Akhwan Safaa in Oman participating in 15th Oman National Day in 1985.
Пікірлер: 50
@kamanyolabilajasho38332 жыл бұрын
Asante kutuwekea nyimbo za kutukumbusha tulipokuwa vijana. Nakumbuka hii ilifanyika ukumbi wa Wizara ya Utamaduni hapa Oman mwaka 1985 katika tafrija kusherekea miaka 15 tokea atawale Sultan Qaboos (Allah amrehemu)
@mirajiiMkwaju Жыл бұрын
Ok
@IssaAlBusaidi-qg9iu Жыл бұрын
😊
@alwatanalgilgilan-y30782 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH enzi hizo shetani hajazaliwa zanzibar
@AbdullahOmar-fv3ld Жыл бұрын
Leo kuna amezaliwa
@suleimansaid74862 жыл бұрын
Za kale dhahabu Sasa Zimebaki nyimbo za matusi
@sabiimohamed65609 ай бұрын
Of coz yes
@abk112729 күн бұрын
Akhir zaman
@hassankarama74212 жыл бұрын
Mashallah Zanzibarian ilikuwa Thaman!
@issamakolo1033 Жыл бұрын
Zanzibar ilikuwa mashaallah kwa twaarab sio Sasa hakuna twaarab Kuna taradansi matusi tu,
@issamakolo1033 Жыл бұрын
Mashaallah saut nimependa iko sawa mama anaghani vizuri
@princesaadat76912 жыл бұрын
mashaallah hata haikuwa itapokuwa roho tawatoka..tuekee habibi albi pls
@G.r.e.a.t.I.Q2 жыл бұрын
Allah ghfir laha wa rhamha wa skanha fil Jannat!
@noffelsalim8302 жыл бұрын
Walotangulia mbele ya haki hapo mungu awaswamehe makosa yao na awape nuru ya kabri🤲🤲
@chozilasamakikachumbari67052 жыл бұрын
Hiyo ilikukuw ZANZIBARI lakini sasa ni ZANZIBARA MATAMBARA ⚘⚘⚘
@abrahmansalum69964 ай бұрын
Wallah
@yahyaibrahim65462 жыл бұрын
Ukiona zanzibar walioish wazee wetuh wallah wabara wametuvurugia kila kituh
@tariqkondo5092 жыл бұрын
Vijana wenu wanaongoza kwa tabia za hovyo, lakini mnasingizia bara kila kitu.
@kaitaramadan63402 жыл бұрын
Khadija kopa na mzee Yusuph ni wabara acha ubaguzi wa kijinga
@seifabdulwahid45792 жыл бұрын
@@tariqkondo509 wamefundishwa na Bara hao Zbar ilikuwa hkn mambo ya ajabu ajabu
@tariqkondo5092 жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 wamefundishwa na waarabu, wao ndo walianza kuwa na watu wa visiwani kabla ya wao kukutana na watu wa bara.
@seifabdulwahid45792 жыл бұрын
@@tariqkondo509 watu wa zmn hawakuwa hv Hili suala la kutoingia kwa temprary pass ndo lilo haribu mambo yote
@maryammussa7929 Жыл бұрын
Nyimbo ina umri sawa na wangu
@HafidhOmar-rs4ty Жыл бұрын
Mkataa mussa hupata firaun
@johnkuma68672 жыл бұрын
Poa sana hizi taarab. Zidi kuzituma🇰🇪
@naylamohammed266 Жыл бұрын
Maskin Mareham haloo yangu allah amsaa mehe makosa yake mpe kauli thabit
@maryammussa7929 Жыл бұрын
Amiin
@AbdullahOmar-fv3ld Жыл бұрын
Mtu wa wapi huyu
@mangofish90794 ай бұрын
Alifariki lini huyu bikhadija Salim
@mohamedkhalifa57644 ай бұрын
Laana ya Mwenyezi Mungu haitawaacha mpaka mwisho wa Dunia kwa Mauaji muliyofanya moja wapo ni hilo.
@mosaidi2633 Жыл бұрын
Zanzibar ilikuwa njema siku hizo
@khamisjuma76164 ай бұрын
masikini zbar yetu😊😊😊
@lindaoduma2132 жыл бұрын
Zuri Sana habibi
@salyali780711 ай бұрын
Ilikua hakuna kukata viuno kwenye stage
@salyali780711 ай бұрын
Zanzibar 😭😭😭
@ahmedkhamis72292 жыл бұрын
Jaribu kuweka zote plz
@masoudapology92302 жыл бұрын
Dah! my Zanzibar siasa za Muugani zimeiweka pabaya kwa kweli bila hivo ingekuwa mbali san