! Kumbuka ndo amepokea taarifa, hawezi kusamehe hapohapo.. baadae atamsamehe tu
@kelvinthomas4579
@kelvinthomas4579 Сағат бұрын
Hapo bibi alishamwambia kuwa mamako alikutelekeza alikukimbia. Hapo kwa harak harak mtoto anaweza waza mengi. Mfano anaweza waza kuwa mama angepitiwa kdg tu na shetan inamaana angeweza hata kunitoa uhaii.😢 😢 But inasikitisha sana
@sophiaremmy6326
@sophiaremmy6326 Сағат бұрын
Uchungu + maumivu ya miaka 14 mnataka mtu ayamalize ndani ya siku moja..haiwezekani anahitaji muda pia kuweza kusamehe..hamjui binti kapitia mangapi kumkosa mama ambar anajua kabisa yupo na ni mzima wa afya ila aliamua kuchagua mwanaume zaidi kuliko binti yake…huwezi kaa miaka 14 hujaonana na mtoto wako mtoto anamaliza la saba upo kimya,form four kimya,form six,kama kweli ulikua unalipa ada ungekua hata unampigia simu mtoto kumwambia kazana kusoma mwanangu au hata unajitokeza kwenye matukio yake muhimu ili ajue upo
@rajabus.kigwanigwa9788
@rajabus.kigwanigwa9788 Сағат бұрын
Mama anasema juhudi za kuwasiliana na mwanae zilikua zikizimwa na bibi.
@elisaphymsemo6330
@elisaphymsemo6330 Сағат бұрын
Bro kama kweli alikua na nia ya kumtafta mwanae sawa bb kakataa jee alishindwa kumtafta kwa njia nyingne mfano kwenda kusalimia home,kutafta watu wakampe taarifa binti yake kua namuulizia? ​@@rajabus.kigwanigwa9788
@sophiaremmy6326
@sophiaremmy6326 40 минут бұрын
@@rajabus.kigwanigwa9788 kwao/kwa mamaake alikua hapajui?? Miaka 14 unaongeaga tu na mamaako kwenye simu ??..hatukatai anatakiwa kusamehewa ila sio lazima iwe kwa muda wake ampe muda binti na aendelee kuweka juhudi za kua nae karibu
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 38 минут бұрын
Nakubaliana naww aisee yani sio rahisi mtu amekutelekeza miaka yote sio rahisi kukubali
@JeskaMwalongo
@JeskaMwalongo 2 сағат бұрын
Mama ni mama time will come atamtafuta yeye mwenyew 😢
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 сағат бұрын
Yani nilikuwa nataka kujua point moja tu Nani anaye msomesha na kwa sababu ni ww mama Wala hata usiwaze SS tulitelekezwa na mama zetu na walirudi bila hata mia na bado tuliwapikea na kuwa saidia bila hata kujali na bado akataka kuni umiza lakini sikukata tamaa niliendelea kumlea na kwa Sasa nimeenda naye mbali Ila na msaidia mama ni mama tu
@rosesevent
@rosesevent 2 сағат бұрын
Huyo! Dada hatofanikiwa Mama yake amejitoa kwa sababu ya umaskini 😩 mama amejitoa muhanga
@kelvinthomas4579
@kelvinthomas4579 2 сағат бұрын
​@@roseseventSema Sasa na mtoto alikuwa hajui anasomeshwa na nan 😢
@rosesevent
@rosesevent 2 сағат бұрын
@@kelvinthomas4579 sasa kama bibi yako hana kazi ya kueleweka kwa nini usiulize! Mungu fundi bhn! Asije akapitia mtihani kama wa mama yake Aombe na kufunga! Sanaa nimekaa hapa! Bado Ana safari ndefu ya maisha
@RehemaMobeto-t1q
@RehemaMobeto-t1q 2 сағат бұрын
​@@roseseventnyie gar sio upendo unajua kuish maisha bila mama alafu ajafa yup hai utoto wote hayupo nyie
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Сағат бұрын
Mzazi ni mzazi tu haijalishi
@Sisterelly
@Sisterelly 54 минут бұрын
Mwambie uyo mama aniletee iyo gari, funguo ntachongeshaa😢😢😢😢❤
@petermanala6138
@petermanala6138 46 минут бұрын
@@Sisterelly 😂😂😂😂hunashida na funguo
@mwajabumrindoko-xw9mq
@mwajabumrindoko-xw9mq 23 минут бұрын
Mm namchukiaa mama yangu yanii hapo najiona Mimi kabisaaa simpendi na siongei nae sitoongea naeee Tena naona ya huyo binti ni madogo yangu😢😢😢
@lidyakinono9917
@lidyakinono9917 Сағат бұрын
Yani me nikatae gari😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hata kama sijamsamehe ila gari nabeba
@petermanala6138
@petermanala6138 Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂unakataaje zawad
@ValensNgateu
@ValensNgateu Сағат бұрын
Matajiri hawana tamaa 😂😂😂
@Princessnauty
@Princessnauty Сағат бұрын
😅😅😂watu mna moto
@petermanala6138
@petermanala6138 50 минут бұрын
@@ValensNgateu hawana tamaa lakin hawakatai zawad hata pipi ya hamsin ukimpa anapokea tena anashukuru itakuwa ndinga
@EkronMasilu-d3j
@EkronMasilu-d3j 2 сағат бұрын
Sawa alikutelekeza Je bila Yeye ungekuwa hapo Vipi Maza angetoa ujauzito wako Mbona Pendo unaleta mambo ya kiwaki mzazi ata akoseee Vipi hutakiw kunfanyia hivyo Mama zetu wanakosea lakini hatuwez kuwalaumu maana bila wao Tusingekuwa hv Daaah hv anamfanyia hvo mama anajua wangap wanataman Kuwa na mama na Hawana Nimemaind 😢😢😢
@RehemaMobeto-t1q
@RehemaMobeto-t1q 2 сағат бұрын
Mmmmmmmh yasikieni kwa wenzenu
@EkronMasilu-d3j
@EkronMasilu-d3j Сағат бұрын
Ata kama heb angalia mama aloptia ​@@RehemaMobeto-t1q
@monabae7447
@monabae7447 Сағат бұрын
😢rest in peace mama angu
@RehemaBakuza
@RehemaBakuza Сағат бұрын
Ww wasema tu kama jambo kama halijakukuta wala usiliongelee
@rajabus.kigwanigwa9788
@rajabus.kigwanigwa9788 Сағат бұрын
Hii ndio tofauti kuu kati ya wanaume na wanawake. Angekua mtoto wa kiume angekua ashamsamehe mama yake tena bure. Huyo binti anatakiwa atoke hadharani aeleze sababu za kumdhalilisha mama yake hadharani namna hii. Kama kafundishwa na bibi yake, basi huyo bibi yake ni mchawi. huwezi kupandikiza chuki kwa binadanu kias hicho kama huna utalamu wa kichawi. Huyo naamin ipo siku atajutia hiki alichokifanya naamin ni utoto unaomsumbu pamoja na chuki pandikizi dhidi ya mama yake alizooewa na bibi yake, lakini siku moja nae atakuja kuomba msamaha kwa mama yake na maisha yataendelea.
@davidlameck7879
@davidlameck7879 41 минут бұрын
Si kwamba ww tamaa ya Gari imekushika tu😂😂😂😂,
@collethamahenge5631
@collethamahenge5631 13 минут бұрын
hio miaka 14 unajua mwenzio kapitiaa mangapo ww bila kua na mama afu unataka atumie siku moja tu kusahau yote na kusamehe?? ungekua n ww ungeweza ama n gari tu inakupa moto wa tamaa?? 😂
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 5 минут бұрын
Msipende kutoa conclusion kwa mambo msiyoyajua
@zuwenaiddy7820
@zuwenaiddy7820 Сағат бұрын
Mmmh ngumu kumeza ila mama anaroho ngumu
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Сағат бұрын
Kwa mama hata asingenipe kitu ningemsamehe Kwa mapenzi yoote ❤
@Clausonlab
@Clausonlab 3 сағат бұрын
Wa kwanza hapa likes zangu😂
@kelvinthomas4579
@kelvinthomas4579 2 сағат бұрын
Sema na sisi ambao tulitelekezwa na mzaz mmoja wapo. Hii story kama inatuuma sana. 😢. Unaangalia unakumbuka mbali. 😥😥
@ginelisangakrambi9546
@ginelisangakrambi9546 11 минут бұрын
Mimi ningemshauri Pendo kua msamaha ni msamaha siku zote na. Mama ni mama ata asingekuja na zawad ya gari ni mama na akukuua kama mama wengne akukutupa nje kama mama wengne ila alikupeleka maali aliko jua utakua Salama kwa asilimia Mia Pendo mpenzi pls msameh mama
@swamadujackson
@swamadujackson 2 сағат бұрын
Mnaocomment hapa kumlaumu huyu binti hamjui tu inavyouma kukua ukijua kuna mzazi hana mda na wewe unalelewa kwenye familia za watu hata kama unapata kila kitu ila inauma sana kukua bila familia halisi😢 mimi namuelewa sana
@gloryyairo928
@gloryyairo928 2 сағат бұрын
Apo bibi yake ilibid asimlishe sumu Mtoto
@dicxonmexielyofficial3925
@dicxonmexielyofficial3925 2 сағат бұрын
We tuliaa huna unachokiongeaqq
@Zari-bj7pg
@Zari-bj7pg Сағат бұрын
Sasa hata kam asingemtupu maish yangekuw magumu tu mama alienda kutafuta maisha
@alexlaston7464
@alexlaston7464 Сағат бұрын
Mama alifanya...usihofu kumpoteza mmja ili kumi waishi vyema....ni kwel kuna mistake kwa mama lkn mama ni mama...asemehewe...ni painfull lkn no way afu unakataaje gari...😂😂😂😂😂😂😂
@youngnigerbarizo2167
@youngnigerbarizo2167 Сағат бұрын
Pesa sio Kila kituuuu😢
@paulmrema1083
@paulmrema1083 31 минут бұрын
ile kiredio kala shavu sana kwenye hii kazi😊😊
@MwanasaYusuph-q3e
@MwanasaYusuph-q3e 27 минут бұрын
Mwenyewe baba angu ameniterekeza tangu npo darasa la nne
@NaftalMungure
@NaftalMungure Сағат бұрын
Mwenye shida ni bibi. Mtoto akishajazwa sumu hawezi kubadilika hadi awe mzee
@clintonjohn4312
@clintonjohn4312 Сағат бұрын
HAHAHHA issue imepangwa hiii tunaelewa wenye D MBILI TYU
@arafaally2895
@arafaally2895 Сағат бұрын
Mi pia nina D mbili tangazo hili
@JaneveeThomas
@JaneveeThomas Сағат бұрын
Kweli kabisa wenye d mbili tu ndo tunaelewa 😂
@LeylahJumbe-vc3lv
@LeylahJumbe-vc3lv 50 минут бұрын
Nilikua naitafuta hii comment😂
@Chimbo_la_paziakali
@Chimbo_la_paziakali 2 сағат бұрын
Ngoja niangalie mpaka mwisho ndio nicomment chochote...
@amrimwingwa994
@amrimwingwa994 Сағат бұрын
Huwezi Pata Maisha mazuri kizembe... Mama shujaaaa ame sucrifice for the Family... Kila jambo Lina Hatma yake mtoto hana Budi kumkubali Mama Yake
@Vees12
@Vees12 50 минут бұрын
Ndio nashangaa Yani mtu anajitoa kwaajili yako alafu umuaibishe hivyo no way
@yonahmkemwa9767
@yonahmkemwa9767 2 сағат бұрын
Ukiona mtu amekubali kosa na akaamua kukuomba msamaha basi ujue amemaanisha Sasa hapo pendo ndo amebakia na hatia huyo mama sio kwamba ana maisha ya dhiki ila uchungu alionao kwa mtoto tena na kumsomesha amemsomesha pendo Mungu akupe hekima katika hili usipoangalia utajikuta unaishi maisha ya uchungu na kisasi kitu ambacho kitakunyima amani ya moyo msamehe mama ufurahie maisha Sasa changamoto zipo kwa kila mtu we fikiria hakukuacha kwenye mazingira mabaya alienda kukuacha kwa bibi ni ishara tosha bado alikuwa na upendo
@Hameedmrope
@Hameedmrope 2 сағат бұрын
Maisha Yan Siri kubwa San mwenyezimung atulinde na atupe mapnz na huruma juu ya familia zetu
@MaimunaRashid-l8p
@MaimunaRashid-l8p Сағат бұрын
🙏ameen
@denicdaud4702
@denicdaud4702 Сағат бұрын
Kuna muda pesa sio kitu aseee😢😢😢
@mwanahamisizawadi9345
@mwanahamisizawadi9345 47 минут бұрын
Hamjui baba ake mzazi📌 baba mlezi pia akamkataa📌 , na mama akamtelekeza kwa kuangalia maisha sawa lakini dodoma singida sio mbali kwann hakua anaenda hata mara moja moja ili mwanae amuone eti alikua anapiga cm ni nini hata bibi alichofanya ni sawa kutompa cm mjukuu maana labda lengo lake lilikua mama apate akili awe aende mwenyewe anamuona mtoto ila wapi, Eti namsomesha ila hajui huyo bibi amekubali msaada wa kusomeshewa mjukuu sababu tu hana namna kipato hakiruhusu. Okay acha mama alipie alichokichagua , Pendo amsamehe mama ila sio kirahisi maumivu ni makali
@everdee7271
@everdee7271 2 сағат бұрын
Daaah....inaumiza but angempa chance ya kumsikiliza mama yake ajue reason behind why mama yake alifanya maamuzi yale ...
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 Сағат бұрын
Kwa ss wenye D4 hii inaonekana wanaekiti wanatufanya watoto 😂😂 nyie boya endeleni kupigwa
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Сағат бұрын
Mungu anijalie uhai nami nije nimuzawadie mtoto wangu sk anamaliza chuo😢😢😢😂
@anniesylivester4100
@anniesylivester4100 Сағат бұрын
Inaumiza sana 💔🥲 Nways psychologist wapo watusaidie Binti amsemehe tu Mama 🙏
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 2 сағат бұрын
Yan mpk mzazi anakufatilia anajua unasoma wap unakaa mpk lin anajua lin una hitimu chuo huyo haja kutelekeza ni maisha ndio yalifanya hivo na haja kutelekeza alikuacha kwa mama miaka 8 bado mtu mzim
@EmillianElias-u9s
@EmillianElias-u9s 2 сағат бұрын
Wengine tuliachwa na miaka miwili tena kwa jirani ili baba yetu akirudi atukute lakin mpaka leo tunaongea na mama yetu na tunapendana hakuna kama mama
@lemimagembe5677
@lemimagembe5677 2 сағат бұрын
Hpn huyo mama nae alikosea alithamini mwanaume kuliko mtt wake mxwieew😭
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 2 сағат бұрын
​@@lemimagembe5677unajua malezi ya single maza weee hao Malaya wengi unawaon bc asili Yao ni hio sio haba mama alimpeleka kwa mama yake na haj mtupa mtaan
@elizabethIsanzu-b4p
@elizabethIsanzu-b4p Сағат бұрын
Sasa kama alikuwa na uwezo wa kumfatilia why asimtafute? Akawa karibu na binti unsjua binti anaitaji uangalizi wa mams kuliko kitu chohote kil
@ommyntigiry9332
@ommyntigiry9332 2 сағат бұрын
Pendo skia tukushauli gani sio muhimu ila hiyo isiwe sababu ya kumtosa mama kabisa sisi tuliyo fanyiwa ni vile tyu wengine sisi sio maalufu ila msamehe mama pendo pls msamehe mama uyo ni mama yako kama amekili kosa msamehe mylove Mimi nikikwambia yangu utaona bora yako
@ErasminaSereha
@ErasminaSereha 2 сағат бұрын
Ila kiredio et anamaliza graduation 😂😂
@geejuneartz165
@geejuneartz165 52 минут бұрын
😂😂😂Hili muviii mamaee
@nelsonliving8374
@nelsonliving8374 Сағат бұрын
Ukiona mpk mama ametoa Gari ujue alishatoa zawadi nyingine zikakataliwa akafikilia kutoa na gari
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 2 сағат бұрын
Duuuh Mama ni Mama ila Huyu wa aina yake, Pendo Msamehe tu Kuepusha Mengi, Lkn Mapnz ya mama kwa Mtoto Hayawezi Zuiliwa na Mwanaume!!!!!!
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Сағат бұрын
Kuna wakati mtu unapita maisha magumu hadi ukitembea unaona watu wote wanajua shida zako sasa jumlisha umepewa ujauzito na umetelekezwa chai tu ni shida...acheni jamani msamaha ni muhimu sana
@lainessmwombeki7919
@lainessmwombeki7919 2 сағат бұрын
Pendo arudishe moyo tu. Af bora hata huyo baba alimkataa mtoto mapema kuliko angeishi nae akamyanyasa
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 2 сағат бұрын
Nachukia sana tabia ya wanaume kufanya mwanamuke apoteze haki ya upendo kwa mtoto ulie mukutanae hii inaniuiza sana!!
@Minashi-pz7fb
@Minashi-pz7fb 2 сағат бұрын
Aiseee mpk machozi yamenitok mam akosei pia pendo kumbuk amekuwek mwez Tisa tumboni ukiachan n kukuach kwa bibi Ako ankusomesh yeye bila wew kujua please 😢
@RehemaMobeto-t1q
@RehemaMobeto-t1q Сағат бұрын
Watu wanatoa mimba sembuse kukuzaa na kukuacha kwa Bibi miaka14 huo nao ukatili mkubwa
@kamalissabig4631
@kamalissabig4631 33 минут бұрын
Kama ww Peleke huko msenge ww uliona wap mama akakataliwa
@luckymilani8927
@luckymilani8927 Сағат бұрын
Natamani angemsamehe tu maana haya ni makosa yanayojirudia katika maisha yetu Et least yy ana muona kuna wenzake wameshawazika maisha yanahitaji subra sana, kuna siku na yy atakua mama hajui atapata mume wa aina gani na subra yake itakua kwa kiwango gani Subra pendo ndio muhimu mshukuru Muumba kwa kila jambo Usifunge milango yako ya riziki kwa sababu zinazoepukika hata km ulikanyaga magumu mangapi Subra
@Rosemary-sw3jy
@Rosemary-sw3jy Сағат бұрын
Mama ni mjinga alikua tayari ushazaa bila mume ushakose baada uanze kufanya kazi unaenda kuolewa mtoto unamuacha kwa bibi unaendelee kukalia dudu😏
@greysonmsigwa5741
@greysonmsigwa5741 Сағат бұрын
Wew ni bint mdogo jitahid kuwa na maneno ya hekma
@AgnesMoshi-he5vh
@AgnesMoshi-he5vh 2 сағат бұрын
😢😢😢😢 pendo pls usamehe mama yako amekosea sawa lakin mpk amekuja anajutia pls pendo pokea iyo zawadi msamehe pia sio kwaajili yake nikwaajili yako msamehe mama yako
@gloryyairo928
@gloryyairo928 2 сағат бұрын
Uyo dada akizaa atamsamehe mama yake ila angejua wamama wanayopitia amsamehee mapema tyuu
@JosephMeja
@JosephMeja 2 сағат бұрын
Kiredio tunataka nyingine ya mama kupatana na pendo (kamilisha wewe hio humanity) TASK📌
@dicxonmexielyofficial3925
@dicxonmexielyofficial3925 2 сағат бұрын
Daaah inauma sana yaan uyo bibi nadhan atakuwa ni mchawi huwez mjaza mjukuu wako upuuzi , au pengine mi uzeee 🤣🤣
@emanuelmadei7058
@emanuelmadei7058 3 сағат бұрын
Wa kwanza Leo 🎉🎉🎉
@witnessmkenda8082
@witnessmkenda8082 2 сағат бұрын
All in all mam ni mam hafananishwi n kitu chochote
@greysonmsigwa5741
@greysonmsigwa5741 Сағат бұрын
Wenye D mbili tushaelewa Hili ni Tangazo😂😂
@halimarahma7450
@halimarahma7450 10 минут бұрын
Shukuru mungu uliachwa sehemu salama ungetupwa dampo je
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Сағат бұрын
Mzazi kakosea kidogo kipindi kampekeka kwa mama yke mzazi alitakiwa awe karibu kwenye mawasiliano ya simu
@rochiusromward8495
@rochiusromward8495 55 минут бұрын
Mmh!! Kama nimeumia kias hiki sijiu mother kaumia kwa kiasi gan!
@mtumbicachwaa6528
@mtumbicachwaa6528 2 сағат бұрын
Ila Kenny Gadau🔥🙌 Dr Machenics😂
@Joshualwitiko-jp8ll
@Joshualwitiko-jp8ll Сағат бұрын
Yani ungekaaaa naye mpaka atua ya mwisho adi akaechini alie angeelewa tu
@kelvinaron9767
@kelvinaron9767 Сағат бұрын
Very sad. Sema hapo ingekuwa safi kama ungeongea na binti anafeel vipi kuhusiana na hilo swala. Ujur na upande wake ana story ya Vipi manake unaweza kuwa sio kama maza alivyosema yeye kwa upande wake ana story tofauti kabs au maza kachengesha kidg.
@hamidambonea1826
@hamidambonea1826 2 сағат бұрын
Hakumjaza sumu alimwambia ukweli ulimtelekeza 😢😢😢
@NeemaEdwin-x2e
@NeemaEdwin-x2e 2 сағат бұрын
HAKUNA MAMA WAWILI MAMA NI MMOJA TUU AWE CHIZI NI MAMA YAKO AKUTESE NI MAMA YAKO, BOYFRIEND UNAMSAMEHE WHY MAMA USIMSAMEHE 😢😢😢
@anniesylivester4100
@anniesylivester4100 Сағат бұрын
Dah kumbe maisha kama ya kwenye movies yanaexist🥹
@RoseIssaya
@RoseIssaya 2 сағат бұрын
Haichukui nafasi ya daktari 😢
@FrenkJuma-hq8yl
@FrenkJuma-hq8yl 2 сағат бұрын
😂
@brunoshirima3387
@brunoshirima3387 Сағат бұрын
Huyu dogo kazingua.....coz mzaz hahukumiw kwa stail hiyo, zipo sabab za kumwacha mtoto nyuma huyu anatakiwa atafte kwanza sabab za kuachwa nyuma....huenda kuna changamoto mama hakutaka kuzipitia mwanae akiona....so huyu kinda arelax atafakari
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 3 сағат бұрын
Imeniumiza sana
@AgnessHabilo
@AgnessHabilo 4 минут бұрын
Amsamehe mama yake anaonekana anamaumivu makali ..amsamehe mama anaonekana anampenda mwanae ndo maana amepata maisha amemkumbuka mtt wake hakumuacha kwa lengo baya
@hashimuomary4569
@hashimuomary4569 2 сағат бұрын
Hiyo gari nileteeni mm bhn
@djhuntertz7211
@djhuntertz7211 Сағат бұрын
Sema naww kiredio 😅 nunua gari sasa
@b26online
@b26online 2 сағат бұрын
The mission prepared😂😂😂
@AimarMarrystella
@AimarMarrystella 2 сағат бұрын
Sawaa mzazi akosei lkn umeacha mtoto na mama ako toka ana miaka 8 ad unamtafuta akiwa amemaliza 4m 5 really ...ulikua unaishi na amani kabisa na uku unajua alikua na maisha magumu et gaduruu sawaaa bhana
@aliceapollo8241
@aliceapollo8241 2 сағат бұрын
Yn watu wanaongea hawaelew uchungu
@BerthaModest
@BerthaModest 2 сағат бұрын
🙌💔inauma kuna wakat bora kuish maish ya njaa na mzaz wako wallah
@Zuu673
@Zuu673 2 сағат бұрын
Na aliyemsomesha nani?
@AsiaMeme-s1q
@AsiaMeme-s1q Сағат бұрын
Watu wanasem awajui kiatu Cha uyuu dada uyuu mama akili anaa kwann kakubal kuolewa alaf mtoto amtelekezee saf kabisa nimependa
@restutaeliezery1719
@restutaeliezery1719 Сағат бұрын
Mama ni mama we mtoto, Msamehee mama yako
@blackpinkweareblackpink3919
@blackpinkweareblackpink3919 2 сағат бұрын
Huwa mna judge one side Sanaa sawa pendo kakosea ila why aletekezwe achen hzo ety ,hawez Rudi hapo kwa papo akakubaliwa she's mentally hurt had a process miaka yote she's hurt mnataka leo afurah kisa gar it takes time
@musicheals1545
@musicheals1545 50 минут бұрын
Yaani Mama amekuacha kwa bibi yako afu unakataa chuma,, Kikubwa amekuacha sehem salama no matter whaaat. Remember Mama ni mama tuuuuuuuuu
@ELIKANANESTORYBASHILA
@ELIKANANESTORYBASHILA Сағат бұрын
Namuombea msamaha mama naomba pendo umsamehe tena alikuwa na nia njema kabisaa akauacha kwa bibi yako msamehe mama hana makosa ata mm niliwahi kuachwa kwa bibi yangu nikiwa na miaka mi5 nimekuja kumuona mama angu nikiwa namaliza form 6 ,ilaa nilimsamehee na leo tuko pouwa kabisaa ## PENDO MSAMEHE MAMA PLEASE
@GraceNgido
@GraceNgido Сағат бұрын
Duuh amsamehe tuuh mama ake 😢mama ni mama kuna wengine tulikosa hata hayo malezi jamn
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Сағат бұрын
Mzazi akosei jaman mama akieda akikurudia unamshkru Mungu na unamsamehe tu ata kama iweje
@JumaGendeye-sv6yl
@JumaGendeye-sv6yl 56 минут бұрын
Ooh boss vunja bei huyooo kaenda
@ahmedshabani1260
@ahmedshabani1260 2 сағат бұрын
Kiredio umekula ganji ya ununuzi magari
@Fausta-o8u
@Fausta-o8u 8 минут бұрын
Aisee kiukweli mzazi alijitoa sana kwaajili ya familia lkn wap😢😢 watoto tujaribu kuwaelewa wazazi so sad😢 pale hakumtupa mama alijua amemucha mwanae sehem salama 😢😢😢 naomba warud wayamalize😢😢😢😢
@mariamErick-i8o
@mariamErick-i8o Сағат бұрын
Kuna namna namuelewa uyu bint omba isikukute ni cw kutelekwezwa na Baba ako afu yeye anaish maisha safi we upo upo 2 Oyaaa basi 2
@HerryMohammed-o5q
@HerryMohammed-o5q 2 сағат бұрын
Kiradio anashindwa kuuliza maswali ya maana akili yake ipo kwenye pesa tu apo chini ya goti la mguu wa kulia😂😂😂😂😂
@lyimovisualmedia2292
@lyimovisualmedia2292 Сағат бұрын
Hajipangi wakati anaenda kazin
@HabibBey-w2c
@HabibBey-w2c Сағат бұрын
Iyo ishu imepangwa uyo mama anaonekana ata kuendesha gari anaonekana tu
@agrestaalpha1085
@agrestaalpha1085 Сағат бұрын
Au ni tangazo la hao trone motors 😂😂😂
@fatmambeyela6697
@fatmambeyela6697 7 минут бұрын
Aiseeh nmelia😭😭😭😭😭mzazi hakosei jaman kuna watu wanataman wazaz wao warudishiwe pumzi walau DK 10 tu wapate kumbatio Lao dash😭😭😭😭😭
@SylviaMrope
@SylviaMrope Минут бұрын
Hujui kapatia nini anahitaji muda wa kutosha ,
@mrburudani
@mrburudani 2 сағат бұрын
Imagine huyo pendo angefariki kabla ya graduu hyo zawad angepewa akiwa amefarik au? So sad kwakwel
@RahilJumbe-xf9mh
@RahilJumbe-xf9mh 3 сағат бұрын
14 jaman duh
@BarakaJohnson-v8u
@BarakaJohnson-v8u 2 сағат бұрын
Ugali dagaa kwenye Aman au wali nyama vitan utachagua nn vaa viatu usigune tuu😢
@mrsalumkhalfan1143
@mrsalumkhalfan1143 26 минут бұрын
Kosa kubwa ni kumuacha mtoto bila maelezo yeyote. Unamuacha mtot kwa mama yako alafu unakimbia mazima, na hapigi cm. Alichokifanya mama ni ujinga. Kwani angeongea na mama yake haya yasingetokea alichokifanya ni kutanguliza vijitamaa mbele.. ni sawa kamuacha kwenye mikono salama ila hakutenda haki kumuacha na asiwasiliane na mtoto.. kama alimuacha kwa upendo bibi angakuwa na connection nzuri na mtoto wak pamoja na mjukuu
@haikahassan1578
@haikahassan1578 20 минут бұрын
Binadamu tumeumbiwa makosa ndomana anataka amuombe msamaha
@Sophy-cs4ch
@Sophy-cs4ch Сағат бұрын
Huyu pendo angejua hadi kufikia hapoo n juhudi za mama akee asingsubutu kumfedhehesha mama ake kiasi ichoo
@perusmasatu3595
@perusmasatu3595 2 сағат бұрын
Wewe pendo msamehe mama🥺
@jonathanmkenda6043
@jonathanmkenda6043 Сағат бұрын
Ila mi simlaumu mtoto maana ni mtoto wakike angekuwa wakiume hapo sawaa,, sema Bibi ndoo kazingua kwanin alibandikiza chuki kwa mjuku, sema hatujaskiliza upande wa bib mpaka kufanya hivyo
@MariamMuhammed-fo5gp
@MariamMuhammed-fo5gp 10 минут бұрын
Naomba namba za uyo mama please mwambie naomba hutuma yake😂 naumia mm gari😂😂😂
@LaurenciaSylvanus
@LaurenciaSylvanus 2 сағат бұрын
Kuna watoto tumekua tunajua wazazi wetu n wale matron wa shulen , kwa makosa Aya Aya , na apo ukute walikosan n mume akajumlisha mpka mtoto 😢,ata me nisingepokea zawad ake
@RehemaMobeto-t1q
@RehemaMobeto-t1q Сағат бұрын
Mama anahisi gari ndo upendo hafai kabisa kwahiyo anamdanganya kwa pesa zake
@MustymediaTv
@MustymediaTv 2 сағат бұрын
Sasa bibi yake na huyo bint ndo mwenye roho mbaya maana kama mama mtu yeye ndo alikuwa kamsomesha mwanae kwa kutuma pesa kwanni umjaze sumu mtoto wake 😢😢😢😢
@AsnatyErnest
@AsnatyErnest Сағат бұрын
Aiseee mwisho wa siku huyo ni mamake amsamehe tu 😢😢😢
@anangisyejoseph925
@anangisyejoseph925 Сағат бұрын
Mama haukukosea maombi yako yalimrinda na kum beba san ni hali ya maisha ulikufany ivyo mm lawama ntazipeleka kwa mume aliekuoa hta kuuliza mtt vip mmmmh
@shamirasenge5224
@shamirasenge5224 Сағат бұрын
Pendo pole sana 😢 lakin msamehe mama. Mama n mama always hakosei
@abdullychaka4846
@abdullychaka4846 36 минут бұрын
Daah mtihani aisee 😂
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 139 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 140 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
BabaJoan
Рет қаралды 10 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 162 М.
HII NDIO MAANA YA PESA INAMALIZA KILA KITU FULL (PART ONE 1).
18:59
HOUSE GIRL EP 18  | S3 | Love Story 💕💞
19:59
BUSATI TV
Рет қаралды 8 М.
VITUMBUA
13:12
Joti TV
Рет қаралды 16 М.