ALIEMZAWADIA MAMA YAKE GARI AKAIKATAA AKIDAI KUWA NI JENEZA AFUNGUKA MAZITO, MIMI NI FREEMASON?

  Рет қаралды 90,103

Mino TV

Mino TV

Күн бұрын

Jiunge nasi kupitiaa mitandao yetu yakijamii:
FACEBOOK: / minotv
INSTAGRAM: / minotv_tz
TIKTOK: / minotv_tz .

Пікірлер: 242
@PatsonKYANDO-v5i
@PatsonKYANDO-v5i Ай бұрын
Suluhisho ni wewe kuchukua ndugu zako nenda nao kwa Nabii au mtumishi wa Mungu akusaidie brother
@ahmedkitandu8403
@ahmedkitandu8403 Ай бұрын
Mzaz n mtu mzma pia ndo mungu wa 2,ivo alisemalo Mzaz lipo,vijana wengi wanaingia tamaa ya kutafuta mafankio ya haraka ivo wanajikuta wanatafuta pesa kwa njia yeyote
@happynesssamwel4249
@happynesssamwel4249 Ай бұрын
Kwanza kusikia neno Nigeria😂😂😂tayar kabisa ww nimlemle alafu namna anavojib ,, mojakwamoja ni uhakika ,wamama wanaona mbali sana
@oscarmusa8522
@oscarmusa8522 Ай бұрын
Huyu jamaa kweli freemasonry jinsi uwongeaji wake doesn’t make sense
@victorbeno
@victorbeno Ай бұрын
Mmmmh kweli hela zako ni halali Mungu akuzidishie ila kama zinamagumashi mmmh ngoja tuendelee kutazama.
@SaadiyaMohammad-og5bg
@SaadiyaMohammad-og5bg 20 күн бұрын
Huyo kaka hajasema ukweli mama anaonambali na amikuzaa huwezia mdanganya mungu awajalia mualiaania namother wako
@AllyMuyaz
@AllyMuyaz Ай бұрын
Huyu siyo Masson labda anavusha Unga kiaina katoboa ulikua na Dhmira nzuri ya kumuhendo Mzazi Mungu atakulipia InshaAllah ❤
@familykabange6328
@familykabange6328 Ай бұрын
Man Freemason akubali Kama ni Freemason
@lelochuwa-fn6tc
@lelochuwa-fn6tc Ай бұрын
To ukumbavu wako kwamba ww unamjua kuliko mamake
@elishaeamwa861
@elishaeamwa861 Ай бұрын
uyu chui namnukuu 1 anamarafiki freemasoni wengiiii 2 freemasoni anaijuwa hawezi izungumzia leo 3 wewe ni frimasoni( yes or no) hatoi jibu 4 hasemi pesa kazipata wap miradi yake haisemi (kama anamiliki viwanda, hoteli,zoo magari ya abilia trekta ashamba si aseme atangaze pia miradi yake )
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p Ай бұрын
Duniani hapa jamani Mama Martha analia mwanae hamsaidii chochote na huku mama chui anapewa gari anakataa sasa sijui
@maryr4033
@maryr4033 Ай бұрын
Huyu mama anajitambua sana@@Asha-s9u8p
@SarahNgweta
@SarahNgweta Ай бұрын
Ndiyo hivyo mambo mchanganyiko,,, binadamu huwa haridhiki,, kila kitu anakitaka yeye, ukimnyima analalamika, ukimpa analalamika sasa sijui tuishije?
@HONGERAMLIGO-h3w
@HONGERAMLIGO-h3w Ай бұрын
Ahahaha atar san
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p Ай бұрын
@@SarahNgweta yaani hata mimi sijui binadamu tuko vipi
@ShamsiMbago-n2q
@ShamsiMbago-n2q Ай бұрын
@@Asha-s9u8pmama alisema ndg zak wanatoka mi mate kwaiyo family inajua
@GodlistenJohn-c6g
@GodlistenJohn-c6g Ай бұрын
Hii ni kiki ametafuta namna ya kutoka na amefanikiwa kwasababu mi binafsi nilikua simfahamu ila saiv nimemjua😮😮😮😮😮😮
@MoisesfranciscoCosme-g2o
@MoisesfranciscoCosme-g2o Ай бұрын
Chui Tz sio wawili mupo watatu mwingine yupo Polini😂😂😂😂😂
@Olepachu1182
@Olepachu1182 Ай бұрын
Uko sahihi 😂😂😂😂😂😂
@JoramMalley
@JoramMalley Ай бұрын
Wa4 na @officialnai
@JackieMapenzi
@JackieMapenzi Ай бұрын
😂😂😂😂wee koma 😂😂
@ferrotechafricaltd
@ferrotechafricaltd Ай бұрын
Ukiulizwa swali usipojibu ndio au hapana kiukweli jibu ni ndio
@iddikanjele2572
@iddikanjele2572 Ай бұрын
Chui take it easy maana mama zetu wanaishi kwenye analojia Mimi nakupenda sana bloo! Also me nilijenga nyumba mama aliikataa binafsi tuliofanikiwa kutoka kwenye familia duni tunachukuliwa hivyo! My name is King iddirisa kutoka family duni tunachukuliwa vibaya aisee
@laurinfred
@laurinfred Ай бұрын
Fact bro
@NiceJoe-oq1bw
@NiceJoe-oq1bw Ай бұрын
@@iddikanjele2572 pole sana
@Bongotrending_media
@Bongotrending_media Ай бұрын
Dah Huyu Mwamba Anajikanyaga Sana Naamini Yupo Kwenye Chama 😢
@joelandekile3933
@joelandekile3933 Ай бұрын
D@@Bongotrending_media
@SparksGrey
@SparksGrey Ай бұрын
Umeuona
@MarryCharles-k3d
@MarryCharles-k3d Ай бұрын
@@Bongotrending_media Labda mshirikina 2, huyu elimu gani aliyona ya kuingia freemason...?!! Hv watu freemason wanaichukulia poa?!!!
@LeahMgunda-l8c
@LeahMgunda-l8c Ай бұрын
Inawezekana hana kawaida ya kumtunza mamake kiasi kwamba alishamkatia tamaa..Nenda kambembeleze mama yako.
@afisamipango005
@afisamipango005 Ай бұрын
Huyu jamaa interviews zake nyingi huwa anajinyeanyea tu kila akiulizwa kuhusu freemason. Ila mi naungana na mama yake!!
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 Ай бұрын
Tatizo ni tamaaa ya maisha ndio mnapata pesa kwa njia mkato mnoo ,,,mama ana haki kukataa jeneza hilo
@adamchigamba2862
@adamchigamba2862 Ай бұрын
Kama mama hujamuelezea vizuri chanjo cha utajiri wako ana haki ya kuikataa maana vijana wengi tunapenda njia za mkato
@jumongjr5837
@jumongjr5837 Ай бұрын
Hizo lakini ni nyingi 😅😅😅 Wenye D mbili washaelewa😅😅😅
@dawsonkaijage6214
@dawsonkaijage6214 Ай бұрын
Chui hayo ni mambo ya kawaida ila kuyaondoa inabidi uje twende nikuombee kuvunja hizo roho ili uwe na amani.Hayo yanaisha tu.
@innotv5514
@innotv5514 Ай бұрын
Ni swala la uelewa tu Mama kapangwa akatae gari Kisa kijana wake Huyu chui anataka azungumziwe maana anataka ajulikane zaid ya hapo alipo maan kuna watu hawamjui huyu mwamba
@FrancisNgomaitara
@FrancisNgomaitara Ай бұрын
Uyu jamaa maelekezo yake yanajichanganya ni kweli atakua freemason
@SparksGrey
@SparksGrey Ай бұрын
Freemason huo ata Pete anaoooo
@MaseaKerry
@MaseaKerry Ай бұрын
Huyu sign alifanya mwanzo ilionyesha na maongezi yake yako na doubt....mama anajua mtoto wake na mapato yake sasa hii utajiri watu all of a sudden wako na tajiri no no no no no ...mama alikataa ju labda akichukua thats all,kuna wengi ukipokea zawadi ama pesa ndio basi
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto Ай бұрын
Sio kweli hizo ni kiki bana,,mama na huyo jamaa wameyapanga tuu ili wapate trending lkn mwisho wa siku yote ni sawa
@RehemaMasera
@RehemaMasera Ай бұрын
Pole sana ndiyo dunia.
@dasmileofficial9702
@dasmileofficial9702 Ай бұрын
Huyuu N nan mbna Mimi simjuii Chuii wawap huyuu😅😅😅😅
@shiroliz8627
@shiroliz8627 Ай бұрын
𝐓𝐢𝐭𝐨𝐤 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐣𝐨𝐢𝐧 𝐅𝐫𝐞𝐞𝐦𝐚𝐬𝐨𝐧 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐩𝐚 𝐩𝐞𝐭𝐞
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Ай бұрын
Huyu ni tajiri Chui wa Mikumi National park pale.
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s Ай бұрын
Naomba unipe mimi hilo gari na Mungu atakuongezea mengine mengi.
@AshaSangasanga-x7q
@AshaSangasanga-x7q Ай бұрын
Kwa nn mwenyewe hujaeda
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Ай бұрын
Walilipqnga. Kwa nini uandae sherehe hadi waandishi wa habari kumpa mamaako gari. Na mtu uliemtuma pia aseme hakuelewi. Eti jumanne hufanyi kazi. Mmepanga tu kufosi kujulikana
@FrancisNgomaitara
@FrancisNgomaitara Ай бұрын
Huyu ni kwel freemason
@PatsonKYANDO-v5i
@PatsonKYANDO-v5i Ай бұрын
Kiufupi huyo ni kweli mama yake yuko sahihi
@CatherineAnthony-y3v
@CatherineAnthony-y3v Ай бұрын
Nimekuelewa mchizi♥️
@mollelyally5213
@mollelyally5213 Ай бұрын
Mzazi sio mungu wa 2 acha kufuru
@JosephMasanja-wm5hb
@JosephMasanja-wm5hb Ай бұрын
@@mollelyally5213 wewe Waefeso 6:2-3 2 Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi, 3 Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
@Allymzaki
@Allymzaki Ай бұрын
Wew ndo unakufuru unambishia mungu? Baada ya mungu ni wazazi tatizo uwelewa.
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 Ай бұрын
Pole kaka usikate tamaa kaka wewe ni mtoto wa kiumbe kutawaliwa Kwa watu weusi ni shida wengi hawajiamini kama Kuna mafanikio.
@Riziki-m7u
@Riziki-m7u Ай бұрын
zawadi hailazimishwi.. mwenyezi mungu ndio anajua kama amekushuku .. palipo na moshi pana moto..
@familykabange6328
@familykabange6328 Ай бұрын
Uyu ni yeye
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Ай бұрын
Ukistaajabu ya martha mwaipaja utayaona ya tajir chui
@coldkiller-7
@coldkiller-7 Ай бұрын
Swali kwa mwenye akili jiulize wewe umemnunulia mama yako zawadi ya gari kwanini usimpelekee wewe hilo gari umpe mtu baki ampelekee mama yako na ni zawadi kubwa hiyo??? kwa waliosoma Cuba wameshajuwa,ni masharti hutakiwi upeleke wewe hiyo gari,mama yuko sahihi kukataa huenda ndio njia ya kumtoa kafara mama yako kwa ajali ya hiyohiyo gari mama kastukia issue ndiye mama yake anamjuwa vizuri mwanae na matendo yake si mnaona hata maelezo yake?
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Ай бұрын
Mbona jibu unajibu kwa hofu
@dostovan5142
@dostovan5142 Ай бұрын
Wasani hawa aminiki, issue sio kufanyikiwa umefanyikiwa vipi
@chandamwilla-r3v
@chandamwilla-r3v Ай бұрын
Ah jumba la B6
@HeriJaphet-y6h
@HeriJaphet-y6h Ай бұрын
KIKI TU HAPO ZIMETENGENEZWA. Kuna business inatengenezwa
@iddikanjele2572
@iddikanjele2572 Ай бұрын
Chui wake up My bloo we love you
@sebastiajohn2013
@sebastiajohn2013 Ай бұрын
Ni tabia baadhi yetu kuuthamini umasikini usio na faida dhana za kipuuzi. Tujitahidi tukiwa masikini wote tutasaidiana vipi?
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 Ай бұрын
Kakubali maana ukiwa massonic na ukakataa ni kesi nyingine ni sawa na kumkana Yesu Mbona kakubali
@MwasitHassan-cv8um
@MwasitHassan-cv8um Ай бұрын
Mbn kama .....see more
@CosmasJoseph-p1h
@CosmasJoseph-p1h Ай бұрын
Really hustler tutamuelewa jamaa lkn watoto wa mama hawaezi elewa
@ShanelShanel-p8n
@ShanelShanel-p8n Ай бұрын
Me namuelewa watu tunatoka vijijini hatujasoma badae zali linakutokea lakini family bwan
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Ай бұрын
😂😂😂😂 sorry wewe kaka Mungu anakupenda mamako anakuombea
@BagambiMukhtaary
@BagambiMukhtaary Ай бұрын
Wewe ni freemason
@mollelyally5213
@mollelyally5213 Ай бұрын
Hakuna cha nabii hata hao ni manabii wa uongo na yesu alitabiri watakuja manabii wa uongo
@iddikanjele2572
@iddikanjele2572 Ай бұрын
Chui ❤I love you bloo
@deogratiashaule8958
@deogratiashaule8958 Ай бұрын
Kwa nini usiwakabidhi wazazi wako wote wawili wakiwa pamoja,? Kwa nini mama pekee.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Huyu kweli atakuwa anashiriki
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t Ай бұрын
Mama yake ndo anamjua yeye si ndo aliyemlea mama yako asikujue kweli kuna kitu hapo
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
Starting la kwanza ilo limedunda😂😂
@JoyceFaustine-s1g
@JoyceFaustine-s1g Ай бұрын
Majibu yake yanaeleweka mbona?
@JosephThomas-m7n
@JosephThomas-m7n Ай бұрын
Kumbe ni ngosha 😮
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 Ай бұрын
Akitaka kumtoa atamtao tu huyo mama mjingavsana
@EmmyBeauty-u8m
@EmmyBeauty-u8m Ай бұрын
Afazali rayvani tumepata suruisho maana ilikuwa kila mtu chui
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Ай бұрын
Your mum she's don't want you to sacrifice her evil money smart mum
@shiroliz8627
@shiroliz8627 Ай бұрын
𝐘𝐞𝐚𝐡 𝐡𝐮𝐲𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐧𝐚𝐤𝐮𝐛𝐮𝐤𝐚 𝐭𝐢𝐭𝐨𝐤 𝐚𝐤𝐢𝐩𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐲𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧
@SparksGrey
@SparksGrey Ай бұрын
​@@shiroliz8627kwel anaoooo uyo umbwa
@AlifaIassenes
@AlifaIassenes Ай бұрын
Nilikuwa na wewe lakini mama yuko sahii
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er Ай бұрын
Huyu dogo nilianza kumuhukumu kwa kuhusu swwla la freemason kitambo!! Mshamba tu
@allymanyika3502
@allymanyika3502 Ай бұрын
Haya yanatokea sana kwenye hizi familia za kimasikini,nakushauri tu kijana we pambana lakini endelea kuwaheshimu hao ndugu zako na mamaako
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 Ай бұрын
Kwan uyu msanii ni wa hapa bongo mbona simjui
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g Ай бұрын
Atolee wapi Ela huyu chui mashavu yamemshuka kama kahaba ela hana natafta kujulikana
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid Ай бұрын
ulikosea bro ungekunywa plz
@diplomaticdiplomatic3931
@diplomaticdiplomatic3931 Ай бұрын
Tunda mani ludisha Gali la watu😅😅😅😅
@focusgasper4571
@focusgasper4571 Ай бұрын
Huyu nae akili yake kwa hivo yey alituma zawadi kwa mama watu wafanye sherehe lakin yey akiwa Lagos Mama kaupiga mwingii
@nassorali1034
@nassorali1034 Ай бұрын
Huy ndie bwana kwanza majibu yk hayaeleweki
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th Ай бұрын
Kiki hii hamna kitu chengine January hii tutaona mengi
@nassorali1034
@nassorali1034 Ай бұрын
Uyo tyr keshajielezea km yupo uko uko
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp Ай бұрын
Usiogope. Nikweli familia maskini akifanikiwa moja anaambiwa keshakua mchawi. Ata namimi ilishanikuta nilipata ela nikenda kijijini nimjengee mama yangu atoke kwenye nyumba ya tope. Akakata nakusema nataka nimue
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg Ай бұрын
Kabisa kabisa. Hii ndio inayorudisha nyuma maendeleo.
@CyprianTraiphon
@CyprianTraiphon Ай бұрын
Anaimba mziki gani
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
Ingekua mama dangote angelica nayo shaaa
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 Ай бұрын
Sasa unaagiza gari kwann usipeleke boss
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Ай бұрын
Bora unywe sumu kuliko kumtoa mama wawatu kwakupenda vya bure
@Marry-u8m
@Marry-u8m Ай бұрын
Mimi nime mpeda sana huyo mama juu mzazi ana ona bali kuliko mtoto
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg Ай бұрын
Hizo akili zenu za ushirikina zinarudisha nyuma maendeleo.
@shiroliz8627
@shiroliz8627 Ай бұрын
𝐇𝐮𝐲𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐭𝐬 𝐳𝐚𝐤𝐞 𝐯𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧 𝐦𝐮𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧
@ShanelShanel-p8n
@ShanelShanel-p8n Ай бұрын
@@Marry-u8m wazazi wengi kama hujuwa tena wa kijijini wanaamini sana ushilikina me mwenyewe naelewa mtu anatafuta pesa ili ufulahishe family lakini mambo unayo yasikia
@PatsonKYANDO-v5i
@PatsonKYANDO-v5i Ай бұрын
Ni kweli mama yake yuko sahihi Sana,hata anavyoongea huyu mtoto unajua tu yuko upande Gani?
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
Mama mjanja hamkawiagi kuwatoa sadaka kudaadeki😂
@EdisonNelison-y9g
@EdisonNelison-y9g Ай бұрын
aaaa ko kakataa kabisa au unatafuta kiki ili ujulikane manaa umekuja ghafl tu
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
HELA UMETOA WAPI WEWWE
@KanisiusThomas
@KanisiusThomas Ай бұрын
Jamaa kumbe anapata hela kwa u free mason❤
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 Ай бұрын
Kuvitatua n ukue maskini inamaana ndio watakua na amani....wafrica bwana
@yusuphmussa554
@yusuphmussa554 Ай бұрын
Jaman kuweni makini na watu hawa ni matapeli hiii ni michezo ya kuigiza inakuwepo sana sema wameihamishia kwenye mitandaowote hao waigizaji kuna wajinga watajichanganya sana kuweni makini hawa ni matapeli matapeli matapeli
@HayuweMukumbule
@HayuweMukumbule Ай бұрын
Apo mkononi ringi hilo majibu tosha
@hono1232
@hono1232 Ай бұрын
Lakini zawadi ya mama yako tena kubea kama hiyo kwani umtume mtu akupelekee badala yake ulitskiwa uipeleke mwenyewe
@nassorali1034
@nassorali1034 Ай бұрын
Kunywa hebu uyo mama anaumia kuliko wewe ndugu yngu
@Salimajafari-u3n
@Salimajafari-u3n Ай бұрын
Chui aliekuwa anaongea na mama ni mwanamuziki wana jaribu kutulisha matango poli tunaijua hiyo alie peleka gari alikuwa meneja wake huyo kapangwa muhongo akitaka tuamini akutane na mama ndo ajibu maswali kama ni yeye
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Ай бұрын
Dogo mi mwenyew nawajua watu wanamna hii T shirt ulovaa shingoni ni alama ya freemason
@AndrewMajingwa-ln7oi
@AndrewMajingwa-ln7oi Ай бұрын
Maongezi yake tu yanamfunga
@RaheemaOm-d5e
@RaheemaOm-d5e Ай бұрын
Wenzako akina day mondi wameambiwa sana. Nawasihi ulikuwa basi nikweri wewe nifreemasoni
@nmconsultinggrouplimitedpr245
@nmconsultinggrouplimitedpr245 Ай бұрын
Kama ni gari la kawaida,na ni zawadi ya kawaida why uumie kias cha kutaka kujiua??unaweza kuwa familia yenu mnakula mlo mmoja wa wasiwasi au hata pa kulala hapako poa,halafu uibuke na gari lazima ushtukiwe
@AsiaTuda
@AsiaTuda Ай бұрын
Kwaiy ww umepelekwa na diamondi au
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Ай бұрын
kiki za kitoto
@AsiaAa-w5m
@AsiaAa-w5m Ай бұрын
Nawamefanna na mana huyu jamani
@JosephMasaba-u2x
@JosephMasaba-u2x Ай бұрын
Ndogo.ukosawA.kabisa.hatawazazi.wanaweza.kukuharibia.heshima.ilasiku,moja,watakukumbuka,mguyupo.
@ElianeNininahazwe
@ElianeNininahazwe Ай бұрын
Yinipe mmi kwahuruma wako😀😀😀
@KoraaSaidi-l5y
@KoraaSaidi-l5y Ай бұрын
Ivi jamani wewe kukataa kwamba sio freemason Kuna ugumu Gani mpaka ukwepekwepe,wewe jamaa upo freemason bisha usibishe kauli zako zinakufunguka.
@ShabaniBandini
@ShabaniBandini Ай бұрын
Kwani uyu msani anaimba maana mwandishi alimuuliza mama mwanao simsani akasema najua ila sitaki zawadi zake uyu sio msanii anaeimba
@iddikanjele2572
@iddikanjele2572 Ай бұрын
Kalibu Serengeti national park ask them by the name K - pesa ,K-money is only me
@JaneKabyemela-y5u
@JaneKabyemela-y5u Ай бұрын
Nakuelewa kijana watu wa vijijini ndivyo walivyo huelewa wao ni mdogo
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th Ай бұрын
yaani simpendi huyu kijana
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Ай бұрын
@@wemaMichael-fr4th kwa nini
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Ай бұрын
Itasaidia nini humpendi mtu asiye kujua wala haiwezi kutokea bahati mbaya mkakutana.
@mosamiitwelve540
@mosamiitwelve540 Ай бұрын
@@wemaMichael-fr4th kampende mama ako kwanza
@calvin6445
@calvin6445 Ай бұрын
Naona Rayvann kaamua kupotezea ili sakata kisiasa zaidi 😂😂😂. Ilikua ni tajiri chui sio Rayvann
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Trump escalates Panama threats to intimidate Putin
10:00
Times Radio
Рет қаралды 82 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН